Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
If that is true tumekwisha, lkn hatukati tamaa.'".... Profesa amekuwa akiomba mda mrefu apumzike lakini Boss lady alikuwa akikuna kichwa amweke nani pale. Sasa yeye na watu wake wa sheria naona waliamua wamwondoe kuwa AG na wamrejeshe Mahakama ili baadae kidogo amteua kuwa CJ."
Duru ndani ya corridor za white house.
If that is true tumekwisha, lkn hatukati tamaa.
Hata ikiwa ni kweli hakuna jipya'".... Profesa amekuwa akiomba mda mrefu apumzike lakini Boss lady alikuwa akikuna kichwa amweke nani pale. Sasa yeye na watu wake wa sheria naona waliamua wamwondoe kuwa AG na wamrejeshe Mahakama ili baadae kidogo amteua kuwa CJ."
Duru ndani ya corridor za white house.
Kwani sahivi mahakama, UVCCM na polisi kuna tofauti yoyote?Imagine ...!!
Haramia kama yule anakuwa Chief Justice. Soon Mahakama itakuwa kama Police.