Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

Mchambuzi, nilikuwa sijaiona hii kutoka kwa ndugu yetu Zakumi, nanukuu;
Zakumi said:
You mean Zitto !!!. I think Nguruvi3 and other CDM Jihadists or crusaders are obsessed with the guy. They should learn to leave without him and to tie Zitto with CCM is pure cr@p.
Nikauliza, well, at least Nguruvi3 katajwa, sasa hao other CDM Jihadists or Crusaders ndio akina nani?

And now with a light but serious touch...

...Kwa mara ya kwanza ndani ya taifa hili kajitokeza Kiongozi moja wa chama cha siasa ambaye ni Supreme...yeye ndiye nuru na dira. Nikarudi rudi nyuma kidogo miaka arobaini iliyopita kwa kiongozi aliyewahi kuwa na cheo kama hicho cha Supreme Leader, Comrade Mao Zedong, wa China ambaye nje ya nchi yake alijulikana kama Chairman Mao Tse-Tung. Kiongozi mwingine aliyemkaribia huyo ni yule wa Korea Kaskazini, Kim Il-Sung, ambaye alifika mbali zaidi na kujipachika jina "Eternal Ruler of the Republic"

Kuwalinda mafisadi wanaolimaliza taifa hili baada ya October kutahitaji kiongozi mwenye tabia na msimamo kama wa Supreme Leader and CCM banks on that. Zakumi, it is a plan, it is a compromise and call it obsession or whatever you like, we the Nguruvi3s and other Jihadists/Crusaders like us wont let this devil plan work, not without resistance...not during our watch! Zitto is not real, Zitto is a plant a phoney! Supreme Leader, my foot, those days are gone and done and they wont be coming back, not soon.

Forewarned is forearmed.
 
Mchambuzi.

Msome Mbowe hapa chini.

Chama cha demokrasia na maendeleo ( CHADEMA ), kimesema hakuna sababu ya wananchi wa kabila la wasukuma katika mikoa ya Shinyanga na Simiyu kuendelea kuwa maskini, wakati almasi peke yake iliyoanza kuchimbwa tangu mwaka 1942 katika mgodi wa mwadui, ingeweza kuboresha maisha yao mbali na wingi wa mifugo pamoja na uzalishaji wa zao la pamba na kusema wakati umefika kwa wananchi wa kabila hilo kutumia raslimali walizonazo katika kupiga vita umaskini.Akihutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa lagangabilili wilayani itilima, mwenyekiti wa taifa wa chadema Mh. Freeman Mbowe amesema kwamba licha ya mikoa ya usukumani kusifika kwa uzalishaji wa pamba iliyopelekea kujengwa kwa viwanda vitano vya nguo ambavyo ni pamoja na Mwatex,Mutex,Kilitex,Kunguratex na urafiki wakati wa enzi za mwalimu Julius Nyerere, lakini amedai kuwa bado wasukuma ni maskini ukilinganisha na makabila mengine nchini kwa miaka 53 baada ya uhuru.Mh. Mbowe ambaye pia ni kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni akizungumzia mpango wa Chadema unaojulikana kama ‘FTP 200’ unaokusudia kuwafanya vijana wa kitanzania kuwa wazalendo kwa nchi yao katika kuwaepusha na vikundi vya kihalifu kama vile panya Road na Mbwa Mwitu kwa kusaidiana na jeshi la polisi kufichua vitendo vya uhalifu,amesema pindi ukikamilika mwezi juni mwaka huu utawafikia vijana zaidi ya milioni moja nchi nzima ambao wanaishi bila ajira rasmi kupata stadi za ujasiriamali,Elimu ya afya,nidhamu na kupiga vita Rushwa katika jamii.-Katika hatua nyingine wazee wa kabila la kisukuma wilayani humo wamemsimika mwenyekiti huyo wa taifa Chadema na mbunge wa jimbo la hai Mh.Freeman Mbowe kuwa Chifu wa kabila hilo baada ya kumvisha mgolole pamoja na kumkabidhi mkuki, ngao na kibuyu – huku wazee hao wakimpatia jina la mayengo na kutaka vyombo vya dola kutenda haki kwa vyama vyote vitakavyoshiriki katika uchaguzi mkuu.

Tusikubali Mbowe atugawe Watanzania.
Anayewagawa Watanzania ni Zitto. Si Mbowe. Mbowe ameelekeza lawama zake kwa serikali ya CCM, haijafanya lolote kuwasaidia Wasukuma.
 
Nguruvi3.

Msome hapa chini kiduchu Dr.Slaa anavyowagawa watanzania.

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willbroad Slaa amemtaka Mbunge wa Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia kuacha kutisha na kuwakamata wananchi wanaomuuliza maswali katika mikutano ya hadhara akidai amekashifiwa.Akihutubia umati wa wananchi katika Kata ya Mtimbwilimbwi na Nanyamba, Slaa alisema ni uvunjaji wa sheria na ubabe kukamata wananchi waliowapigia kura.Slaa alisema hayo baada ya wananchi kumwelezea kuwa, wamekuwa wakikamatwa na viongozi wa serikali na CCM wanapouliza maswali, ndiyo maana wameingiwa woga.Alisema Ghasia ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), anafanya vitendo hivyo kwa kuwa ana uhakika wa kutogombea tena ubunge katika Jimbo la Mtwara Vijijini baada ya kutambua kuwa hawezi tena kushinda.Slaa alisema maisha ya wakazi wa Mtwara Vijijini na umasikini unaowazunguka, ni aibu kwa uongozi katika miaka 50 ya uhuru, ambapo wajawazito wanalazimika kwenda hospitali wakiwa na vifaa.“Enzi za Mwalimu Nyerere hakukuwa na suala hilo, leo hata mtoto mdogo anajua kuwa mama yake anakaribia kujifungua kwa kuwa ni lazima atakuwa anahangaika kutafuta vifaa vya kujifungulia,” alisema Dk. Slaa.Alibainisha kuwa, Jimbo la Karatu ambalo wananchi wake hawakuwahi kuwa na waziri kwa miaka 15 sasa, wanafikiria kuingiza maji ndani ya nyumba zao wakati Mtwara Vijijini ambayo mbunge wake ni waziri, wananchi wanatafuta maji umbali wa zaidi ya kilometa 10.Katika hatua iliyoonesha kukithiri kwa umasikini, Dk. Slaa alilishwa supu ya ngozi ya ng’ombe kama kitoweo, ambapo wananchi walidai wamefanya hivyo kwa kuwa hawana uwezo wa kununua nyama.Walisema hata hizo ngozi ni lazima aende mtu kuzifuata Mtwara mjini na siku inapokosekana wanajihesabia kama wamekosa nyama halisi.Kufuatia hali hiyo, Dk. Slaa aliwataka wananchi wa Mtwara mjini kujiepusha na kuuza uhuru wao kwa gharama ya shilingi elfu tano na badala yake wasimamie ukombozi wa kweli.
Ritz,
Utahaha sana mwaka huu wa uchaguzi. Kuwalaumu viongozi wa CCM wanaotumia madaraka yao kuwanyanyasa wananchi ni kuwagawa Watanzania? Utahaha sana ndugu yangu.
 
