Tetesi: Duru: Sugu, Wenje, Kigaila na Mwalimu kuhamia CCM

Kwa mujibu wa mnyetishaji aliye karibu na mmoja wa wale Wabunge (Covid 19) amedai Wajumbe hao wa Kamati Kuu ya Chadema wameshakubaliana endapo Lissu ataibuka mshindi wa kiti cha Mwenyekiti wa Chadema Taifa pasi na kusubiri hata siku moja mbele watatangaza kuhamia CCM.

Moja ya mke wake si Mbunge katika wale Covid, ndiyo katujuza hapa, tayari Mr wake na hao wenzake wametengeneza Group na wameshakubaliana endapo Tundu akishinda mara moja wataomba kupokewa huko CCM. Wazi wanatambua Tundu atawala kichwa mapema tu na ndiyo maana hawana amani kabisa."

Wanne hao tayari wana Group la sogozi na tayari mipango ya kukimbilia CCM walishaanza kuifanya kwa kuwasiliana na Makalla na usishangae hata Mkutano Mkuu wa CCM ujao pale Dodoma baadhi yao wanaweza kuibukia huko hiyo siku."

Duru.
Mkuu with due respect. Tupunguze hizi mambo sasa. Turudishe heshima ya JF as a HOME OF GREAT THINKERS!!!

Sorry to say this...
 
Tangu lini wala rushwa ndio wenye akili?

Na moja ya sifa kwa mwanaccm ni lazima awe mla rushwa, mwizi, fisadi na kila aina ya uchafu, hao ndio ccm
Team Lisu hamjielewi, mmejaa mehemko, matusi, dharau, wivu na uchu wa madaraka. Mtu akifanikuwa tayari ni mwizi, akiluzenu mbovu sana, ndio maana nawaambia, Huyo Lisu akishinda, ujue chadema imekufa rasmi.

Hakuna mwenye akili atakaa na wahuni ndani ya chama.
 
Tatizo lenu kujiona mko smart na mna haki ya kumwambia yeyote chochote, umesema wanaomsapoti Lissu wamefanywa mapoyoyo is that right? Kama siyo upumbavu ni nini? Huo ni upumbavu bila kutafuna maneno and that is what you are!

Wenye akili timamu wanataka CHADEMA imara ambayo wako katika kujisafisha, mnamtaka yule ambaye atadance CCM tune mwenye courage ya kukataa na kukemea ni mropokaji na hafai, that is nosense.

Nikwambie kitu wajinga wabaki CCM maana CCM wako wanufaika wa mfumo kandamizi.
Wako chawa wanaotegemea FAVOUR za watawala kama makundi ya wasanii wasiojitambua kama Steven Nyerere na wenzake.
Lastly wajinga wanaopenda CCM kama mimi ninavyoipenda Yanga maana ukiniuliza kwa nini sijui.

Wenye uwezo wa kuhoji mfumo wa kipuuzi uliojengwa na CCM. Wanaochukizwa na mfumo huu wako CHADEMA, ondoka hatuhitaji wajinga.
Watu kama nyie hamuhitajiki chadema, mihemko,matusi, uchu wa madaraka, na wivu ndizo hulka,zenu.
Chadema haiwezi kukaa na watu wanaropoka kila linalowajia midomoni bila ushahidi wowote.

Kila kukicha rushwa, leteni ushahidi hamna, ila kwasababu za wivu, majungu na hasira zisizo na maana hamuoni na hamjui chadema imefikaje ilipo, mnajitia ujuaji kisa mmejiunga juzi tu, mnadhani kelele zinaleta mabadiriko.

Kama mnaakili kaanzisheni chama chenu. Tuwaone na matusi yenu mtafika wapi.
 
Team Lisu hamjielewi, mmejaa mehemko, matusi, dharau, wivu na uchu wa madaraka. Mtu akifanikuwa tayari ni mwizi, akiluzenu mbovu sana, ndio maana nawaambia, Huyo Lisu akishinda, ujue chadema imekufa rasmi.

Hakuna mwenye akili atakaa na wahuni ndani ya chama.
Tangu lini nuru na giza vikae pamoja?

Giza siku zote huwa upande wa ccm qmbako rushwa ni hawala wao
 
Team Lisu hamtumii vichwa vyenu vizuri, mtagawana mbao siku sio nyingi. Mihemko imewajaa, mnabwabwaja tu.
 
Chama hicho kinachochagua wazee wa miaka 80, mpinzani mwenye akili zako unakwenda kule kutafuta nini?

Kwanza tumeshasema wazi kabisa mtu ukipigwa hakuna kuhama.
 
Watu kama nyie hamuhitajiki chadema, mihemko,matusi, uchu wa madaraka, na wivu ndizo hulka,zenu.
Chadema haiwezi kukaa na watu wanaropoka kila linalowajia midomoni bila ushahidi wowote.

