Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

..Zitto ndiye anayeamini ktk hayo mambo ya mikoa fulani kudhulumu mikoa mingine. mambo ya kuchonganisha jamii moja vs nyingine.

..mimi siamini kama kuna mkoa au jamii fulani hapa Tz inaishi kinyonyaji na kudhulumu mikoa na jamii nyingine.

..hata mikoa ambayo iko nyuma kimaendeleo au jamii ambazo ziko nyuma kimaendeleo naamini zinapaswa kusaidiwa ili maendeleo yamfikie kila Mtanzania.

Wapi Zitto alisema kuwa kuna mikoa inafanya dhulma kwa mingine,Zitto kazungumzia mfumo,nyie mnaweka maneno yenu
 
Mimi nataka nionyeshwe wapi Zitto alisema KLM na Arusha inaidhulumu Shinyanga,
Mimi kumbukumbu zangu zinaniambia na kunionyesha Zitto kazungumzia mfumo na ushahidi upo wa maneno na maandishi kupitia maelezo ya Zitto, ila haya maelezo ya Nguruvi3 na Mchambuzi kua Zitto kasema kuna dhulma,nayahitaji na ushahidi ukiwekwa naachana na mjadala wa kupinga
 
Last edited by a moderator:
..Zitto ndiye anayeamini ktk hayo mambo ya mikoa fulani kudhulumu mikoa mingine. mambo ya kuchonganisha jamii moja vs nyingine.

..mimi siamini kama kuna mkoa au jamii fulani hapa Tz inaishi kinyonyaji na kudhulumu mikoa na jamii nyingine.

..hata mikoa ambayo iko nyuma kimaendeleo au jamii ambazo ziko nyuma kimaendeleo naamini zinapaswa kusaidiwa ili maendeleo yamfikie kila Mtanzania.

Jokakuu;

Katika michango yako mingi unachanganua mambo bila kuwa biased. Kama tungeweza kutumia sifa zako, tungeweza kumwangalia Zitto kama mwanasiasa na kupima maneno yake kama yanasaidia jamii, taifa, na yeye mwenyewe.

Matatizo yaliopo ni kuwa toka Zitto awe na migogoro na Chadema na toka aondoke CDM, kuna watu kwa sababu wanazozijua wenyewe wamehamua kucheza na Zitto bega kwa bega. Wanafuatilia anachosema. Wanafuatilia anapokwenda. They are obsessed with him 24/7. He's their number one enemy. I think he doesn't deserve that.

Kwa maoni yangu, Zitto anao uhuru wake wa kikatiba. Kuondoka kwake CDM, kusitufanye tumnyime haki yake ya kikatiba. Uhuru wa katiba unampa ruhusa ya kuitisha mikutano na kuzungumza. Katika mambo atakayozungumza, mengine hatutapendezwa nayo. Lakini hiyo isitufanye kumnyima haki yake. Nchi imehamua kufuata western democracy na hizo ndizo gharama zake.
 
Nisome kwa umakini Nguruvi3 magie3 Mchambuzi

Naeleza kilichosemwa na Zitto na source ya Takwimu alizozizotoa
Source ya Takwimu alizotoa Zitto zinatoka Tanzania Human Development Report 2014(THDR 2014)

Nanukuu maelezo ya Zitto
"Dar inaongoza kwa kuchangia pato la Taifa-16.9% Dar
-9.2% Mwanza kabla haijagawanya
-7.3%. Mbeya
-6%. Shinyanga
-5.3% Iringa

Hata hivyo Shinyanga ni moja ya mikoa yenye Umaskini wa kutupwa licha ya kuwa namba 4 katika kuchangia pato la Taifa.

Mikoa yenye Maendeleo Zaidi ni Arusha,Kilimanjaro na Dar es salaam.

Hata hivyo Kilimanjaro ni ya 9 katika kuchangia Pato la Taifa na Arusha ni ya 7 kuchangia Pato la Taifa

Mchambuzi
usome maelezo ya Zitto hapo chini,maana wewe unataka Zitto ataje CCM

" Zitto akasisitiza ndio mana ni lazima kubomoa mfumo wa sasa wa uchumi,huwezi kuwa na mkoa unashika nafasi ya 4 kuchangia Pato la Taifa lakini unashika namna 16 kati ya mikoa 21 kwa maendeleo ya watu.

Shinyanga ina migodi 2 ya dhahabu na migodi 2 ya Almasi,ina Ng'ombe na Pamba.

Tunavita moja tu,kufanya Mapinduzi ya mfumowetu was uchumi kutoka mfumo wa kinyonyaji na kifisadi na kujenga uchumi shirikishi,pia Zitto aligusia Takwimu za watu wenye elimu ya sekondari simiyu ni 3.7%, na Dar ni 29% inaongoza nchi mzima
Adharusi
Umeuliza swali, umepata jibu kutokana na maelezo yakomwenyewe.
Hakuna neno hata moja liloongezwa nje ya maelezo yako.

Mkandara aliwah ikusema(nukuu ipo) Supreme leader alisoma takwimu tu, asilaumiwe.
Wakulaumiwa ni hao THDR 2014

Inaelekea Adharusi anatushawishi tusome maelezo tu kama yalivyo. Kwa njia hiyo hatutakiwi kufikiri au kupambanua, kuchambua na kuleta maana liliyokusudiwa.

Tatizo la kusoma tu kama ilivyo, ndilo litakukabili katika hoja zifuatazo.

1 Kwa mujibu wa takwimu zako, Dar, Mwanza, Mbeya, Shinyanga zinaongoza kuchangia pato la taifa.
Uchangiaji huo upo katika eneo gani?