Mchambuzi, nilikuwa sijaiona hii kutoka kwa ndugu yetu Zakumi, nanukuu;

Nikauliza, well, at least Nguruvi3 katajwa, sasa hao other CDM Jihadists or Crusaders ndio akina nani?

And now with a light but serious touch...

...Kwa mara ya kwanza ndani ya taifa hili kajitokeza Kiongozi moja wa chama cha siasa ambaye ni Supreme...yeye ndiye nuru na dira. Nikarudi rudi nyuma kidogo miaka arobaini iliyopita kwa kiongozi aliyewahi kuwa na cheo kama hicho cha Supreme Leader, Comrade Mao Zedong, wa China ambaye nje ya nchi yake alijulikana kama Chairman Mao Tse-Tung. Kiongozi mwingine aliyemkaribia huyo ni yule wa Korea Kaskazini, Kim Il-Sung, ambaye alifika mbali zaidi na kujipachika jina "Eternal Ruler of the Republic"
Mkuu katika orodha ya Supremes (Mao, Kim II-Sung) kunawengine kama Ayattulah Khomeni, Khamenei n.k.

Zakumi, pengine nikuulize:

1. Kwanini serikali ya ccm imekuja na muswaada wa kudhibiti mitandao ya kijamii?
2. Kwanini Zitto, Nape, Mwigulu, January wanatumia muda wao mwingi sana kwenye mitandao ya kijamii kuliko field? Kila siku wapo kwenye social media, lakini sio kila siku wapo on the ground.
3. Kwanini Zitto amekuwa anatumia sana mitandao ya jamii to debut his strategies kuliko in the field?
4. Wawakilishi wa wananchi (the so called uneducated/underprivileged) ni wabunge wa jamhuri ya muungano wa Tanzania. Ni kwanini wabunge wengi huguswa sana na mara nyingine kulalamika juu ya mijadala inayoendelea kwenye mitandao ya kijamii, hasa Jamiiforums?
Zakumi ukipata nafasi pitia hoja hizo hapo juu, tunakusikiliza mkuu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mchambuzi.

Naona kumbe Zitto hizo takwimu akutoa kichwani mwake wote mmezitoa sehemu moja ingawa miaka tofauti.
Ritz unajitahidi sana kuleta vipande visivyoshabihiana na mada. Kwa maneno mengine spinning.

Tutakwenda na spinning hiyo hiyo kwa gharama kubwa unayomtishwa supreme

Takwimu hazina tatizo, awe na zake au ziwiane na za Mchambuzi

Akiwaaga wananchi wa jimbo lake, Zitto alisema ‘tumefanikiwa kujenga barabara nyingi n.k.'
Hapa alieleza maendeleo yaliyopatikana katika kipindi chake. Hakuna tatizo

Akiwa katika mkutano wa CUF, supreme alisema ' upo mgawanyo mbaya wa rasilimali za taifa'' hapa tulimwelewa.
Kujenga ukumbi wa viti kwa bilioni 8 huku wagonjwa wakilala chini Muhimbili ni sehemu ya mgawanyo mbaya wa rasilimali

Akiwa Bungeni wakati wa Kujadili EAC, Zitto alisema ' tusiogope EAC , mbona kuna tofauti ya maendeleo kati ya Kigoma na Kilimanjaro na bado ni taifa moja" Hapa tulikaa kimya pengine tukijaribu kumwelewa

Akiwa Mwanza na Shinga, Supreme Zitto alisema'' mikoa ya Mwanza na Shinyanga inachangia pato kubwa, lakini ipo nyuma kimaendeleo''

Tukajua anataka kueleza taifa kuhusu tatizo la maendeleo ya sehemu hizo

Akamalizia, mikoa ya Kilimanjaro na Arusha inachangia pato kidogo lakini ipo juu kimaendeleo.
Hapa katika nyongo na katoa ya Moyoni

Kumbe lile duku duku la EAC kuhusu Kigoma na Kiliamanjaro bado lilikuwa moyoni na sasa analifumua kwa njia nyingine!

Kauli ya Zitto ni kuumanisha umma wa Shinyanga na Mwanza kuwa matatizo yao yanatokana na mikoa ya Kilimanjaro na Arusha. Hii ni kauli ya hatari sana katika taifa

Tunajua umasikini upo Tanzania. Sisi ni moja ya nchi 25 masikini sana duniani.

Lakini katika umasikini huo upo wa dola 1 kwa siku na cent 99 dollar hadi cent 50 kutokana na sababu mabali mbali

Mchambuzi hapo nyuma kazieleza kama political, physical na social.

Ukizingalia kwa undani zote zipo chini ya mwamvuli wa kushindwa sera za CCM si kwa mkoa mmoja tu bali kwa taifa. Mchambuzi kasema ‘common denominator' ambayo ni CCM

Ukimsoma Alinda hapo nyuma, anaeleza mahojiano yake na Zitto.

Ilipofika suala la udini, Zitto alishindwa kujibu na kumwambia ''wewe huwajui hawa watu, akimaanisha Chadema.

Hivyo mbegu ya udini bado inamea kama ilivyoanza ya Ukigoma na Ukilimanjaro ambapo sasa anaipanua kufikia Arusha

Kauli yake ya kuaminisha umma kuwa matatizo ya Shinyanga yanaletwa na watu wa Kiliamanjaro na Arusha ni ya hatari sana. Hoja hiyo ikishindwa atatafuta nyingine, na tunadhani anayo ila inasubiri muda

Katika mazingira hayo, bila kumkemea ni kuliangamiza taifa.

Huyu supreme yupo tayari taifa lifarakane afikie malengo yake. Ameshaonja nyama ya binadamu hawezi kuacha.

Alifarakanisha Chadema na lengo lake limefikiwa. Waraka ulimtaka awe mhusika mkuu(MM) ambaye pia ni mwenyekiti wa Chadema. Lengo lililposhindwa, na kwa vile keshaonja, kaenda kumfukuza Limbu na sasa ni supreme

Ndio maana tunasema, hapana! na Mag3 kasema ‘not on our watch''

Nyama aliyoonja ni katika vyama vya siasa, kwavile ameligusa taifa tutasimama kidete kumkanya, kemea na kuuambia umma, huyu si rubani wa ndege ni mgema.

Wasichanganyikiwe wakiwaona wote angani, mmoja ana mashine mwingine anakwea mnazi.

Mmoja anapeleka abiria mwingine anagema tembo.

Last edited by a moderator:
Katika mkutano wa ACT Mwanza uliohutubiwa na Zitto, Naibu Waziri wa uchukuzi, Charles Chizeba alikaa jukwaa kuu. Chizeba ni kiongozi wa Ngazi Ya juu wa serikali, ni Mbunge wa CCM/mwana Chama wa CCM, mjumbe wa CCM NEC, na mjumbe wa mkutano mkuu wa Taifa CCM. Nini kinaendelea hapa? Mzee Moyo Zanzibar amefukuzwa uanachama kwa sababu Ya kuhudhuria mikutano Ya CUF, why the double standard? Kwanini tusiamini kwamba ACT ni Mpini wa CCM kumaliza upinzani?

