Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

JokaKuu,

Kwako Zitto uwa ana jema hata moja sijawahi kukusoma ukimuandika kwa mema hata siku moja wakati mwingine uwa nacheka peke yangu.

Kwako Zitto anaweza kuzidiwa hata na Dovutwa.
Kwamba Dobutwa anaweza kuwa zaidi ya Zitto, hatuna uhakika.

Tunachojua, Dovutwa ana chama chake mfukoni, anavaa kofia nyekundu na kuendeleza siasa zake nchini kwa mujibu wa sheria.

Dovutwa hajaitenga jamii wala kuchomeka mbegu za ukabila na ukanda.
Hatujui ni Kabila gani, ingawa tunajua Zitto ni wa Kigoma na hakuna dhambi mkigoma kugombea Uenyekiti.

Tunajua Zitto kauli zake dhidi ya maeneo mengine zinaleta matatizo sana katika jamii.
Jamii inahisia na kugawanyika kutokana na kauli za Zitto, hatujasikia za Dovutwa

Zitto ni zaidi ya Dovutwa, inategemea unaangalia kutoka upande gani na darubini yenye ukubwa gani.
 
Kwamba Dobutwa anaweza kuwa zaidi ya Zitto, hatuna uhakika.

Dovutwa hajaitenga jamii wala kuchomeka mbegu za ukabila na ukanda.
Hatujui ni Kabila gani, ingawa tunajua Zitto ni wa Kigoma na hakuna dhambi mkigoma kugombea Uenyekiti.

Tunajua Zitto kauli zake dhidi ya maeneo mengine zinaleta matatizo sana katika jamii.
Jamii inahisia na kugawanyika kutokana na kauli za Zitto, hatujasikia za Dovutwa

Neno langu dogo tu, Tuseme Imetosha!!Bold, sio ya Zitto hayo bali ni mwangwi wako mwenyewe.

Jibadilishe.

Jenga utanzania ndani yako.

Taifa linatuhitaji sote.Taifa moja,lisilo na Ukaskazini wala Ukusini.
 
Hivi u Ukaskazini mnautoa wapi?maana nautafuta siuoni, nimesoma maelezo ya Zitto sioni, ndio maana nazidi kupata mashaka sana na Utanzania wa baadhi yetu, maana kutafsiri jambo la kisera na kimfumo kwa muktadha wa Ukaskazini?hii inasikitisha sana.

Na kingine hiki kinanishangaza zaidi, kwanini Lindi isiwe issue?maana alipotaja Kilimanjaro ndipo alipotaja Lindi pia?sasa kwanin iibuke hoja tu ya Ukaskazini lakini isiibuke hoja ya Ukusini?kuna tatizo kubwa hapa.

Ni wazi kuwa kuna watu wanatafuta excuse ya kuonyesha jinsi wasivyo wa-taifa kwa kulazimisha ata kisichokuwepo.Tunahitaji kuondoa hii kitu mioyoni mwetu, maana wakati mwingine unaweza ukakiona kitu sio kwa sababu kipo kwa mwingine bali ni kwa sababu kipo ndani yako.Hiki tukiondoe!!

Na pia tusiwawekee watu maneno ambayo hawajayasema, mfano wa Ukaskazini na chuki kwa Ukaskazini, kama tunahitaji Ukaskazini tuseme wazi kama Nassari, tusiwasingizie wengine. Ebu tulishike neno hili la busara la Alinda hapa chini.

Hayo ya power struggle ndani ya Chadema sio rahisi kwetu ku-conclude lolote.

Kwenye taasis yeyote kuna vitu vya ndani ambayo kwa mtu asiye kwenye inner-cycle hawezi kujua.
Ndivyo ilivyo ngumu kwangu na labda kwetu juu ya hayo ya chumba cha ndani cha Chadema.

Ni vizuri tu tuweke benefit of doubt kwa pande zote kisha tusonge mbele.

Hakuna mtu yeyote utamsikia analalamikia Usingida wala U-Iringa.Mtu yeyote atatambua kuwa kauli hiyo ni ya kisiasa dhidi ya Msigwa na Lissu.

Nguruvu, Alinda: Najua mu watu makini sana, na yawezekana kabisa mna Utanzania ndani yenu.Lakini kauli hizi humu ndani badala ya kujenga zitazidi kujenga utengano wa kijamii.

Kuna watu humu wanaosoma ambao kwa maelezo ya humu watapata picha tofauti na badala ya kujenga ndio kwanza tunabomoa zaidi.Tusiwe watetezi wa Kanda.Tuwe wa Tanzania kwanza.
Mkuu kwanza, lazima ukumbuke zilikuwepo hisia za udini na ukanda katika chama cha Zitto.
Alinda yupo hapa, aliwahi kufanya mazungumzo naye na hakukanusha. Karata hiyo imetumiwa sana na CCM.
Hivyo suala la ukanda chimbuko lake ukiliangalia kwa undani si CCM

Pili, Kama uliangalia hotuba zote zilizoletwa hapa jamvini, ile ya Shinyaga Zitto alikwenda moja kwa moja Kilimanjaro na Arusha bila kuwa na utaratibu. Mfano, aliongelea Mikoa hiyo kuchangia pato kidogo na kuwa na maendeleo. Akasema katika uchangiaji ni namba 7 na 9 na maendeleo ipo juu. Hakueleza nafasi katika maendeleo, neno juu ni la jumla.
Lengo lilikuwa kuwaacha wasikilizaji waamue juu ni namba 1 ,2 au 3.

Katika uchangiaji, tukauliza mbona amekwenda namba 7 na 9 akiacha 1-6? Tukapewa majibu ya kubabaisha

Tunaweza kusema kwa dhati kabisa hilo la Lindi, sijui umelitoa wapi, hotuba ya Shinyanga au Mwanza maana kuna version nyingi.

Hata taarifa ya habari ya TV(clip ipo nadhani ilikuwa Tabora) , ilipofika katika eneo la mikoa tajwa ilikatwa haraka ili kuondoa hisia na kujenga utaifa. Tunaelewa hilo.

Suala la Lindi tunadhani unalileta kufunika uchafu, ukweli ni kuwa Zitto alikwenda straight kwenye maeneo anayolenga yeye

Kuhusu power struggle, hilo hatujui na ndio maana tunasema yeye na wenzake wamalizane huko bila kuwahusisha wananchi.

Ukiangalia clip ya Alinda, kwa tafsiri yako Zitto alikuwa katika mtifuano wa ndani na watu wake. That's ok.

Hatukubali mtifuano huo uchukue sura ya mikoa. Huwezi kumfanya Lissu kama Singida kwa kisingizio cha tifu la chama.
Huwezi kuwaendelea kombo wananchi wa Iringa kwasababu ya Msigwa. Zitto ndiye anajenga hisia na chuki zote hizo

Kuhusu Utanzania wetu, nakuhakikishia kwangu Tanzania ni alpha and Omega.