2 ''Hata hivyo Shinyanga ni mmoja wa mikoa yenye umasikiniwa kutupwa''
Je, umasikini wa Shinyanga ni namba ngapi kitaifa? Kwa mujibu watakwimu za Zitto, Shinyanga ni ya ngapi kwa umasikini? (Tunajua ni ya 4kuchangia pato la taifa)

3 Mikoa yenye maendeleo zaidi ni Arusha, Kilimanjaro na Dares Salaam. Je, hiyo rank inahusisha mikoa mitatu tu?

Katika orodha ya mikoa 5 yenye maendeleo, Kilimanjaro na Arusha zinashika nafasi ya ngapi? ( Kuchangiapato ni Dar, Mwanza, Shy, Iringa)

4. Neno hata ''hivyo'' kama lilivyotumika hapo juu linaaminisha nini?

5 Kuna uhusiano gani kati ya kuchangia pato, maendeleo,Arusha, Kilimanjaro, Dar, Mwanza, Shinyanga na Iringa?

6 Kubomoa mfumo wa uchumi wa sasa, kuna uhusiano gani kati ya mkoa unaochangia pato la taifa (4) na umasikini ukiwa wa 16 kati ya 21? Hapa hoja inauliza, kuna uhusiano gani kati ya mfumo wa uchumi, pato la taifa,maendeleo na umasikini?

7 Zitto anasema, kuna vita moja ya kuondoa mfumo wakinyonyaji na kifisadi na kujenga uchumi shirikishi''

Kuondoa ufisadi na unyonyaji ni jukumu letu sote. Swali neno la mfumo shirikishi limetumika kwa mantiki gani?

Hapa tunauliza, mfumo shirikishi utawahusisha akina nani? (Kumbuka mafisadi hawanakabila au dini) sasa mfumo huo shirikishi, unawashirikisha akina nani?

Ukiweza kujibu kila hoja kama zilivyo bila ubabaishaji au ulaghai nitaomba radhi kumwekea maneno supreme.

Ukishindwa basi na ukae kimya kwa Amani ii upate faida ya kujifunza na kuelewa!
 
Zakumi

Hakika tunamuangalia Zitto kama mwanasiasa,na utunafanya unachosema.

Tunapima maneno yake kama yanasaidia jamii, taifa na yeye mwenyewe

Maneno yake kama alivyomnukuu Adharusi hayasaidii jamii bali kuivunja na kuchonganisha.

Hayana tija kwa taifa kwasababu yanchochea kuvunja umoja wa taifa na kuingiza ‘xenophobia'' .

Kwa upande wake, hayamsaidii,anajikwaza kisiasa na kuendelea kubomoa credibility chache aliyokuwa nayo

Sidhani kama maoni yetu utakubaliana nayo, lakini ndicho ulichioshauri na ndicho kinafanyika.
Hapa inabidi ufanye kile wanachosema ''walk the talk''

Kwetu sisi wengine hatuangalii ugomvi wake, tunaangalia madhara ya ugomvi wake kama jamii, taifa na nchi.
Ugomvi wake unapovuka mipaka na wagomvi wake, hatuwezi kukaa kimya akilivuruga taifa!
Tutasema hata kama haipendezi wengine

Kuhusu uhuru wa kikatiba, nakushangaa sana maana hakuna mahali Supreme leader alipozuiwa uhuru huo.

Uhuru wa kikatiba anao hadi kufikia mahali pa kufarakanisha taifa. Kutopendezwa na maneno ya supreme leader hakutufanyi tumnyime haki yake ya kuzungumza, mikutano, kuendesha siasa n.k.

Hivyo hakuna haki ya kikatiba hata moja aliyonyimwa

Pamoja na hayo, nasi tuna haki ya kikatiba ya kujadili anayosema. Haki ile iliyompa nguvu ya kusema ndiyo inatupa nguvu ya kujadili kauli zake.

Hivyo, usitunyime haki zetu kwa kumpa supreme haki Zaidi na wala usitupe haki kwa kumnyima yeye

Kwamba supreme leader ni public enemy number one, hayo unasema wewe na uhuru huo unao kama ule alio nao wa kuwasimanga watuwanaojiletea maendeleo.

Kama unadhani ha-deserve criticism kuna njia rahisi aondoke jikoni. Lau kana atabaki basi afanye siasa za kileo na atambue hakuna mwanasiasa mwenye' immunity' duniani

Lakini pia umshauri kuwa mikoa ya kaskazini hai-deserve masumango yake
 
Adharusi
Umeuliza swali, umepata jibu kutokana na maelezo yakomwenyewe.
Hakuna neno hata moja liloongezwa nje ya maelezo yako.

Mkandara aliwah ikusema(nukuu ipo) Supreme leader alisoma takwimu tu, asilaumiwe.
Wakulaumiwa ni hao THDR 2014

Inaelekea Adharusi anatushawishi tusome maelezo tu kama yalivyo. Kwa njia hiyo hatutakiwi kufikiri au kupambanua, kuchambua na kuleta maana liliyokusudiwa.

Tatizo la kusoma tu kama ilivyo, ndilo litakukabili katika hoja zifuatazo.

1 Kwa mujibu wa takwimu zako, Dar, Mwanza, Mbeya, Shinyanga zinaongoza kuchangia pato la taifa.
Uchangiaji huo upo katika eneo gani?

