Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)


Sir:

I am watching the results of the general election in the UK. The names of some of the political parties participated in that election and the antics of their members could really test your intelligence. Take for example the Monster Raving Loony Party. Do you think they participated to win the general election or did they do that to exercise their constitutional rights?

To me they were there to practice their constitutional rights and they weren't serious about winning the election itself. Even though their actions could be seen as mockery to democracy, you can't take away their rights. If you do, they will deadly fight back.

Back to the main point: Zitto is using his constitutional rights effectively and one important thing is he's serious about winning. My questions to you are why don't you practice you constitutional rights? Why do you think that Zitto is responsible for your well being?

Zitto hasn't eroded your hope because his character hasn't changed over the years. What he hasn't do is to fullfil your expectations. Between 2010-2015, you expected him to perform certain roles so collectively you could achieve something together (you call this HOPE). The problem is the imaginary roles you have assigned him to perform don't exist in his TO DO LIST. Now you feel betrayed and you are upset.
 
Mkuu hapahatumjadili supreme kama mtu.

Ndio maana hatujadili maisha yake nje ya maisha yake kisiasa. Tunachojadili hapa ni issue.

Hatuwezi kujadili kauli ya kutenga wananchi wa kilimanjaro, Arusha, Mwanza au Shinyanga bila kuzungumzia nini chanzo.

Chanzo cha umasikini wa watanzania si mikoa au kanda moja kubeba rasilimali zote.

Umasikini ni zao la utawala mbovu wa CCM, chama pekee kilichowahi kuunda serikali nchini. Sote tunaelewa hilo.

Anapotokea mtu akasema umasikini wa Shinyanga ni zao la uporaji wa wananchi wa Kilimanjaro, umasikini sasa si issue.
Issue ni kauli hiyo inayohitaji kuwa na facts na takwimu.

Watetezi waliomba takwimu kuona ukweli, takwimu zikawekwa jamvini. Tumeomba zile alizotoa Zitto , wamekimbia.

Mkuu tutaomba takwimu kutoka hewani? Tunataka takwimu kutoka kwa supreme aliyezua timbwili lote.

Hapo jina la supreme haliwezi kuwa pembeni, vinginevyo tutakuwa tunazungumzia ujuha.

Pili, katika mjadala yapo yatokanyo. Imekuja hoja ya chuki na kwamba supreme aachwe kuendelea na shughuli zake

Tumeuliza yuonyeshwe chuki, hakuna anayeonyesha.
Tumesema aendelee na shughuli zake hakuna anayemfuata fuata isipokuwa waumini wake

Tatizo ni kuwa wakati anaendelea na shughuli zake, ahakikishe anatuachia taifa letu kama lilivyoi.

Hatuwezi kumwacha akiendelea na shughuli za kulivuruga taifa, kuwagawa watu, kueneza uongo na kufanya kila mmoja wetu ni sehemu ya kundi la wapuuzi aliofaulu kuwateka. Hapo jina la supreme halikwepeki.

Hatuwezi kuongelea taifa kumegwa vipande vipande na 'hewa' Tunasema taifa linaelekezwa kumegwa na Zitto.

Kama hiyo itakuwa simple mind, basi na iwe. Muhimu ni kuwaambia watanzania, ulaghai kama huu umetokea south Afrika ya akina Malema na tunaona xenophobia.

Ulagahi huo umetokea Rwanda na Kenya, hatukubali mtu na watu aendelee na shughuli za kulimega na kuvuruga taifa eti tu tunaogopa kumjadili.

Wameanisha Watanzania kuhusu uovu kule walikukuwa viongozi. Leo ni mafundi wa kufunda uozo huo huo. Huwezi kulaani katiba kubadilishwa kinyemela, ukanyamazia katiba kuandikwa kwa ajili ya mtu (supreme)

Huwezi kuhubiri CCM haina demokrasi wakati huo huo kuna jopo la wateule lililojivika joho la uteule wa supreme

Huwezi kulaani udikteta ulikotoka wakati unapora watu chama chao.

Sisi tunaokemea uhuni tunaweza kuwa small mind kwa supreme and allies, lakini ni great mind kwa taifa.

''He is brave doing what he is beleiving' ati! Yaani unaona kuvuruga na kuligawa taifa ni great! mkuu

Tunachotaka ni kubadilisha siasa za nchi hii. Watu waachane na walagahi wafanye siasa kama zile tulizoona UK leo asubuhi

Tumeishi na ulaghai miaka 50, eti tukae kimya machipukizi ya walaghai yakichanua!
 
Ahsante ''Mama''
Happy mothers day.
 

I am not questioning ZZK's rights (political or constitutional). He can avail himself of those as he wish and whenever he wishes to, and may be that is what he did. The point i am trying to make here is, when we think of our rights, we should not forget of our responsibilities. Especially when you are in a group like a political party (a cadre to be precise), you should remember that, through your rights you inspire others to avail themselves of their rights and also inspire them to be responsible members of society, and that is a huge responsibility.

