Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

You do have a point mkuu, there is a lot that we have not done to be of a help to our country. Back to the main issue. ZZK eroded that hope. The trouble is people are looking at ZZK as part of sarakasi za CDM, but i look at him as hope kwa vijana wa Tanzania bila kujali uko chama gani. He was the hope of nation, he started to let politics have a meaning again. Now from hero to zero, all those hopes gone. Kama vijana nchi hii wakionesha tofauti kwenye siasa, na kukwepa siasa za kinafiki, ubinafsi, tamaa na migogoro...tungeweza kuwa nguvu ya msukumo kwenye kubadilisha hali ya Tanzania.

Sir:

I am watching the results of the general election in the UK. The names of some of the political parties participated in that election and the antics of their members could really test your intelligence. Take for example the Monster Raving Loony Party. Do you think they participated to win the general election or did they do that to exercise their constitutional rights?

To me they were there to practice their constitutional rights and they weren't serious about winning the election itself. Even though their actions could be seen as mockery to democracy, you can't take away their rights. If you do, they will deadly fight back.

Back to the main point: Zitto is using his constitutional rights effectively and one important thing is he's serious about winning. My questions to you are why don't you practice you constitutional rights? Why do you think that Zitto is responsible for your well being?

Zitto hasn't eroded your hope because his character hasn't changed over the years. What he hasn't do is to fullfil your expectations. Between 2010-2015, you expected him to perform certain roles so collectively you could achieve something together (you call this HOPE). The problem is the imaginary roles you have assigned him to perform don't exist in his TO DO LIST. Now you feel betrayed and you are upset.
 
"Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people." - Eleanor Roosevelt

What is this obsession about Zitto?, He is brave doing what he is believing, don't you move forward and be the persons that you want to see in him?

Cc Nguruv , Mchambuzi
Mkuu hapahatumjadili supreme kama mtu.

Ndio maana hatujadili maisha yake nje ya maisha yake kisiasa. Tunachojadili hapa ni issue.

Hatuwezi kujadili kauli ya kutenga wananchi wa kilimanjaro, Arusha, Mwanza au Shinyanga bila kuzungumzia nini chanzo.

Chanzo cha umasikini wa watanzania si mikoa au kanda moja kubeba rasilimali zote.

Umasikini ni zao la utawala mbovu wa CCM, chama pekee kilichowahi kuunda serikali nchini. Sote tunaelewa hilo.

Anapotokea mtu akasema umasikini wa Shinyanga ni zao la uporaji wa wananchi wa Kilimanjaro, umasikini sasa si issue.
Issue ni kauli hiyo inayohitaji kuwa na facts na takwimu.

Watetezi waliomba takwimu kuona ukweli, takwimu zikawekwa jamvini. Tumeomba zile alizotoa Zitto , wamekimbia.

Mkuu tutaomba takwimu kutoka hewani? Tunataka takwimu kutoka kwa supreme aliyezua timbwili lote.

Hapo jina la supreme haliwezi kuwa pembeni, vinginevyo tutakuwa tunazungumzia ujuha.

Pili, katika mjadala yapo yatokanyo. Imekuja hoja ya chuki na kwamba supreme aachwe kuendelea na shughuli zake

Tumeuliza yuonyeshwe chuki, hakuna anayeonyesha.
Tumesema aendelee na shughuli zake hakuna anayemfuata fuata isipokuwa waumini wake

Tatizo ni kuwa wakati anaendelea na shughuli zake, ahakikishe anatuachia taifa letu kama lilivyoi.

Hatuwezi kumwacha akiendelea na shughuli za kulivuruga taifa, kuwagawa watu, kueneza uongo na kufanya kila mmoja wetu ni sehemu ya kundi la wapuuzi aliofaulu kuwateka. Hapo jina la supreme halikwepeki.

Hatuwezi kuongelea taifa kumegwa vipande vipande na 'hewa' Tunasema taifa linaelekezwa kumegwa na Zitto.

Kama hiyo itakuwa simple mind, basi na iwe. Muhimu ni kuwaambia watanzania, ulaghai kama huu umetokea south Afrika ya akina Malema na tunaona xenophobia.

Ulagahi huo umetokea Rwanda na Kenya, hatukubali mtu na watu aendelee na shughuli za kulimega na kuvuruga taifa eti tu tunaogopa kumjadili.