Kila kukicha rushwa, leteni ushahidi hamna, ila kwasababu za wivu, majungu na hasira zisizo na maana hamuoni na hamjui chadema imefikaje ilipo, mnajitia ujuaji kisa mmejiunga juzi tu, mnadhani kelele zinaleta mabadiriko.

Kama mnaakili kaanzisheni chama chenu. Tuwaone na matusi yenu mtafika wapi.
kwanza kabisa wewe nani kakupa mandate ya kuwa msemaji wa CHADEMA? Ukiambiwa kweli ni mihemko kitakuwa chama cha demokrasia kama mna akili ya kudumisha fikra za mwenyekiti?.

Aliyekaa madarakani mitaa 21+ na anayetaka kugombea sasa nani mroho wa madaraka?

Ntobi had kavuliwa madaraka kwa kutukana, tunamsikia YerichoNyerere kila uchao akitoa matusi na kejeli na hakuna kati yenu aliyemkemea kwani kwenu ni sawa siyo? Mlianza kumsema Lissu mropokaji na kejeli nyingi sababu ameamua kushindana na Sultani mkijibiwa kwa kadiri ya lugha zenu ni matusi? Mtakuwa na matatizo ya akili.

Hakuna ushahidi wa rushwa, humu jf wameonyeshwa vijana wawili wa kambi ya Mbowe wakitoa rushwa kwenye uchaguzi wa BAVICHA, hukuona? Itakuwa akili haitaki. Pili rushwa ushahidi wake ni wa mazingira hela wanazogawa akina Wenje mmezitoa wapi? Mbona ghafla kambi ya mwenyekiti ina hela nyingi unacceptable for mmezitoa wapi? Na mazingiraya rushwa kwenye chaguzi mfano wa BAVICHA mbona Mbowe na timu yake hamkemei?

Chama ni cha umma wa watanzania wote wapenda mabadiliko, siyo chama cha familia yenu na Mbowe, wanaokisapoti na kukiunga mkono ni watanzania wana haki ya kushiriki kwenye kila hatua ya uwepo wake, kaanzisheni chama cha kifamilia wajinga nyie. Uongozi ukienda nje ya malengo ya walio wengi ndani ya chama wanachama wana haki ya kumchallenge unless hii ni SACCOS yake. Maneno yako yanaonyesha jinsi ulivyo shallow.

Kama hii ni SACCOSya Mbowe mchaga basi wanaompinga wataenda kuanzisha chama kingine, ila wajinga mnaokejeli na kutukana na kushutumu wengine kama wewe uliyediriki kuwaita wafuasi wa Lissu ni mapoyoyo ukijibiwa ni matusi mna matatizo ya afya ya akili. Mjitayarishe kisaikolojia maana regardless ya matokeo yeyote Mbowe hatakuwa na influence aliyokuwa nayo kabla ya uchaguzi huu.

Na sababu ni nyie mnaomwtita kwamba yeye ni Alfa na Omega. Na wasiokubaliana na nyie kumuona hivyo ni watukanaji, mkiulizwa onyesheni hayo matusi hamuonyeshi. PATHETICS
 
Ujinga mtupu, soma ulichoandika unipe muhutasari wa hiyo habari yako ya kutunga.
 
Mjinga wewe pumbavu unayeamini Mbowe ni alfa na omega
Mbowe ndiye mwenyekiti wa chadema, tunaenda kumchagua tena, kwa mihemko na matusi haya nendeni muendako.

Lisu ni mwenyekiti wenu nendeni naye popote muendako.
 
Kwa mujibu wa mnyetishaji aliye karibu na mmoja wa wale Wabunge (Covid 19) amedai Wajumbe hao wa Kamati Kuu ya Chadema wameshakubaliana endapo Lissu ataibuka mshindi wa kiti cha Mwenyekiti wa Chadema Taifa pasi na kusubiri hata siku moja mbele watatangaza kuhamia CCM.

Moja ya mke wake si Mbunge katika wale Covid, ndiyo katujuza hapa, tayari Mr wake na hao wenzake wametengeneza Group na wameshakubaliana endapo Tundu akishinda mara moja wataomba kupokewa huko CCM. Wazi wanatambua Tundu atawala kichwa mapema tu na ndiyo maana hawana amani kabisa."

Wanne hao tayari wana Group la sogozi na tayari mipango ya kukimbilia CCM walishaanza kuifanya kwa kuwasiliana na Makalla na usishangae hata Mkutano Mkuu wa CCM ujao pale Dodoma baadhi yao wanaweza kuibukia huko hiyo siku."

Duru.

Kumbe CDM ni political academy ya CCM.Wanaograduate cdm huwa wanajiunga ccm
 
Back
Top Bottom