Ndiyo nchi niliyozaliwa nakikakulia na ninaishi. Tumekuta wananchi wanaishi kwa Utangamano mkubwa.

Nimeishi nje ya mkoa wangu karibu asilimia 70 ya miasha.
Leo akitokea mjinga anaanza kutugawa kwa ukabila na ukanda, sitafumba macho

Katika vita ya kumpigania mama Tanzania, tutakuwa watu wa mwisho waliosimama kabla ya 'silaha' zetu hazijawa kimya.
Yes silaha ya kukemea na kupingana na wale wanaotaka kuivuruga Tanzania .

Tunaomba watu wanaosoma, waelewe kuwa hoja hapa ni kujenga Utanzania, kukemea aina au kiashiria chochote kile kinachochoea hisia au utengano.

Tusemezane
 
Mkuu kwanza, lazima ukumbuke zilikuwepo hisia za udini na ukanda katika chama cha Zitto.
Alinda yupo hapa, aliwahi kufanya mazungumzo naye na hakukanusha. Karata hiyo imetumiwa sana na CCM.
Hivyo suala la ukanda chimbuko lake ukiliangalia kwa undani si CCM

Who is Alinda?maana anatumia jina la bandia hapa sasa unataka tuyachukue maandishi ya Alinda kama msaafu?please..

Sasa ili tuyafanye maelezo ya Alinda kuwa rasmi basi aitishe mkutano na waandishi wa habari atoe hiyo taarifa, hapo sasa tutamhitaji Zitto ajibu rasmi hayo maelezo atakayotoa Alinda, otherwise huwezi kutegemea kuwa Zitto anaweza akajibu kila uzushi anaotajwa kwenye mitandaoni.Ni impractical!

Karata hiyo imetumiwa sana na CCM.
Hivyo suala la ukanda chimbuko lake ukiliangalia kwa undani si CCM

Kuhusu power struggle, hilo hatujui na ndio maana tunasema yeye na wenzake wamalizane huko bila kuwahusisha wananchi.

Hayo ya ndani ya Chadema, nadhani Zitto na akina Mbowe wanayajua zaidi.Kuingilia sisi ambao hatukuwepo kwenye inner-circle tutakuwa tunacheza upatu tu.Zitto na Mbowe wanajuana wao vizuri.

Mkuu kwanza, lazima ukumbuke zilikuwepo hisia za udini na ukanda katika chama cha Zitto.

Hivyo suala la ukanda chimbuko lake ukiliangalia kwa undani si CCM

Pili, Kama uliangalia hotuba zote zilizoletwa hapa jamvini, ile ya Shinyaga Zitto alikwenda moja kwa moja Kilimanjaro na Arusha bila kuwa na utaratibu. Mfano, aliongelea Mikoa hiyo kuchangia pato kidogo na kuwa na maendeleo. Akasema katika uchangiaji ni namba 7 na 9 na maendeleo ipo juu. Hakueleza nafasi katika maendeleo, neno juu ni la jumla.
Lengo lilikuwa kuwaacha wasikilizaji waamue juu ni namba 1 ,2 au 3.

Katika uchangiaji, tukauliza mbona amekwenda namba 7 na 9 akiacha 1-6? Tukapewa majibu ya kubabaisha

Tunaweza kusema kwa dhati kabisa hilo la Lindi, sijui umelitoa wapi, hotuba ya Shinyanga au Mwanza maana kuna version nyingi.

Hata taarifa ya habari ya TV(clip ipo nadhani ilikuwa Tabora) , ilipofika katika eneo la mikoa tajwa ilikatwa haraka ili kuondoa hisia na kujenga utaifa. Tunaelewa hilo.

Suala la Lindi tunadhani unalileta kufunika uchafu, ukweli ni kuwa Zitto alikwenda straight kwenye maeneo anayolenga yeye

Hayo yote unayajenga ni ishara ya jinsi moyo wako ulivyo.Maana Kila habari/hotuba unaitafsiri kwa kanda badala ya taifa alafu unajifariji kwa kuwasingizia wengine, unawasingiziaje wakati ni wewe umewaza hivyo??Hili ni tatizo kubwa sana.

Kwahiyo unataka kusema mwanasiasa ambaye hatokei Kilimanjaro au Arusha ni marufuku kwake kutoa mfano wa mkoa wa Kilimanjaro?ebu acheni ubaguzi ndugu zangu, miaka 54 baada ya uhuru mtu upo sensitive na kutajwa jina la mkoa?sasa mbona wa Lindi hawajalalamika kutolewa kwa mfano wa mkoa wa Lindi pia??kwanin iwe kosa kuitaja Kilimanjaro?bila kujijua mnajenga ubaguzi na kutenganisha watu.

Lakini nikuhakikishieni, hii mbegu mnayotaka kuipanda haitafanikiwa.Katika taifa hili hakuna kitu kinaitwa Ukaskazini, kuna mikoa mbalimbali, ndani ya nchi moja Tanzania. na katika nchi hii hakuna mikoa wa huyu wangu wala wa yule bali mikoa yote ni yetu sote.Iwe ni Lindi, Iwe ni Kilimanjaro, iwe ni Rukwa iwe ni Kagera.Kote huko hakuna Mtanzania yeyote atakayeogopa kutaja jina la mkoa wowote.

Kama kuna watu kama Nassari ambao kwao wanaota juu ya Ukaskazini,basi ni vyema wafahamuni kuwa taifa hili la Nyerere liliishatoka huko na halitarudi kwenye iwe Kanda wala mkoa.Mikoa yote hii ina haki sawa.Na ina wajibu wa kuchangia na kula keki la taifa hili.

Cha kujadili hapa kama Watanzania ilikuwa ni namna gani nzuri ya kujenga taifa hili na sio kulilia Ukaskazini hapa.
 
Huyu ndiye Zitto ninayemfahamu
.................................................................................................................................................................
Zitto Kabwe

" I am a Tanzanian. Of blood cleaned by fresh waters of the lakes and the rivers and the streams of my great nation. A vision from the top of mount Kilimanjaro and honesty as clear as The Serengeti savannah. Pure as virgin beaches of Zanzibar. Hopeful as a product of Azimio. Sparkling as Tanzanite stone out of the Land of Maasai.

I am a Tanzanian. Born of the peoples of Africa, of Tanzania. The Pains of the struggle of African liberation. The pains of The Revolution. Whatever the setbacks of the moment, nothing can stop me from being a Tanzanian, an African. The land of Kambarage. The state of our own creation. Whatever the difficulties, Tanzania shall remain ONE, Strong and UNITED. However improbable it may sound, Tanzania shall prevail. Amongst nations of the world.

We are The United Republic of Tanzania. I am a Tanzanian"

............................................................................................................................................................................................................................
 
