Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)


Unajitahidi kukwepa hoja but it keeps on returning to your face. Kila mtu anajua safari ya ukawa ikulu ilidhamiria nini pamoja na yaliyojiri. Ukawa walienda Ikulu kujadili suala la kitaifa (mchakato wa katba mpya), na viongozi na wabunge wa ukawa walishajadili suala hilo kwa mapana sana mbele ya umma. Kama ulipitwa, pitia uzi wa Nguruvi3, juu ya ukawa na juisi ya maembe ikulu, uzi huu utakupa mwanga juu ya nini kilijiri katika mikutano hiyo uliyotuwekea picha zake.

Nimekuuliza maswali mengi ya msingi huko juu, lakini inaonekana hauna hoja za kujibu.
 
Last edited by a moderator:
Ritz et al. mada ACT na Zitto ni mpini wa CCM kuumaliza upinzani...! Ndiyo maana safari ya Zitto kwenda ikulu kuzungumsa 'masuala ya kitaifa' na M/kiti wa CCM ilikuja kujulikana kwa watanzania baada ya kuanza kufuatiliwa nyendo zake. Na mpaka sasa hakuna taarifa rasmi ya kilichoongolewa juu ya 'masuala ya kitaifa'. Nadhani hata picha zinazoonyesha SL (Zitto) na M/kiti wa CCM unaweza kulazimika kuzitoa sasa, ama hata huna maana 'masuala ya kitaifa' yalizungunzwa kwa siri.

Wakati hawa uliowaounyesha kwenye picha hizo hapo juu wanapanga, wanaenda, wanazungumza, na hata kutoka huko ikulu taarifa zilikuwa zishajulikana almost at real time kwa watanzania wote. Hawakufanya siri katika hili.
 
Mimi bahati mbaya uwa sishikiwi akili na mtu habari ya kina Mbowe kwenda kunywa juisi na kashata Ikulu mpaka nimsome Nguruvi3 Hapana wakati nafuatilia kila kitu kwa fikra zangu.

Maswali gani ya msingi uliouliza mbona nimekujibu na mabandiko au majibu yangu haukuyapenda jifunze kusoma vitu usivyovipenda.
 
Last edited by a moderator:
chamvinga mie nakubaliana na wewe kwa 100% Zitto sio mtu wa kujadiliwa sanaa humu jamvin manake hana kitu kipya kama walivyo wansiasa wetu wote.

swala la msingi hapa tungejitahd kujadili juu ya hali halisi ya ujio wa ACT kama chama kingine cha upinzani na hapo hapo tujiulize ivi vyama vipya kama CCJ na vyenyewe viko wapi na vinafanya nini?

kumuweka Zitto kuwa supreme leader ni sawa kwa mtizamo wa aliyemtathmin na yyte anayejua siasa niwazi anajua kwamba hakuna anayetaka kuporomoka kirahisi kwenye ngazi yake.................

too much speaking age ambayo Zitto ni kumpa covarage haimpasi...............nimejitathmin ivi toka 2010 adi leo yeye huyu Zitto amefabya nini kikubwa saana ukimkompea na walivyofanya akina Warioba sioni sasa why such big coverage??
 
Last edited by a moderator:

Kwa hoja zako, we cant underestimate the power of social media katika kipindi hiki cha kiu ya mageuzi na mabadiliko. Awali ulipinga hilo katika mjadala wako na Nguruvi3, lakini sasa naona tupo upande mmoja wa hoja. Asante.
 
Last edited by a moderator:
asante mkuu...chamviga...hawa wameharibu jukwaa maana hawana mawazo huru
Duh Waberoya...kweli umeyatoa ya moyoni! Hebu ninukuu machache;
Mdogo wangu Waberoya, hivi unakumbuka ni wapi pale mimi na wewe tulianza kuhitilafiana kimawazo na kimsimamo? Nimejiunga JF rasmi tarehe 31 May 2008 na wewe ukajiunga rasmi miezi mitatu baadaye tarehe 3 Agosti 2008. Uzuri wa JF ni kwamba inatunza kumbukumbu na ingawa kuna uwezekano wa mtu kufanyia marekebisho post zake za awali, si rahisi kurekebisha majibu ya walioku"quote".