2 ‘’Hata hivyo Shinyanga ni mmoja wa mikoa yenye umasikiniwa kutupwa’’
Je, umasikini wa Shinyanga ni namba ngapi kitaifa? Kwa mujibu watakwimu za Zitto, Shinyanga ni ya ngapi kwa umasikini? (Tunajua ni ya 4kuchangia pato la taifa)

3 Mikoa yenye maendeleo zaidi ni Arusha, Kilimanjaro na Dares Salaam. Je, hiyo rank inahusisha mikoa mitatu tu?

Katika orodha ya mikoa 5 yenye maendeleo, Kilimanjaro na Arusha zinashika nafasi ya ngapi? ( Kuchangiapato ni Dar, Mwanza, Shy, Iringa)

4. Neno hata ‘’hivyo’’ kama lilivyotumika hapo juu linaaminisha nini?

5 Kuna uhusiano gani kati ya kuchangia pato, maendeleo,Arusha, Kilimanjaro, Dar, Mwanza, Shinyanga na Iringa?

6 Kubomoa mfumo wa uchumi wa sasa, kuna uhusiano gani kati ya mkoa unaochangia pato la taifa (4) na umasikini ukiwa wa 16 kati ya 21? Hapa hoja inauliza, kuna uhusiano gani kati ya mfumo wa uchumi, pato la taifa,maendeleo na umasikini?

7 Zitto anasema, kuna vita moja ya kuondoa mfumo wakinyonyaji na kifisadi na kujenga uchumi shirikishi’’

Kuondoa ufisadi na unyonyaji ni jukumu letu sote. Swali neno la mfumo shirikishi limetumika kwa mantiki gani?

Hapa tunauliza, mfumo shirikishi utawahusisha akina nani? (Kumbuka mafisadi hawanakabila au dini) sasa mfumo huo shirikishi, unawashirikisha akina nani?

Ukiweza kujibu kila hoja kama zilivyo bila ubabaishaji au ulaghai nitaomba radhi kumwekea maneno supreme.

Ukishindwa basi na ukae kimya kwa Amani ii upate faida ya kujifunza na kuelewa!

nitakujibu mkuu
 
Definition of Human Development:
Human development has been defined by the United Nations Development Programme as the process by which people can achieve higher levels of well-being by expanding their capabilities and functioning. Human development therefore seeks to enable people to lead full and productive lives, whereby they can satisfy their life needs such as by raising their incomes and improving specific factors of their standard of living.

Definition of Economic Transformation:
Economic transformation is a process entailing the changing of the structure, path and speed of economic growth. Thus a shift in the whole production relations and choice of techniques for production. Economic transformation may also imply changes in the drivers of the economy; and thus the sectors that contribute most to growth. What it means really is not only transformation from low-growth to high-growth but also to move to capital or technology-intensive production processes that also facilitate more employment economy-wide (i.e. not necessarily in the same industry)

What is socio-economic transformation?
Socio-economic transformation iscommonly defined as a process in which an increasing proportion of economicoutput and employment are generated by sectors other than agriculture. Thisprocess of transformation connotes the shift from agricultural-based societies to urban, industrial and/or service-based economies with sustained high GrossDomestic Product (GDP) growth rates. GDP growth combined with a reductionin the population's growth rate - resulting from improvements in educationalaccess and quality increases GDP per capita, which, in turn, reduces poverty.The definitions above simply imply that the two subjects of economic growth and human development are twins that are inextricably related. One does not need to be held back to allow fulfillment of the other.
 
Definition of Human Development:
Human development has been defined by the United Nations Development Programme as the process by which people can achieve higher levels of well-being by expanding their capabilities and functioning. Human development therefore seeks to enable people to lead full and productive lives, whereby they can satisfy their life needs such as by raising their incomes and improving specific factors of their standard of living.

Definition of Economic Transformation:
Economic transformation is a process entailing the changing of the structure, path and speed of economic growth. Thus a shift in the whole production relations and choice of techniques for production. Economic transformation may also imply changes in the drivers of the economy; and thus the sectors that contribute most to growth. What it means really is not only transformation from low-growth to high-growth but also to move to capital or technology-intensive production processes that also facilitate more employment economy-wide (i.e. not necessarily in the same industry)

What is socio-economic transformation?
Socio-economic transformation iscommonly defined as a process in which an increasing proportion of economicoutput and employment are generated by sectors other than agriculture. Thisprocess of transformation connotes the shift from agricultural-based societies to urban, industrial and/or service-based economies with sustained high GrossDomestic Product (GDP) growth rates. GDP growth combined with a reductionin the population's growth rate - resulting from improvements in educationalaccess and quality increases GDP per capita, which, in turn, reduces poverty.

The definitions above simply imply that the two subjects of economic growth and human development are twins that are inextricably related. One does not need to be held back to allow fulfillment of the other.
Ni wakati sasa tuyaweke maelezo haya katika 'simple terms' zinazoeleweka na wengi.

Na si kutafsiri tu, bali pia tueleze uhusiano uliopo kati ya Mikoa inayochangia pato la taifa (Dar, Mwanza, Shinyanga, Iringa) kwa mujibu wa wale wanaotetea hoja za supreme, na uhusiano wa maendeleo katika mikoa ya Dar, Arusha, Kilimanjaro. Tuangalie pia ni namna gani sehemu moja inaweza kukwaza nyingine

Yaliyojadiliwa

Kuna mambo tumeyaongea.
Nguruvi3 aliongelea uhusiano kati ya umasikini na elimu.