Cc Ritz, Adharusi Waberoya, Mkandara.
Mansour Himid hakuwa na Waraka, wala hakuyasema pembeni.

Alikuwana maoni tu, kuwa mfumo wa serikali tatu angeupendelea kuliko uliopo.

Kilichofuata haukuitwa Dodma wala kikao cha mjini Unguja au Kisiwandui. Akasikia tu kupitia blog, nje!

Chizeba amekaa na supreme meza moja wanaeleza umma jinsi mikoa ya Kilimanjaro na Arusha inavyowatafuna wananchi wa Shinyanga.

Supreme ameshindwa kumwambia Chizeba jinsi CCM ilivyowaletea umasikini wananchi, anashambulia mikoa ya Kilimanjaro na Arusha.

Zitto amekaa na Chizeba, Mag3 ana msemo wake'' birds of feather flock together' supreme kashika mpini,shoka lipo pembeni

Kwamba,anaamini bila Kilimanjaro na Arusha maisha Tanzania yatakuwa mazuri

Jamani hamuoni hatari inayolikabili taifa kwa kauli kamahizi?

Kama tutamsamehe supreme kwa mapambio, ngonjera na vigelegele,tunapata wapi moral authority ya kumkemea Lukuvi kuhubiri katiba kanisani? Hizi double standards zitaisha lini?
 
Zitto amekaa na Chizeba, Mag3 ana msemo wake'' birds of feather flock together’ supreme kashika mpini,shoka lipo pembeni

Msome kiduchu hapa chini Philemon Ndensamburo.

Ndugu zangu Wanahabari.Nimekuiteni hapa kutoa salamu zangu za mwaka mpya kwa kuzungumza nanyi juu ya mustakabali wa mambo na hasa haya ambayo yanaendelea kujiri katika duru za kisiasa katika nchi yetu.Bila ya kumung’unya maneno ni kweli kwamba hivi sasa taifa lipo katika hatua kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu na kuelekea uchaguzi mkuu mwishoni mwa mwaka ujao.Ndugu zangu Wanahabari,Martin Luther King,Junior aliyezaliwa 1929 na kufariki mwaka 1968 aliwahi kusema nahapa naomba nimnukuu,” Kwamba watu dhaifu huisubiri fursa lakini watu makini huzifuata fursa,”.Vivyo hivyo kwa mwanafalsafa mwenzake wa Kigiriki, (Plato 427-347 BC), aliwahi kusema pia, watu wema hawahitaji sheria kuambiwa namna ya kuwajibika lakini watu wabaya wapo radhi kutafuta kila aina ya njia kudidimiza fikra zako kwa kutumia nafasi aliyonayo,”… Hakika watu hao tunao na wanaonekana hadharani wakisaka kila namna ya udhaifu wa kibinadamu ili tuu, kufifisha ndoto za wenzao na hasa wenzetu wa Chama cha Mapinduzi (CCM).Hivi karibuni,tumesikia katika vyombo vya habari kwamba Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ametangaza rasmi kuanza kwa safari aliyoiita ya matumaini ya ndoto zake; akisema anataka kutimiza ndoto za watanzania wenzake za kupata elimu bure, maji safi na maendeleo ya uhakika.Amekiri hadharani tena katika madhabahu kwamba anapowatazama marafiki zake wanaomuunga mkono, machozi yanamtoka na kwa uwezo wa Mungu atashinda kwani watanzania wanajua nia na ndoto yake.Kwa umri wangu na kwa namna ninavyoitazama siasa ya Tanzania hivi sasa, Lowassa hakupaswa kushambuliwa na akina Nape Nauye (Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM taifa) na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho taifa,mzee Philip Mangula kwa sababu moyo wake ulimruhusu kufanya hivyo,mbele ya mimbari ya Mungu na kwa namna ya pekee, hakutamka suala la kugombea urais.The best way to predict the future is to invent it. Na kwa mantiki hiyo,njia sahihi aliyoitumia Edward Lowasa ya kutamka hadharani kusudio la kukamilisha majaliwa ya ndoto zake ni namna alivyonyambulisha kile kinachoshabihi mawazo yake ya muda mrefu ya kuwatumikia watanzania wenzake. Na hili si kosa ila ni msingi wa mawazo yake.Ndugu zangu Wanahabari,Haijalishi kwamba mimi ni mpinzani wa CCM na hata wao wanalijua hilo kwamba Ndesamburo ni nguli wa siasa za mageuzi ya kifikra katika nchi yetu lakini nasema kumshambulia Lowasa peke yake, ingali kunao vinara wengine wanaokigawa chama chao kwa kupita huko huko makanisani na misikitini kwa kisingizio cha kualikwa katika harambee,ni kuonyesha dhahiri chuki yao kisiasa dhidi ya Lowassa.Nakuombeni watanzania wenzangu tuwakatae watu wanaotaka kutuchagulia viongozi wa kutuongoza.Tuwasikilize watu hoja zao na tutafakari kama kweli wanafaa kutuongoza.

Huyu ni kiongozi wa Chadema lakini anapigana kufa na kupona ili CCM waendelee kuwaongoza Watanzania.

Lakini cha ajabu wale wapambanaji bandia wa mageuzi wote wameficha sura zao.

Zitto kukaa meza moja na Chizeba ni kosa la jinai.

Wanaukumbi tupunguze mahaba na double standard kama kweli tulitakia heri taifa letu.

Alichofanya Ndesamburo ni usaliti kwa wenzake, akiwa na wenzake wanapanga mipango ya kuindoa CCM madarakani akiwa pembeni anapambana CCM iendelee kuongoza.

Hakuna mwandishi yeyote mwenye ujasiri hapa JF amediriki kumkosoa Ndensamburo.
 
Last edited by a moderator:
Katika mkutano wa ACT Mwanza uliohutubiwa na Zitto, Naibu Waziri wa uchukuzi, Charles Chizeba alikaa jukwaa kuu. Chizeba ni kiongozi wa Ngazi Ya juu wa serikali, ni Mbunge wa CCM/mwana Chama wa CCM, mjumbe wa CCM NEC, na mjumbe wa mkutano mkuu wa Taifa CCM. Nini kinaendelea hapa? Mzee Moyo Zanzibar amefukuzwa uanachama kwa sababu Ya kuhudhuria mikutano Ya CUF, why the double standard? Kwanini tusiamini kwamba ACT ni Mpini wa CCM kumaliza upinzani?

Cc Ritz, Adharusi Waberoya, Mkandara.

Nimekuja kujadili hii maada kwa sababu umeniita, ila bahati mbaya, akina Mchambuzi mmeshusha kabisa hadhi ya kufikiri hapa JF na mmekuwa kama watoto, hayawani, wapuuzi, wapumbavu, sijui mmekula maharage ya wapi? sijui nani kawaroga?? maana sio kawaida kabisa

adui no. 1 wa CCM ni CHADEMA, kubali kataa.....

