Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

Mkuu nadhani wewe ndio una matatizo makubwa ya kuelewa. Labda nikuulize swali lililopo karibu sana na wewe. Je, unaamini kuna kitu kinaitwa Income inequality?
 
Mkuu nadhani wewe ndio una matatizo makubwa ya kuelewa. Labda nikuulize swali lililopo karibu sana na wewe. Je, unaamini kuna kitu kinaitwa Income inequality?
Ndio naamini kipo! Hoja ni ipi?
 


mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm
 
Alendi:

But you have to understand that politics isn't about facts, but narratives. Those who control narratives always win.

Narrative is nothing more than story telling, so what's the story that Supreme leader Zitto is trying to tell Wasukuma? That they are being robbed by Chaggas? Fact is something known to be true. So you claim that zitto's fairy tales can win the hearts of Wasukuma without any truth? Oh lord. Hizi ni dharau kubwa sana kwa Wasukuma done by Zitto.
 
Last edited by a moderator:
Huu mfano wako naona una kasoro maana hapa kinachogomba si kipato kikubwa (yaani sio gawio wanalopewa Kilimanjaro bali ni kuchangiaji vs maendeleo.
Basi hata wewe bado hujaelewa. Unachokitaza ni Kilimanjaro badala ya kuanza na Shinyanga. Shinyanga wanachangia zaidi lakini hawapewi stahiki wakati Kilimanjaro wanachangia kidogo wanapewa stahiki. hakuna mahala Zitto kasema Kilimanjaro wanapewa zaidi ya stahiki, isipokuwa kuwepo na mfumo unaweza kugawanya keki ya taifa kiasi kwamba wanaochangia zaidi wananufaika na kuwa shawishi wengine wazalishe na kuchangia zaidi. Mfumo ambao unazua competition within kama vile tuseme tuweke mishahara kwa anayezalisha zaidi atapata zaidi, hivyo kunawapa changamoto wengine kuzalisha zaidi. lakini ikiwa nizalishe nisizalishe nitapewa fungu langu inaleta uvivu wa kazi, na unapozalisha zaidi hupati mafao bora unadhulumiwa na hukatisha tamaa.

Maendeleo ya watu hupimwa kwa HDI na inapokuwepo inequality tutapoteza productivity ya sehemu husika. Na kutokuwa maendeleo sio kundi la watu hao tu bali kuna impact hata uzalishaji wao. HDI inaweza huathiriwa na income per capita hasa pale kunapokuwepo inequality yaani keki ya taifa inakuwa distributed unevenly. matokeo yake hu diminish growth maana serikali haithamini uwezo wao inaweza kuzua social tension within, moral question zinajitokeza, fairness na social justice kumbe fedha ambazo Shinyanga wangepewa zimetumika hovyo katika safari za rais au hata malipo ya posho za wabunge.

Na hata ukitazama lawama nyingi za Udini nchini zinatokana na inequality, tofauti baina ya maskini na matajiri, wananchi na viongozi, wabunge na kadhalka kuna inequality kiasi kwamba ongezeko la pato la wabunge kwa ujumla wake tu tunaweza kununua vifaa bora vya Afya na elimu. Haya mambo tunaposhindwa kuyaweka wazi ndivyo tutakavyoshindwa kujenga hoja juu ya mishahara mikubwa ya wabunge ama matumizi mabaya ya serikali.
 

Zitto alikosea, na nyinyi mkadandia na kuyabeba makosa Ya supreme leader. Kuchambua umaskini wa watanzania kwa kuangalia takwimu za GDP na HDI Sio kitu kibaya pamoja na mapungufu Ya hiZi indicators. Tatizo ni pale mtu anayejiita mchumi (Zitto) kutumia indicators zenye mapungufu kudanganya na kupotosha umma kwamba Kabisa fulani ni naskini kwa sababu linanyonywa na Kabila fulani.

In short his analysis is flawed. Tumeshajadili kwanini, hamjaja na Majibu zaidi Ya kutetea upotoshaji wa Zitto. Unadhani hasomi hoja zetu? Anasoma sana na hawezi kurudia hoja Yake tena kwenye umma bila kupanga maelezo.


