Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
- Thread starter
- #321
Unanikumbusha mdada fulani hivi ye alikua akija geto mkilianzisha tu ni kelele mwanzo mwisho. So inabidi uneutralize kelele hizo kwa kuongeza sauti ya redio. Alikua ana cd collection yake ya Celine deon. Sasa kasheshe ni pale wimbo unapoisha ili uje mwengine. wajikuta nawewe unavizia una sloo down ukianza wimbo mwengine nawewe waanza kuongeza spidi. Hah!
hahhaaa!!! kumbe mkuu kuna umuhimu wa kuwa na sauti za ziada kwa ajili ya kupunguza kelele nyingine!!
nice observation..