Fund man
JF-Expert Member
- Feb 24, 2021
- 3,629
- 4,831
Hawezi kubaliKwasababu mzee Mangula yupo, arudishwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawezi kubaliKwasababu mzee Mangula yupo, arudishwe.
Kwanini?Hawezi kubali
Labda ukanda wa ziwa NatronNadhani Makonda anafaa kwa nafasi hiyo kwa sababu wapiga kura ni vijana siyo wazee, akifanya hivyo Dkt Samia atajihakikishia kura za vijana wote na kanda ya ziwa.
Kwani wewe ndio ndugu msemaji au wale wale wa kawaida ya chamani.'....chaguo la Mwenyekiti ni Paul. Lakini hofu ni je wale wazee watakubaliana naye kwa kigezo cha umri? Chaguo lake la pili ni William Lukuvi na ndiye hasa hata yeye anaona itampa u rahisi kukubalika ndani ya mfumo.'
Duru.
Je, Lukuvi ku mrithi Kinana?
Alisema wakipewa nchi hao watawaleta waarabuLukuvi si ndo alisema muungano unasaidia kudhibiti uislamu?
Yuko wapi?Nadhani Makonda anafaa kwa nafasi hiyo kwa sababu wapiga kura ni vijana siyo wazee, akifanya hivyo Dkt Samia atajihakikishia kura za vijana wote na kanda ya ziwa.
Kwa nini alimtoa Lukuvi kule ardhi?'....chaguo la Mwenyekiti ni Paul. Lakini hofu ni je wale wazee watakubaliana naye kwa kigezo cha umri? Chaguo lake la pili ni William Lukuvi na ndiye hasa hata yeye anaona itampa u rahisi kukubalika ndani ya mfumo.'
Duru.
Je, Lukuvi ku mrithi Kinana?
Acha watifuane ,ukweli waujua 2025 kama uchaguzi ukifanyika'....chaguo la Mwenyekiti ni Paul. Lakini hofu ni je wale wazee watakubaliana naye kwa kigezo cha umri? Chaguo lake la pili ni William Lukuvi na ndiye hasa hata yeye anaona itampa u rahisi kukubalika ndani ya mfumo.'
Duru.
Je, Lukuvi ku mrithi Kinana?
wewe ndio umesema hivyo sio LukuviLukuvi si ndo alisema muungano unasaidia kudhibiti uislamu?
Watu wanahangaika kumtafuta ye anazurura kwenye maji
Makonda anafaa zaidi kwenye executive branch, siyo kwenye siasa za majukwaani, kwa sababu ni mtu aliye task oriented zaidi kuliko relational!Nadhani Makonda anafaa kwa nafasi hiyo kwa sababu wapiga kura ni vijana siyo wazee, akifanya hivyo Dkt Samia atajihakikishia kura za vijana wote na kanda ya ziwa.
Na Lukuvi ndiye alisema mama ni rais wa mpitoLukuvi si ndo alisema muungano unasaidia kudhibiti uislamu?