Hakuna ujamaa katika Zitto wala ACT, anachofanya ni kuteka mawazo Ya wananchi maskini kwa karata Ya ujamaa. CHAMA Cha kijamaa mapato yake huwa yapo wazi, Je mapato Ya Chama cha kijamaa cha ACT ambacho hakina hata ruzuku na pia supreme leader wake declared his worth ambayo amounted to peanuts ukifananisha na gharama za kuendesha Chama Hadi sasa, mapato yake source ni nini?
 

Zitto alikosea, na nyinyi mkadandia na kuyabeba makosa Ya supreme leader. Kuchambua umaskini wa watanzania kwa kuangalia takwimu za GDP na HDI Sio kitu kibaya pamoja na mapungufu Ya hiZi indicators. It's intellectually stimulating. Tatizo ni pale mtu anayejiita mchumi (Zitto) kutumia indicators zenye mapungufu kudanganya na kupotosha umma kwamba Kabila fulani ni maskini kwa sababu linanyonywa na Kabila fulani.

In short his analysis is flawed. Tumeshajadili kwanini, hamjaja na Majibu zaidi Ya kutetea upotoshaji wa Zitto. Unadhani hasomi hoja zetu? Anasoma sana na hawezi kurudia hoja Yake tena kwenye umma bila kupanga maelezo.


Hakuna ujamaa katika Zitto wala ACT, anachofanya ni kuteka mawazo Ya wananchi maskini kwa karata Ya ujamaa. CHAMA Cha kijamaa mapato yake huwa yapo wazi, Je mapato Ya Chama cha kijamaa cha ACT ambacho hakina hata ruzuku na pia supreme leader wake declared his worth ambayo amounted to peanuts ukifananisha na gharama za kuendesha Chama Hadi sasa, mapato yake source ni nini?
 
Unajua unanichekesha . Wewe leo unakubali indicators hizi GDP na HDI kuwa nzuri na ndizo zimeonyesha Shinyanga kuwa chini ya Kilimanjaro na ndizo Zitto kazitumia, halafu unageuka na kusema Zitto katumia indicators zenye mapungufu! zipi hizo? maana kama una matatizo na Human Development index ungesema wamekosea wao sio Zitto na kwamba ni wao wanataka kuchonganisha makabila kwa kuonyesha kwao kuwa Shinyanga inachangia zaidi lakini inapata kidogo kuliko Kilimanjaro inayochangia kidogo.

Kweli mimi leo nikulaumu wewe kwa kuonyesha takwimu za TRA na kusema wewe mbaguzi kwa sababu umeonyesha Shinyanga inachangia kidogo sana revenues kuliko Kilimanjaro wakati wewe umenukuu tu takwimu toka TRA!
 

Usitafute pa kupenya, tofauti Ya GDP na GNP ni ndogo sana.

Kwa lugha rahisi, GDP inaangalia market value Ya Bidhaa na huduma Zote zinazosalishwa ndani Ya uchumi katika kipindi cha Miezi mitatu Hadi kumi na mbili. Takwimu hii inajumuisha wazalishaji wote bila Ya kujalisha kama ni watanzania au wageni. GNP inapatikana Baada Ya kutoa vyote Vya wageni na kubakiza vya Tanzania nationals, na pia kuchukua vya Tanzania nationals ambao wamezalisha nje ya Nchi.

Kwahiyo Bado analysis Ya Zitto is flawed!
 

Usitafute pa kupenya. Pia usichanganye GDP and Economic growth. Growth ni ongezeko la GDP percentage wise from year to year.

Otherwise, tofauti baina Ya GDP na GNP ni ndogo sana. Kwa lugha rahisi, GDP inaangalia market value Ya Bidhaa na huduma Zote zinazosalishwa ndani Ya uchumi katika kipindi cha Miezi mitatu Hadi kumi na mbili. Wakati GDP takes into account of uzalishaji unaofanywa na watu wa sekta mbalimbali ndani ya uchumi bila Ya kujalisha kama ni watanzania au wageni, GNP inapatikana Baada Ya kutoa vyote Vya wageni na kubakiza vya Tanzania nationals, na pia kuchukua vya Tanzania nationals ambao wamezalisha nje ya Nchi.