Wameanisha Watanzania kuhusu uovu kule walikukuwa viongozi. Leo ni mafundi wa kufunda uozo huo huo. Huwezi kulaani katiba kubadilishwa kinyemela, ukanyamazia katiba kuandikwa kwa ajili ya mtu (supreme)

Huwezi kuhubiri CCM haina demokrasi wakati huo huo kuna jopo la wateule lililojivika joho la uteule wa supreme

Huwezi kulaani udikteta ulikotoka wakati unapora watu chama chao.

Sisi tunaokemea uhuni tunaweza kuwa small mind kwa supreme and allies, lakini ni great mind kwa taifa.

''He is brave doing what he is beleiving' ati! Yaani unaona kuvuruga na kuligawa taifa ni great! mkuu

Tunachotaka ni kubadilisha siasa za nchi hii. Watu waachane na walagahi wafanye siasa kama zile tulizoona UK leo asubuhi

Tumeishi na ulaghai miaka 50, eti tukae kimya machipukizi ya walaghai yakichanua!
 
Mkuu Barubaru nashukuru sana kwa mchango wako uliokwenda shule.

Ni kweli kuwa wanasiasa wote ni walaghai hapa na Ziitto yumo na hii imetoka na elimu duni kama ulivyosema hapo juu. Lakini hii hali hatutakiwa tuiache itamalaki tunabidi tuanza kuikomesha na tunaikomesha pale tutakapo anza kumuweka kikaangoni wanasiasa mmoja baada ya mwingine na kuwambia "hapana ili jambo ni uongo"

Tukiwaacha waendelee kufaidika kwa migongo yetu tutakuwa hatujatenda haki kwa taifa letu na hatuwatendei haki watoto wetu.

Maana unafahamu kuwa tunadanganywa na si tunakaa kimya na kutegemea kuwa hawa watu ipo siku wataanza kutuonea huruma na kutimiza ahadi zao kitu ambacho hakitakaa kitokee.

Naelewa kuwa siasa ni lazima "kauongo kawemo" lakini basi haka kauongo kafanane ukweli, Mfn mwanasiasa anapokwenda kutoa ahadi ya kujenga bara bara, na baada ya kuchanguliwa kweli akashirikiana na wananchi wa eneo husika wakatengeneza barabara ya "tope" huyu mwanasiasa alitoa ahadi na ahadi yake ameitimiza ingwaje si kwa kiwango tulichokusudia.

Lakini inapotokea mwanasiasa akaenda Dodoma na kutoa ahadi ya kuleta meli Dodoma kitu ambacho hata huyu mwanasiansa nafahamu fika ni uongo hawezi kufanya kitu cha namna hiyo, na sie watu wazima tukamucha endelee na ulaghai wake, hapa tukakuwa hatujajitendea haki, hatujalitendea haki taifa letu na hutujawatendea haki watoto na wajukuu wetu..

Mwanasiasa wa namna hii dawa yake ni kwambia ukweli kuwa "uongo wako ukomee hapa hapa hiki kitu hakiwezekeni" naatafahamu kuwa hawa watu si wajinga tena

Hebu tumuangalie Zitto na chama chake.. Sote hapa ni mashaidi kuwa wakati Ztto, Kitila, Mwigamba wako Chadema, walikuwa watetezi wakubwa wa Chadema, walitembea vifua mbele wakitetea sera za chama, katiba ya chama na nk. Ni kwa nini walifanya haya? Walifanya haya kwa sababu katika moyoni yao waliamini sera za chama, walipikwa wakaiva na Chadema, hawakuteteleka kuelezea sera za chama kwa sababu zinaeleweka na zinatekelezeka.

Sasa basi tujiulize ni kwanini watu hawa hawa walioshinda humu ndani kujibu hoja tofauti tofauti zinazohusu Chadema, Wako wapi? mbona hatuwaoni wakijibu maswali, wakieleze sera za chama chao?

Je ni kweli watu hawa hawamo humu ndani? Je ni kweli hawana muda? Jibu ni wamo humu ndani tena Zitto amekuwa akileta mada mbali mbali zihusuzo ufisadi (jambo ambalo ni jema) lakini hatumuoni kabisa hakijibu hoja za watu mbali mbali kuhusu chama chake, kuhusu sera za chama chake, kuhusu Unyerere alotwambia, Kuhusu sera za ujamaa (??) kuhusu azimio la Arusha kuhus uwazi waliohuribi usiku na mcana..