ACT ni mtoto wa chadema, kazaliwa kutokana na kushindwa ku handle internal conflicts za chadema.....kubali kataa

CCM lazima ajifanye, ajionyeshe ajipendekeze kuwaunga mkono ACT ili fikra zenu kama zako mchambuzi ufikie kusema ulichosema 'mpini'

ni hayawani pekee aiyejua siasa ambaye atakayeamini zitto anatumiwa na CCM, wakati hakuna mbunge katika historia ya Tanzania hii ambaye ameibua madudu na kuisakama serikali ya CCM kama zitto....mseme mwingine

CCM wakitumia dola, vyombo vyao vya habari n.k watafanya kila njia kuhamisha attention yenu iende ACT, ''this is purely political techniques'

Kipindi CUF iko strong CCM waliitumia chadema kuhamisha attention ya CUF na adui mkubwa wa CUF akawa chadema..haujui hili?

sasa nyie tunaowategemea kuwa mnajua siasa, uchambuzi mpaka kujita 'mchambuzi' unapokuja na hoja ya kitoto kama hiyo lazima nikudharau, inapofikia wakubwa kama nyie hamna la kusema la maana JF nzima inaaibika tu

kweli with all these matters to discuss in this country issues ni zitto??? who is zitto? mbona kawatawala kiasi hicho? kwa nn mnachuki kiasi hicho??

what happened kwa huyo waziri kukaa jukwaani ni kuwaamnisha watu mnayoyaamini.....hamadi, mtakumbuka shuka asubuhi kma simba sports cluba na wamewapata wengi mnaowaza hivyo..

je kwenye mkutano huo alisema nini? ukitafuta alichokisema, unaweza kuprove maneno yangu ya awali, ni nani aliyekuroga??

ebu kueni , ACT kitakuwa chama kikubwa zitto ni wa 1977 tu ni kijana na alipofikia, nyie na team yenu ya maadui you will never reach his level........solution ni kukaa kimya

plz siku nyingine nitaje kwa vitu vya maana kuaibishana kama hivi sio vizuri, kuniita na kuanza kukufunda mzee mwenzangu sijapenda kabisa

CCM na moyo? unajua Moyo kaanzia wapi kupambana na CCM vita ya ndani? ni PM nikujuze
 
Nguruvi3.

Msome kiduchu hapa chini Philemon Ndensamburo.

Ndugu zangu Wanahabari.Nimekuiteni hapa kutoa salamu zangu za mwaka mpya kwa kuzungumza nanyi juu ya mustakabali wa mambo na hasa haya ambayo yanaendelea kujiri katika duru za kisiasa katika nchi yetu.Bila ya kumung'unya maneno ni kweli kwamba hivi sasa taifa lipo katika hatua kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu na kuelekea uchaguzi mkuu mwishoni mwa mwaka ujao.Ndugu zangu Wanahabari,Martin Luther King,Junior aliyezaliwa 1929 na kufariki mwaka 1968 aliwahi kusema nahapa naomba nimnukuu," Kwamba watu dhaifu huisubiri fursa lakini watu makini huzifuata fursa,".Vivyo hivyo kwa mwanafalsafa mwenzake wa Kigiriki, (Plato 427-347 BC), aliwahi kusema pia, watu wema hawahitaji sheria kuambiwa namna ya kuwajibika lakini watu wabaya wapo radhi kutafuta kila aina ya njia kudidimiza fikra zako kwa kutumia nafasi aliyonayo,"… Hakika watu hao tunao na wanaonekana hadharani wakisaka kila namna ya udhaifu wa kibinadamu ili tuu, kufifisha ndoto za wenzao na hasa wenzetu wa Chama cha Mapinduzi (CCM).Hivi karibuni,tumesikia katika vyombo vya habari kwamba Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ametangaza rasmi kuanza kwa safari aliyoiita ya matumaini ya ndoto zake; akisema anataka kutimiza ndoto za watanzania wenzake za kupata elimu bure, maji safi na maendeleo ya uhakika.Amekiri hadharani tena katika madhabahu kwamba anapowatazama marafiki zake wanaomuunga mkono, machozi yanamtoka na kwa uwezo wa Mungu atashinda kwani watanzania wanajua nia na ndoto yake.Kwa umri wangu na kwa namna ninavyoitazama siasa ya Tanzania hivi sasa, Lowassa hakupaswa kushambuliwa na akina Nape Nauye (Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM taifa) na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho taifa,mzee Philip Mangula kwa sababu moyo wake ulimruhusu kufanya hivyo,mbele ya mimbari ya Mungu na kwa namna ya pekee, hakutamka suala la kugombea urais.The best way to predict the future is to invent it. Na kwa mantiki hiyo,njia sahihi aliyoitumia Edward Lowasa ya kutamka hadharani kusudio la kukamilisha majaliwa ya ndoto zake ni namna alivyonyambulisha kile kinachoshabihi mawazo yake ya muda mrefu ya kuwatumikia watanzania wenzake. Na hili si kosa ila ni msingi wa mawazo yake.Ndugu zangu Wanahabari,Haijalishi kwamba mimi ni mpinzani wa CCM na hata wao wanalijua hilo kwamba Ndesamburo ni nguli wa siasa za mageuzi ya kifikra katika nchi yetu lakini nasema kumshambulia Lowasa peke yake, ingali kunao vinara wengine wanaokigawa chama chao kwa kupita huko huko makanisani na misikitini kwa kisingizio cha kualikwa katika harambee,ni kuonyesha dhahiri chuki yao kisiasa dhidi ya Lowassa.Nakuombeni watanzania wenzangu tuwakatae watu wanaotaka kutuchagulia viongozi wa kutuongoza.Tuwasikilize watu hoja zao na tutafakari kama kweli wanafaa kutuongoza.

Huyu ni kiongozi wa Chadema lakini anapigana kufa na kupona ili CCM waendelee kuwaongoza Watanzania.

Lakini cha ajabu wale wapambanaji bandia wa mageuzi wote wameficha sura zao.

Zitto kukaa meza moja na Chizeba ni kosa la jinai.

Wanaukumbi tupunguze mahaba na double standard kama kweli tulitakia heri taifa letu.

Alichofanya Ndesamburo ni usaliti kwa wenzake, akiwa na wenzake wanapanga mipango ya kuindoa CCM madarakani akiwa pembeni anapambana CCM iendelee kuongoza.

Hakuna mwandishi yeyote mwenye ujasiri hapa JF amediriki kumkosoa Ndensamburo.

Ritz hawa jamaa wamemnywa zitto wamelewa na kila wakisemacho ni zitto

1. viongozi wote wa chadema, wana marafiki na wako ties up na CCM
2. member mmoja wa UKAWA ni mbunge mteule wa CCM..Mbatia,
3. 90% ya wanachama wa upinzani wametoka vyama vingine wengi wao ni CCM

Ndugu zetu, wake zetu, majirani n.k wako vyama tofauti na tulivyonavyo yet we are living together happily

kwa nn wasikubali kuwa aina ya siasa tunayotaka Tanzania ni kujenga hoja zenye nguvu??

yaani maadui wa Zitto the best way you can do ni kumuua tu ambapo record inaonyesha wameishajaribu kumuua karibu mara nne bila mafanikio
 
Mchambuzi, nilikuwa sijaiona hii kutoka kwa ndugu yetu Zakumi, nanukuu;

Nikauliza, well, at least Nguruvi3 katajwa, sasa hao other CDM Jihadists or Crusaders ndio akina nani?

