Tetesi: Duru: Lukuvi kumrithi Kinana?

Lukuvu sio mnafiki na hiyo biashara bila unafiki utoboi.
 
Nadhani Makonda anafaa kwa nafasi hiyo kwa sababu wapiga kura ni vijana siyo wazee, akifanya hivyo Dkt Samia atajihakikishia kura za vijana wote na kanda ya ziwa.
Kwa Makonda ni ngumu anasiasa za kushushua ana makundi Rais hawezi ku risk hivyo. ilimshinda uenezi!
 
Na Lukuvi ndiye alisema mama ni rais wa mpito
Alikuwa sahihi πŸ˜…
Ni kwamba itakapofika 2025 Mama ndiyo itakuwa anaanza Rasmi kipindi chake cha kwanza cha URais awamu ya 7 .
Na endapo atashinda tena 2030 ataendelea mpaka 2035 !

Lukuvi yupo sahihi !πŸ™ŒπŸ‘
 
Mama kama Utaona Comment yangu hii, Nafasi ya Kinana tuletee watu hawa mmojawapo atakufaa sana sana tena sana! kwa Maendeleo ya CCM na ataweza kuwadhibiti vzr wahuni.

1. Dkt Bashiru Ally
2. H. Pole pole
3. Paul Makonda
4. Anthony Mtaka

Wapo watakaompinga Mama mmoja kati ya hao akiteuliwa lkn mama hataweza kuwafurahisha kila watu kwa Teuzi zake! Azibe Masikio , Awe Chura.
 
Hivi Wasukuma mnajiaminisha Kabsaa Makonda anatosha?
 
Siyo profesa uchwara wa jalalani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…