Thanks mkuu...stay blessed
Naona wananiongezea hamasa ya kupata ukombozi sahihi na genuine; sio ukombozi wa ukipofu kwa ubovu wa CCM
I will support zitto, akikosea nitakuwa wa kwanza kumwambia hapa umekosea!!
kwa hili la cdm na zito, Zito yuko sahihi kwa mizani zote
sipati picha kama cdm ingekuwa ccm na ingewezaje ku handle makundi yaliyomo ccm
sipati picha cdm ikishika dola itawezaje ku resolve conflicts zinazotokea za wafanyakazi, jeshi, wanafunzi n.k
Zitto ni kinyago cha chadema kimetengenezwa na kulelewa na chadema! ni mtoto wao wa kumzaa sio wa kutoka vyama vingine-CCM kazaa vyama vingi baadae wakajifunza...CDM kaanza na huyu firstborn
wale wazee wa busara wako wapi? wale wa kutatua migogoro walikuwa wapi? no...hapana! kinachoendelea sasa ni historia, imeandikwa na inaandikwa tutakutana hapa hapa
CDM were supposed to be proud by having him, zitto ndio kahamasisha vijana kupenda upinzani na kujenga hoja...before that wala vijana hawakuwepo wala kuwa interested na siasa
CDM, chacha wangwe ilikuwaje? kafulila? machali? n.k cant someone stand up and say tujitazame ndani ya cdm? nguvu ya pesa ya mbowe kweli imewafanya watu wasiuseme ukweli?? wasione tatizo...bado tunajiita wasomi kweli?
nani sio msaliti ndani ya cdm? cdm ni chama cha wasaliti? nani anaaminika? tuwe wa kweli
Vyama vyetu vyote vya siasa vina wenyewe...when and how these parties can be a place to accomodate anyone? when can our kids take these parties be a place where they can dream being presidents and ministers??
mkuu; tutasubiri sana sana yaaani hata cdm wakiingia ikulu kesho bado haitabadilisha hiki hapa juu
Mkuu hizi sifa za kutengeneza kwa Zitto ndizo
Mchambuzi amezitolea ufafanuzi
Pius Msekwa akiwa katibu mtendaji wa TANU(alikuwa katika 20s)
Akina Warioba walianza kuwa viongozi wakiwa vijana wadogo, tena wakitandikwa viboko
Hawa akina Samwel Sitta, Malecela na wenzao hawakuanza siasa uzeeni. Wameanza wakiwa wadogo
Nyerere akiwa na miaka 26 alikuwa tayari kaanza harakati za kisiasa kuwaunganisha Watanzania dhidi ya adui, akiwa katika 30s anakwenda kudai uhuru. Katika umri huo supreme Leader anapita kugawa wananchi kwa misingi ya ukanda
Kila kitabu na zama zake. Kwa wale wa karibuni supreme ni hero wao. Kwa wengine tulio ona mengi supreme ni tatiZO.
IKifika mahali mtu anakosa cha kuongelea bali kuwagawa wananchi, kama si tatiZo sijui ni nini
ukumbuke,wazee niliowataja walikuwa na kazi ya kuwatengeneza vijana, leo wengi ni viongozi.
Zitto amehamasisha vurugu, utakubali kuwa makundi ya vijana ndani ya CDM wakiwemo Kafulilawametaja supreme kama kiungo
Wametaja namna walivyotoa sehemu zao za haja kubwa ili walimwe chale na matatibu wa kienyeji
Hatuwezi ku qualify hiyo kama uhamasishaji, ni uharibifu
Hayo ya ugomvi na chama chake wanayajua wao. Tunachokijua sisi ni kile tulichokiona, Waraka
Ni nyaraka iliyojaa matusi na kashfa kwa viongozi wenzake. Huwezi kuwa na makundi ya kisiasa ya matusi
Leo tunafahamu kuwa ule waraka uliandikwa kwa chuki. Ushahidi ni pale waraka uliposema ' Akili ya mwenyekiti ni ndogo'
Kinachoshangaza hatujui uwezo wa mwenyekiti Anna hata hivyo tuna kumbu kumbu za kukataliwa kila mahali.
Hatuna uhakika kama ndio akili kubwa akina Mwigamba, Kitila na Zitto walioyokuwa wanaitamani. Hiyo ni juu yao wenyewe
Pengine sisi wengine tuongelee unafiki. Hakuna chembe ya shaka huyu bwana ni mnafiki.
Alipokuwa CDM alilaani ukanda na kusema ndilo tatizo. Leo anasimama katika vipaza sauti mikoa miwili akitengeneza ukanda hadharani na wala si kusika. Huo unafiki mnauita ushaujaa, well, wengine hatuna shaka ni unafiki mkubwa
Waraka ulilaani kuchezewa katiba na watu. Ni supreme leader amekubali katiba ya chama kwa ajili ya wanachama ibadilishwe ili kukidhi haja yake ya kuwa kiongozi mkuu na ukipenda supreme leader. Huu kama si unafiki, sijui ni kitu gani
Zitto akatoka nje ya BMLK kama wenzake. Wiki chache anasimama na kusema walikosea kutoka. T
umemeuuliza Mkandara, lengo lake la kutoka lilikuwa ni nini, na alifikia lengo gani?
Ukiangali hiyo ni tabia ya kutenda jambo moja akiamini jambo jingine, yaani unafiki mkubwa
Huyu huyu akaita wenzake wasaka tonge. Siku chache akataka kufanya kazi na wasaka tonge.
Unafiki ni tabia tu, huwa inatulia lakini haipotei kabisa. Ni kitu kilichopo kwenye damu.
Akaenda mahakamani akiwa na chama kingine. Kasema anasimamia haki na sheria.
Kumbe haki ni kuvuta muda wa ubunge wake. Ni tabia tu, muda ukifika hujidhiri. Unafiki!
Hili la kwenda mikoani na kuanza kulimega taifa, hatutakaa kimya. Tabia hiyo ameiona Kigoma kutoka ng'ambo ya nchi.
Hata kama ana vinasaba, haijuzu kututia katika matatizo kwasababu Tanzania itakuwepo bila Zitto
Hatutakubali taifa limegwe na waroho
Keshaonja tamu ya kufarakanisha watu kuanzia vijana hadi wazee, sasa anakwenda next level kulichonganisha taifa
Hapana! unafiki anaweza kuendelea nao, Taifa ni letu atuachie taifa na nchi yetu salama.
Hakuna data wa support ya hoja zake za Shinyanga, kama zipo wekeni hapa!
Hatukubali taifa liingie matatani sababu ni supreme. Hapana! alipogusa taifa tutakomaa naye tu.