And now with a light but serious touch...

...Kwa mara ya kwanza ndani ya taifa hili kajitokeza Kiongozi moja wa chama cha siasa ambaye ni Supreme...yeye ndiye nuru na dira. Nikarudi rudi nyuma kidogo miaka arobaini iliyopita kwa kiongozi aliyewahi kuwa na cheo kama hicho cha Supreme Leader, Comrade Mao Zedong, wa China ambaye nje ya nchi yake alijulikana kama Chairman Mao Tse-Tung. Kiongozi mwingine aliyemkaribia huyo ni yule wa Korea Kaskazini, Kim Il-Sung, ambaye alifika mbali zaidi na kujipachika jina "Eternal Ruler of the Republic"

Kuwalinda mafisadi wanaolimaliza taifa hili baada ya October kutahitaji kiongozi mwenye tabia na msimamo kama wa Supreme Leader and CCM banks on that. Zakumi, it is a plan, it is a compromise and call it obsession or whatever you like, we the Nguruvi3s and other Jihadists/Crusaders like us wont let this devil plan work, not without resistance...not during our watch! Zitto is not real, Zitto is a plant a phoney! Supreme Leader, my foot, those days are gone and done and they wont be coming back, not soon.

Forewarned is forearmed.

it is funny adui yako mkubwa ni zitto.........ebu muoneeni huruma; zitto mmemkuza sana

yaaani li nchi lote hili la watu milioni 40 zitto ndio ana mastermind?? that including your family??

2009 aligombea uongozi chadema mkamkataa .....iliplaniwa? au na CDM ni sehemu ya mpango

2009-2012 zitto kutengwa na uongozi wa chadema iliplaniwa na ccm?

2012-2013 zitto kuzushiwa tuhuma zote, kupanga kumfukuza iliplaniwa??

2014 CDM kushindwa kesi kinyemela na kumfukuza uanachama ( Lissu akieleza watu) nayo iliplaniwa??

2015 kuingia ACT iliplaniwa??

kama siku zote ulikuwa una watch hii move....still ukakubali atimke na kwenda ACT?? KWA NN hamkuzuia hii move na kumbakisha zitto ndani ili mkiue ACT?? why? hivi unaweza kusema hautakubali haya zitto ayafanye as if zitto anaenda kuwa rais?? mbona umejishusha hivyo mzee mzima? tena unasema kwa uchungu kabisa .....ili hali mnasema mlijua yote haya siku nyingi?? ukipiga picha chadema kushika dola ni majanga tu kumbe....mnatibu magonjwa na sio kuzuia??

nashangaa katika mipango yote hii anayeitimiza ni chadema yenyewe!!

Mag3 I used to like you, ila hisia na mahaba vimetawala kiasi cha kushindwa kufikiri vizuri

CCM wenzenu walipoona CCJ kiko on the way wakawaweka karibu akina Nape na sitta na kuua kabisa hicho chama

yaani unachoeleza ni kukiabisha kabisa chadema ambacho wewe ni mwanachama na unajitapa eti hautakaa uangalie yakitokea haya!!! hivi rafiki yangu kipenzi jina lako zuri hapa ni lipi mjinga au mpumbavu??

ulitakiwa kulaumu chadema kuruhusu yote haya na tulishauri sana leo ndio unajiapiza ili akina Nguruvi, mbowe, molemo na slaa wakuone na wewe kamanda kumbe mazeteta mmekusanyana hamtumii akili

kwa hali ya CCM ya sasa ilivyo na severe internal conflicts za akina Lowasa, membe, Nape, n.k unajua vyema...CHADEMA KINGEWEZA?? KAMA kamtu kanaitwa Zitto kanawasumbua?? hauoni zitto kawaaibisha sana

upuuzi mmufanye nyie mumlaumu zitto?? mpaka kijana anaenda mahakamani akilazimisha asifukuzwe mmemzunguka na kuhujumu ile kesi...mkatangaza mmefukuza LEO REACTION ZA ZITTO ZIONEKANE KUWA ALIPANGA?? mnawaza kutumia nn?? Mag3 ona aibu kwa hili mzee, kama una wajukuu ....huna msaada kwao

Kikwete alipochukua madaraka alikua na uadui mkubwa na wabunge wote wa kusini isipokuwa Nchimbi; Kikwete alikuwa adui wa Mwandosya, mwakyembe, viongozi wa CCM akina mangula..n.k kilichotokea ni kuwaweka karibu hawa maadui zake na kuwapunguza nguvu..NDIO SIASA Mbowe anafanya nini?? hivi Mag3 na akili zako hizi unaweza kabisa kutoa heshima na credibility kwa Mbowe kuwa ana akili za uongozi?? kama tu mnayemsema kila siku kuwa 'hana akili' Mr. Kikwete kafanya siasa ambazo hamziwezi??

Mag3 CHADEMA inapaswa ikae chini ijitathmini

alianza chacha wangwe, then akina kafulila n.k

chacha wangwe angekuwa hai, yumkini naye angekuwa kwenye chama kingine maana mlichomfanyia wangwe ndio hicho hicho mmefanyia zitto...( mlichoshindwa ni kumuua...ila kwa maneno na chuki mmeishaua)..ukibisha na hili unaumwa na sina jinsi ya kukusaidia

FYI Zitto ata shine sana tu, fanya kazi ya ziada kumchukia huyo mtu; mpaka sasa angekuwa weak angekuwa hayuko kwenye siasa.....ebu fumba macho jifanye yeye ....pitia yote haya aliyopitia......utagundua katuacha mbali sana mimi na wewe

ila ngau mimi namuelewa

adui no. moja wa ukombozi ni wewe Mag3 ..kubali kataa
 
Nguruvi3.

Msome kiduchu hapa chini Philemon Ndensamburo.

