suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 196
Mrs usisahau kazi yangu ni kukupa wewe raha tuuuuuuu baaaaasi!!!
Wow ntake nin tena kingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrs usisahau kazi yangu ni kukupa wewe raha tuuuuuuu baaaaasi!!!
Mi huwaga naisikiliza ngoma ya uswahilini matola "Kosa la malehemu hakuvaa kondomu"
Aaaaaahhhhhaaaaaaaa! Jamani very funny aahhaaaaa! Asante!
Habari zenu wana jukwaa.
Leo tuone wengi wetu wanapendelea nini inapokuja suala la kupelekana katika ulimwengu wa mahaba.
Nyimbo mbali mbali za slow jams zimekuwa kivutio kikubwa sana kama ingredient ya kufanya tendo hili kuwa more and more romantic ili kuleta ashki za kimahaba kati ya wapendanao.
Je, unapendelea wimbo gani hasa wa kimahaba, ambao ukiwa na mpenzi wako faragha, huwa unakupeleka katika dunia ya hisia na kukufanya ujisikie mwingine kabisa?
karibuni....!
Excel loves..how am i supposed to live without you.. on bed lakini!
![]()
Hapo stimu yote inakata , hakuna kugegeda tena!
at that time sikumbuki wimbo hata mmoja...mind yangu inakuwa blank kabisaaa
Ha ha ha Mimi nacheka
Kwetu Kuzuri wa Ambassadors of Christ.
Nikishapiga bao napenda kuliwazwa na wimbo wao wa Kwanini Umeyaruhusu.
Nikienda kuoga nafurahi kusikia kibao cha Tabata Mennonite Kidogokidogo Nikinyatanyata
Hamna sauti na nyimbo nzuri kama ya mwanaume akipiga bao Hua nazimia
Kwetu Kuzuri wa Ambassadors of Christ.
Nikishapiga bao napenda kuliwazwa na wimbo wao wa Kwanini Umeyaruhusu.
Nikienda kuoga nafurahi kusikia kibao cha Tabata Mennonite Kidogokidogo Nikinyatanyata
wimbo wa alikufa kwa ngoma , mwana FA