Mchambuzi akaongelea population growth rate akieleza jinsi family planning inavyochangia kurudisha watu nyuma

JokaKuu akongelea hoja ya mwisho ya UN kuhusu ukweli kuwa hakuna mantiki ya kuzuia sehemu moja kwa ajili ya nyongine akionyesha kuwa maeneo ya nchi yetu hakuna eneo lilovuta jingine nyuma

Alinda akaomba sana uhusiano wa kuchangia pato, mgawanyo wa pato na maendeleo.

Tuendelee
 
nitakujibu mkuu
No problem, take your time. Ukiwa tayari rudi na vitu, kinyume chake unaweza kujikuta mahala pagumu zaidi wewe kama wakili na mtuhumiwa wako. Read between the lines mkuu
 
Haya turudi kwenye mada, Chama cha ACT - Mpini wa CCM kumaliza upinzani, kwa kukumbushana matamko mbali mbali yaliyowahi kutolewa na Supreme Leader na kuzua maswali badala ya majibu. Nitaanza kwa kujadili dira na malengo ya ACT-Tanzania/ACT-Wazalendo baada ya kuzinduliwa rasmi.

Haya watetezi wa Supreme Leader, nuru na dira ya ACT-Tanzania/ACT-Wazalendo, je mnaelezaje pale alipoamua kwa makusudi kabisa kutaja Ubungo, Kawe na Segerea mjini Dar es Salaa, kama ndio majimbo ACT-Wazalendo wanayoyapa kipaumbele kuyakomboa? Kutoka mikononi mwa nani? Chadema?

Kila mtu anajua chama tawala CCM, inavyosononeka kwa hayo majimbo kwamba ama tayari yako mikononi mwa Upinzani au yapo hatarini kuwaponyoka na kuchukuliwa na Upinzani. Je hapa hamuoni kama malengo ya CCM na malengo ya ACT-Wazalendo (soma Supreme Leader) yanashabihiana?

Supreme Leader hakuyataja haya majimbo kwa bahati mbaya, alikuwa ama anatekeleza makubaliano waliyowekeana na CCM au anatekeleza maagizo waliyopeana. Nitashangaa sana akitokea mtu hapa na kukana usaliti huu kwa hoja inayofanana na ile ya kutajwa kwa Shinyanga, Kilimanjaro na Arusha.

Nitarejea tena katika matamko mengine ikiwa ni pamoja na ya viongozi wengine ndani ya ACT-Tanzania/ACt-Wazalendo...
 
Mag3.

Wewe ni mtu mzima tena una wajukuu unapokuwa muongo unawaweka wapi wajukuu zako ki maadili.

Unafanya kama wenzako walivyokuwa wanafanya mwanzo kuchangua mikoa miwili Arusha na Kilimanjaro, wewe umeamua kuchagua majimbo kwenye kauli ya Zitto.

Hebu tumsome kiduchu muhusika.

Zitto

WANANCHI wa majimbo mbalimbali nchini, wameendelea kumwomba Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe agombee ubunge kwenye majimbo yao.Tayari wananchi wa majimbo kadhaa nchini wamemwandikia- Zitto barua ya maombi ya kumtaka katika uchaguzi mkuu mwaka huu agombee ubunge kwenye majimbo yao kupitia Chama cha ACT-Wazalendo.Miongoni mwa majimbo ambayo yaliyomwomba Zitto akagombeee ubunge ni Nyamagana mkoani Mwanza, jimbo linaloshikiliwa na Ezekia Wenje (Chadema), Kawe ambalo Mbunge wake ni Halima Mdee (Chadema), Ubungo kwa John Mnyika (Chadema), na Segerea kwa Dk.Makongoro Mahanga(CCM).Majimbo mengine ambayo yamemwomba akagombee ubunge ni Kahama mkoani Shinyanga na Kigoma Mjini ambalo mbunge wake ni Peter Selukamba (CCM).Juhudi za majimbo mbalimbali kumuwinda Zitto awe mbunge wao zimesababisha wananchi wa Kahama kuamua kutangaza kutoa gari aina ya Toyota Landcruiser kwa Chama cha ACT-Wazalendo, lengo likiwa kumshawishi Zitto kugombea ubunge. Wananchi wa Kahama wamekuwa wakimwomba Zitto kugombea ubunge kwa muda mrefu.Akithibitisha taarifa za kutakiwa kwenye majimbo mbalimbali nchini jana, Zitto alisema ni kweli kila kukicha amekuwa akipokea maombi ya kutakiwa kuwania ubunge katika majimbo mbalimbali.Alisema mwanzoni ilikuwa ni wananchi wa Kahama, lakini sasa Kawe, Ubungo na Segerea nao wameendelea kumshawishi kugombea ubunge kupitia majimbo yao.“Ni kweli. Nasikia watu wa Nyamagana wanataka niende. Awaliilikuwa Kahama, Geita, Kawe, Seerea- na Ubungo. Nitagombea kulingana na mipango ya chama.“Muhimu ni kuhakikisha chama chetu kinakuwa na wabunge ndani ya Bunge la 11, baada ya Bunge la 10 kumaliza muda wake. Hivyo, nasubiri uamuzi wa chama changu kitaamua nigombee jimbo gani. Kimsingi maombi yamekuwa mengi kadri siku zinavyosonga mbele,” alisema Zitto.Akifafanua zaidi, Zitto alisema wakati akiendelea kutafakari maombi ya wananchi wanaotaka akagombee ubunge kwenye majimbo yao, akili yake na moyo wake anatamani akagombee ubunge Kigoma Mjini. Jimbo hilo kwa sasa Mbunge wake ni Selukamba (CCM).
 
