Kwa hoja zako, we cant underestimate the power of social media katika kipindi hiki cha kiu ya mageuzi na mabadiliko. Awali ulipinga hilo katika mjadala wako na Nguruvi3, lakini sasa naona tupo upande mmoja wa hoja. Asante.
Hoja ni ACT kuwa mpini,kwanini mnamjadili ZITTO,wakati ninyi mmekua mkisema amemfukuza LIMBU,Mara Kitila kachelewesha uchaguzi ili zitto agombee,oooh ACT kimeanzishwa na ZITTO,kama chama ni cha ZITTO,limbu hasingeng'ang'ania,kwanini awe mbishi wakati aliwekwa tu,mnatuchanganya sasa naomba unijibu ACT ni ya ZITTO au LIMBU,kama ni ya LIMBU naomba mtutake radhi kwa kutudanganya,kuwa imeanzishwa na Zitto,kama ni ACT ni ya ZITTO basi LIMBU hakutakiwa kujihusishaUnashindwa kuelewa hoja Ya msingi hapa juu ya ACT kuwa Mpini wa CCM kumaliza upinzani. Hiyo mifano Ya Akina Mbowe et al haina mashiko. Rejea hoja yangu huko juu.
Kuhusu hoja yako kwamba uzalendo ni kusema ukweli, je Superior leader wa ACT "Wazalendo" anasema ukweli jukwaani? Nitajie mambo matatu ambayo kayasema Songea, mwanza etc kwamba kwa mtazamo wako ni Ya kweli.
Kuhusu mimi na CCM, sikuzaliwa CCM, nilizaliwa mwanadamu na baadae kupewa uraia wa Tanzania kutokana na kuzaliwa katika ardhi Ya Tanzania. Kwahiyo kwangu, Nchi kwanza, vyama Vya Siasa baadae. Can't trade Nchi yangu na Chama cha Siasa, never.
\Too much mkuu, sijasoma yote
Yes uko right, I hated chadema since 2009 pale mlipoamua kubaka demokrasia waziwazi!! pale mliposema zitto asigombee uenyekiti na kutoa sababu ambazo zilikuwa za kitoto na haziendani na maana ya demokrasia ( hapa utabwabwaja sana) ndio ukweli na nilitegemea kwa akili zako kuanzia muda huo neno 'DEMOKRASIA' ndani ya chadema is just either a new vocabulary au cosmetic!! sikuona sababu ya kuitisha uchaguzi wakati hamkuwa tayari kufanya uchaguzi wa mwenyekiti, kwa nn msingesema tu uchaguzi ngazi zote ila kwa hatua hizi za sasa hatutafanya uchaguzi wa mwenyekiti? kulikuwa na ugumu gani?? maana kuanzia muda huo Zitto akaanza kuchukiwa.....recall it...
nakupa pole tena mkuu Mag3
Mag3
issue ya UKAWA zote hizo ni zittophobia, level ya chadema at that time haikuwa ya kushirikiana na CUF au NCCR!!! BRAND POWER ya chadema ilikuwa juu mno.....ilijiuza kabisa, leo haiwezekani cocacola ikajiunga na azam cola ili iuze...stupid!
mbaya zadi katika UKAWA kuna mbunge wa kuteuliwa na CCM...tena rais kikwete mbaye wewe na wenzako mnaona dhambi kwa mtu kukaribiana naye!!? CUF na CCM zanzibar inaunda serikali moja in anycase lazima wabunge a CUF na CCM zanzibar wana ushirikiano wa kikazi ambao nyie ni sumu.....
UKAWA was purely an art of Mbowe kumzika zitto asiende popote pale.....kweli alifanikiwa zitto hakwenda huko..leo yuko ACT mna kiaffiliate na CCM, wakati UKAWA kuna mbunge wa kuteuliwa na mwenyekiti wa CCM.....!!!