Amekuwa bubu si kwa sababu hasomi dukuduku wa wanaJF ni kwasababu sera za chama chao hata wao hawazielewi wanafahamu kuwa ni ulaghai, wanaogopa kuumbuliwa mapema hivyo wamebaki wasomaji tu.

Sasa basi tukifika hapa ndo sie akina Alinda tunasema huu ni ulaghai, utapeli kama Kiongozi mkuu ambaye ni kioo cha chama anashindwa kuja huku kutueleza sera za chama chake ili mimi na wewe tuzielewe sasa huyu mtu aitwaje?kama si mlaghai?

Na wanasiasa wa aina hii hatuwezi kumfumbia macho tuwambie ukweli kuwa wakati wa ulaghai umepitwa na wakati huu ni wakati wa ukweli.. Na hii si kwa Zitto to bali ni kwa wanasiasa wote kwenye hulka km za Zitto na wale wote wanaotaka utajiri wa haraka haraka kwa kupitia uelewa duni wa wananchi.
Ndo hapo ninachukua fursa hii kumpongeza Nguruv3 kwa huu uzi..

Kuhusu siasa kushika hatamu.. Hilo ni kweli kabisa yaani Tanzania wanasiasa ni kila kitu, utamkuta yuko kwenye GAs, utamkuta yuko kwenye umeme, utamkuta yuko kwenye ujenzi wa bara bara, utamkuta yuko katika uandikaji wa katiba mpya. Yaani ni basi wanasiasa wameharibu nchi yetu.

Kuhusu Swala la Zitto kuwa mchanga katika uchumi.. Ni kweli ni mchanga ila akipewa muda anaweza kufanya vizuri..

Kuhusu Zitto kutokuwa wanasiasa mzuri.. Na hapa ni kweli ila uzuri wake ni mpenda media na ana bebwa sana na Media na ndo maana watu wanategemea makubwa kutoka kwake (maana media ndivyo zinavyotuaminisha) na pale anapofanya yale anayoyaweza ambayo ni ya kawaida tu, basi watu utaka zaidi kutoka kwake matokeo yake ni kujichanganya hapa na pale hivyo kuharibu zaidi.

(hapa naongea kama mama):teeth:
Ahsante ''Mama''
Happy mothers day.
 
Back to the main point: Zitto is using his constitutional rights effectively and one important thing is he's serious about winning. My questions to you are why don't you practice you constitutional rights? Why do you think that Zitto is responsible for your well being?

I am not questioning ZZK's rights (political or constitutional). He can avail himself of those as he wish and whenever he wishes to, and may be that is what he did. The point i am trying to make here is, when we think of our rights, we should not forget of our responsibilities. Especially when you are in a group like a political party (a cadre to be precise), you should remember that, through your rights you inspire others to avail themselves of their rights and also inspire them to be responsible members of society, and that is a huge responsibility.

As mwanasiasa kama ZZK, when you have both (rights and responsibilities), and when others are looking at you as their leader, hope and role model, you need to be extremely careful when you think of availing yourself of your rights. Miscalculation can lead to not only misuse and abuse of your rights, but also debacle.

You need wisdom to guide you in availing yourself of one of those. Political mathematics do not need + sign, they need wisdom. The trouble is, ZZK was driven by avarice, not wisdom and that is why he is doomed.
 
"Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people." - Eleanor Roosevelt

What is this obsession about Zitto?, He is brave doing what he is believing, don't you move forward and be the persons that you want to see in him?

Cc Nguruv , Mchambuzi

Mkubwa being brave does not mean going out looking for trouble. Like i said before CDM ni chama pekee kilichojitahidi kujijenga kama CCM, i.e hata ukiwa maarufu kama Mrema, nje ya chama wewe ni sifuri tu. This is what ZZK has done to himself. Unajua Dr Kitila ni academician, he is not professional politician. He does not have much to lose in this debacle. At some point i though Dr Kitila ni pandikizi la kumvuruga Zitto.
 
"Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people." - Eleanor Roosevelt

What is this obsession about Zitto?, He is brave doing what he is believing, don't you move forward and be the persons that you want to see in him?