Last edited by a moderator:
Mag3. Wewe ni mtu mzima tena una wajukuu unapokuwa muongo unawaweka wapi wajukuu zako ki maadili...blah blah blah
April 2015 said:
Tayari wananchi wa majimbo kadhaa nchini wamemwandikia- Zitto barua ya maombi ya kumtaka katika uchaguzi mkuu mwaka huu agombee ubunge kwenye majimbo yao kupitia Chama cha ACT-Wazalendo.Miongoni mwa majimbo ambayo yaliyomwomba Zitto akagombeee ubunge ni Nyamagana mkoani Mwanza, jimbo linaloshikiliwa na Ezekia Wenje (Chadema), Kawe ambalo Mbunge wake ni Halima Mdee (Chadema), Ubungo kwa John Mnyika (Chadema), na Segerea kwa Dk.Makongoro Mahanga(CCM)...
Ritz, naomba nikurudishe nyuma miaka mitano iliyopita;
February 2010 said:
Hadi sasa nimekwishapokea maombi mengi kutoka kwa wananchi wa Jimbo la Kinondoni, Kahama, Geita, Kigoma Mjini na Kigoma Kaskazini ili niwawakilishe bungeni," alisema Zitto.

Hata hivyo, Zitto ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chadema alisema hadi sasa bado hajafanya uamuzi rasmi wa jimbo gani kati ya hayo atakwenda kugombea
Ritz, una haki ya kuniita jina lolote lile lakini sifumbii macho ulaghai kwa umbo lolote lile. Dai la watu kuandika barua kumuomba Supreme Leader agombee Ubunge halikuaza leo...kalaghabaho!
 
Last edited by a moderator:
Mag3.

Wewe ni mtu mzima tena una wajukuu unapokuwa muongo unawaweka wapi wajukuu zako ki maadili.

Unafanya kama wenzako walivyokuwa wanafanya mwanzo kuchangua mikoa miwili Arusha na Kilimanjaro, wewe umeamua kuchagua majimbo kwenye kauli ya Zitto.

Hebu tumsome kiduchu muhusika.
Mkuu Ritz naogopa zumbemkuu asijerudia tena yale maneno ukajisikia vibaya

Anyways, habari hii umeipita kama hukuiona
Nisome kwa umakini Nguruvi3 magie3 Mchambuzi

Naeleza kilichosemwa na Zitto na source ya Takwimu alizozizotoa
Source ya Takwimu alizotoa Zitto zinatoka Tanzania Human Development Report 2014(THDR 2014)

Nanukuu maelezo ya Zitto
"Dar inaongoza kwa kuchangia pato la Taifa-16.9% Dar
-9.2% Mwanza kabla haijagawanya
-7.3%. Mbeya
-6%. Shinyanga
-5.3% Iringa

Hata hivyo Shinyanga ni moja ya mikoa yenye Umaskini wa kutupwa licha ya kuwa namba 4 katika kuchangia pato la Taifa.

Mikoa yenye Maendeleo Zaidi ni Arusha,Kilimanjaro na Dar es salaam
.

Hata hivyo Kilimanjaro ni ya 9 katika kuchangia Pato la Taifa na Arusha ni ya 7 kuchangia Pato la Taifa

Mchambuzi
usome maelezo ya Zitto hapo chini,maana wewe unataka Zitto ataje CCM

" Zitto akasisitiza ndio mana ni lazima kubomoa mfumo wa sasa wa uchumi,huwezi kuwa na mkoa unashika nafasi ya 4 kuchangia Pato la Taifa lakini unashika namna 16 kati ya mikoa 21 kwa maendeleo ya watu.

Shinyanga ina migodi 2 ya dhahabu na migodi 2 ya Almasi,ina Ng'ombe na Pamba.

Tunavita moja tu,kufanya Mapinduzi ya mfumowetu was uchumi kutoka mfumo wa kinyonyaji na kifisadi na kujenga uchumi shirikishi,pia Zitto aligusia Takwimu za watu wenye elimu ya sekondari simiyu ni 3.7%, na Dar ni 29% inaongoza nchi mzima
Adharusi
Umeuliza swali, umepata jibu kutokana na maelezo yakomwenyewe.
Hakuna neno hata moja liloongezwa nje ya maelezo yako.

Mkandara aliwah ikusema(nukuu ipo) Supreme leader alisoma takwimu tu, asilaumiwe.
Wakulaumiwa ni hao THDR 2014

Inaelekea Adharusi anatushawishi tusome maelezo tu kama yalivyo. Kwa njia hiyo hatutakiwi kufikiri au kupambanua, kuchambua na kuleta maana liliyokusudiwa.

Tatizo la kusoma tu kama ilivyo, ndilo litakukabili katika hoja zifuatazo.

1 Kwa mujibu wa takwimu zako, Dar, Mwanza, Mbeya, Shinyanga zinaongoza kuchangia pato la taifa.
Uchangiaji huo upo katika eneo gani?

2 ''Hata hivyo Shinyanga ni mmoja wa mikoa yenye umasikiniwa kutupwa''
Je, umasikini wa Shinyanga ni namba ngapi kitaifa? Kwa mujibu watakwimu za Zitto, Shinyanga ni ya ngapi kwa umasikini? (Tunajua ni ya 4kuchangia pato la taifa)

3 Mikoa yenye maendeleo zaidi ni Arusha, Kilimanjaro na Dares Salaam. Je, hiyo rank inahusisha mikoa mitatu tu?

Katika orodha ya mikoa 5 yenye maendeleo, Kilimanjaro na Arusha zinashika nafasi ya ngapi? ( Kuchangiapato ni Dar, Mwanza, Shy, Iringa)

4. Neno hata ''hivyo'' kama lilivyotumika hapo juu linaaminisha nini?

5 Kuna uhusiano gani kati ya kuchangia pato, maendeleo,Arusha, Kilimanjaro, Dar, Mwanza, Shinyanga na Iringa?

6 Kubomoa mfumo wa uchumi wa sasa, kuna uhusiano gani kati ya mkoa unaochangia pato la taifa (4) na umasikini ukiwa wa 16 kati ya 21? Hapa hoja inauliza, kuna uhusiano gani kati ya mfumo wa uchumi, pato la taifa,maendeleo na umasikini?