Kuna watu wamebadilisha ID kwa aibu ya misimamo yao ya awali kuhusishwa na misimamo yao ya leo, kuna watu wameanzisha ID mpya baada ya kupigwa ban na kuna watu wanazo IDs kibao kuficha unafiki wao. Mimi Mag3, nakuhakikishia ni yule yule wa jana, leo na kesho...kupinga, kukemea na kulaani maovu yaliyopandwa, yakalelewa, yakastawi na sasa yamekuwa sugu ndani ya taifa letu hadi kutufikisha hapa tulipo.

Sisiti hata siku moja kuiita CCM adui nambari moja wa taifa hili kwa sababu bila CCM hatungefika hapa tulipo kwa mazuri au mabaya na bahati mbaya mabaya ndio yamekuwa kama dira kwa watawala wetu wa CCM. Mtu yeyote ambaye ananyooshea upinzani kidole kwa hapa tulipo hana tofauti na CCM, mtu yeyote anayeshirikiana na CCM katika kutetea mipango yake miovu, kwangu sina jina lingine kwake baki msaliti wa wananchi na taifa.

Kama wananchi wanakosa huduma za kijamii, kama ajira zinakosekana, kama tiba na dawa zinakosekana, kama elimu na waalimu ni haba, kama barabara hazipitiki, kama matiatizo ya maji na umeme yamekuwa sugu, kama hali ya uchumi inazidi kudidimia, kama vyombo vya dola vinashindwa kutoa uhuru, haki na usawa bila kuangalia itikadi, jinsia, rangi, dini na ukabila, wa kulaumiwa ni serikali inayoongozwa na CCM, period.

Kama atatokea mtu, badala ya kuelekeza malalamiko yake kunakohusika, akaamua kuyaelekeza sehemu ya jamii isiyo na mamlaka wala haijawahi kukamata madaraka ya nchi hii siwezi kumuelewa. Waberoya naomba nikuulize...kwa nini unadhani mimi ni mwana Chadema? Kwa sababu naunga mkono jitihada zao? Kwa sababu nailaumu chama tawala CCM? Au ni kwa sababu sikubaliani na kipenzi chako, Supreme Leader?

Kwa ufahamisho Zitto tulikuwa naye bega kwa bega pale aliposimamia alichokiamini bila kuyumba lakini kama wote tunavyofahamu, katika nchi hii, watu wenye msimamo thabiti dhidi ya CCM usalama wao unakuwa katika hati hati na mifano ipo. Kwanza watajaribu kukushawishi kwa njia ya amani, pili watatumia vitisho mwisho na wakishindwa utawekewa mtego na ukinasa ujue huchomoki, usiponasa ukae tayari kujitoa mhanga.

Wapo watu walioshindwa kuvuka hatua ya mwanzo, wapo waliojitahidi wakafikia hatua ya pili wakasalimu amri na wapo walioweza kufikia hatua ya tatu and they have the scars to show for it. Hata hivyo CCM haijakata tamaa kwa watu hawa...it could be just a matter of time. Karata ya mwisho ni offer, offer one cannot refuse for refusing is tantamount to committing suicide. Sadly the few that did manage, their loved ones have but only bitter memories left!

Do you sincerely believe in your heart of hearts that Chadema can commit acts like you allege and get away with it? Do you really believe that opposition in general can get supoort from diehard CCM supporters without any repercussion? CCM imeapa, si mara moja, mara nyingi tu kwamba itabaki madarakani hata kwa miaka mia come what may. Na kweli mwaka 2010 they proved beyond any doubt that election results mean nothing!

you saw how out of 20,000,000 million registered voters Kikwete was declared President with 5,000,000 votes! You saw how the issue of a new constitution was handled yet when the Opposition formed a united front, UKAWA to challenge the whole process, one member from Opposition, Zitto Kabwe distanced himself calling them wasaka tonge! But when matters got hot the cheek had the nerve to try to retract his steps...with no apology whatsoever!

Ukiunganisha utabiri wa watu kama Wassira na Mwigulu ni kama walikuwa wanasubiri tu kifo cha Chadema, ni silaha gani walipanga kuitumia kuua hilo zimwi lao Chadema? Nakumbuka mwishoni mwa mwaka 2014 yupo moja aliyesema mwezi wa nne 2015 ndio mwisho wa Chedema, je ni kitu gani ama tukio gani lilikuwa linasubiriwa kuisambaratisha Chadema? Hata kipofu ataona ni maamuzi ya kesi ya Zitto ndiyo yalikuwa yanasubiriwa!