Waberoya, kama mada hii ni for mediocre, unatafuta nini humu? I will tel you once - wewe ni Zitto, na unashindwa kuvumilia facts presented humu.Mag3 unapojadili issues na watu kama akina waberoya, yaani mimi hapa lazima uwe smart kwa vitu vidogo kama hivi ambavyo huwezi ukawa na majibu navyo ila utazunguuuuuuka weeee; utarudi pale pale na utajiona mjinga kucheza michezo ya wanasiasa hawa na wamekamata akili zako ukashindwa kuwaza; that is cult, it is political seduction kuwa na mahaba ya kushindwa kuuliza, kujiuliza na kutoona dhaihiri..nilikataa
ndio maana nasema mnafukuza watu JF maana tongotongo kama hizi bado mnazo hamzioni hata ukipewa kioo unaangalia pembeni unakalia kusema wa 2008 so what??
Hoja ni ACT kuwa mpini,kwanini mnamjadili ZITTO,wakati ninyi mmekua mkisema amemfukuza LIMBU,Mara Kitila kachelewesha uchaguzi ili zitto agombee,oooh ACT kimeanzishwa na ZITTO,kama chama ni cha ZITTO,limbu hasingeng'ang'ania,kwanini awe mbishi wakati aliwekwa tu,mnatuchanganya sasa naomba unijibu ACT ni ya ZITTO au LIMBU,kama ni ya LIMBU naomba mtutake radhi kwa kutudanganya,kuwa imeanzishwa na Zitto,kama ni ACT ni ya ZITTO basi LIMBU hakutakiwa kujihusisha
Mchambuzi:
Nope we aren't. You guys, the gate keepers of intellectual discourses, use JF as the only channel of communication. What's worse, you don't use your real identification. So why do you expect people to take your message very seriously? How do I know that Shayu, Mchambuzi, Nguruvi3 aren't the same person?
Unashindwa kuelewa hoja Ya msingi hapa juu ya ACT kuwa Mpini wa CCM kumaliza upinzani. Hiyo mifano Ya Akina Mbowe et al haina mashiko. Rejea hoja yangu huko juu.
Kuhusu hoja yako kwamba uzalendo ni kusema ukweli, je Superior leader wa ACT "Wazalendo" anasema ukweli jukwaani? Nitajie mambo matatu ambayo kayasema Songea, mwanza etc kwamba kwa mtazamo wako ni Ya kweli.
Kuhusu mimi na CCM, sikuzaliwa CCM, nilizaliwa mwanadamu na baadae kupewa uraia wa Tanzania kutokana na kuzaliwa katika ardhi Ya Tanzania. Kwahiyo kwangu, Nchi kwanza, vyama Vya Siasa baadae. Can't trade Nchi yangu na Chama cha Siasa, never.
It's a matter of time before you learn kwamba CCM now ni Chama cha tycoons, sio cha wanachama. And it's the very same tycoons who are sponsoring ACT.Mchambuzi:
Please call a spade spade. Nguruvi3 is deflecting the issue "Chama cha ACT - Mpini wa CCM kumaliza upinzani". CCM is very divided in many fronts. The question is how a divided political machine like CCM could have the nerves to go out out there and destroy the opposition? I don't get that.
Zitto was recruited na Chama Akiwa chuo Kikuu. Waliona uzalendo, upeo na ujenzi mzuri wa hoja. Kwa sasa umemomonyoka kwani Baada Ya kujengwa na kufundwa, kageuka kutaka kuwa zitto almighty, na Msaliti. Swali Dogo tu kwako: Alikuwa na haja gani kutangaza kugombea urais Akiwa Chadema Wakati Chama kilikuwa kinachanja mbuga na operation M4C? Kama sio kutumika kama Mpini ni nini? Alijua kwamba hawezi kuteuliwa kwani katiba Ya Nchi hairuhusu mgombea chini Ya miaka 40. Lengo lake lilikuwa ni kutibua progress Ya Chadema kuelekea 2015, basi. Pamoja na hayo, alivumiliwa sana na pia juhudi nyingi zilifanywa kujaribu kusuluhisha matatizo, lakini wapi. Msome baregu juu ya hilo.CDM owns the entire Zitto saga and the party and its members shouldn't blame anybody else. If they didn't like him, they should have kicked him long time ago.