Alinda kafanya mazungumzo lini?kwanza ni nani Alinda?kama katumia tu jina bandia tutachukuaje maelezo yake kama ni sahihi 100%?hapana!!tutamuamini tu kwa sababu Alinda aliye nyuma ya keyboard kasema?please..

Ili tuyafanye maelezo ya Alinda kuwa rasmi basi aitishe mkutano na waandishi wa habari atoe hiyo taarifa, hapo itakuwa taarifa rasm, bila shaka Zitto atazijibu hayo maelezo atakayotoa Alinda, otherwise huwezi kutegemea kuwa Zitto anaweza akajibu kila uzushi anaotajwa kwenye mitandaoni.Ni impractical!

Hayo ya ndani ya Chadema, nadhani Zitto na akina Mbowe wanayajua zaidi.Kuingilia sisi ambao hatukuwepo kwenye inner-circle tutakuwa tunacheza upatu tu.Zitto na Mbowe wanajuana wao vizuri.

Hayo yote unayajenga ni ishara ya jinsi moyo wako ulivyo.Maana Kila habari/hotuba unaitafsiri kwa kanda badala ya taifa alafu unajifariji kwa kuwasingizia wengine, unawasingiziaje wakati ni wewe umewaza hivyo??Hili ni tatizo kubwa sana.

Kwahiyo unataka kusema mwanasiasa ambaye hatokei Kilimanjaro au Arusha ni marufuku kwake kutoa mfano wa mkoa wa Kilimanjaro?ebu acheni ubaguzi ndugu zangu, miaka 54 baada ya uhuru mtu upo sensitive na kutajwa jina la mkoa?sasa mbona wa Lindi hawajalalamika kutolewa kwa mfano wa mkoa wa Lindi pia??kwanin iwe kosa kuitaja Kilimanjaro?bila kujijua mnajenga ubaguzi na kutenganisha watu.

Lakini nikuhakikishieni, hii mbegu mnayotaka kuipanda haitafanikiwa.Katika taifa hili hakuna kitu kinaitwa Ukaskazini, kuna mikoa mbalimbali, ndani ya nchi moja Tanzania. na katika nchi hii hakuna mikoa ya yule na yetu, bali mikoa yote ni yetu sote.Iwe ni Lindi, Iwe ni Kilimanjaro, iwe ni Rukwa iwe ni Kagera.Kote huko hakuna Mtanzania yeyote atakayeogopa kutaja jina la mkoa wowote.

Kama kuna watu kama Nassari ambao kwao wanaota juu ya Ukaskazini,basi ni vyema wafahamuni kuwa taifa hili la Nyerere liliishatoka huko na halitarudi kwenye iwe kwenye kanda wala mkoa.Mikoa yote ina haki sawa.Na ina wajibu wa kuchangia na kula keki ya taifa hili.Cha kujadili hapa kama Watanzania ilikuwa ni namna gani nzuri ya kujenga taifa hili na sio kulilia Ukaskazini hapa.
Mkuu wangu Kapwela.

Nasoma facts zako kwa kweli unalisaidia sana taifa na wale wote wanaofuatilia huu mnakasha wanafaidika mno na uwepo wako hapa ukumbini.

Huu uzi utaawcha na majeraha ya mishale miongoni hawa wote wanapambana na Zitto kwa chuki zao binafsi dhidi ya Zitto tunalazimishwa kukubali maneno ya Alinda mtu ambaye yupo ndani mwake kajifungia na laptop yake daaah!!!.

Mkuu wangu msome tena kiduchu Zitto.

Zitto,

Tanga ni ya 8 katika kuchangia Pato la Taifa. Pia ni mkoa wa 8 kwa kiwango cha maendeleo ya watu wake.Mikoa yenye Maendeleo zaidi ni Arusha, Kilimanjaro na Dar es Salaam. Hata hivyo Kilimanjaro ni ya 9 katika kuchangia Pato la Taifa na Arusha ni ya 7.Mikoa iliyo nyuma zaidi kimaendeleo nchini ni Kigoma, Singida, Dodoma, Kagera na Tabora. Hata hivyo Tabora ni mkoa wa 10 kwa kuchangia katika Pato la Taifa na Kagera ni mkoa wa 11 katika GDP.Mikoa yenye mchango mdogo zaidi kwenye Pato la Taifa ni Pwani (1.85%), Lindi (1.89%) na Singida (1.92%). Hata hivyo Lindi inashika nafasi ya 9 kwa Maendeleo, juu ya Shinyanga inayochangia 6% katika GDP.Dar inaongoza kwa kuchangia Pato la Taifa ambapo mchango wake kwenye pato la Taifa ni 16.9%. Inafuatiwa na Mwanza [kabla haijagawanywa] 9.2%, Mbeya 7.3%, Shinyanga 6% na Iringa 5.3%. Hata hivyo Shinyanga ni mmoja wa mikoa yenye umasikini wa kutupwa licha ya kuwa namba 4 katika kuchangia Pato la Taifa.Ndio maana ni lazima kubomoa mfumo wa sasa wa uchumi. Huwezi kuwa na mkoa unashika namba 5 kuchangia Pato la Taifa lakini unashika namba 16 kati ya mikoa 21 kwa maendeleo ya watu. Shinyanga ina migodi 2 ya dhahabu na migodi 2 ya Almasi. Shinyanga ina Ng'ombe na Pamba.Shinyanga tarehe 17 Aprili, tujadiliane jinsi ya kufanya mapinduzi ya kiuchumi mkoani mwenu.
 
Last edited by a moderator:
Huyu ndiye Zitto ninayemfahamu
.................................................................................................................................................................
Zitto Kabwe

" I am a Tanzanian. Of blood cleaned by fresh waters of the lakes and the rivers and the streams of my great nation. A vision from the top of mount Kilimanjaro and honesty as clear as The Serengeti savannah. Pure as virgin beaches of Zanzibar. Hopeful as a product of Azimio. Sparkling as Tanzanite stone out of the Land of Maasai.

I am a Tanzanian. Born of the peoples of Africa, of Tanzania. The Pains of the struggle of African liberation. The pains of The Revolution. Whatever the setbacks of the moment, nothing can stop me from being a Tanzanian, an African. The land of Kambarage. The state of our own creation. Whatever the difficulties, Tanzania shall remain ONE, Strong and UNITED. However improbable it may sound, Tanzania shall prevail. Amongst nations of the world.

We are The United Republic of Tanzania. I am a Tanzanian"

............................................................................................................................................................................................................................

Zitto Ruyagwa Kabwe, kwenye ubora wake.
 
Last edited by a moderator:
Pro-Chadema nyie wenyewe ndiyo mliomfukuza Zitto kwenye chama chenu kupitia kwa viongozi wenu Tundu Lissu na Dr.W.Slaa.

Sasa mlitegemea Zitto aende Kushika jembe Mwandiga, nyie ndiyo mbaki kwenye siasa.

Mmemuita msaliti, masalia,yuda, mnafiki, kibaraka kulikoni tena leo mnamfuata ACT - Wazalendo, na kupambana naye.