As mwanasiasa kama ZZK, when you have both (rights and responsibilities), and when others are looking at you as their leader, hope and role model, you need to be extremely careful when you think of availing yourself of your rights. Miscalculation can lead to not only misuse and abuse of your rights, but also debacle.

You need wisdom to guide you in availing yourself of one of those. Political mathematics do not need + sign, they need wisdom. The trouble is, ZZK was driven by avarice, not wisdom and that is why he is doomed.
 

Mkubwa being brave does not mean going out looking for trouble. Like i said before CDM ni chama pekee kilichojitahidi kujijenga kama CCM, i.e hata ukiwa maarufu kama Mrema, nje ya chama wewe ni sifuri tu. This is what ZZK has done to himself. Unajua Dr Kitila ni academician, he is not professional politician. He does not have much to lose in this debacle. At some point i though Dr Kitila ni pandikizi la kumvuruga Zitto.
 

Zitto is the root of all evil. That's the point that you are missing.
 
Mnajua nyie mna tatizo sana kwa sababu mnaipenda sana Chadema mkashindwa kutazama ukweli. Ebu turudi nyuma kidogo tuachane na chama ila tuzungumze WATU.. Ebu tumchukue Dr.Slaa, huyu mwaka 1995 alijiandikisha kugombea Ubunge Karatu kwa tiketi ya CCM akashindwa na mwenzake ndani ya CCM, akahamia CDM kabla ya uchaguzi na kujiandikisha upya kama mgombea wa CDM jimbo hilo hilo la Karatu.

Mnafikiri CCM walimtazama vipi? kama wewe ungekuwa mpenzi wa CCM na kwa haki mnayoizungumzia hapa unadhani alichokifanya kilikuwa sawa au ni Usaliti? na isitoshe alipokuja CDM akashinda uchaguzi kumshinda ya chaguo la CCM wenyewe dhidi yake. Na ghafla akaruka vyeo hadi kuwa katibu mkuu wa Chama kuwapita kina Zitto alowakuta.

Sasa ikiwa historia imeonyesha kwamba Dr.Slaa alipendwa na wananchi wa Karatu na miscalculation walofanya ni chama CCM na kwa nini isiwe leo ni Chadema au msifikirie yeye Dr. ni Pandikizi? Kwa Zitto kila kitu kimepinduliwa, hakilaumiwi chama, isipokuwa yeye ndio msaliti kwa nyendo zile zile alizofanya Dr.Slaa, Lissu, Lema, Shibuda, Prof. Safari - The list is too long, watu walishindwana ktk vyama vyao wakahamia Chadema na sababu ni kama hizi hizi iweje leo Zitto kutoka Chadema imekuzwa kiasi hiki. Kama hawa wote walikuwa na sababu kama za Zitto huko walikotoka imekuwaje wamepokelewa Chadema?

Je hamuoni kama mna sura mbili hapa mnashindwa kujitazama wenyewe nyuma kama Manyani. Fear is the key na nawahakikishieni kwa hofu alowatia, Chadema itajimaliza yenyewe baada ya kuchonga mpini.
 

Bongolander:

Politicians who inspire their people come once in a generation. If you believe that Nyerere was the greatest Tanzanian politician, probably you will never see another politician of his caliber in your generation. That's the rule of nature. You can bury one Nyerere today and expect a new one the next morning. It doesn't happen that way.

It's time for Tanzanians to wake up and demand what's better for them. That's my point.
 
Mkandara,

..naomba nikusahihishe kidogo.

..Dr.Slaa alishinda ktk kura za maoni za CCM huko Karatu.

..sasa CCM wakamfanyia mzengwe kwa kukata jina lake na kumpa ushindi mgombea aliyeshika nafasi ya pili.

..wananchi waliokuwa wakimuunga mkono Dr.Slaa wakamwelekeza achague chama kingine watamuunga mkono. Dr akahamia CDM and the rest is history.

..Dr.Slaa hakupewa nafasi za uongozi haraka kama ulivyoeleza. alikaa bungeni na michango yake mle ndiyo iliyopelekea yeye kupewa nafasi za uongozi CDM.

..pamoja na hayo, huyu mzee wa watu ana uwezo na ni mpambanaji kwelikweli. hakuna shaka kwamba ametoa mchango mkubwa sana ktk kuijenga CDM.
 
Last edited by a moderator:
Gamba la Nyoka, usiokote okote quotations bila kuzichambua.

Do you mean great as "intelligent" or great as "significant"?

And mind you, this is not a "gossip" about a "corporate entity making abnormal profits", instead, it's a "discussion" about a "deceiving political party under Zitto zuberi Kabwe that's threatening the well being of our nation". And We will defend against that until the end of our times.
 
Last edited by a moderator:
Bongolander:

Politicians who inspire their people come once in a generation.
And that's exactly what happened Zitto INSPIRED, TRANSPIRED and EXPIRED.