My point is if you have any issue, please own it. Blaming others is just a deflection. Followers of CDM can't bring a list of what Zitto has done wrong within the party since 2007 and then blame CCM for their unactions.
Zitto kasema siasa za kwa kutaja vyama kwao ACT zimeshapitwa na wakati,anawaambia watanzania Ttatizo ni mfumo,hivo waipigie kura ACT ili ibadilishe na iuvunje mfumo wa kinyonyaji,mambo ya kutaja taja taja vyama amewaachia UKAWA
Nimewasoma nyote na kuja gundua kumbe watu hamuelewi kabisa Zitto alikuwa akizungumzia nini kiasi kwamba ndio maana mkachukua kuwa Shinyanga vs Kilimanjaro. Dadangu tunapozungumzia Umaskini wa Shinyanga haitokani na watu wake yaani WASUKUMA isipokuwa wao kama mkoa wanachangia kiasi gani na wanapewa kiasi gani kwa ajili ya mendeleo yake.Nguruvi3 Zitto hafai hata kujadiliwa hapa manake kwanza kauli zake ni za kichonganish sana.
Nilijiuliza ivi amesahau kwamba KLM ndio mkoa ambao una ardhi ndogo sana na hivyo wengi wa wakazi wake wako mikoan hususan kigoma kutafuta maisha? Hivi amesahau kwamba kuhusu kilimo KLM haiwez hata kuskika manaked hakuna ardhi hivyo wakulima wengi huenda kulima nje ya mkoa na hurudi kwao kuwekeza tu?
KLM iko mbele kimaendeleo ni kwasabb ya vipaumbele vy wenyeji wake kwamba wanapenda nyumba nzuri, miundo mbinu bora ya bara bara na maji, hosp nk ndio mana wao kujichangia kuweza kutekeleza hayo sio shida.
sijui kwann aone eti KLM ni threat kwa maendeleo ya kigoma wakati amesahau wakazi wake utamaduni tu wa kupenda maendeleo hawakuwa nao. Ebu akawafundishe wenzie kupenda kwanza kwao kupenda maendeleo ya dhati mbona huku mijin wanajenga majumba makubwa lkn vijijin kwao hawajengi?
yaani hoja yake ni dhaifu sana mie akiniuliza nitamwambia nenda kwafundishe wenzio badala ya kukaa kulogana basi wakubali wawekeze kwao uone kama hawata piga hatua.
tusibaguliwe kwani sote tu wamoja, wawaige wachagga kwa kupenda kujenga kwao na waache sifa za kijinga
It's a matter of time before you learn kwamba CCM now ni Chama cha tycoons, sio cha wanachama. And it's the very same tycoons who are sponsoring ACT.
Zitto was recruited na Chama Akiwa chuo Kikuu. Waliona uzalendo, upeo na ujenzi mzuri wa hoja. Kwa sasa umemomonyoka kwani Baada Ya kujengwa na kufundwa, kageuka kutaka kuwa zitto almighty, na Msaliti. Swali Dogo tu kwako: Alikuwa na haja gani kutangaza kugombea urais Akiwa Chadema Wakati Chama kilikuwa kinachanja mbuga na operation M4C? Kama sio kutumika kama Mpini ni nini? Alijua kwamba hawezi kuteuliwa kwani katiba Ya Nchi hairuhusu mgombea chini Ya miaka 40. Lengo lake lilikuwa ni kutibua progress Ya Chadema kuelekea 2015, basi. Pamoja na hayo, alivumiliwa sana na pia juhudi nyingi zilifanywa kujaribu kusuluhisha matatizo, lakini wapi. Msome baregu juu ya hilo.
Nadhani umesahau kwamba anayecheza na dangerous blaming game on uneven development in Tanzania ni Huyo huyo mtu wenu Zitto.
Tangia 2007 nimekuwa naweka picha zangu halisi kwenye avatar Humu. Na kama unataka kujua jina langu, naitwa Mpoki Emmanuel Asajile Mwambulukutu. Na hii sio mara Ya kwanza kujitambulisha humu. Hilo ni jina la ubatizo na nililoandikishwa shule Ya chekechea Hadi chuo Kikuu. Sina haja Ya kuwa na majina mawili JF. Harakati za kutafuta mabadiliko hazihitaji multiple personalities, wala unafiki.