Kwahiyo Bado analysis Ya Zitto is flawed!
 
hapana mkubwa tofauti ni kubwa sana kwa sababu chukulia Barricks hawa wapo katika GDP yetu lakini hawapo katika GNP ila wapo katika GDP na GNP ya Canada. Wahuni hawa hata hiyo walosajili kwetu wameuza baada ya kumaliza madini yote. Ni muhimu sana kufuatilia vitu hivi kabla hatujaendelea zaidi.
 

Kwa kifupi, your intellectual capacity has more value On issues other than economics otherwise ungeelewa. GDP is based on theories of economic growth. Kwahiyo application yake kama kipimo cha maendeleo inaendelea kuwa improved over time. On the other hand, Kodi ni kodi tu. Kama bajeti inalenga to raise kiasi fulani, itaangalia real income za targeted audience. Kama income tax ni x percent, hiyo ndio utakatwa kwenye mshahara wako na kwenda serikalini kama kodi. Kama mmachinga anakatwa x amount kwa mwezi, hiyo ndio utakatwa na itaenda serikalini kama kodi. So while GDP is theorized, tax levies are practiced. And in practice, Kilimanjaro contributes more to the nation in terms Of revenues than Shinyanga. That's why Zitto's analysis is flawed. Zakumi kakiri kwamba Zitto is all about "narratives", Kumbe anafanya mchezo wa "hadithi hadhiti, uongo njoo, ACT kolea. Nothing practical.
 
Last edited by a moderator:
Sijakuelewa kabisa kwa sababu tax revenue haihusiani kabisa na Pato la taifa. Tax revenues pia ni makadirio kama vinginevyo mkuu wangu unasema nini. Mwaka huu 15/16 naweza kulipa tax zaidi ya mwaka jana au hafifu kuliko mwaka jana inategemea na mapato. The more expactation ya higher Productivity kuna mategemeo ya ku collect tax zaidi.

Kumbuka hivi vyote vinakuwa valued na kuna mahesabu yake, huwezi kusema tax levies are practised wakati jana tu wamekaa na kupanga bajeti ya mwaka 15/16 wamejuaje wata tax collection itakuwa kiasi hicho na una uhakika gani itakuwa hivyo!. Mkuu yawezekana wewe umesomea Uchumi, mimi ndio maisha nayoishi nayo kila siku ktk shughuli zangu.
 

Mkandara, umezoeleka kama spinner and talk shop kind of guy, please leave the economics debate alone, it doesn't fit you. Kwanza, sio kweli kwamba tax revenues haina uhusiana na GDP. The equation of GDP is Consumption + Investment + Government + Net Exports. And in government, it's all about taxes. That's one. Two, hata kama taxes ni makadario, mchaga, msukuma, wote wanakatwa kipato chao kufuatana na makadirio. Mkuu, wanaoweza hoja Zako ambazo hazina mantiki bali utetezi kwa Zitto bila Ya msingi ni Akina nguruvi3. Mimi Sina uvumilivu sana katika hilo. Let's argue facts.
 
Mbona unababaisha hapa. kama wewe mjuzi wa Uchumi ilikuwaje ukatumia Tax revenue kama ndio pato la Taifa sio kupotosha. na mimi nilidhani kweli Zitto katumia tax revenue katika matumizi ya uendeshaji shughuli za serikali mkoa wa Shinyanga. I almost fall for it, ila sijui una hasira kwamba tumegundua ukweli ni upi. Maana Shinyanga mashirika kama Barricks yana misamaha wa tax n.k.