If you believe that Nyerere was the greatest Tanzanian politician, probably you will never see another politician of his caliber in your generation. That's the rule of nature.
And what's your stance on Zitto's self comparative analysis with Mwalimu in terms of integrity, vision and patriotism?

You can bury one Nyerere today and expect a new one the next morning. It doesn't happen that way.

Nyerere has been buried in a graveyard in Butiama, Zitto's career has been officially buried in the country's political graveyard.

It's time for Tanzanians to wake up and demand what's better for them. That's my point.

You should wake up too and smell the coffee. Zitto is not what this nation needs right now.
 


Ahsante ''Mama''
Happy mothers day.
Mkandara,

Usimfananishe Zitto na Dr Slaa hata kidogo. Dr Slaa ni aina Ya Viongozi Ambao hata kama wangekuwa Bado Wapo CCM, angekuwa ni Mbunge anayesimamia maslahi Ya wananchi bila Ya uwoga kama Lugola, Filikunjombe n.k. Rekodi zipo. Dr Slaa angeweza kubaki CCM kama Hussein bashe, Shellukindo, kipi Warioba, Lucas Seleli, lakini hakufanya hivyo.

Please don't derail us from the main discussion.
 
Last edited by a moderator:

Mkandara ukiangalia profile yake yupo kuanzia
2006.
Hayo uliyosema JokaKuu alipaswa kuyajua kuliko wengi jamvini. Makusudi kabisa anapindisha ukweli


Anapindisha ukweli ili kukidhi haja ya kuonyesha supreme leader hajafanya makosa

Ndio Mkuu JokaKuu ahsante sana kwa ufafanuzi wako.

Tulikaa kimya tukijua ukimuuliza kauli ya Shinyanga/Mwanza kuporwa na K'njaro/Arusha ni shihi?
Jibu lake mbona Mbowe kasema ABCD


Tazama uongo alioueleza hapo . Anasema Slaa alipanda ngazi kiajabu, kuhalalisha supreme kupewa nafasi haraka haraka.

Katiba ya CDM iliandikwa na Kitila na Zitto. Nafasi ya katibu mkuu ilielezwa inavyopataikana. Haikuundwa ili kukidhi haja.

Alikuwepo Aman Kaborou na wengine. Nafasi ya supreme imeundwa 24hr ili kukidhi haja ya kumsimika supreme


Kwa mtazamo huo unawezaje kufananisha watu hao wawili na mazingira yao?

Kama livyosema Mchambuzi , lengo ni ku-derail mjadala uondoke kwa wahusika.

Hilo tunalijua. Sababu kubwa ni kushindwa kukabiliana na hoja zinazomkabili supreme na ACT.

Mkandara hawezi kufanisha ‘unyemela' wa kubadilisha katiba ya CDM na unyemela wa kuweka cheo cha supreme kwa kubadili katiba ndani ya saa 24 just to accommodate individual interest.


Hawezi kukemea kauli ya ACT ya kuwagawa Watanzania kwasababu tu mbona fulani kasema!

Hoja ya ukanda iliyowakimbiza ndio hiyo wanayoihubiri.

Alichokifanya supreme ni kuwaeleza wananchi wa Shinyanga/Mwanza kataeni hao kutoka eneo fulani.

Hoja ya CCM sasa imepata mpiga debe. Ndio maana tunasema huu ni mpini, shoka lenyewe lipo kimya
 
Mchambuzi Nguruvi3 mlishapotea katika Uzi huu mnachojadili sio mlichokusudia,kesho nitawapa sababu kwanini mmepotea.......!
 
Last edited by a moderator:
Mchambuzi Nguruvi3 mlishapotea katika Uzi huu mnachojadili sio mlichokusudia,kesho nitawapa sababu kwanini mmepotea.......!
Tutashukuru kama utatausaidia kurudi ndani.
Pia nakukumbusha , ukija kesho uje na takwimu alizotumiaSupreme. Mag3 aliuliza ukakimbia,kwavile unarudi basi usisahau hilo

 
Last edited by a moderator:
Nguvu kubwa mno inatumika kumlinda na kumtetea SUPREME LEADER lakini bila facts za kutetea hoja zake ambazo amekuwa akizitoa. Mara nyingi silaha inayotumika kama utetezi ni "Mbona kina Mbowe nao wanafanya hivi ama vile...kwa nini aandamwe Supreme pekee?"
 

Wanao mkosoa Zitto wanadai wanafanya hivyo sababu Zitto hataki kuiondoa CCM, sasa watu lazima wahoji mbona wanatouti kubwa na Zitto, mbona yeye ndio kaweza kushawishi kambi zote upinzani na kuishugulikia serikali ya CCM,Mbowe na genge lake wanaupinzani wa kuongea majukwaani(maneno matupu),Zitto kapeleka miswada binafsi bungeni,na baadhi ikakubalika
 
Mkuu naomba takwimu za kura za maoni za CCM 1995 jimbo la Karatu, maana najua uchaguzi wa ndani ya chama sii kama uchaguzi wa Taifa. Hivyo tunaposema alishinda inabidi tuwe na vithibitisho hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…