Indeed a blown fuse\
Waberoya, tafadhali uwe mkweli, kumbuka JF inatunza kumbukumbu!...dont be disingenuous, tofauti zetu wengine na Zitto hazikuanzia wala hazihusiki na kutaka kwake kugombea uenyekiti w Chadema. Je unakumbuka wakati Zitto alipotaka kususia JF baada ya kubanwa kutokana na mitambo ya Dowans/Richmond? Pamoja na mods kufuta matusi aliyoyamwaga kwa wana JF waliompa ukweli, baadaye ilibidi aombe msamaha na kweli wengi tulikuwa tuko tayari kumsamehe!
Unakumbuka wakati anajitapa anavyojiweza na kwamba kwa muda wa miaka miwili mitatu tu kwenye Ubunge ameweza kumiliki magari ya kifahari? Ni hapo wengine alianza kutupa wasiwasi. Unakumbuka alivyotamba kwamba yako majimbo yalikuwa yanamsihi akagombee Ubunge kwani wako tayari kumpa? Kigoma, Geita hadi Dar es Salaam? Juzi juzi hapa kaanza tena vitimbwi vyake. To you he might be a powerhouse, to us he is a blown fuse!
Mkuu unaweza kujenga hoja bila matusi.Nimekuja kujadili hii maada kwa sababu umeniita, ila bahati mbaya, akina Mchambuzi mmeshusha kabisa hadhi ya kufikiri hapa JF na mmekuwa kama watoto, hayawani, wapuuzi, wapumbavu, sijui mmekula maharage ya wapi? sijui nani kawaroga?? maana sio kawaida kabisa
Man I respect your contribution here, but I think now you have started to dwell into conspiracy theories. I think you try to connect dots so you could blame CCM and free CDM from its incompetency. CDM has blown away its chances (period) and that's what you should deal with.
With regard to Zitto's announcement, I don't know why the issue caused a major uproar within the party. It seems to me the leaders of CDM are mentally insecure. For God sake, the guy didn't even meet the age requirements. So there was nothing to afraid and discuss there. Furthermore, CDM is a democratic party and they shouldn't have anointed the candidacy for president position 5 years early. CCM don't do that. GOP don't that. Members of CDM let their emotions to take the best of them. Strategically they were just poor.
Hilo ndio tatizo lenu. Mnaweka personalities mbele, issues nyuma. Mnadhania Chama ni Viongozi, Ma degree yao, uwezo wao wa kujieleza, uwezo wa fedha na mengine yasiyokuwa na tija. Chama ni watu, kwahiyo ukipata kitu cha kuunganisha watu bila Ya kujalisha ukubwa au udogo wao, huo ni ushindi. Hakuna cha kuwaunganisha wananchi hivi sasa zaidi Ya constitutional reforms. Hata huko Chama cha kilaghai ACT Wazalendo, it's a matter of time, mtarudi kupigia magoti ukawa.
Shallow argument. Nilishajibu hilo.
Very shallow analysis. Chimbuko la ukawa ni alliance against Zitto? Jamani! Sasa kwanini sasa anataka kujiunga na hii alliance?
Waberoya, kama mada hii ni for mediocre, unatafuta nini humu? I will tel you once - wewe ni Zitto, na unashindwa kuvumilia facts presented humu.
Nenda Basi kama hoja zetu zinakufukuza. And I promise I won't cc you again.
Kuna tatizo gani dunia nzima ikukubaliana kuwa jualinazunguka jua na si vinginveyo?Kinachonishangaza mimi mfuatiliaji wa minakasha ya hapa jukwaani kuna majina kadhaa wao huwa wanakubaliana kila jambo litakaloletwa na mmojawao.
