During sex: What is your favorite song to hear?

During sex: What is your favorite song to hear?

Habari zenu wana jukwaa.

Leo tuone wengi wetu wanapendelea nini inapokuja suala la kupelekana katika ulimwengu wa mahaba.

Nyimbo mbali mbali za slow jams zimekuwa kivutio kikubwa sana kama ingredient ya kufanya tendo hili kuwa more and more romantic ili kuleta ashki za kimahaba kati ya wapendanao.

Je, unapendelea wimbo gani hasa wa kimahaba, ambao ukiwa na mpenzi wako faragha, huwa unakupeleka katika dunia ya hisia na kukufanya ujisikie mwingine kabisa?

karibuni....!
Excel loves..how am i supposed to live without you.. on bed lakini!

157013_599033913441993_119933518_n.jpg

Kwangu Mimi ni nyingi mno including When I need You, I love you and etc. Thanks.
 
Kosa la marehem- uswahilini matola.

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Kwetu Kuzuri wa Ambassadors of Christ.

Nikishapiga bao napenda kuliwazwa na wimbo wao wa Kwanini Umeyaruhusu.

Nikienda kuoga nafurahi kusikia kibao cha Tabata Mennonite Kidogokidogo Nikinyatanyata

We jamaa umenichekesha sana ...mpaka watu wameamka
 
Kwetu Kuzuri wa Ambassadors of Christ.

Nikishapiga bao napenda kuliwazwa na wimbo wao wa Kwanini Umeyaruhusu.

Nikienda kuoga nafurahi kusikia kibao cha Tabata Mennonite Kidogokidogo Nikinyatanyata

Ha haaaaaaa sina mbavu ....lol
 
Back
Top Bottom