Duru za biashara za mtandao: Kuna dalili za watu kulizwa huko kwenye soko la forex, wajuzi wa haya masuala njooni huku

Walimkimbia wale vijana wake akahama broker mwingine walijua mchezo
 
Hii slippage unaigunduaje?
mfano unasell USDTZS let say plus spread ipo 10 sasa huyu mhuni unapoclick trade badala ifungukie kwenye 10 unakuta inafungukia kwenye 9.8 maana yake unaanza na negative kubwa sasa kama unamtaji mdogo pair ikicheza kidogo tuu against you umeunguza account...
 
kwani ONTARIO anasemaje.
 
Mimi namtumia hotforex na XM, huyu wako unaweza deposit &withdraw kwa kutumia skrill?
 
Teh teh teh
 
Teh teh teh
 
hahaaha mkuu planett kwamba unatrade 2021 tena kupitia ontario!? sisi wazee tulishanyooka mwaka 2017 kuna kamanda wangu mmoja humu simtaji tulikuwa kampala kwenye training ya forex tunakunywa maji lita 16 kwa siku huku tukivuja jasho account inateketea...
 

[emoji3][emoji3][emoji3] nadhani wakati unamuonya alikuwa anakuona fala tu.Sasa ndiyo atakuwa ameelewa somo vizuri sana
 

Account deactivated teyr mda tu bro
 
ontaria atawamaliza kikubwa kashalamba na pesa aliyotarget hata TMT aliaandaa uzi kwamba hata yye alipata hasara ila huyu jamaa kwa kushirikiana na mabeberu kupiga wabongo wenzie hajambo

jp market mpaka kesho watu withdrawals zimekwama since 2017
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…