Cc Nguruv , Mchambuzi

Zitto is the root of all evil. That's the point that you are missing.
 
Mnajua nyie mna tatizo sana kwa sababu mnaipenda sana Chadema mkashindwa kutazama ukweli. Ebu turudi nyuma kidogo tuachane na chama ila tuzungumze WATU.. Ebu tumchukue Dr.Slaa, huyu mwaka 1995 alijiandikisha kugombea Ubunge Karatu kwa tiketi ya CCM akashindwa na mwenzake ndani ya CCM, akahamia CDM kabla ya uchaguzi na kujiandikisha upya kama mgombea wa CDM jimbo hilo hilo la Karatu.

Mnafikiri CCM walimtazama vipi? kama wewe ungekuwa mpenzi wa CCM na kwa haki mnayoizungumzia hapa unadhani alichokifanya kilikuwa sawa au ni Usaliti? na isitoshe alipokuja CDM akashinda uchaguzi kumshinda ya chaguo la CCM wenyewe dhidi yake. Na ghafla akaruka vyeo hadi kuwa katibu mkuu wa Chama kuwapita kina Zitto alowakuta.

Sasa ikiwa historia imeonyesha kwamba Dr.Slaa alipendwa na wananchi wa Karatu na miscalculation walofanya ni chama CCM na kwa nini isiwe leo ni Chadema au msifikirie yeye Dr. ni Pandikizi? Kwa Zitto kila kitu kimepinduliwa, hakilaumiwi chama, isipokuwa yeye ndio msaliti kwa nyendo zile zile alizofanya Dr.Slaa, Lissu, Lema, Shibuda, Prof. Safari - The list is too long, watu walishindwana ktk vyama vyao wakahamia Chadema na sababu ni kama hizi hizi iweje leo Zitto kutoka Chadema imekuzwa kiasi hiki. Kama hawa wote walikuwa na sababu kama za Zitto huko walikotoka imekuwaje wamepokelewa Chadema?

Je hamuoni kama mna sura mbili hapa mnashindwa kujitazama wenyewe nyuma kama Manyani. Fear is the key na nawahakikishieni kwa hofu alowatia, Chadema itajimaliza yenyewe baada ya kuchonga mpini.
 
I am not questioning ZZK's rights (political or constitutional). He can avail himself of those as he wish and whenever he wishes to, and may be that is what he did. The point i am trying to make here is, when we think of our rights, we should not forget of our responsibilities. Especially when you are in a group like a political party (a cadre to be precise), you should remember that, through your rights you inspire others to avail themselves of their rights and also inspire them to be responsible members of society, and that is a huge responsibility.

As mwanasiasa kama ZZK, when you have both (rights and responsibilities), and when others are looking at you as their leader, hope and role model, you need to be extremely careful when you think of availing yourself of your rights. Miscalculation can lead to not only misuse and abuse of your rights, but also debacle.

You need wisdom to guide you in availing yourself of one of those. Political mathematics do not need + sign, they need wisdom. The trouble is, ZZK was driven by avarice, not wisdom and that is why he is doomed.

Bongolander:

Politicians who inspire their people come once in a generation. If you believe that Nyerere was the greatest Tanzanian politician, probably you will never see another politician of his caliber in your generation. That's the rule of nature. You can bury one Nyerere today and expect a new one the next morning. It doesn't happen that way.

It's time for Tanzanians to wake up and demand what's better for them. That's my point.
 
Mkandara,

..naomba nikusahihishe kidogo.

..Dr.Slaa alishinda ktk kura za maoni za CCM huko Karatu.

..sasa CCM wakamfanyia mzengwe kwa kukata jina lake na kumpa ushindi mgombea aliyeshika nafasi ya pili.

..wananchi waliokuwa wakimuunga mkono Dr.Slaa wakamwelekeza achague chama kingine watamuunga mkono. Dr akahamia CDM and the rest is history.

..Dr.Slaa hakupewa nafasi za uongozi haraka kama ulivyoeleza. alikaa bungeni na michango yake mle ndiyo iliyopelekea yeye kupewa nafasi za uongozi CDM.

..pamoja na hayo, huyu mzee wa watu ana uwezo na ni mpambanaji kwelikweli. hakuna shaka kwamba ametoa mchango mkubwa sana ktk kuijenga CDM.
 