Zitto kaishamalizana na Chadema anafanya yake sasa hivi mnalalamika kuwa atagawa kura za upinzani sasa mtu mnafiki na msaliti atagawaje kura kuna mtu makini kweli anaweza kuhangaika na msaliti?

Zitto, mwenyewe kaishasema yeye anaangalia mbele hana muda tena wa kujadili mambo ya Chadema.
 
Last edited by a moderator:
Maneno yako hapa chini ni maneno sahihi sana nawe pia kuyashika.
Alinda

  • Wakati mwingine jamani kuweni na aibu.. Wewe ni watu wazima, kaka au baba hivi unapokuja kwenye mtandao na kumuekea mtu maneno mdomoni ambayo hajasema unakuwa na nia gani?

Nimetoa mifano ya Obama kwa sababu inaendana na tunachofanya hapa, siasa za dunia zinafanana sana, ni kama tu copy and paste kutoka sehemu moja kwenda nyingine, https://www.youtube.com/watch?v=DLgm1I8bVVE, watu wanachukua vitu visivyo vya msingi wanavitafsiri wanavyotaka alafu wanavifanya ndio issue na kuvikomalia,ili siasa zetu ziishie hapo hapo, kwenye vitu vyepesivyepesi.

Nimekuuliza katika hizo clips ni dk ya ngani Obama anasema " watu wa Chicago ni waongo?" au wakati wamerikani wako katika vuguvugu la kuondoa ubaguzi wa rangi watu wa eneo fulani walikuwa wamelala? Hiki ndicho kinachoongelewa. Hautaji kutafsiri jinsi unavyotaka wewe maaana kama una uwezo wa kutafsiri upendevyo wewe hata mie ninaweza fanya hizo. Ila hapa tunaongea alichoongea si kwa maandishi kusema mwandishi alikosea bali hii ni video yake akitamka hayo maneno sasa utaka tutafasiri nini hapo?

Hili suala la maendeleo kwa mfano, lilikuwa la msingi sana, na lingepaswa kuibua mjadala wa namna bora ya kuleta maendeleo, la msingi sana, sasa sijui mtu anawezaje kuja na Ukaskazini kwenye hoja ya kitaifa kama hii? nani kalileta hili?ni mioyo ya baadhi yetu ambayo either ina upungufu wa Utanzania na walioujaza ukanda mioyoni mwao. Na kwakuwa hawawezi kujisema wazi, wanasingizia hoja ata isiyohusika ili kujipa uhalali wa kuzungumzia matamanio ya mioyo wao.

Bahati mbaya sana, badala ya kujadili juu ya namna gani nzuri ya kusambaza maendeleo hayo mikoani, tunabaki hapa tunajadili Ukaskazini wetu, hatujisaidii sisi,hatuzisaidii siasa zetu, na hatulisaididi taifa letu.Tuache njia hii, inapanda mbegu mbaya..

Tatizo lako nafikiri ulisoma huu mjadala kwa macho ya "unegative". Ukimsoma Nguruvi3 katika page 15 na kuendelea ameeleza, maendeleo ni nini, ni kwanini watu wa eneo fulani wameendelea zaidi ya eneo lingine na mengine mengi mengi mengi sana, kuna watu walishuka madini ya nguvu namna ya jinsi tunavyoweza kujikwamua kutoka katika halihii na nk. Hivi unataka kuniambia hayo hukuyaona? Hivi wakati akina Barubaru, Mag3, Jokakuu, Mkandara, gfwinson na wengineo wakiacha shughuli zao za maana na kuja kushare na sisi experiences zao wewe umetoka kapa?
Basi nakushauri rudi tena uanze page no. 15 utapata shule tena ya bila malipo.

Kuna watu waliokuwa hawajui kama kuna kitu kinaitwa Ukaskazini, humu ndani wamejengwa moyo wa uzawa wa Kaskazini.

Kuna watu ambao Tabora ni wako, Moshi ni kwao, Mtwara ni kwao, hapa wameonyeshwa kuwa labda sio sahihi sana kulazimisha mikoa yote iwe na maendeleo, wameambiwa mikoa mingine iridhike iwe ilivyo, watajiuliza maswali,kwanin??kwanini watu hawataki hiki?

Haya mambo yameongelewa sana wewe unachofanya ni marudi tu.

Yawezekana kabisa ata hatuna mawazo haya, lakini bila kujijua hizi mbegu zinapandika.Tunaambukiza watu.Tuepuke kutenganisha watu.

Yawezekana kabisa kuwa hatupendi kabisa siasa za Zitto,ni haki ya kila mtu,yawezekana tunataka kila hoja yake ionekane ni mbaya, ni haki yetu kabisa.Lakini ebu tujue sehemu ya kupambana nae kwenye siasa bila kujenga chuki na kugawanya watu.hapa mlipopachagua kupambana nae sipo.Panabomoa taifa letu.Mtafuteni angle zingine kisiasa.Sio hii.

Ningekuona wa maana kama ungekemea siasa za chuki ambazo Zitto anajaribu kuzipandikiza kuliko kuanza kuangaika na sisi tunaona kitu na kuuliza na huu ndio ungwana. kwamba kiongozi ameongea kitu ambacho mimi au wewe hatukuelewa , unao wajibu wa kuuliza / kuhoji..
Hivyo basi kama tunachojadili ni uongo au ni ubaguzi je haya maneno tumeyatamka sisi? Jibu ni hapana ni kitu gani ambacho tumeongeza? jibu ni hakuna sasa ubaguzi wetu ni kwavile tumehoji na kuwashirikisha watu wengine na wao waone/ kusikiliza ili kupata mjadala mpana?

Halafu nakushangaa wewe unayetuona kuwa sisi tunaeneza ubaguzi hivi si wewe uliyewahi tamka kuwa "Dr. Slaa (padre)hawezi kupata kura za Waislamu? kati yetu na wewe nani mbaguzi? Ni lini na wapi ulikaa na waislamu wote wakakwambia kuwa Dr. Slaa (padre) hatutampigia kura?

Swaka la ajenda ya Kilimanjaro, Arusha na Shinyanga aliyeileta ni yeye, tuliuliza ana maana gani kusema vile.. Alikaa kimya kama angekuja nakusema lengo langu lilikuwa hili au lile, kungemuuliza maswali na bila shaka angetujibu kuna baadhi ambao tungemuelewa na kuna baadhi labda ambao wasingemuelewa. Sasa wewe unapokuja na kuanza kusema sisi ni tunajenga ubaguzi kwa vile tumehoji au unasema sisi tunachuki na Zitto kwa vile tu tumeona kitu ambacho sisi hatukubalini nacho hapo ndipo ambapo sikuelewi.

Nakumbuka Mwalimu Nyerere na story yake ya Geroge Kahama(sio direct quotation)
.................................................................................................................................................................
George kahama alikuwa amepanda ndege, kaenda mikutano ya kimataifa
ndege ikatikisika mara ya kwanza, George Kahama akaguna...My God...(mtu wa kimataifa)...
ndege ikatikisika zaidi mara ya pili -- George Kahama akaguna ..(Mungu wangu)..(karudi kwenye Utanzania)
Ndegu ikatikisika kwa nguvu zaidi mara ya tatuu -- nikamsikia george akipiga kelele -- maweeeee(kaisharudi kwenye kabila lake)!!!!!

JK Nyerere

................................................................................................................................................................
Kwenye mambo ya kutetea Kanda zetu badala ya taifa ebu tupige break.Hayatusaidii kama taifa.

Hayo maneno mwambie Zitto. Kwenye hiyo clip unayemona anaongea si Alinda bali ni Zitto.

Ata hilo la lugha ya picha, watanzania wanajua sana lugha yao ya kiswahili, na wanajua jinsi lugha hizi zinavyotumika kufikisha ujumbe kwa hadhira.Wala haiwasumbui, na ndio maana ata Lema aliposema wa dar es salaam, waliishia kucheka tu, ndivyo Watanzania tulivyo, Watanzania hawa mioyo yao ni misafi sana, hawawezi haya tunayotaka kuyapanda.

Hapo juu umesema tunaleta ubaguzi hapa chini unasema watanzania wanaelewa... Sasa kama watanzania wanaelewa lugha ya picha si ndo vizuri hivyo.
 
Nimekuuliza katika hizo clips ni dk ya ngani Obama anasema " watu wa Chicago ni waongo?" au wakati wamerikani wako katika vuguvugu la kuondoa ubaguzi wa rangi watu wa eneo fulani walikuwa wamelala? Hiki ndicho kinachoongelewa. Hautaji kutafsiri jinsi unavyotaka wewe maaana kama una uwezo wa kutafsiri upendevyo wewe hata mie ninaweza fanya hizo. Ila hapa tunaongea alichoongea si kwa maandishi kusema mwandishi alikosea bali hii ni video yake akitamka hayo maneno sasa utaka tutafasiri nini hapo?.

Lugha hazitafsiriwi hivyo, kwa mtazamo wako huo kama nilivyokwisha kwambia mwanzo basi maana ya kipande hiki cha Obama,

"You can put lipstick on a pig. It's still a pig." ― Barack Obama

Kwa tafsiri yako hapo bold basi ungesema Obama kamtukana mtu kamuita nguruwe.

Lugha inahitaji tafakari, ya kuivuta picha kupata maana kamili, ndipo utamu wa mazungumzo/hotuba/maandishi ulipo. Nenda ata uswazi mfano waulize hivi mtu mwenye mdomo mrefu maana yake nini watakushangaa kuona hiyo ni issue, unless upo out-of-touch na mambo haya.

Tatizo lako nafikiri ulisoma huu mjadala kwa macho ya "unegative". Ukimsoma Nguruvi3 katika page 15 na kuendelea ameeleza, maendeleo ni nini, ni kwanini watu wa eneo fulani wameendelea zaidi ya eneo lingine na mengine mengi mengi mengi sana, kuna watu walishuka madini ya nguvu namna ya jinsi tunavyoweza kujikwamua kutoka katika halihii na nk. Hivi unataka kuniambia hayo hukuyaona? Hivi wakati akina Barubaru, Mag3, Jokakuu, Mkandara, gfwinson na wengineo wakiacha shughuli zao za maana na kuja kushare na sisi experiences zao wewe umetoka kapa?

Thread hii imekuwa ya uhamasishaji na utetezi sio wa taifa bali wa Ukaskazini, ulinzi wa Kaskazini, ndio unaweza ukaona hapo jinsi Lindi iliyotajwa pamoja na Kilimanjaro inavyotupwa ili kujenga Ukaskazini bila kujali kuwa njia hiyo ni hatari kwa taifa.

Hoja nzima imesimama kwenye hisia,hisia zipi..mnaziumba wenyewe, na kuzifinyanga wenyewe..huyu atakuwa ana chuki tu,chuki zipi?hamuwezi kuonyesha.Mtaishia tu kwanin ametaja jina la mkoa wetu?what?ndio maana nimeuliza ni lini kutaja jina la mkoa imekuwa kosa?imetajwa LIndi imekuwa sawa lakini kwanin kataja Kilimanjaro?kwanin kataja Arusha?what??you guys!!

Matokeo yake mkapeleka mjadala sehemu ambako haukuwepo, hakuna sehemu ata moja Zitto kazungumzia mkoa wowote kuunyonya mkoa mwingine?mnatoa wapi?mtasema mmetafsiri..kutafsiri kutoka wapi??..ni kutoka kwenye yaliyojaza moyo yetu na kumsakizia ambaye hajasema popote, hakuna popote,popote Zitto kazungumzia kuna mkoa unaunyonya mkoa mwingine,hakuna!!Mtatoa tafsiri zenu kwa mnayoyataka ninyi,na kuziumba, na matokeo yake mnazidi kuwagawa watu.Hili ni ninyi ndio wenye tatizo.Ni ninyi ndio mnaouumba ukanda humu.Acheni hili jambo.

Unaweza kuona ata hiyo ya hotuba ya kisiasa aliyosema mkoa wa Iringa, SIngida na Arusha ona conclusion anayotoka nayo hapa chini...
Kiongozi mkuu ameitaja Arusha kama sehemu moja ya watu walioweka miguu juu.

Hawezi kusema jambo baya bila kutaja mikoa ya kaskazini kama Arusha

Anaiacha Iringa na Singida ambazo zimetajwa na Arusha yeye anakimbilia Arusha na kisha anamalizia kwa kuumba UKaskazini.Hii ni hatari sana sana.Tuwapinge watu wanaotaka kututenganisha kwa kiwango hiki.

Unaweza kuona hapa kumbe ni kwanini pia Lindi iliachwa kule kwenye mapato ili tu kujenga hii picha ya Ukaskazini.Hii linapaswa lipingwe na kila mpenda umoja wetu wa Tanzania.Huu ni uasi kwa umoja wetu.Siasa zetu zikae mbali na line hii.

Otherwise narudia
hii mbegu mnayotaka kuipanda haitafanikiwa.Katika taifa hili hakuna kitu kinaitwa Ukaskazini, kuna mikoa mbalimbali, ndani ya nchi moja Tanzania. na katika nchi hii hakuna mikoa wa huyu wangu wala wa yule bali mikoa yote ni yetu sote.Iwe ni Lindi, Iwe ni Kilimanjaro, iwe ni Rukwa iwe ni Kagera.Kote huko hakuna Mtanzania yeyote atakayeogopa kutaja jina la mkoa wowote.

Kama kuna watu kama Nassari ambao kwao wanaota juu ya Ukaskazini,basi ni vyema wafahamuni kuwa taifa hili la Nyerere liliishatoka huko na halitarudi kwenye iwe Kanda wala mkoa.Mikoa yote hii ina haki sawa.Na ina wajibu wa kuchangia na kula keki la taifa hili..
 
Lugha inahitaji tafakari, ya kuivuta picha kupata maana kamili, ndipo utamu wa mazungumzo/hotuba/maandishi ulipo. Nenda ata uswazi mfano waulize hivi mtu mwenye mdomo mrefu maana yake nini watakushangaa kuona hiyo ni issue, unless upo out-of-touch na mambo haya.

Thread hii imekuwa ya uhamasishaji na utetezi sio wa taifa bali wa Ukaskazini, ulinzi wa Kaskazini, ndio unaweza ukaona hapo jinsi Lindi iliyotajwa pamoja na Kilimanjaro inavyotupwa ili kujenga Ukaskazini bila kujali kuwa njia hiyo ni hatari kwa taifa.

Hoja nzima imesimama kwenye hisia,hisia zipi..mnaziumba wenyewe, na kuzifinyanga wenyewe..huyu atakuwa ana chuki tu,chuki zipi?hamuwezi kuonyesha.Mtaishia tu kwanin ametaja jina la mkoa wetu?what?ndio maana nimeuliza ni lini kutaja jina la mkoa imekuwa kosa?imetajwa LIndi imekuwa sawa lakini kwanin kataja Kilimanjaro?kwanin kataja Arusha?what??you guys!!

Matokeo yake mkapeleka mjadala sehemu ambako haukuwepo, hakuna sehemu ata moja Zitto kazungumzia mkoa wowote kuunyonya mkoa mwingine?mnatoa wapi?mtasema mmetafsiri..kutafsiri kutoka wapi??..ni kutoka kwenye yaliyojaza moyo yetu na kumsakizia ambaye hajasema popote, hakuna popote,popote Zitto kazungumzia kuna mkoa unaunyonya mkoa mwingine,hakuna!!Mtatoa tafsiri zenu kwa mnayoyataka ninyi,na kuziumba, na matokeo yake mnazidi kuwagawa watu.Hili ni ninyi ndio wenye tatizo.Ni ninyi ndio mnaouumba ukanda humu.Acheni hili jambo.

Unaweza kuona ata hiyo ya hotuba ya kisiasa aliyosema mkoa wa Iringa, SIngida na Arusha ona conclusion anayotoka nayo hapa chini...

Anaiacha Iringa na Singida ambazo zimetajwa na Arusha yeye anakimbilia Arusha na kisha anamalizia kwa kuumba UKaskazini.Hii ni hatari sana sana.Tuwapinge watu wanaotaka kututenganisha kwa kiwango hiki.

Unaweza kuona hapa kumbe ni kwanini pia Lindi iliachwa kule kwenye mapato ili tu kujenga hii picha ya Ukaskazini.Hii linapaswa lipingwe na kila mpenda umoja wetu wa Tanzania.Huu ni uasi kwa umoja wetu.Siasa zetu zikae mbali na line hii
Otherwise narudia
Kapwela , umemsoma Alinda akisema unaturudisha nyuma.

Inaelekea hukufuatilia mjadala, umeingia kwa kuongozwa na hisia za utetezi kwa kiongozi mkuu.

Kwa minajdili ya mjadala, tuna mambo mengi ya kuzungumzia kuliko kuturudisha nyuma.
Tunakushauri uchukue muda,pitia mabandiko ukimaliza rudi tujadiliane

Pili, elewa kuwa mjadala umeanzia mbali.
Kule jukwaa lasiasa hisia zilifikia mahali pa hatari sana. Nako pia ningeshauri utafute nyuzi ujisomee

Tatu, inatosha kukueleza kuwa kama si kauli za Kiongozi mkuu, mjadala huu usingefika hapa na kwingineko wasingejadili.

Haiwezekani watu wote waone kauli zake hatarishi kwa umoja wa taifa.

Nne, kumbu kumbu za bunge , Zitto alisema tusiogope kuingia EAC, Mbona Kilimanjaro imeendelea Zaidi kuliko Kigoma?Watu walimpa benefit of doubt

Tano, Kama unasema Zitto alipotaja Iringa, Singida na Arusha alilenga Lissu, Msigwa na Lema, kwanini usishangae Kilimanjaro/Arusha kuwa kanda ya kaskazini?

Sita, Ni nani anayepanda mbegu, alisema au anayekemea?

Sisi hatuna majukwaa ya siasa, kiongozi mkuu anayo na ni haki yake kabisa.

Tatizo nipale anapotumia majukwaa hayo kuchomeka hisia na uchochezi katika kutafuta umaarufu wa kisiasa

Video ya Alinda, Zitto anahoji ‘kuna tatizo gani mtu wa kigoma kugombea uenyekiti'' maana yake tayari anasimama kama Mkigom akatika kutafuta uongozi na si kama mwanachama.

Alichokusudia ni kuamsha hisiazile genge la Waraka lililosema '' kanda ya kaskazini''

Napsoema tatizo lilikuwa uenyekiti, hajasemakuhusu waraka wa matusi alioshiriki yeye na genge zima. Ukiusoma waraka(Tunashaka kama umewahi) utaona aina ya viongozi watarajiwa wa taifa hili

Mwisho mshauri wa chama anasema kauli zake huacha ukakasi. Mshauri mlezi kasema hafundishiki.

Hatuhitaji kuingilia mambo yake ya siasa. Tusichokitaka kukisikia ni kauli hatari kama hizi za Kilimanjaro/Arusha dhdi ya

Hizi kauli za kulimega taifa hatuzikubali, tunazipiga vita kwa nguvu zote.

Hatutakaa kimya ‘move on' taifa likifinyangwa na watu wachache kwa faida za kisiasa.

Uta move on peke yaKo, umma upon unasimama kukemea matamshi hatarishi ya kuligawa taifa.

Migogoro binafsi na matatizo binafasi yasiwe matatizo ya kitaifa.

Hatukubali hayo, tunachokubali ni wewe ku-move on, naye tuachieni taifa letu salama

Tusemezane
 
Pro-Chadema nyie wenyewe ndiyo mliomfukuza Zitto kwenye chama chenu kupitia kwa viongozi wenu Tundu Lissu na Dr.W.Slaa.

Sasa mlitegemea Zitto aende Kushika jembe Mwandiga, nyie ndiyo mbaki kwenye siasa.

Mmemuita msaliti, masalia,yuda, mnafiki, kibaraka kulikoni tena leo mnamfuata ACT - Wazalendo, na kupambana naye.

Zitto kaishamalizana na Chadema anafanya yake sasa hivi mnalalamika kuwa atagawa kura za upinzani sasa mtu mnafiki na msaliti atagawaje kura kuna mtu makini kweli anaweza kuhangaika na msaliti?