7 Zitto anasema, kuna vita moja ya kuondoa mfumo wakinyonyaji na kifisadi na kujenga uchumi shirikishi''

Kuondoa ufisadi na unyonyaji ni jukumu letu sote. Swali neno la mfumo shirikishi limetumika kwa mantiki gani?

Hapa tunauliza, mfumo shirikishi utawahusisha akina nani? (Kumbuka mafisadi hawanakabila au dini) sasa mfumo huo shirikishi, unawashirikisha akina nani?

Ukiweza kujibu kila hoja kama zilivyo bila ubabaishaji au ulaghai nitaomba radhi kumwekea maneno supreme.

Ukishindwa basi na ukae kimya kwa Amani ii upate faida ya kujifunza na kuelewa!
 
Haya turudi kwenye mada, Chama cha ACT - Mpini wa CCM kumaliza upinzani, kwa kukumbushana matamko mbali mbali yaliyowahi kutolewa na Supreme Leader na kuzua maswali badala ya majibu. Nitaanza kwa kujadili dira na malengo ya ACT-Tanzania/ACT-Wazalendo baada ya kuzinduliwa rasmi.

Haya watetezi wa Supreme Leader, nuru na dira ya ACT-Tanzania/ACT-Wazalendo, je mnaelezaje pale alipoamua kwa makusudi kabisa kutaja Ubungo, Kawe na Segerea mjini Dar es Salaa, kama ndio majimbo ACT-Wazalendo wanayoyapa kipaumbele kuyakomboa? Kutoka mikononi mwa nani? Chadema?

Kila mtu anajua chama tawala CCM, inavyosononeka kwa hayo majimbo kwamba ama tayari yako mikononi mwa Upinzani au yapo hatarini kuwaponyoka na kuchukuliwa na Upinzani. Je hapa hamuoni kama malengo ya CCM na malengo ya ACT-Wazalendo (soma Supreme Leader) yanashabihiana?

Supreme Leader hakuyataja haya majimbo kwa bahati mbaya, alikuwa ama anatekeleza makubaliano waliyowekeana na CCM au anatekeleza maagizo waliyopeana. Nitashangaa sana akitokea mtu hapa na kukana usaliti huu kwa hoja inayofanana na ile ya kutajwa kwa Shinyanga, Kilimanjaro na Arusha.

Nitarejea tena katika matamko mengine ikiwa ni pamoja na ya viongozi wengine ndani ya ACT-Tanzania/ACt-Wazalendo...
Mkuu, nakumbuka Zitto alishawahi kuunda kamati ya kumsaidia kuchagua agombee jimbo gani.

All in all, inapofikia mahali 'mpinzani' anatamani majimbo ya upinzani, inatisha
Kwake, Kawe, ubungo ni njema kuliko Ilala, Kigamboni na Temeke. Huko hakuna wananchi wanaomhitaji!!!

Na unapoona ''CCM'' wanampenda mtu na kumtetea, ipo namna!

Hizi siasa za ulaghai ni mbaya sana, kama hatutazikataa tutapata matatizo
 
Ritz, naomba nikurudishe nyuma miaka mitano iliyopita;
Ritz, una haki ya kuniita jina lolote lile lakini sifumbii macho ulaghai kwa umbo lolote lile. Dai la watu kuandika barua kumuomba Supreme Leader agombee Ubunge halikuaza leo...kalaghabaho!
Mag3.

Yaani unatengeneza maandishi yako kisha unaniambia unanirudisha nyuma kidogo mkuu mimi nipo JF miaka mingi huo ujanja tumeufanya sana, tufahamishe hiyo kauli ya Zitto umeipata wapi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ritz naogopa zumbemkuu asijerudia tena yale maneno ukajisikia vibaya

Anyways, habari hii umeipita kama hukuiona Adharusi
Umeuliza swali, umepata jibu kutokana na maelezo yakomwenyewe.
Hakuna neno hata moja liloongezwa nje ya maelezo yako.

Mkandara aliwah ikusema(nukuu ipo) Supreme leader alisoma takwimu tu, asilaumiwe.
Wakulaumiwa ni hao THDR 2014

Inaelekea Adharusi anatushawishi tusome maelezo tu kama yalivyo. Kwa njia hiyo hatutakiwi kufikiri au kupambanua, kuchambua na kuleta maana liliyokusudiwa.

Tatizo la kusoma tu kama ilivyo, ndilo litakukabili katika hoja zifuatazo.

1 Kwa mujibu wa takwimu zako, Dar, Mwanza, Mbeya, Shinyanga zinaongoza kuchangia pato la taifa.
Uchangiaji huo upo katika eneo gani?

