Tetesi: Duru: Sugu, Wenje, Kigaila na Mwalimu kuhamia CCM

Taarifa nilizonazo ni kinyume chake. Kwamba Mch. Msigwa ashamuandalia makao Lissu iwapo mpango wao wa kuisambaratisha Chadema kupitia uchaguzi utakaposhindwa. Lissu atahamia CCM akimfuata Mch. Msigwa.
 
Ila akishinda Mbowe basi wanamwambia Makalla kua wameghairi??
 
Yericko hata senti moja hata pewa kwa jinsi alivyojaza tope kichwani.

Leo nimeshanga hata Stivu Nyerere amemwambia kuwa anakichwa ngumu kwa kumpigania Mbowe🤣🤣
Kama siyo huu uchaguzi tusingemjua kuwa ni seti tupu
 
Masikini chadema inaangamia.
MBOWE ndio kiongozi pekee atakaye kivusha chama kinyume na hapo chama kitasambaratika.
 
Mods mnaiua JF, kuna ujinga mwingine msiruhusu uandikwe hapa, mtabaki na wajinga kwenye platform hii! maana mtu mwenye akilii ataona hakuna la maana JF!
Wajinga ndio wataondoka, kama akili ni kumsapoti Mbowe na upumbavu wake wa kuuza chama kwa mama Abdul ondokeni
 
Hawa wote hata wakisimama jukwaani hawana mvuto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…