Wakati huohuo watu hao ni mashabiki/wanachama wa CHADEMA. Hivi kipi kinawafanya muwe na mawazo yanayofanana wote linapokuja suala la kupambana na mh Zitto lakini pia mnanyamazia maovu ya kina Mbowe,Slaa, Ndesamburo wanaofanya yaleyale aliotuhumiwa kuyafanya zitto? Nguruvi3, Mag3, Mchambuzi n.k Mnamchukia ZZK Kwasababu gani hasa? Ukanda atokao,dini yake,kabila lake au mafanikio yake kisiasa Tanzania na duniani kwa ujumla? Msiniambie ni usaliti kama walivyolishwa uongo huo na wanavyouimba wimbo huo kwa ustadi BAVICHA.
Mkandara kuna jambo ambalo labda sikuliweka sawa kwenye hoja yangu ya mwanzoni.Nimewasoma nyote na kuja gundua kumbe watu hamuelewi kabisa Zitto alikuwa akizungumzia nini kiasi kwamba ndio maana mkachukua kuwa Shinyanga vs Kilimanjaro. Dadangu tunapozungumzia Umaskini wa Shinyanga haitokani na watu wake yaani WASUKUMA isipokuwa wao kama mkoa wanachangia kiasi gani na wanapewa kiasi gani kwa ajili ya mendeleo yake.
Kwa hiyo hapa kuna tofauti kubwa ya kimaelezo, labda nichukulie mfano mzuri baina yetu, tuseme mathlan wewe unachangia Tsh 20,000, Nguruvi3, Tsh 30,000, Mimi hapa Tsh 10,000, Mchambuzi Tsh 40,000 jumla katika mfuko wetu tunazo 100,000 lakini ili kila mmoja wetu ahudumie shughuli za uzalishaji wewe unapewa zaidi ya nguruvi3 ambaye tunakuja gundua kwamba hali ya maisha yake sio nzuri pamoja na kwamba anazalisha zaid yetu.
Kuna ubaya gani mimi nikimwambia Nguruvi3 kuwa unastahili zaidi ya gfsonwin na kuelezea sababu iwe uhasama baina yako na mimi wakait unajua kwamba kweli Nguruvi alistahili zaidi. hapa sii kwamba wewe ndiye mwenye matatizo yaani hukutaka ama hupendi Nguruvi3 apewe zaidi yako japo unajua kwamba huzalisha zaidi yako - yale yale ya UMIMI nayakuta hapa. Na rahisi sana kwako kutafuta sababu inayokupendeza wewe kuyaweka maneno yangu vibaya ukajiuliza kichwani mwako mwenyewe consciously - "Okay kwa sababu Nguruvi3 mwanamme mwenzake ana maana napendelewa kwa sababu? Mwanamke na kama mimi mwanamke huyu Mkandara anadhani mimi napataje upendeleo huu" Hivyo yote haya unayatunga wewe mwenyewe akilini mwako ukauacha ukweli pembeni.
Basically, umeyasema mwenyewe, kumbe hata Kilimo wana KLM hawafanyi kilimo mkoani kwao, wana ardhi ndogo na mengineyo sasa ni sababu zipi ambazo serikali yetu imetumia kama kigezo kuwapa KLM zaidi ya Shinyanga? Na unapotumia neno wanaKLM unanitia shaka vile vile kwa sababu ya kuhofia kilekile ulochomshutumu Zitto - UKABILA..Kwani ewanaShinyanga hawatoki mkoani mwao, hawatafuti riziki zao nje ya Shinyanga? laa kwa nni uweke tofauti hizi.. Kwa hiyo hatuwezi jenga ila kukisiana tuu na hatutapata jibu wala nani mkweli zaidi.
Mimi sioni tatizo kabisa kwa mwanasiasa ku raise swali hilo haswa anapokuwa anatangaza siasa za sera za chama chake kwa maana ya kwamba kama yeye akiingia madarakani atahakikishia kila anayechangia zaidi atanifaika zaidi. na huwezi kutolea mfano mzuri wa jambo hili pasipo kuwa na mifano halisi ambayo kaionesha japo hamkupenda. Je, angeweza vipi ulielezea jambo hili watu wakalielewa pasipo kutumia mikoa ambayo ni sehemu ya nchi ambayo ACT, given the change inataka kuiongoza.