2 ‘’Hata hivyo Shinyanga ni mmoja wa mikoa yenye umasikiniwa kutupwa’’
Je, umasikini wa Shinyanga ni namba ngapi kitaifa? Kwa mujibu watakwimu za Zitto, Shinyanga ni ya ngapi kwa umasikini? (Tunajua ni ya 4kuchangia pato la taifa)

3 Mikoa yenye maendeleo zaidi ni Arusha, Kilimanjaro na Dares Salaam. Je, hiyo rank inahusisha mikoa mitatu tu?

Katika orodha ya mikoa 5 yenye maendeleo, Kilimanjaro na Arusha zinashika nafasi ya ngapi? ( Kuchangiapato ni Dar, Mwanza, Shy, Iringa)

4. Neno hata ‘’hivyo’’ kama lilivyotumika hapo juu linaaminisha nini?

5 Kuna uhusiano gani kati ya kuchangia pato, maendeleo,Arusha, Kilimanjaro, Dar, Mwanza, Shinyanga na Iringa?

6 Kubomoa mfumo wa uchumi wa sasa, kuna uhusiano gani kati ya mkoa unaochangia pato la taifa (4) na umasikini ukiwa wa 16 kati ya 21? Hapa hoja inauliza, kuna uhusiano gani kati ya mfumo wa uchumi, pato la taifa,maendeleo na umasikini?

7 Zitto anasema, kuna vita moja ya kuondoa mfumo wakinyonyaji na kifisadi na kujenga uchumi shirikishi’’

Kuondoa ufisadi na unyonyaji ni jukumu letu sote. Swali neno la mfumo shirikishi limetumika kwa mantiki gani?

Hapa tunauliza, mfumo shirikishi utawahusisha akina nani? (Kumbuka mafisadi hawanakabila au dini) sasa mfumo huo shirikishi, unawashirikisha akina nani?

Ukiweza kujibu kila hoja kama zilivyo bila ubabaishaji au ulaghai nitaomba radhi kumwekea maneno supreme.

Ukishindwa basi na ukae kimya kwa Amani ii upate faida ya kujifunza na kuelewa!
Mkuu Nguruvi3.

Wala mimi sijisikii vibaya kwa chochote dhidi ya Pro-Chadema na Bavicha kunitukana mimi nimeishakuwa sugu na matusi ya Bavicha ukinitajia huyo mfuasi wako zumbemkuu sidhani kama anaweza kuja na matusi mapya dhidi yangu.

Nampa offer serous akija na matusi mapya nampa zawadi ya dollar 100.

Najua mkuu wewe ndiyo supreme leader wa ili jukwaa tuvumiliane tu mimi sugu wa matusi.

Tuendelee na ACT Mpini...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, nakumbuka Zitto alishawahi kuunda kamati ya kumsaidia kuchagua agombee jimbo gani.

All in all, inapofikia mahali 'mpinzani' anatamani majimbo ya upinzani, inatisha
Kwake, Kawe, ubungo ni njema kuliko Ilala, Kigamboni na Temeke. Huko hakuna wananchi wanaomhitaji!!!

Na unapoona ''CCM'' wanampenda mtu na kumtetea, ipo namna!

Hizi siasa za ulaghai ni mbaya sana, kama hatutazikataa tutapata matatizo
Na unapoona wafuasi wa "Chadema" wanapambana na mtu mmoja basi ujue ipo namna!
 
Mkuu, nakumbuka Zitto alishawahi kuunda kamati ya kumsaidia kuchagua agombee jimbo gani.

All in all, inapofikia mahali 'mpinzani' anatamani majimbo ya upinzani, inatisha
Kwake, Kawe, ubungo ni njema kuliko Ilala, Kigamboni na Temeke. Huko hakuna wananchi wanaomhitaji!!!

Na unapoona ''CCM'' wanampenda mtu na kumtetea, ipo namna!

Hizi siasa za ulaghai ni mbaya sana, kama hatutazikataa tutapata matatizo
Mkuu Nguruvi3, nakujibu kwa kumnukuu Zitto mwenyewe mwaka huo wa 2010;
Zitto 2010 said:
Napenda kuchukua nafasi hii kutangaza kuwa nitagombea katika moja kati ya hayo majimbo ambayo wananchi wameniomba, lakini hadi sasa bado sijafanya uamuzi rasmi. Pia nimeuvunja msimamo wangu wa kujiondoa katika siasa kama nilivyotangaza awali, hii ni kutokana na maombi ya wananchi kutaka nibakie katika medani ya siasa.

Pamoja na kuhitajika katika majimbo hayo, siwezi kukurupuka na kutangaza tu kuwa nitagombea jimbo hili. Kwanza nimekwishaanza kufanya utafiti na uchunguzi wa kina katika hayo majimbo pia uamuzi wangu utategemeana na ushauri kutoka kwa viongozi wangu wa Chadema, ndugu, marafiki na jamaa zangu.
Zitto alifafanua kwamba uamuzi wa kugombea moja kati ya majimbo hayo utategemeana na utafiti na uchunguzi ambao amekwisha uanza kuufanya kupitia watu wake maalumu pamoja na ushauri kutoka kwa viongozi wa chama chake, ndugu, jamaa na marafiki zake.

Huo ni ulaghai at its best ingawa bado watu wanamwamini kama Mkandara wakitetea eti huo ndio ukomavu wa kisiasa na kwamba wengine tunaongozwa tu na wivu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Nguruvi3, nakujibu kwa kumnukuu Zitto mwenyewe mwaka huo wa 2010;

Zitto alifafanua kwamba uamuzi wa kugombea moja kati ya majimbo hayo utategemeana na utafiti na uchunguzi ambao amekwisha uanza kuufanya kupitia watu wake maalumu pamoja na ushauri kutoka kwa viongozi wa chama chake, ndugu, jamaa na marafiki zake.