Waberoya, admit it, you have never liked Chadema, you have never liked Mbowe, you have never liked Dr. Slaa...in short kama walivyoamini the Wassiras, the Lukuvis, the Napes...kwako Chadema bila Zitto si chochote si lolote and yet you have the nerve kudai wengine ni worshippers wa Mbowe. Well, for your info, Mbowe is the Chairman and Dr. Slaa is the Secretary General and whether you like it or not there is nothing you can do about that!

Waberoya, mimi sitakuita majina, huo ni utoto, ila nitakuambia ukweli...Zitto failed the test and Chadema had every right to show him the door. Afanye anayoyafanya huko ila kwa Chadema he is a reject na kwetu sisi watu tusioyumba katika vita yetu ya ukombozi, that's one more huddle crossed and the most we can wish him ni ushirika mwema na wenziye wa siku zote, chama cha wezi, wanafiki na wauaji wa CCM. Tahadhari moja tu kijana, CCM days are coming to an end for the birds are coming home to roost!
 

Too much mkuu, sijasoma yote

Yes uko right, I hated chadema since 2009 pale mlipoamua kubaka demokrasia waziwazi!! pale mliposema zitto asigombee uenyekiti na kutoa sababu ambazo zilikuwa za kitoto na haziendani na maana ya demokrasia ( hapa utabwabwaja sana) ndio ukweli na nilitegemea kwa akili zako kuanzia muda huo neno 'DEMOKRASIA' ndani ya chadema is just either a new vocabulary au cosmetic!! sikuona sababu ya kuitisha uchaguzi wakati hamkuwa tayari kufanya uchaguzi wa mwenyekiti, kwa nn msingesema tu uchaguzi ngazi zote ila kwa hatua hizi za sasa hatutafanya uchaguzi wa mwenyekiti? kulikuwa na ugumu gani?? maana kuanzia muda huo Zitto akaanza kuchukiwa.....recall it

Kuwa zitto kaonyeshwa njia, na mmemfukuza ndio akili zenu zilipofikia??

ila pamoja na kumuita 'reject' kila siku lazima mumseme na kumjadili?? can something reject worth to be discussed all this while?? be honesty you messed up, hata kama huwezi ku admit

I have every right kukuita majina yote nina yoona sahihi, huna na hutaweza kuniita jina lolote kwa sababu mimi nabaki waberoya, sishikiwi akili kuwaza, kufikiri na kusema lolote lile ili mradi naona sahihi na sahihi tu

kwa swala la zitto, mlichemka na huwezi ku admit hilo..nimekupa mifano ya CCJ na jinsi ya ku handle internal conflicts kwa sababu you never thought like that before lazima mtazamo wangu UWE SHOCK kwako, yes kwa sababu nawaza in 4D ambayo wewe umeamua kujizika na kutofika level ya kuwaza hivyo

nakupa pole tena mkuu Mag3
 
Mag3

issue ya UKAWA zote hizo ni zittophobia, level ya chadema at that time haikuwa ya kushirikiana na CUF au NCCR!!! BRAND POWER ya chadema ilikuwa juu mno.....ilijiuza kabisa, leo haiwezekani cocacola ikajiunga na azam cola ili iuze...stupid!

mbaya zadi katika UKAWA kuna mbunge wa kuteuliwa na CCM...tena rais kikwete mbaye wewe na wenzako mnaona dhambi kwa mtu kukaribiana naye!!? CUF na CCM zanzibar inaunda serikali moja in anycase lazima wabunge a CUF na CCM zanzibar wana ushirikiano wa kikazi ambao nyie ni sumu.....

UKAWA was purely an art of Mbowe kumzika zitto asiende popote pale.....kweli alifanikiwa zitto hakwenda huko..leo yuko ACT mna kiaffiliate na CCM, wakati UKAWA kuna mbunge wa kuteuliwa na mwenyekiti wa CCM.....!!!

Zitto kuteuliwa kamati ya madini ilisumbua mno.....ila mbatia haina tatizo............................Mag3 unapojadili issues na watu kama akina waberoya, yaani mimi hapa lazima uwe smart kwa vitu vidogo kama hivi ambavyo huwezi ukawa na majibu navyo ila utazunguuuuuuka weeee; utarudi pale pale na utajiona mjinga kucheza michezo ya wanasiasa hawa na wamekamata akili zako ukashindwa kuwaza; that is cult, it is political seduction kuwa na mahaba ya kushindwa kuuliza, kujiuliza na kutoona dhaihiri..nilikataa

hivi kwa akili hizi na unafiki huu na inconsistencies hizi unaona sio halali kuitwa majina yote mabaya dunia hii??

kataa kwa nn nisikuite majina yote mabaya??

ndio maana nasema mnafukuza watu JF maana tongotongo kama hizi bado mnazo hamzioni hata ukipewa kioo unaangalia pembeni unakalia kusema wa 2008 so what??
 