Ndio maana nikawapa mfano ule mdogo wa kwamba wenzetu nchi zilizoendelea, swala kama hili wala sii la kujadiliwa na zaidi ya hapo wala hili sio swala la itikadi wa sera ni Mfumo wa Kitaifa katika uchangiaji na ugawanaji wa mapato hata ikiwa chama gani kimeingia madarakani mfumo huu haubadiliki. Yaani mfano mdogo hapa Canada kila states huchangia asilimia 5 ya kodi zake mfuko wa Taifa. na Alberta ambao wao ni matajiri wa mafuta hawana hata kodi za ndani yaani Provincial tax wakati Ontario mbali na kuchangia asilimia 5 ya mfuko wa Taifa wana kodi yao ya ndani ya asilimia 8 kwa sababu hawana maliasili za kutosheleza mahitaji yao.
Hivyo unapokuja mgawanyo na kwa sababu Alberta huchangia zaidi wao hupata zaidi vile vile maana kama zilivyoingia hutoka pia kwa Asilimia ni sawa kote zinagawanywa na kwa vigezo tofauti. Na Alberta tokana na mchango wao mgao huu huwatosha kuendesha shughuli za serikali yao hawana haja ya kuwatoza tena wananchi wake kodi nyingine za ndani kama Ontario ambako kutokana na mahitaji yake na pengine hawana vyanzo kama Alberta wameweka kodi zaidi za ndani. Kwa mwananchi anayeishi Alberta atalipa kodi ya mapato Asilimia 5 tu, wakati ukiishi Ontario utalipa kodi ya Asilimia 13 (5+8).
Kwa hiyo sii swala la kujadili hapa Zitto kasema nini na Mbowe kasema nini isipokuwa kinanichoshangaza miye ni kwa nini watu mnashindwa kuelewa kwamba tunayo mikoa, wilaya, majimbo na hatuwezi kuendelea pasipo kufanya kuhakikisha kuwa hizi ndizo huleta tofauti baina ya Mtu na mtu, jimbo kwa jimbo na mkoa kwa mkoa. na ndivyo tutakavyoweza kuzijua tofauti baina ya kiongozi mmoja kwenda mwingine lakini kama leo mimi nifanye kazi kwa bidii na kuzaliisha zaidi lakini kesho nanyimwa uwezo wa kuzalisha zaidi tumefanya nini. Ebu fikiria hivi unafanya vizuri darasani lakini marks zako huchukuliwa na kupewa mtu mwingine, Nguruvi akigundua haya atatumia lugha gani kuyasema wazi.
Kwa nini imefikia watu kumponda Zitto kwa kauli ambayo haina tofauti kabisa na ile ya Mbowe kwa kufikiria vile vile ikiwa sio fikra za uadui baina ya Chadema na ACT maanake mkumbuke tuna vyama 23 na hakunamalalamiko haya zaidi ya yale yalotoka Chadema tu. Binafsi kisiasa sioni tatizo kwa mwanasiasa yeyote kumponda/kumsifia JK sii kwa sababu ni Mkwere bali kwa sababu ya uongozi wake na wala hainamaana ukizungumzia Bagamoyo vs Kigoma basi ina maana ni juu ya Wakwere vs Wabembe au Wamanyema.
I think sisi wenyewe ndio tuko screwed up na hizi idea za Ukabila na Udini kiasi kwamba tunaufanya pasipo kujijua wenyewe. Unaposhinikiza maneno ya Zitto kuwa ya Kikabiila na ukaacha ya Mbowe alosema Wasukuma wako nyuma pasipo kufikiria yeye anayesema haya ni Kabila kgani basi hutakuwa umemtendea haki Zitto. kama Mbowe angekuwa msukuma asingesema aloyasema bali angesema sisi Wasukuma blaablaa blaaa.. NENO NYINYI tayari linamuondoa yeye katika kundi hilo. Ni Ukabila pia kama tutatazama kwa jicho lile lile mlomtazama Zitto.