Huo ni ulaghai at its best ingawa bado watu wanamwamini kama Mkandara wakitetea eti huo ndio ukomavu wa kisiasa na kwamba wengine tunaongozwa tu na wivu.
Mkuu yaani Zitto akiombwa kugombea sehemu ni makosa lakini wengine wakiombwa siyo makosa.

Soma hii kiduchu.

Musa Juma na Moses Mashalla, ArushaWAKATI Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa akianza kugusa hisia za watu wanaomtaka agombee ubunge katika Jimbo la Arumeru Mashariki, mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe amesema iwapo mtendaji mkuu huyo wa chama ataamua kuwania kiti hicho, wataheshimu uamuzi wake.Wakati Mbowe akitoa kauli hiyo, aliyepeperusha bendera ya Chadema katika uchaguzi wa mwaka 2010, Joshua Nasari na kutoa upinzani mkali kwa mgombea wa CCM, marehemu Jeremiah Sumari, naye amesema kama katibu mkuu wake ataamua kuwania kiti hicho, hatakuwa na pingamizi ikiwa chama kitaamua kwani lengo ni kutwaa jimbo hilo.Akizungumza na Mwananchi jana baada ya kuibuka mjadala kuhusu uwezekano wa Dk Slaa kuwania jimbo hilo, Mbowe alisema, "Katika suala la kugombea, utashi binafsi ni jambo la msingi...,kama Dk Slaa ataamua kugombea ubunge- Arumeru Mashariki, tutaheshimu uamuzi wake."Mbowe alisema katika uteuzi wa chama, kuna vigezo vinavyoangaliwa ikiwa ni pamoja na jinsi mtu anavyokubalika kwa wananchi anakogombea, sifa zake na utashi wake binafsi na kuongeza, "Hatuna uteule katika chama."Hata hivyo, Mbowe alisema Chadema hakiwezi kumlazimisha Dk Slaa akagombee jimbo hilo kama mwenyewe utashi haumtumi kufanya hivyo, na kwamba hana shaka na kukubalika kwa katibu mkuu huyo kutokana na imani aliyojijengea kwa umma wa Watanzania.Mbowe alisema Dk Slaa amekuwa akiombwa kugombea ubunge katika maeneo mengi likiwamo Jimbo la Igunga, lakini chama kisingeweza kumlazimisha kwani jambo la kwanza ilibidi mwenyewe aonyeshe utashi binafsi wa kutaka kuwania kiti hicho."Dk Slaa aliwahi kuombwa akagombee Igunga, lakini hakwenda. Hii ni kwasababu anakubalika nchini karibu kote, hivyo kama atakuwa na utashi binafsi kwanza, nadhani taratibu za chama zitatumika tu kufikia uamuzi," alifafanua.Mwenyekiti huyo wa Chadema pia alitoa angalizo kwamba, wakati mwingine uamuzi wa chama kupata mgombea unaangalia jinsi mgombea alivyo na mtandao katika jimbo analotaka kugombea ili hata kama akichaguliwa aonekane ni mbunge wa eneo hilo."Ndiyo maana nasema kuna vigezo vingi tu, kwa mfano mtu anaweza kuwa mbunge mzuri bungeni, lakini je, ana connectivity (kinachomuunganisha) jimboni, kuangalia kama ana makazi na mtandao mwingine kwani asije akawa mbunge mzuri bungeni, lakini jimboni akiwa kama mgeni hivyo watu wakaona kama kimewapelekea pandikizi tu,"alifafanua Mbowe.-Tangu juzi kumekuwa na mjadala katika mitandao ya kijamii huku baadhi wakimtaka Dk Slaa akagombee ubunge Arumeru Mashariki.
 
Last edited by a moderator:
Mag3. Yaani unatengeneza maandishi yako kisha unaniambia unanirudisha nyuma kidogo mkuu mimi nipo JF miaka mingi huo ujanja tumeufanya sana, tufahamishe hiyo kauli ya Zitto umeipata wapi.
Ritz acha upuuzi wako, sijui una maana gani kudai nimetengeneza maneno yangu, nimenukuu maneno yako word for word! Soma tena niliyoyaandika kama hayamo kwenye post yako. Halafu hii ya kusema sisi ni wana Chadema ni muendelezo tu wa upuuzi wenu; mimi naunga mkono msimamo wa Chadema lakini sijawahi hata kukutana na kiongozi wao hata moja, nasoma na kufuatilia tu harakati zao katika kuwaelimisha wananchi juu ya chama cha kilaghai cha CCM na kitoto chake ACT...I dont even know which is which!

Hayo maneno unayodai source, naomba utafute gazeti la Mwananchi la Februari, 2010 wakimhoji Zitto...sina hakika ni tarehe gani au ukipenda fukua humu JF, tuliuongelea sana uropokaji wakati huo. Nitatafuta reference nikuletee, kumbuka JF inatunza kumbu kumbu na kama mtu aliwahi kuropoka hovyo huko nyuma, imetoka hiyo, haifutiki. Najua kuna mbinu zimefanywa watu kujaribu kurekebisha, kusahihisha na hata kufuta kauli zao za awali huko nyuma; kisiki ni kwamba iwapo kuna watu walishakunukuu hata ukirekebisha ulichoandika, juhudi zako ni bure.
Mkuu yaani Zitto akiombwa kugombea sehemu ni makosa lakini wengine wakiombwa siyo makosa.
Nitajie Mbunge aliyewahi kuandikiwa barua kutoka majimbo mbali mbali akiombwa agombee majimbo zaidi ya moja.
 
Back
Top Bottom