Tetesi: Duru: Lukuvi kumrithi Kinana?

Tetesi: Duru: Lukuvi kumrithi Kinana?

'....chaguo la Mwenyekiti ni Paul. Lakini hofu ni je wale wazee watakubaliana naye kwa kigezo cha umri? Chaguo lake la pili ni William Lukuvi na ndiye hasa hata yeye anaona itampa u rahisi kukubalika ndani ya mfumo.'

Duru.

Je, Lukuvi ku mrithi Kinana?
Kwani wewe ndio ndugu msemaji au wale wale wa kawaida ya chamani.
 
Lukuvi si ndo alisema muungano unasaidia kudhibiti uislamu?
Alisema wakipewa nchi hao watawaleta waarabu
Hao ndio wazee wetu na mawazo mfu hivyo
Yaani anakubali kabisa kuwa tunaweza kutawaliwa tena na kufanywa watumwa
Elimu za kukariri mbaya sana na uongeze na chuki

Watu kama hao huwa nawafananisha na far right thuggery
 
Anafaa! Lakini kwa siasa za sasa hivi sijui kama wanaweza kumvumilia.
Huyu kwangu ndiye Mwanasiasa bora,Msemakweli na Mchapakazi.
 
'....chaguo la Mwenyekiti ni Paul. Lakini hofu ni je wale wazee watakubaliana naye kwa kigezo cha umri? Chaguo lake la pili ni William Lukuvi na ndiye hasa hata yeye anaona itampa u rahisi kukubalika ndani ya mfumo.'

Duru.

Je, Lukuvi ku mrithi Kinana?
Kwa nini alimtoa Lukuvi kule ardhi?
 
'....chaguo la Mwenyekiti ni Paul. Lakini hofu ni je wale wazee watakubaliana naye kwa kigezo cha umri? Chaguo lake la pili ni William Lukuvi na ndiye hasa hata yeye anaona itampa u rahisi kukubalika ndani ya mfumo.'

Duru.

Je, Lukuvi ku mrithi Kinana?
Acha watifuane ,ukweli waujua 2025 kama uchaguzi ukifanyika
 
Lukuvi hawezi kuwa, huyu kule Zenji hawamtakii, aliwafurusha hatariii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nadhani Makonda anafaa kwa nafasi hiyo kwa sababu wapiga kura ni vijana siyo wazee, akifanya hivyo Dkt Samia atajihakikishia kura za vijana wote na kanda ya ziwa.
Makonda anafaa zaidi kwenye executive branch, siyo kwenye siasa za majukwaani, kwa sababu ni mtu aliye task oriented zaidi kuliko relational!
 
Back
Top Bottom