Ndugu zangu Wanahabari.Nimekuiteni hapa kutoa salamu zangu za mwaka mpya kwa kuzungumza nanyi juu ya mustakabali wa mambo na hasa haya ambayo yanaendelea kujiri katika duru za kisiasa katika nchi yetu.Bila ya kumung'unya maneno ni kweli kwamba hivi sasa taifa lipo katika hatua kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu na kuelekea uchaguzi mkuu mwishoni mwa mwaka ujao.Ndugu zangu Wanahabari,Martin Luther King,Junior aliyezaliwa 1929 na kufariki mwaka 1968 aliwahi kusema nahapa naomba nimnukuu," Kwamba watu dhaifu huisubiri fursa lakini watu makini huzifuata fursa,".Vivyo hivyo kwa mwanafalsafa mwenzake wa Kigiriki, (Plato 427-347 BC), aliwahi kusema pia, watu wema hawahitaji sheria kuambiwa namna ya kuwajibika lakini watu wabaya wapo radhi kutafuta kila aina ya njia kudidimiza fikra zako kwa kutumia nafasi aliyonayo,"… Hakika watu hao tunao na wanaonekana hadharani wakisaka kila namna ya udhaifu wa kibinadamu ili tuu, kufifisha ndoto za wenzao na hasa wenzetu wa Chama cha Mapinduzi (CCM).Hivi karibuni,tumesikia katika vyombo vya habari kwamba Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ametangaza rasmi kuanza kwa safari aliyoiita ya matumaini ya ndoto zake; akisema anataka kutimiza ndoto za watanzania wenzake za kupata elimu bure, maji safi na maendeleo ya uhakika.Amekiri hadharani tena katika madhabahu kwamba anapowatazama marafiki zake wanaomuunga mkono, machozi yanamtoka na kwa uwezo wa Mungu atashinda kwani watanzania wanajua nia na ndoto yake.Kwa umri wangu na kwa namna ninavyoitazama siasa ya Tanzania hivi sasa, Lowassa hakupaswa kushambuliwa na akina Nape Nauye (Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM taifa) na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho taifa,mzee Philip Mangula kwa sababu moyo wake ulimruhusu kufanya hivyo,mbele ya mimbari ya Mungu na kwa namna ya pekee, hakutamka suala la kugombea urais.The best way to predict the future is to invent it. Na kwa mantiki hiyo,njia sahihi aliyoitumia Edward Lowasa ya kutamka hadharani kusudio la kukamilisha majaliwa ya ndoto zake ni namna alivyonyambulisha kile kinachoshabihi mawazo yake ya muda mrefu ya kuwatumikia watanzania wenzake. Na hili si kosa ila ni msingi wa mawazo yake.Ndugu zangu Wanahabari,Haijalishi kwamba mimi ni mpinzani wa CCM na hata wao wanalijua hilo kwamba Ndesamburo ni nguli wa siasa za mageuzi ya kifikra katika nchi yetu lakini nasema kumshambulia Lowasa peke yake, ingali kunao vinara wengine wanaokigawa chama chao kwa kupita huko huko makanisani na misikitini kwa kisingizio cha kualikwa katika harambee,ni kuonyesha dhahiri chuki yao kisiasa dhidi ya Lowassa.Nakuombeni watanzania wenzangu tuwakatae watu wanaotaka kutuchagulia viongozi wa kutuongoza.Tuwasikilize watu hoja zao na tutafakari kama kweli wanafaa kutuongoza.

Huyu ni kiongozi wa Chadema lakini anapigana kufa na kupona ili CCM waendelee kuwaongoza Watanzania.

Lakini cha ajabu wale wapambanaji bandia wa mageuzi wote wameficha sura zao.

Zitto kukaa meza moja na Chizeba ni kosa la jinai.

Wanaukumbi tupunguze mahaba na double standard kama kweli tulitakia heri taifa letu.

Alichofanya Ndesamburo ni usaliti kwa wenzake, akiwa na wenzake wanapanga mipango ya kuindoa CCM madarakani akiwa pembeni anapambana CCM iendelee kuongoza.

Hakuna mwandishi yeyote mwenye ujasiri hapa JF amediriki kumkosoa Ndensamburo.
Ritz,

Angalau Ndesamburo yeye amezungumzia suala husika na vyombo vya habari.

Ebu tafakari hili juu ya kiongozi wako Zitto:

Alipokuwa Chadema, ilikuwa ni jadi kwa Zitto kwenda kukutana na Rais na Mwenyekiti wa Chama tawala (CCM). Zitto alikuwa anadai kwamba mikutano yake na Mwenyekiti wa chama tawala ililenga kujadili masuala na maslahi ya nchi. Nafuu angesema kwamba alikuwa anaenda kukutana na Mwenyekiti wa Chama Tawala (CCM) ili kunywa nae chai, kuangalia nae mpira, kusalimia familia n.k, hapo tungemwelewa, lakini masuala na maslahi ya Kitaifa??

Zitto hakusema kwamba alikuwa anaenda kukutana na Jakaya Kikwete, bali Rais Jakaya Kikwete ambae pia ni mwenyekiti wa Chama Tawala ambacho Chadema inapigana usiku na mchana kukitoa madarakani kwa sababu kimeshindwa kutetea wanyonge. Je ni mambo gani yenye maslahi ya taifa ambayo alikuwa anaenda kujadili na Mwenyekiti wa Chama Tawala (CCM)? Kwanini hakujibu swali hilo?

Ritz
, mwanachama na Kiongozi wa chama cha upinzani cha Chadema (Zitto) anaenda kukutana na mwenyekiti wa chama tawala na kujadili mambo ya kitaifa, na baada ya hapo kila mtu anaenda zake nyumbani. Na wala Zitto haendi kutoa mrejesho wowote kwa uongozi wa chama chake, haendi kuzungumza na vyombo vya habari juu ya nini walijadili kuhusiana na masuala na maslahi ya taifa, na wala hawaelezi wanachama wa Chadema na wananchi kwa ujumla ni masuala gani yeney maslahi yao (wananchi) ameenda kujadili na mwenyekiti wa chama Tawala. Ananyamazia tu kama vile hili ni jambo dogo sana.

Ritz
, wakati Chadema inapambana na chama tawala kwa nia ya kuking'oa madarakani kutokana na kushindwa kutetea maslahi ya wananchi walio wengi, Zitto yeye anaenda kinyemela kukutana na mwenyekiti wa chama hicho taifa. Imekaa sawa kweli hii? Na sio mara moja, bali mara nyingi, eti kujadili masuala na maslahi ya kitaifa. Tunauliza tena, je – Ni mambo gani ambayo Naibu Katibu Mkuu wa chama cha upinzani (Chadema) Zitto, chama ambacho kinahaha kukiondoa chama tawala madarakani, anaweza kwenda kujadili na mwenyekiti wa chama tawala (CCM) na vyombo vya habari visijue, uongozi wa chadema usijue?

Kwa vile alishasema kwamba mikutano yake ililenga kujadili masuala ya kitaifa/maslahi ya kitaifa, sasa ni wakati wa Zitto kuambia umma anaozungukia kuwalaghai kupitia chama cha kilaghai cha ACT, ni mambo gani alikuwa anaenda kujadili na Mwenyekiti wa Chama Tawala (CCM), na kwa vile alishasema ni maslahi ya taifa, taifa ni hao wananchi wanaokusanyika kwenye mikutano ya chama cha kilaghai cha ACT, sasa awaeleze hao wananchi wa taifa husika mikutano yake na Mwenyekiti wa CCM Taifa imeleta faida gani kwa wananchi au inapanga kuleta faida gani kwa wananchi (kumbuka – maslahi na masuala ya kitaifa ndio kauli yake mwenye zitto).

Angalau basi Zitto angesema nimeenda kunywa chai na mwenyekiti wa CCM, hapo angeeeleweka, lakini sio kuhadaa umma kwamba ameenda kujadili na mwenyekiti wa chama tawala masuala na maslahi ya taifa. Mwenyekiti huyu wa taifa (CCM), utawala wake unapingwa na Chadema, halafu Naibu Katibu Mkuu wa Chama kikuu cha upinzani nchini - Chadema Taifa (Zitto) anakwenda kujadili na mwenyekiti wa chama tawala masuala na maslahi ya taifa. Sio chadema, sio waandishi wa habari, sio umma unaopewa mrejesho juu ya ‘masuala ya kitaifa' yaliyojadiliwa.