Unakumbuka mkutano mkuu wa CCM uliofanyika DODOMA mwaka juz walialika viongozi wa siasa wote Prof BAREGU aliuzulia kwa niaba ya CHADEMA,Mrema,LIPUMBA,nk na wakatoa neno,kwangu ni kitu cha kawaida,umesahu Mbowe aliuzulia mkutano wa JK pale HAI,na hakasema mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,hhakuna kama Kikwete by MBOWE,umemuona MBOWE anarandaranda katika mikutano ya kisiasa akiwa na gari la serikali,unakumbuka amewai uliza swali kwa waziri mkuu,papo kwa papo,kwanini viongozi wa serikali wakiwa katika ziara wanafanya na kazi za chama,Pinda akamjibu ata wewe ukiwa katika serikali utafanya hivi hivi...Uzalendo ni kusema ukweli kwa vyama vyote,Huyo waziri unaemsema kanda ya ziwa ni kwao,mbona wewe CCM na hunashiriki kuibomoa sana hutaki kuzingatia katiba ya CCM
Mzee Moyo HALIKUA KATIKA ccm lakini haiamini kama itampa anachokitaka
 

Tatizo mbadala wa ZITTO hajapatikana ,ndio kinachowauma,ingekua kina Mchambuz,nguruvi3 wanauwezo wa kuumba wangeshaumba mbadala wa ZITTO,zitto level za juu,au kama kina nguruvi3,wana uwezo wapande wao katika majukwaa waone wataweza kupambana laivu,maana wameishia kuleta sinema za alkadabla
 
Ritz, nisaidie Majibu hapa:

*Kwanini Zitto haoni kwamba common denominator katika hoja yake Ya uneven development nchini ni sera Mbovu za CCM?

Zitto kasema siasa za kwa kutaja vyama kwao ACT zimeshapitwa na wakati,anawaambia watanzania Ttatizo ni mfumo,hivo waipigie kura ACT ili ibadilishe na iuvunje mfumo wa kinyonyaji,mambo ya kutaja taja taja vyama amewaachia UKAWA
 

1. Kama ni JF, umenikuta humu, sijakujuta. Kwangu wewe ni mgeni, nilikutangulia. Check the records.

2. Nipo kwenye rekodi Ya kumuunga Zitto kwa kila namna kabla hajatusaliti watafuta mabadiliko. Rejea nyuzi zangu za miaka Ya nyuma. He even inspired me kugombea ubunge 2010 pamoja na kwamba sikufanikiwa.

3. Kama zipo hoja za kitoto, jadili kwa hoja na ustaarabu, Sio jazba. Sijaona mjadala wa aina hiyo kutoka kwako. Unatumia muda mwingi sana kueleza maumivu yako juu Ya zitto. Kiongozi Huyu kapotea njia, na Mbaya zaidi nyinyi badala Ya kumrudisha kwenye njia sahihi mnazidi kumpoteza. Lazima mna agenda fulani ndio inawasukuma, hakuna maslahi Ya taifa, hakuna. Kama yapo, nitajie matatu tu.
4. Unapotosha ukweli juu Ya nini kimemsukuma Zitto kufika hatua Ya kuwa ACT leo. Nguruvi3 kajadili sana, kwahiyo sina haja Ya kuyarudia. Kichwa cha Uzi huu kinajieleza, na kama tunayosema Yangekuwa hayana uzito, msingekuwepo humu kupambana na jina dhaifu.

5. Kuhusu mbatia kuwa mteule wa Rais na baadae kujiunga ukawa, ni. Vyema ukaelewa kwamba Ukawa haina ugomvi na Wana CCM au wateule wa rais Ambao akili zao Sasa zimefunguka kwamba hatima Ya Taifa ipo mashakani. Suala la Katiba Mpya ni la msingi sana lakini cha ajabu ni kwamba watu wanapoamua kulipigania, kiongozi wenu mnayemwita Mzalendo, bwana Zitto, anawaita wasaka tonge. Ajabu sana. Baadae Baada Ya Zitto kupata tonge lake kwa kuipindua ACT Tanzania, anazungumza kwamba Yupo tayari kujiunga na ukawa. Huu ni wendawazimu wa mchana.