Last edited by a moderator:
"Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people." - Eleanor Roosevelt

What is this obsession about Zitto?, He is brave doing what he is believing, don't you move forward and be the persons that you want to see in him?

Cc Nguruv , Mchambuzi
Gamba la Nyoka, usiokote okote quotations bila kuzichambua.

Do you mean great as "intelligent" or great as "significant"?

And mind you, this is not a "gossip" about a "corporate entity making abnormal profits", instead, it's a "discussion" about a "deceiving political party under Zitto zuberi Kabwe that's threatening the well being of our nation". And We will defend against that until the end of our times.
 
Last edited by a moderator:
Bongolander:

Politicians who inspire their people come once in a generation.
And that's exactly what happened Zitto INSPIRED, TRANSPIRED and EXPIRED.

If you believe that Nyerere was the greatest Tanzanian politician, probably you will never see another politician of his caliber in your generation. That's the rule of nature.
And what's your stance on Zitto's self comparative analysis with Mwalimu in terms of integrity, vision and patriotism?

You can bury one Nyerere today and expect a new one the next morning. It doesn't happen that way.

Nyerere has been buried in a graveyard in Butiama, Zitto's career has been officially buried in the country's political graveyard.

It's time for Tanzanians to wake up and demand what's better for them. That's my point.

You should wake up too and smell the coffee. Zitto is not what this nation needs right now.
 
Mnajua nyie mna tatizo sana kwa sababu mnaipenda sana Chadema mkashindwa kutazama ukweli. Ebu turudi nyuma kidogo tuachane na chama ila tuzungumze WATU.. Ebu tumchukue Dr.Slaa, huyu mwaka 1995 alijiandikisha kugombea Ubunge Karatu kwa tiketi ya CCM akashindwa na mwenzake ndani ya CCM, akahamia CDM kabla ya uchaguzi na kujiandikisha upya kama mgombea wa CDM jimbo hilo hilo la Karatu.

Mnafikiri CCM walimtazama vipi? kama wewe ungekuwa mpenzi wa CCM na kwa haki mnayoizungumzia hapa unadhani alichokifanya kilikuwa sawa au ni Usaliti? na isitoshe alipokuja CDM akashinda uchaguzi kumshinda ya chaguo la CCM wenyewe dhidi yake. Na ghafla akaruka vyeo hadi kuwa katibu mkuu wa Chama kuwapita kina Zitto alowakuta.

Sasa ikiwa historia imeonyesha kwamba Dr.Slaa alipendwa na wananchi wa Karatu na miscalculation walofanya ni chama CCM na kwa nini isiwe leo ni Chadema au msifikirie yeye Dr. ni Pandikizi? Kwa Zitto kila kitu kimepinduliwa, hakilaumiwi chama, isipokuwa yeye ndio msaliti kwa nyendo zile zile alizofanya Dr.Slaa, Lissu, Lema, Shibuda, Prof. Safari - The list is too long, watu walishindwana ktk vyama vyao wakahamia Chadema na sababu ni kama hizi hizi iweje leo Zitto kutoka Chadema imekuzwa kiasi hiki. Kama hawa wote walikuwa na sababu kama za Zitto huko walikotoka imekuwaje wamepokelewa Chadema?

Je hamuoni kama mna sura mbili hapa mnashindwa kujitazama wenyewe nyuma kama Manyani. Fear is the key na nawahakikishieni kwa hofu alowatia, Chadema itajimaliza yenyewe baada ya kuchonga mpini.

Mkandara,

..naomba nikusahihishe kidogo.

..Dr.Slaa alishinda ktk kura za maoni za CCM huko Karatu.

..sasa CCM wakamfanyia mzengwe kwa kukata jina lake na kumpa ushindi mgombea aliyeshika nafasi ya pili.

..wananchi waliokuwa wakimuunga mkono Dr.Slaa wakamwelekeza achague chama kingine watamuunga mkono. Dr akahamia CDM and the rest is history.

..Dr.Slaa hakupewa nafasi za uongozi haraka kama ulivyoeleza. alikaa bungeni na michango yake mle ndiyo iliyopelekea yeye kupewa nafasi za uongozi CDM.

..pamoja na hayo, huyu mzee wa watu ana uwezo na ni mpambanaji kwelikweli. hakuna shaka kwamba ametoa mchango mkubwa sana ktk kuijenga CDM.

