inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Akiwa muislam na kuleta wawekezaji waislam anakua mdini,akili huwa hamnabi chura mwenye wajomba oman na anayewapa kila rasilimali ya nchi hii ndugu zake katika imani waarabu sio mdini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiwa muislam na kuleta wawekezaji waislam anakua mdini,akili huwa hamnabi chura mwenye wajomba oman na anayewapa kila rasilimali ya nchi hii ndugu zake katika imani waarabu sio mdini?
Lukuvu sio mnafiki na hiyo biashara bila unafiki utoboi.'....chaguo la Mwenyekiti ni Paul. Lakini hofu ni je wale wazee watakubaliana naye kwa kigezo cha umri? Chaguo lake la pili ni William Lukuvi na ndiye hasa hata yeye anaona itampa u rahisi kukubalika ndani ya mfumo.'
Duru.
Je, Lukuvi ku mrithi Kinana?
Ni nafasi ya makamu mwenyekiti Bara sio.Zanzibar huko kwenu mna.wenuLukuvi hakubaliki kabisa Zanzibar.
Sources ???!Hivi duru ina maana gani au ni neno gani jingine mbadala wake
Akiyakumbuka madikodiko anaweza akakubali !Hawezi kubali
Itakuwa Shughuli pevu kwa ile M gang !Makonda ndiye anamrithi Kinana kwa sasa anapikwa kuja kuchukua kijiti
Mtoto hatumwi dukani !Itakuwa Shughuli pevu kwa ile M gang !
Ikitokezea kuwa hivyo tutasema Kumekuchaaaa !!
Mtoto hati Mei Dukani !
Mkuu yule ni mjamaa hawataendana na mama uzauza ardhi na hamisha hamishaKwasababu mzee Mangula yupo, arudishwe.
Kwa Makonda ni ngumu anasiasa za kushushua ana makundi Rais hawezi ku risk hivyo. ilimshinda uenezi!Nadhani Makonda anafaa kwa nafasi hiyo kwa sababu wapiga kura ni vijana siyo wazee, akifanya hivyo Dkt Samia atajihakikishia kura za vijana wote na kanda ya ziwa.
Alikuwa sahihi 😅Na Lukuvi ndiye alisema mama ni rais wa mpito
[emoji3][emoji3][emoji3] Kunguni kashasagiwa mtu hapa! Duh.Mhafidhina,udini mpaka kwenye kope,ananuka udini Kama beberu
Hivi Wasukuma mnajiaminisha Kabsaa Makonda anatosha?'....chaguo la Mwenyekiti ni Paul. Lakini hofu ni je wale wazee watakubaliana naye kwa kigezo cha umri? Chaguo lake la pili ni William Lukuvi na ndiye hasa hata yeye anaona itampa u rahisi kukubalika ndani ya mfumo.'
Duru.
Je, Lukuvi ku mrithi Kinana?
Siyo profesa uchwara wa jalalani?'....chaguo la Mwenyekiti ni Paul. Lakini hofu ni je wale wazee watakubaliana naye kwa kigezo cha umri? Chaguo lake la pili ni William Lukuvi na ndiye hasa hata yeye anaona itampa u rahisi kukubalika ndani ya mfumo.'
Duru.
Je, Lukuvi ku mrithi Kinana?
Nimeona mama ametoa hints kuhusu Prof. wa Jalalani alipokuwa Kilosa!Siyo profesa uchwara wa jalalani?
Yeah muda utaongea lo
Ni kama TETESI!Hivi duru ina maana gani au ni neno gani jingine mbadala wake