During sex: What is your favorite song to hear?

During sex: What is your favorite song to hear?

Unanikumbusha mdada fulani hivi ye alikua akija geto mkilianzisha tu ni kelele mwanzo mwisho. So inabidi uneutralize kelele hizo kwa kuongeza sauti ya redio. Alikua ana cd collection yake ya Celine deon. Sasa kasheshe ni pale wimbo unapoisha ili uje mwengine. wajikuta nawewe unavizia una sloo down ukianza wimbo mwengine nawewe waanza kuongeza spidi. Hah!

hahhaaa!!! kumbe mkuu kuna umuhimu wa kuwa na sauti za ziada kwa ajili ya kupunguza kelele nyingine!!

nice observation..
 
I can be your heroe baby...
I can kiss away the pains...
I will stand by you forever...
You can take my breath away......

Heroe-Enrique Iglesias

Yaani huwa siishiwi hamu!
 
habari zenu wana jukwaa...! Leo tuone wengi wetu wanapendelea nini inapokuja suala la kupelekana katika ulimwengu wa mahaba! Nyimbo mbali mbali za slow jams zimekuwa kivutio kikubwa sana kama ingredient ya kufanya tendo hili kuwa more and more romantic ili kuleta ashki za kimahaba kati ya wapendanao! Je, unapendelea wimbo gani hasa wa kimahaba, ambao ukiwa na mpenzi wako faragha, huwa unakupeleka katika dunia ya hisia na kukufanya ujisikie mwingine kabisa?? Karibuni....! excel loves..how am i supposed to live without you.. On bed lakini!!
157013_599033913441993_119933518_n.jpg
Wimbo wa Taifa
 
Last edited by a moderator:
I can be your heroe baby...
I can kiss away the pains...
I will stand by you forever...
You can take my breath away......

Heroe-Enrique Iglesias

Yaani huwa siishiwi hamu!

wimbo uko romantic sana huu..

una feeling za ndani kabisa kimahaba!!





men go like .. '' i will stand by you forever''!! .. then, .. '' you will take my breath away!!''

dah!! maneno yako romantic and touching..!
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeeee?

Kamlebalongo kwiza kole nkima one mwinwa masangu mong'wela na mihayo! Mabhula ele na nkima onge kah mlebalongo koleng'wamba!

Cc mwallu

hmm!! hiki ni kisukuma cha wapi??

mbona kigumu hivi??

haya bana.. chukueni hii!!

anaeogopa nyoka... especially chatu.. asifike hapa!

cc.. mwallu.. miss neddy, Honey Faith, Mr Rocky, and all others!
 
Last edited by a moderator:
mkuu sasa nikupe upi?

ngoja nione huu kama utamsisimua mpenzi wako!


Mkuu umetisha, huu sishuki hadi asubuhi, unahamasisha. Nitakugongea like
 
Last edited by a moderator:
Kitambaa cheupe, huwa nasubiri saa ya chuuunguliaaaa...!
 
we noma mkuu! vile viuno vya huu wimbo unaendana navyo kabisa?


Jawilat upogo??


Yaa. .. alafu uzuri ni kuwa huu wimbo unafika mahali unakuwa na kama pozi hivi... hapo mnachenji style. ... kisha tena en alaji... alaji... alaji... okudundu kudundu kudundu kudundu. ...
Tam sana Jawilat
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom