During sex: What is your favorite song to hear?

stimu za kudinyana wakati unasikiliza wimbo wa ukosefu wa ajira? lol..

we mkali manka!


hahahaaa hamna hapo unasikiliza beat tu na sio maudhui ya wimbo
 
Last edited by a moderator:
me napenda wimbo wa ensenene ensenene nenula kushaga enyama....
 
asee mi ukinipigia nyimbo ya kifo hakina huruma m#oo inasinyaaa,,,,,,haina maana kabisa hii nyimbo

usiombe kabisa ipigwe ukiwa juu ya kifua cha mwanamke
 
Marvin Gaye - Sexual Healing, Lets Get it on
Donna Summer - Love to Love you baby
Barry White - You are my first my last
Lionell Richie - Endlesslove
Quincy Jones - Secrete
Tinna Turner - You're Simply the Best
And some country songs when we are done
Hapo kama wewe sio kijana 70s huwezi kuelewa
 
Kwetu Kuzuri wa Ambassadors of Christ.

Nikishapiga bao napenda kuliwazwa na wimbo wao wa Kwanini Umeyaruhusu.

Nikienda kuoga nafurahi kusikia kibao cha Tabata Mennonite Kidogokidogo Nikinyatanyata



ahahahahahahaha mr....... unanifurahisha
 
Mi huwaga naisikiliza ngoma ya uswahilini matola "Kosa la malehemu hakuvaa kondomu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…