Ahsante ''Mama''
Happy mothers day.
Mkandara,

Usimfananishe Zitto na Dr Slaa hata kidogo. Dr Slaa ni aina Ya Viongozi Ambao hata kama wangekuwa Bado Wapo CCM, angekuwa ni Mbunge anayesimamia maslahi Ya wananchi bila Ya uwoga kama Lugola, Filikunjombe n.k. Rekodi zipo. Dr Slaa angeweza kubaki CCM kama Hussein bashe, Shellukindo, kipi Warioba, Lucas Seleli, lakini hakufanya hivyo.

Please don't derail us from the main discussion.
 
Last edited by a moderator:
Mnajua nyie mna tatizo sana kwa sababu mnaipenda sana Chadema mkashindwa kutazama ukweli. Ebu turudi nyuma kidogo tuachane na chama ila tuzungumze WATU.. Ebu tumchukue Dr.Slaa, huyu mwaka 1995 alijiandikisha kugombea Ubunge Karatu kwa tiketi ya CCM akashindwa na mwenzake ndani ya CCM, akahamia CDM kabla ya uchaguzi na kujiandikisha upya kama mgombea wa CDM jimbo hilo hilo la Karatu.

Mnafikiri CCM walimtazama vipi? kama wewe ungekuwa mpenzi wa CCM na kwa haki mnayoizungumzia hapa unadhani alichokifanya kilikuwa sawa au ni Usaliti? na isitoshe alipokuja CDM akashinda uchaguzi kumshinda ya chaguo la CCM wenyewe dhidi yake. Na ghafla akaruka vyeo hadi kuwa katibu mkuu wa Chama kuwapita kina Zitto alowakuta.

Sasa ikiwa historia imeonyesha kwamba Dr.Slaa alipendwa na wananchi wa Karatu na miscalculation walofanya ni chama CCM na kwa nini isiwe leo ni Chadema au msifikirie yeye Dr. ni Pandikizi? Kwa Zitto kila kitu kimepinduliwa, hakilaumiwi chama, isipokuwa yeye ndio msaliti kwa nyendo zile zile alizofanya Dr.Slaa, Lissu, Lema, Shibuda, Prof. Safari - The list is too long, watu walishindwana ktk vyama vyao wakahamia Chadema na sababu ni kama hizi hizi iweje leo Zitto kutoka Chadema imekuzwa kiasi hiki. Kama hawa wote walikuwa na sababu kama za Zitto huko walikotoka imekuwaje wamepokelewa Chadema?

Je hamuoni kama mna sura mbili hapa mnashindwa kujitazama wenyewe nyuma kama Manyani. Fear is the key na nawahakikishieni kwa hofu alowatia, Chadema itajimaliza yenyewe baada ya kuchonga mpini.

JokaKuu;12681635]

Mkandara,

..naomba nikusahihishe kidogo.

..Dr.Slaa alishinda ktk kura za maoni za CCM huko Karatu.

..sasa CCM wakamfanyia mzengwe kwa kukata jina lake na kumpa ushindi mgombea aliyeshika nafasi ya pili.

..wananchi waliokuwa wakimuunga mkono Dr.Slaa wakamwelekeza achague chama kingine watamuunga mkono. Dr akahamia CDM and the rest is history.

..Dr.Slaa hakupewa nafasi za uongozi haraka kama ulivyoeleza. alikaa bungeni na michango yake mle ndiyo iliyopelekea yeye kupewa nafasi za uongozi CDM.

..pamoja na hayo, huyu mzee wa watu ana uwezo na ni mpambanaji kwelikweli. hakuna shaka kwamba ametoa mchango mkubwa sana ktk kuijenga CDM.[/QUOTE
Mkandara ukiangalia profile yake yupo kuanzia
2006.
Hayo uliyosema JokaKuu alipaswa kuyajua kuliko wengi jamvini. Makusudi kabisa anapindisha ukweli

Anapindisha ukweli ili kukidhi haja ya kuonyesha supreme leader hajafanya makosa

Ndio Mkuu JokaKuu ahsante sana kwa ufafanuzi wako.