Hivi kweli wenyeviti, makatibu wakuu na manaibu katibu wakuu wa vyama vikuu vya upinzani vya CUF, Chadema, NCCR Mageuzi (mmoja mmoja) wanaweza kweli kwenda kukutana na mwenyekiti wa chama tawala ambacho wanapigana usiku na mchana kukitoa madarakani, na wakajadili masuala ya kitaifa, lakini wanachama wa vyama husika, vyombo vya habari, na umma kwa ujumla, wote wakapotezewa juu ya kilichojiri?

Hii inatoa tafsiri moja tu, nayo ni kwamba Zitto alianza usaliti siku nyingi sana. Basi.

cc Waberoya, Mkandara
 
Kinachonishangaza mimi mfuatiliaji wa minakasha ya hapa jukwaani kuna majina kadhaa wao huwa wanakubaliana kila jambo litakaloletwa na mmojawao.

Wakati huohuo watu hao ni mashabiki/wanachama wa CHADEMA. Hivi kipi kinawafanya muwe na mawazo yanayofanana wote linapokuja suala la kupambana na mh Zitto lakini pia mnanyamazia maovu ya kina Mbowe,Slaa, Ndesamburo wanaofanya yaleyale aliotuhumiwa kuyafanya zitto? Nguruvi3, Mag3, Mchambuzi n.k Mnamchukia ZZK Kwasababu gani hasa? Ukanda atokao,dini yake,kabila lake au mafanikio yake kisiasa Tanzania na duniani kwa ujumla? Msiniambie ni usaliti kama walivyolishwa uongo huo na wanavyouimba wimbo huo kwa ustadi BAVICHA.
 
Last edited by a moderator:
Zakumi, pengine nikuulize:

1. Kwanini serikali ya ccm imekuja na muswaada wa kudhibiti mitandao ya kijamii?
2. Kwanini Zitto, Nape, Mwigulu, January wanatumia muda wao mwingi sana kwenye mitandao ya kijamii kuliko field? Kila siku wapo kwenye social media, lakini sio kila siku wapo on the ground.
3. Kwanini Zitto amekuwa anatumia sana mitandao ya jamii to debut his strategies kuliko in the field?
4. Wawakilishi wa wananchi (the so called uneducated/underprivileged) ni wabunge wa jamhuri ya muungano wa Tanzania. Ni kwanini wabunge wengi huguswa sana na mara nyingine kulalamika juu ya mijadala inayoendelea kwenye mitandao ya kijamii, hasa Jamiiforums?

  1. I can’t speak for the government. I believe the effort they take to control social media is a lost cause because the paradigm of reporting news and dispensing information has shifted.In traditional media platforms, the government or the establishment could employ various devices such as taxation, censorship and connection to make sure that news is filtered before it reaches the consumer
    However, the social media platforms have changed all of this as they democratized the process of disseminating news. Today anybody with computer and internet connection can be a news reporter. More importantly, there’s no filters and the news is reported in real time. Once information is out there, you can’t pull it back. You have to deal with it.I think this is the reason why government is spooked.

  1. Social media is cheaper. What’s do you need to be online? Computer and internet connection. Mwigulu, Zitto, Mchambuzi, etc can talk to their audience from the comfort of their bedroom without breaking a sweat.

  1. You can use social media to test water. I believe that is what Zitto is doing when he debuts his strategies.

  1. As I said before, the social media platforms have democratized the way news is collected and distributed. For example, today anybody with smart phone can report and publish news. Members of the establishment (wabunge au viongozi wengine) haven’t grasped this new reality and are seeking special protection.
 
Mchambuzi, nilikuwa sijaiona hii kutoka kwa ndugu yetu Zakumi, nanukuu;

Nikauliza, well, at least Nguruvi3 katajwa, sasa hao other CDM Jihadists or Crusaders ndio akina nani?

And now with a light but serious touch...

...Kwa mara ya kwanza ndani ya taifa hili kajitokeza Kiongozi moja wa chama cha siasa ambaye ni Supreme...yeye ndiye nuru na dira. Nikarudi rudi nyuma kidogo miaka arobaini iliyopita kwa kiongozi aliyewahi kuwa na cheo kama hicho cha Supreme Leader, Comrade Mao Zedong, wa China ambaye nje ya nchi yake alijulikana kama Chairman Mao Tse-Tung. Kiongozi mwingine aliyemkaribia huyo ni yule wa Korea Kaskazini, Kim Il-Sung, ambaye alifika mbali zaidi na kujipachika jina "Eternal Ruler of the Republic"

Kuwalinda mafisadi wanaolimaliza taifa hili baada ya October kutahitaji kiongozi mwenye tabia na msimamo kama wa Supreme Leader and CCM banks on that. Zakumi, it is a plan, it is a compromise and call it obsession or whatever you like, we the Nguruvi3s and other Jihadists/Crusaders like us wont let this devil plan work, not without resistance...not during our watch! Zitto is not real, Zitto is a plant a phoney! Supreme Leader, my foot, those days are gone and done and they wont be coming back, not soon.

Forewarned is forearmed.

Mag3:

I think the main reason why the country is here is the so called intellectuals have decide to watch the show from the sidelines. That's the problem I see.

If Zitto thinks that he's a supreme leader, he does so not because he's a good leader, but because he's the gut to go out there and do what he's been doing. You can't blame the guy for that. He's taking his chances and you won't stop him while you remain online Jihadist/Crusader.
 
Zitto alisema yafuatayo:

"Mkoa wa Mwanza una rasilimali nyingi, lakini ni mkoa wa 13 katika ukuwaji kimaendeleo, huku mkoa wa Kilimanjaro wenye rasilimali chache ni wa pili kimaendeleo nchini".

Mbowe alisema yafuatayo:

"Wasukuma Mungu amewapa bahati sana,amewapa Ng'ombe,Madini,lakini nyie ni maskini sana kuliko kabila lolote Tanzania kwa zaidi ya miaka 50."

Kweli hauoni tofauti ya kauli hizi mbili?

Both have spoken the inconvenient truth. So what's the big deal there?
 
Mansour Himid hakuwa na Waraka, wala hakuyasema pembeni.

Alikuwana maoni tu, kuwa mfumo wa serikali tatu angeupendelea kuliko uliopo.

Kilichofuata haukuitwa Dodma wala kikao cha mjini Unguja au Kisiwandui. Akasikia tu kupitia blog, nje!

Chizeba amekaa na supreme meza moja wanaeleza umma jinsi mikoa ya Kilimanjaro na Arusha inavyowatafuna wananchi wa Shinyanga.

Supreme ameshindwa kumwambia Chizeba jinsi CCM ilivyowaletea umasikini wananchi, anashambulia mikoa ya Kilimanjaro na Arusha.

Zitto amekaa na Chizeba, Mag3 ana msemo wake'' birds of feather flock together' supreme kashika mpini,shoka lipo pembeni

Kwamba,anaamini bila Kilimanjaro na Arusha maisha Tanzania yatakuwa mazuri

Jamani hamuoni hatari inayolikabili taifa kwa kauli kamahizi?