Sasa unapotoa equation ya GDP haina maana yoyote ikiwa Tax ni sehemu tu ya kitu kizima. ukaponyofoa kitu kimoja na kuanza kutuzuga hapo ndipo tumepanua zaidi kujua Zitto alikuwa na maana gani. Hizi ndizo facts huwezi kutumia Tax revenue kama ushahidi wa mchango mkubwa wa Kilimanjaro ktk mfuko wa Taifa wakati kuna mambo mengi ambayo wewe ulitaka tuya overlook na kuchukua lako. Ama sorry kama nimekukwaza but that's the fact kwamba hata tax ni makadirio kama makadirio mengineyo.
 

Pato la Taifa Ni lugha Ya Kiswahili. Dhana Ya kweli ni national income and tax revenues. Zitto used national income kudanganya Wasukuma kwamba wanadhulumiwana wachaga. Tumemsahihisha. Wewe Subiri siku akianza kutumia tax revenues Ndio utaelewa kwamba tulikuwa tunamkosoa Kwa maana ipo. Otherwise I don't need Mkandara to fall for anything but instead, I need him to enhance his understanding of principles of economics, or for that matter economics of development.
 
Mkuu bado unarudia yale yale Pato la taifa lina mchaganyiko wa mambo mengi, Tax revenues ni sehemu tu ya mambo mengi. Ikiwa Shinyanga imeonyeshwa inachangia zaidi katika report ya HDR, Hiyo ndiyo ichukuliwe kusahihishwa kama kuna makosa. Zittto hawezi kutumia tax Revenues ikiwa hana takwimu za kujenga hoja anayotaka kuizungumzia. Maadam tumejua katumia za HDR kuna sababu gani ya kuendelea na malumbano haya. Mimi nimesha elewa na kama nataka kupinga lolote nitawasahihisha HDR maana wametupa report yao ya 2014.
 

Mkuu, fanya utafiti ndio urudi Kwenye mjadala wa uchumi. Suala la Canadians producing gold worth trillions of dollars in Tanzania shouldn't be our concern at all, kwani mtaji unafuata penye faida. Lakini je, faida hizo zinawekwa wazi?
Na tunatoza Kodi kiasi gani Katika Hiyo faida Ya ukweli?
 

Sawa mkuu, I take that as commentary kwani Hata katika umati zitto mwanza, Wapo waliokubali bila Ya elimu husika. Naomba Sasa unijibu maswali Yangu kwako juu Ya ujamaa wa Zitto Na act. Nasubiri Majibu yako.
 
Duh mkuu mbona hueleweki, mimi nilitoa mfano tu juu ya tofauti za GDP na GNP na kuweka mfano wa Barricks. Haijalishi faida gani wamepata sisi tungekusanya kodi za mauzo, ushuru wa kuingizaji bandarini na kadhalika. Lakini in all tulichogundua kwamba pamoja na Shinyanga kutochangia sana ktk tax bado wamechangia zaidi ktk nyanja nyinginezo na kuwa nafasi walopewa. Sasa kama kuna mfumo mbovu hapa kuna kosa gani kuujadili badala ya kufikiria makabila tu wakati inaweza kuwa baina ya mtu na mtu..

Chukulia kipande hiki na conclution yao kuwa:-

As shown in the previous section, Tanzania's impressive economic growth in the last decade has failed to translate into meaningful improvements in human development.The common assumption that economic growth would "trickle down" to all groups of society has failed to materialize. Economic growth, although necessary,does not suffice to improve living standards and reduce poverty. What is needed is a more encompassing change:an economic transformation which involves not only economic growth but also a fundamental change of the economy's structure, as well as the creation of employment opportunities and social services.

HDI measures the level of human development in a country,ranging from 0 for low human development to 1 for high human development. With an HDI score of 0.488Tanzania falls into the bottom quartile of countries with the lowest level of human development. Ranking at 159 out of 187 countries, the UNDP's Global Human Development Report for 2014 has therefore classified Tanzania as a low human development country. What is even more striking is that the country's position in the HDI ranking has decreased by seven positions incomparison to the previous year.

Inshaalh tutaendelea kesho na ACT mpini wa CCM. tuachane na Zitto atakupeni depression bure..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…