Zitto, mwenyewe kaishasema yeye anaangalia mbele hana muda tena wa kujadili mambo ya Chadema.

Sasa ndugu yangu Ritz huoni kama unazidi kupwaya kwenye hili jukwaa? Hayo maneno ya pro chadema na lugha hizo za taarabu huoni kuwa hazienei kwenye hii thread? Nashauri uisome tena thread nzima toka mwanzo na posts zako zote, ni ushauri.
 
Last edited by a moderator:
umeingia kwa kuongozwa na hisia za utetezi kwa kiongozi mkuu.

Kwa minajdili ya mjadala, tuna mambo mengi ya kuzungumzia kuliko kuturudisha nyuma.
Tunakushauri uchukue muda,pitia mabandiko ukimaliza rudi tujadiliane

Kule jukwaa lasiasa hisia zilifikia mahali pa hatari sana. Nako pia ningeshauri utafute nyuzi ujisomee

Tatu, inatosha kukueleza kuwa kama si kauli za Kiongozi mkuu, mjadala huu usingefika hapa na wala kwingineko wasingejadili.

Haiwezekaniwatu wote waone kauli zake hatarishi kwa umoja wa taifa.

  • Hizi kauli za kulimega taifa hatuzikubali, tunazipiga vita kwa nguvu zote.

    Hatutakaa kimya ‘move on' taifa likifinyangwa na watu wachache kwa faida za kisiasa.

    Uta move on peke yaKo, umma upon unasimama kukemea matamshi hatarishi ya kuligawa taifa.

    Migogoro binafsi na matatizo binafasi yasiwe matatizo ya kitaifa.
Huna haja ya kunirudisha nyuma, huko kote nakufahamu!

Sikuzote hakuna kuchelewa kwenye kurekebisha mwelekeo mbaya na usiofaa kwa taifa letu.Muendelezo huu wa ujenzi wa Ukanda na nchi ndani ya nchi unastahili kukemewa maana hauna mwisho mwema, hili eneo uliloamua kuspecialize ni eneo sensitive sana kuchezewa kwa siasa yetu ama chuki zetu.

Hisia?? kinyume chake ni wewe ndiye unayeongozwa na hisia, na ndiye unayeibua hoja za Ukanda na kulazimisha kuzishikisha ata ambapo hazipo.

Ukiulizwa ni wapi Zitto kasema mkoa wa Kilimanjaro unapendelewa, huna pa kuonyesha, ni hisia!

Ukiulizwa ni wapi Zitto kasema mkoa wa Kilimanjaro unainyonya mikoa mingine, huna pa kuonyesha, hisia!

Sasa wewe ndiye wa kumueleza mtu kuhusu kuendeshwa na hisia?bahati mbaya hisia zako zina chanzo kibaya, chanzo ni ukosefu wa Utanzania na kujazwa na u-mkoa wako ndani yako.Miaka 54 baada ya uhuru bado unajitafsiri kwa eneo lako na kila hoja ya kitaifa unaitafsiri kwa eneo lako?please!

Nne, kumbu kumbu za bunge zinaonyesha, Zitto alishawahi kusema tusiogope kuingia EAC, Mbona Kilimanjaro imeendelea Zaidi kuliko Kigoma?Watu walimpa benefit of doubt

Tusichokitaka kukisikia kutoka kwake ni kauli hatari kama hizi za Kilimanjaro/Arusha dhdi ya
Hutaki kauli dhidi ya Kilimanjaro??mzalendo kwelikweli!!

Unaweza ukaona hapa jinsi unavyozidi kujionyesha wazi hisia zako, yaan kwako mwanasiasa asiye Mkilimanjaro akitaja tu jina "kilimanjaro" wewe tayari hisia zako ni ubaguzi, alafu unajiita Mzalendo wa Tanzania?please

NI wazi kuwa kwako Tanzania na Kilimanjaro ni vitu viwili tofauti, Zitto angetaja mfano wa Kigoma na Mwanza kwako isingekuwa shida lakini kutaja tu KIlimanjaro tayari ni kosa?vip ndugu?unahitaji kuuvua huo mkanda wa ubaguzi uliojivika.

Tano, Kama unasema Zitto alipotaja Iringa, Singida na Arusha alilenga Lissu, Msigwa na Lema, kwanini usishangae Kilimanjaro/Arusha kuwa kanda ya kaskazini?

Sita, Ni nani anayepanda mbegu, alisema au anayekemea?

Alichokusudia ni kuamsha hisiazile genge la Waraka lililosema '' kanda ya kaskazini''

Tusichokitaka kukisikia kutoka kwake ni kauli hatari kama hizi za Kilimanjaro/Arusha

Hizi kauli za kulimega taifa hatuzikubali, tunazipiga vita kwa nguvu zote.

Kama kutaja jina Arusha maana yake ni chuki kwa "nchi ya kufikirika" ya Kaskazini kwanin hujastafsiri basi kutaja Iringa kuwa ni chuki kwa Nyanda za Juu Kusini?alafu unazungumzia mtu anayejenga Ukanda?bila shaka yoyote kwa maandishi yako tayari unao Ukanda, tusichotaka ni kusambaza huo ukanda wako kwa watu wengine humu.

Ukitaka kumuona mtu anayejitahidi kushiriki kuligawa taifa hili mtazame mtu huyo kwenye kioo chako, maana u mdau kwenye hilo.

Mtu yeyote akisoma maandishi kama hayo anakuona wazi jinsi ulivyo mzalendo, na bahati mbaya sio mzalendo wa Tanzania bali mzalendpo wa nchi yako ya kufikirika, Kanda ya Kaskazini.

Jirekebisheni!!
 
Sasa ndugu yangu Ritz huoni kama unazidi kupwaya kwenye hili jukwaa? Hayo maneno ya pro chadema na lugha hizo za taarabu huoni kuwa hazienei kwenye hii thread? Nashauri uisome tena thread nzima toka mwanzo na posts zako zote, ni ushauri.
Teh teh teh teh naona unajipa majukumu siyo yako hapo ukumbini najua huu mpini umekuingia kisawasawa nilijua tu lazima pro-Chadema watajitokeza nakushauri kitu kimoja vumilia tu najua wewe na wenzako hampendi kusoma ninachokiandika lakini hamna namna JF ni jukwaa huru siyo jukwaa la Chadema, ukiendelea kunifuatilia utaumia moyo bure maana naandika vitu usivyovipenda lazima nafasi yako itauumia, jifunzeni kusoma vitu msivyovipenda itasaidia kufikiri zaidi, neno "pro-Chadema" ni tusi? Nguruvi3 anaita watu wafuasi wa Zitto siyo taarabu? Mfuasi na Pro zina tofauti gani?
 
Last edited by a moderator:
Mwanzo ulisema alikuwa anamaanisha Lissu, Lema na Msingwa!

