Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wana mambo humuKabla hatujaanza tunasikiliza "bedroom bully" wa Shaba Ranks......ila tukishaanza mshikemshike demu wangu huwa anapagawa totaly, so huwa anaanza kunena kwa lugha....na huwa sipo tayari ku miss hiyo, so NAZIMILIA MBALI REDIO......
ha haaa, Play list hii, inakita usiku kucha, mpaka pale, asubuhi unapoamka na kugonga kimoja ili tuweze kukumbukana mchana kutwa.mkuu aisee we noma aisee!! hii playlist sasa inakuwa inachezwa kila wiki ama kila baada ya siku tatu?
hauchoki nayo?
ha haaa, Play list hii, inakita usiku kucha, mpaka pale, asubuhi unapoamka na kugonga kimoja ili tuweze kukumbukana mchana kutwa.
Kabla hatujaanza tunasikiliza "bedroom bully" wa Shaba Ranks......ila tukishaanza mshikemshike demu wangu huwa anapagawa totaly, so huwa anaanza kunena kwa lugha....na huwa sipo tayari ku miss hiyo, so NAZIMILIA MBALI REDIO......
Naomba wewe unisaidie mkuu
Tuwaombe wakuu watusaidie, mimi mwenyewe bila bilanami nimelileta kwako.. silimanyi vizuri!
si wajua mkuu sie tumekuja kwa mbio za mafuriko!
Tuwaombe wakuu watusaidie, mimi mwenyewe bila bila
Kama vipi tuwape mji
Mimi na wewe tumeshindwa hiki kitendawili
Cha asubuhi muhimu, kwani wakati huo amekuja home amejiandaa kabisa kuwa mechi iwe so hard! kabla hajarudi kwao, sasa sitaki kufanya kosa, kwani kuna wakati nammisi sana.ninokuwa bize.lol! mkuu si utaua mtoto wa watu? aisee mpe nafasi apumuwe!!
Sina uhakika sana maana hapa JF wana lugha zao, ngoja nijaributuachane na hilo, neno bazazi, unalielewaje?
Sina uhakika sana maana hapa JF wana lugha zao, ngoja nijaribu
Kwa mtazamo wangu kwa kiswahili safi inaweza kuwa - maluuni au kwa lugha za mtaani sijui niseme - mtu aliyepinda
Ila sifahamu maana halisi yaani nahisi tu
Tabia zisizoendana na maadili ya katiba au jumuia/jamii inayokuzunguka kwa ujumlaunamaanisha nini unaposema mtu aliyepinda? tabia in general ama?
Habari zenu wana jukwaa...! leo tuone wengi wetu wanapendelea nini inapokuja suala la kupelekana katika ulimwengu wa mahaba!
nyimbo mbali mbali za slow jams zimekuwa kivutio kikubwa sana kama ingredient ya kufanya tendo hili kuwa more and more romantic ili kuleta ashki za kimahaba kati ya wapendanao!
je, unapendelea wimbo gani hasa wa kimahaba, ambao ukiwa na mpenzi wako faragha, huwa unakupeleka katika dunia ya hisia na kukufanya ujisikie mwingine kabisa??
karibuni....!
Excel loves..how am i supposed to live without you.. on bed lakini!!
![]()
Kwetu Kuzuri wa Ambassadors of Christ.
Nikishapiga bao napenda kuliwazwa na wimbo wao wa Kwanini Umeyaruhusu.
Nikienda kuoga nafurahi kusikia kibao cha Tabata Mennonite Kidogokidogo Nikinyatanyata