Tulikaa kimya tukijua ukimuuliza kauli ya Shinyanga/Mwanza kuporwa na K'njaro/Arusha ni shihi?
Jibu lake mbona Mbowe kasema ABCD

Tazama uongo alioueleza hapo . Anasema Slaa alipanda ngazi kiajabu, kuhalalisha supreme kupewa nafasi haraka haraka.

Katiba ya CDM iliandikwa na Kitila na Zitto. Nafasi ya katibu mkuu ilielezwa inavyopataikana. Haikuundwa ili kukidhi haja.

Alikuwepo Aman Kaborou na wengine. Nafasi ya supreme imeundwa 24hr ili kukidhi haja ya kumsimika supreme

Kwa mtazamo huo unawezaje kufananisha watu hao wawili na mazingira yao?

Kama livyosema Mchambuzi , lengo ni ku-derail mjadala uondoke kwa wahusika.

Hilo tunalijua. Sababu kubwa ni kushindwa kukabiliana na hoja zinazomkabili supreme na ACT.

Mkandara hawezi kufanisha ‘unyemela' wa kubadilisha katiba ya CDM na unyemela wa kuweka cheo cha supreme kwa kubadili katiba ndani ya saa 24 just to accommodate individual interest.

Hawezi kukemea kauli ya ACT ya kuwagawa Watanzania kwasababu tu mbona fulani kasema!

Hoja ya ukanda iliyowakimbiza ndio hiyo wanayoihubiri.

Alichokifanya supreme ni kuwaeleza wananchi wa Shinyanga/Mwanza kataeni hao kutoka eneo fulani.

Hoja ya CCM sasa imepata mpiga debe. Ndio maana tunasema huu ni mpini, shoka lenyewe lipo kimya
 
Mchambuzi Nguruvi3 mlishapotea katika Uzi huu mnachojadili sio mlichokusudia,kesho nitawapa sababu kwanini mmepotea.......!
 
Last edited by a moderator:
Mchambuzi Nguruvi3 mlishapotea katika Uzi huu mnachojadili sio mlichokusudia,kesho nitawapa sababu kwanini mmepotea.......!
Tutashukuru kama utatausaidia kurudi ndani.
Pia nakukumbusha , ukija kesho uje na takwimu alizotumiaSupreme. Mag3 aliuliza ukakimbia,kwavile unarudi basi usisahau hilo

Last edited by a moderator:
Nguvu kubwa mno inatumika kumlinda na kumtetea SUPREME LEADER lakini bila facts za kutetea hoja zake ambazo amekuwa akizitoa. Mara nyingi silaha inayotumika kama utetezi ni "Mbona kina Mbowe nao wanafanya hivi ama vile...kwa nini aandamwe Supreme pekee?"
 
Wanao mkosoa Zitto wanadai wanafanya hivyo sababu Zitto hataki kuiondoa CCM, sasa watu lazima wahoji mbona wanatouti kubwa na Zitto, mbona yeye ndio kaweza kushawishi kambi zote upinzani na kuishugulikia serikali ya CCM,Mbowe na genge lake wanaupinzani wa kuongea majukwaani(maneno matupu),Zitto kapeleka miswada binafsi bungeni,na baadhi ikakubalika
 
Mkandara,

..naomba nikusahihishe kidogo.

..Dr.Slaa alishinda ktk kura za maoni za CCM huko Karatu.

..sasa CCM wakamfanyia mzengwe kwa kukata jina lake na kumpa ushindi mgombea aliyeshika nafasi ya pili.

..wananchi waliokuwa wakimuunga mkono Dr.Slaa wakamwelekeza achague chama kingine watamuunga mkono. Dr akahamia CDM and the rest is history.

..Dr.Slaa hakupewa nafasi za uongozi haraka kama ulivyoeleza. alikaa bungeni na michango yake mle ndiyo iliyopelekea yeye kupewa nafasi za uongozi CDM.

..pamoja na hayo, huyu mzee wa watu ana uwezo na ni mpambanaji kwelikweli. hakuna shaka kwamba ametoa mchango mkubwa sana ktk kuijenga CDM.
Mkuu naomba takwimu za kura za maoni za CCM 1995 jimbo la Karatu, maana najua uchaguzi wa ndani ya chama sii kama uchaguzi wa Taifa. Hivyo tunaposema alishinda inabidi tuwe na vithibitisho hivyo.
 
Back
Top Bottom