Sasa hivi umebadilika tena imekuwa mikoa. Haya sasa swali kwako

Kigoma waliacha lini kutoichagua CCM na mikoa mingine iliacha lini?
Bibie, inajulikana wazi kwa wanaharakati wote kwamba Mkoa wa Kigoma wameanza zamani sana kupingana na CCM toka kuanzishwa kwa Upinzani, iwe NCCR, CUF, Chadema na leo wanaweza kuwahama vile vile wakiona mnawapotosha. Mkoa huo wamekuwa mstari wa mbele kuunga Upinzani toka tunaanza vyama vingi na CCM wamekuwa wakichakachua kura huko toka zamani, CCM mkoa wa Kigoma wanashinda kwa mabavu toka 1995 hilo halina Ubishi..

Mimi sipo hapa Kumtetea Zitto isipokuwa tusipende sana kuchambua maneno ya mtu kwa lugha zinazotupendeza sisi ili mtu huyo aonekane mbaya. Walimfanyia Fitna Zitto hawakuona ubaya lakini anaporudisha yeye kwa uchungu wa kazi kubwa waloifanya kukisimamisha chama leo mijitu imekuja ndandia treni biila nauli (wachumia tumbo) mnawaona wa maana sana na yeye ndiye msaliti.. Ujinga huo sitoingia kamwe.
 
..lakini hawa wanasiasa vijana wa Kigoma si ulikuwa mkakati wa Freeman Mbowe kuwaingiza ktk siasa?

..Zitto amepitia mikononi mwa Mbowe, lakini ndiye huyohuyo anakwenda kuungana na makundi yanayomdharau na kumdhalilisha Freeman Mbowe. Hivi kweli ni uungwana huo?

..Mimi sijaona chama chochote kile cha siasa ambacho mwenyekiti anatukanwa kama Zitto na genge lake walivyofanya kwa Freeman Mbowe halafu genge hilo likaendelea kuvumiliwa ndani ya chama.

..Wale wanaoisifia CCM kwa uvumulivu nawashauri wajaribu kumtukana na kumdhalilisha JK halafu tuone mwisho wao utakuwa nini.

cc Mkandara, zumbemkuu, Alinda, Nguruvi3
 
Mkuu wangu swala la Zitto na Mbowe wewe huwezi kulijua vizuri zaidi ya walokuwa karibu nao, na imekuwa vigumu sana watu humu JF kuamini kwa sababu ya Usiri na utata wa jambo hili kwa sababu ni watu wachache sana wanaujua ukweli hivyo itawapeni kazi kubwa sana kuamini wala kuelewa.

Mkuu ADUI MKUBWA wa UMASKINI ni MASKINI wenyewe. Fitna, majungu, unafiki na kuzungukana ni hulka ya maskini wote yaani tuna roho za - KWA NINI?. Haya ndio matatizo ya Chadema na karibu vyama vyote nchini inapofikia mahala kuna harufu ya fedha na utajiri basi watamuuza hata mama yao mzazi.

Kwa miaka sasa hivi nimejaribu kuzunguka kutafuta suluhu kwa kila mbinu, lakini nikaja gundua kwamba kila nilivyokuwa nikiongeza nguvu nao walikuwa wakiongeza nguvu ya Kumwondoa Zitto. Nikajiuliza ikiwa tatizo ni Mbowe na Zitto kwa nini watu wengine walikuwa wakiingilia kati kutoa ushahidi hata kabla hawajaulizwa? Hii Picha mnayoina ni sinema tu mkuu wangu imetungwa nadharia ambayo nyote mmeingia kichwa kichwa mtakuja shtuka too late kama JK alivyoingia IKULU...
 
Mkandara,

..sasa kama mmeamua kuuficha "ukweli" basi msitulaumu sisi ambao tumelishwa "uwongo."

..nilichoona mimi ni Zitto kumkosea heshima Freeman Mbowe, ambaye ni kaka yake na mwenyekiti wake wa chama.

..Hawa CDM wamejaribu kila njia ikiwemo kumtumia Mama yake mzazi Zitto kumrudisha kijana huyu ktk mstari lakini yote hayo yameshindikana.

..Sisi tunamtakia kila la kheri ktk kujenga chama chake. Zitto ndiye kiongozi mkuu kwenye ACT kwahiyo hatakuwa na mtu wa kumtukana na kumdhalilisha.
 
Mkuu wala sio siri kihivyo bali Usiri wa Hulka zetu tunapofanya Fitna, majungu na Unafiki maana watu hawa hutumia usiri mkubwa kutojulikana na hata ikija kujulikana huwa hawana aibu! yaani sisi ni watu wa ajabu kabisa, wataendelea kujikweza wakiongopa na uongopa kwa kila swala kulitafutia dawa hivyo inatakiwa mtu mwenye kutafakari na kipaji kuelewa mahala iliposimikwa FITNA.

Hata zile habari za Mbowe ati kazaa nje ya ndoa unadhani zimetoka wapi? kwa watu wale wale walokuwa karibu naye! UNAFIKI UNAFIKI utadhani hawa watu ni wa maana sana kumbe hamna kitu mkuu kazi kutafuta udaku machana kutwa. Usiwaamini Wabongo mkuu wangu wala kuwawekea dhamana kwa sababu wamevaa magwanda!
 
Kutoka mwana.halisi

PROFESA Mwesiga Baregu, mmoja wa watu wanaoheshimika nchini amesema, aliyepata kuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, anaponzwa na kibuli cha kujiona hakuna zaidi ya yeye.-

Amesema, Zitto ambaye alikuwa naibu katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara na naibu kiongozi wa upinzani bungeni, anafanya kazi asiyoifahamu na ambayo haina mavuno.

-

Kauli ya Baregu ilitolewa siku moja baada ya Zitto kujiondoa bungeni na baadaye kujiunga na Chama cha ACT – Tanzania.

Prof. Baregu aliwahi kuwa “mlezi wa Zitto” ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Alikabidhiwa jukumu hilo na Shida Salum, mama mzazi wa Zitto (marehemu), baada ya mama huyo kuiomba Kamati Kuu (CC) ya chama hicho “kusaidia kumlea.”

Prof. Baregu ambaye ni mjumbe wa kamati kuu ya Chadema anasema, “Zitto hamnazo. Amekuwa anajiona yeye ni zaidi ya chama. Hashauriki.”

Anasema wakati ule alipopewa kazi ya kumlea Zitto “katikakati ya migogoro, tulikuwa tunazungumza naye mara kwa mara. Ninamfahamu. Kazi hii ya kumlea tulikabidhiwa mimi na mama yake mzazi, Bi. Shida Salum,” anaeleza Baregu.

Mama mzazi wa Zitto, alifariki dunia Juni mwaka jana, baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Kauli ya Prof. Baregu ilifuatia gazeti hili kutaka maoni yake juu ya mustakabali wa kisiasa wa Zitto baada ya kuwahi kujiondoa ndani ya Chadema
 
Back
Top Bottom