During sex: What is your favorite song to hear?

During sex: What is your favorite song to hear?

Ule wa Bahati Bukuku, dunia haina huruma au ule wa Twanga pepeta -- jirani
 
1. Shania twain kitu inaitwa when u kiss me.....kama sijaKosea jina...
2. Craig daviD nyimbo flani hv...
 
mkuu kuna watu wanagegeda utadhani mwisho wa dunia! lols!

wakat unagegeda weka nyimbo za ragamuffin au za p square zile za dance nakuambia utapenda mwenyewe halaf uwe na kigori kinachojua mauno
 
Kwa kweli kama tunakuwa wote vile.

'Huwa napenda wimbo wa endeless love wa leonrich.

Hapo huwa nafell niko heaven'
 
Unashibedua wa kingwendu


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Habari zenu wana jukwaa...! leo tuone wengi wetu wanapendelea nini inapokuja suala la kupelekana katika ulimwengu wa mahaba! nyimbo mbali mbali za slow jams zimekuwa kivutio kikubwa sana kama ingredient ya kufanya tendo hili kuwa more and more romantic ili kuleta ashki za kimahaba kati ya wapendanao! je, unapendelea wimbo gani hasa wa kimahaba, ambao ukiwa na mpenzi wako faragha, huwa unakupeleka katika dunia ya hisia na kukufanya ujisikie mwingine kabisa?? karibuni....! Excel loves..how am i supposed to live without you.. on bed lakini!!
157013_599033913441993_119933518_n.jpg
nitajuta ukiondoka..... half time, tanzania tanzaniaaa nakupenda kwa moyo woteee
 
Last edited by a moderator:
mkuu huwa napiga wimbo wa Taifa tu hapo hatulali si unajua heshima ya wimbo wa Taifa ni kusimama tu.
 
Love scane joe thomas, ibilive in u joe, i will make lv to u boyz 2 men
 
Back
Top Bottom