Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
'".... Profesa amekuwa akiomba mda mrefu apumzike lakini Boss lady alikuwa akikuna kichwa amweke nani pale. Sasa yeye na watu wake wa sheria naona waliamua wamwondoe kuwa AG na wamrejeshe Mahakama ili baadae kidogo amteua kuwa CJ."
Duru ndani ya corridor za white house.
Duru ndani ya corridor za white house.