Nisome kwa umakini
Nguruvi3 magie3
Mchambuzi
Naeleza kilichosemwa na Zitto na source ya Takwimu alizozizotoa
Source ya Takwimu alizotoa
Zitto zinatoka Tanzania Human Development Report 2014(THDR 2014)
Nanukuu maelezo ya
Zitto
"Dar inaongoza kwa kuchangia pato la Taifa-16.9% Dar
-9.2% Mwanza kabla haijagawanya
-7.3%. Mbeya
-6%. Shinyanga
-5.3% Iringa
Hata hivyo Shinyanga ni moja ya mikoa yenye Umaskini wa kutupwa licha ya kuwa namba 4 katika kuchangia pato la Taifa.
Mikoa yenye Maendeleo Zaidi ni Arusha,Kilimanjaro na Dar es salaam.
Hata hivyo Kilimanjaro ni ya 9 katika kuchangia Pato la Taifa na Arusha ni ya 7 kuchangia Pato la Taifa
Mchambuzi usome maelezo ya Zitto hapo chini,maana wewe unataka
Zitto ataje CCM
" Zitto akasisitiza ndio mana ni lazima kubomoa mfumo wa sasa wa uchumi,huwezi kuwa na mkoa unashika nafasi ya 4 kuchangia Pato la Taifa lakini unashika namna 16 kati ya mikoa 21 kwa maendeleo ya watu.
Shinyanga ina migodi 2 ya dhahabu na migodi 2 ya Almasi,ina Ng'ombe na Pamba.
Tunavita moja tu,kufanya Mapinduzi ya mfumowetu was uchumi kutoka mfumo wa kinyonyaji na kifisadi na kujenga uchumi shirikishi,pia
Zitto aligusia Takwimu za watu wenye elimu ya sekondari simiyu ni 3.7%, na Dar ni 29% inaongoza nchi mzima