5. Kitila mkumbo na mwigamba walisema wazi siku nyingi sana kwamba kinahitajika Chama kipya kupambana na Chadema. How pathetic. Chama cha upinzani kupambana na Chama cha upinzani? Ni matusi makubwa sana kwa wananchi waliopoteza maisha, viungo, mali na muda wao kwa miaka zaidi Ya 30 kutafuta njia mbadala kwa taifa letu. Tukafikia hatua kwamba Katika uchaguzi mdogo wa majimbo, it's almost 50/50 odds kwa CCM na Chadema. Wakati Chadema inazidi to consolidate, Anakuja Zitto as a distraction. Waberoya, unaona hoja zetu dhidi Ya Zitto ni za ovyo kwa sababu ambazo nguruvi3 alishatueleza - makundi makuu matatu Ya Zitto.

Mark my words, Zitto hata Ubunge hapati labda kama wafadhili wake (majina tunayo) wata haribu Kura kwa pesa zao. Msidangwanywe na umati wa watu. Akija maeneo yangu hata mimi nitaenda kumsikiliza, why not?

Zitto ana maswali Ya kujibu kuhusu chanzo cha fedha za ACT, unaweza kutueleza? Ni ruzuku? Kwa formula ipi? Ni Ada za wanachama wa ACT? Wangapi? Ni akiba yake? Je is it Based on mali alizotangaza pale diamond Wakati wa Uzinduzi wa Chama cha kilaghai- ACT - alliance of cheaters and Tyrants?

Hivi kwa msajili wa vyama, ni kipi kimesajiliwa, ACT Tanzania au ACT Wazalendo?

The rest of your arguments, I consider them as commentary.
 
Last edited by a moderator:

Uzuri wa ZITTO kazungumza kwa data,ajabuni tu,wengine wana ZOZA TU
 
Ritz,
Utahaha sana mwaka huu wa uchaguzi. Kuwalaumu viongozi wa CCM wanaotumia madaraka yao kuwanyanyasa wananchi ni kuwagawa Watanzania? Utahaha sana ndugu yangu.
Vp yule bwana alie kawa mlinzi wa SLAA hajanyanyaswa,Mwigamba kupigwa tofari
 
Zitto kasema siasa za kwa kutaja vyama kwao ACT zimeshapitwa na wakati,anawaambia watanzania Ttatizo ni mfumo,hivo waipigie kura ACT ili ibadilishe na iuvunje mfumo wa kinyonyaji,mambo ya kutaja taja taja vyama amewaachia UKAWA

Umesahau kitu kimoja - anafanya hivyo kwa kuwagawa watanzania, why? Ili ACT na ukawa vigawane Kura, na CCM Ya Mgombea wake ipenye katikati.
 

Hatujakataa uwezo wa Zitto, hasa huko nyuma, he inspired a lot of us and I am on records humu juu ya my full support of him. Chambua nyuzi zangu za miaka Ya nyuma. He took our support for granted na kutusaliti. Hilo ndio tatizo letu. Anatusaliti lakini cha hatari zaidi, Anakuja na nguvu Ya fedha za mashaka na kuadaa umma wa watu wasio waelewa.

We stand in defense of them and this nation. We say no to Zitto and that's the anthem in 2015 and beyond.
 

Unashindwa kuelewa hoja Ya msingi hapa juu ya ACT kuwa Mpini wa CCM kumaliza upinzani. Hiyo mifano Ya Akina Mbowe et al haina mashiko. Rejea hoja yangu huko juu.

Kuhusu hoja yako kwamba uzalendo ni kusema ukweli, je Superior leader wa ACT "Wazalendo" anasema ukweli jukwaani? Nitajie mambo matatu ambayo kayasema Songea, mwanza etc kwamba kwa mtazamo wako ni Ya kweli.

Kuhusu mimi na CCM, sikuzaliwa CCM, nilizaliwa mwanadamu na baadae kupewa uraia wa Tanzania kutokana na kuzaliwa katika ardhi Ya Tanzania. Kwahiyo kwangu, Nchi kwanza, vyama Vya Siasa baadae. Can't trade Nchi yangu na Chama cha Siasa, never.
 

inawezekana ni ID moja hiyo,inajifanya watu tofauti,haiwezekani mawazo ya kuchoka nayaona kwa wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…