Kama tutamsamehe supreme kwa mapambio, ngonjera na vigelegele,tunapata wapi moral authority ya kumkemea Lukuvi kuhubiri katiba kanisani? Hizi double standards zitaisha lini?
Nguruvi3 Zitto hafai hata kujadiliwa hapa manake kwanza kauli zake ni za kichonganish sana.
Nilijiuliza ivi amesahau kwamba KLM ndio mkoa ambao una ardhi ndogo sana na hivyo wengi wa wakazi wake wako mikoan hususan kigoma kutafuta maisha? Hivi amesahau kwamba kuhusu kilimo KLM haiwez hata kuskika manaked hakuna ardhi hivyo wakulima wengi huenda kulima nje ya mkoa na hurudi kwao kuwekeza tu?

KLM iko mbele kimaendeleo ni kwasabb ya vipaumbele vy wenyeji wake kwamba wanapenda nyumba nzuri, miundo mbinu bora ya bara bara na maji, hosp nk ndio mana wao kujichangia kuweza kutekeleza hayo sio shida.

sijui kwann aone eti KLM ni threat kwa maendeleo ya kigoma wakati amesahau wakazi wake utamaduni tu wa kupenda maendeleo hawakuwa nao. Ebu akawafundishe wenzie kupenda kwanza kwao kupenda maendeleo ya dhati mbona huku mijin wanajenga majumba makubwa lkn vijijin kwao hawajengi?

yaani hoja yake ni dhaifu sana mie akiniuliza nitamwambia nenda kwafundishe wenzio badala ya kukaa kulogana basi wakubali wawekeze kwao uone kama hawata piga hatua.

tusibaguliwe kwani sote tu wamoja, wawaige wachagga kwa kupenda kujenga kwao na waache sifa za kijinga
 
Last edited by a moderator:
Mansour Himid hakuwa na Waraka, wala hakuyasema pembeni.

Alikuwana maoni tu, kuwa mfumo wa serikali tatu angeupendelea kuliko uliopo.

Kilichofuata haukuitwa Dodma wala kikao cha mjini Unguja au Kisiwandui. Akasikia tu kupitia blog, nje!

Chizeba amekaa na supreme meza moja wanaeleza umma jinsi mikoa ya Kilimanjaro na Arusha inavyowatafuna wananchi wa Shinyanga.

Supreme ameshindwa kumwambia Chizeba jinsi CCM ilivyowaletea umasikini wananchi, anashambulia mikoa ya Kilimanjaro na Arusha.

Zitto amekaa na Chizeba, Mag3 ana msemo wake'' birds of feather flock together’ supreme kashika mpini,shoka lipo pembeni

Kwamba,anaamini bila Kilimanjaro na Arusha maisha Tanzania yatakuwa mazuri

Jamani hamuoni hatari inayolikabili taifa kwa kauli kamahizi?

Kama tutamsamehe supreme kwa mapambio, ngonjera na vigelegele,tunapata wapi moral authority ya kumkemea Lukuvi kuhubiri katiba kanisani? Hizi double standards zitaisha lini?
Nguruvi3 Zitto hafai hata kujadiliwa hapa manake kwanza kauli zake ni za kichonganish sana.
Nilijiuliza ivi amesahau kwamba KLM ndio mkoa ambao una ardhi ndogo sana na hivyo wengi wa wakazi wake wako mikoan hususan kigoma kutafuta maisha? Hivi amesahau kwamba kuhusu kilimo KLM haiwez hata kuskika manaked hakuna ardhi hivyo wakulima wengi huenda kulima nje ya mkoa na hurudi kwao kuwekeza tu?

KLM iko mbele kimaendeleo ni kwasabb ya vipaumbele vy wenyeji wake kwamba wanapenda nyumba nzuri, miundo mbinu bora ya bara bara na maji, hosp nk ndio mana wao kujichangia kuweza kutekeleza hayo sio shida.

sijui kwann aone eti KLM ni threat kwa maendeleo ya kigoma wakati amesahau wakazi wake utamaduni tu wa kupenda maendeleo hawakuwa nao. Ebu akawafundishe wenzie kupenda kwanza kwao kupenda maendeleo ya dhati mbona huku mijin wanajenga majumba makubwa lkn vijijin kwao hawajengi?

yaani hoja yake ni dhaifu sana mie akiniuliza nitamwambia nenda kwafundishe wenzio badala ya kukaa kulogana basi wakubali wawekeze kwao uone kama hawata piga hatua.

tusibaguliwe kwani sote tu wamoja, wawaige wachagga kwa kupenda kujenga kwao na waache sifa za kijinga
 
Last edited by a moderator:
Ritz,

Angalau Ndesamburo yeye amezungumzia suala husika na vyombo vya habari.

Ebu tafakari hili juu ya kiongozi wako Zitto:

Alipokuwa Chadema, ilikuwa ni jadi kwa Zitto kwenda kukutana na Rais na Mwenyekiti wa Chama tawala (CCM). Zitto alikuwa anadai kwamba mikutano yake na Mwenyekiti wa chama tawala ililenga kujadili masuala na maslahi ya nchi. Nafuu angesema kwamba alikuwa anaenda kukutana na Mwenyekiti wa Chama Tawala (CCM) ili kunywa nae chai, kuangalia nae mpira, kusalimia familia n.k, hapo tungemwelewa, lakini masuala na maslahi ya Kitaifa??

Zitto hakusema kwamba alikuwa anaenda kukutana na Jakaya Kikwete, bali Rais Jakaya Kikwete ambae pia ni mwenyekiti wa Chama Tawala ambacho Chadema inapigana usiku na mchana kukitoa madarakani kwa sababu kimeshindwa kutetea wanyonge. Je ni mambo gani yenye maslahi ya taifa ambayo alikuwa anaenda kujadili na Mwenyekiti wa Chama Tawala (CCM)? Kwanini hakujibu swali hilo?

Ritz
, mwanachama na Kiongozi wa chama cha upinzani cha Chadema (Zitto) anaenda kukutana na mwenyekiti wa chama tawala na kujadili mambo ya kitaifa, na baada ya hapo kila mtu anaenda zake nyumbani. Na wala Zitto haendi kutoa mrejesho wowote kwa uongozi wa chama chake, haendi kuzungumza na vyombo vya habari juu ya nini walijadili kuhusiana na masuala na maslahi ya taifa, na wala hawaelezi wanachama wa Chadema na wananchi kwa ujumla ni masuala gani yeney maslahi yao (wananchi) ameenda kujadili na mwenyekiti wa chama Tawala. Ananyamazia tu kama vile hili ni jambo dogo sana.

Ritz
, wakati Chadema inapambana na chama tawala kwa nia ya kuking'oa madarakani kutokana na kushindwa kutetea maslahi ya wananchi walio wengi, Zitto yeye anaenda kinyemela kukutana na mwenyekiti wa chama hicho taifa. Imekaa sawa kweli hii? Na sio mara moja, bali mara nyingi, eti kujadili masuala na maslahi ya kitaifa. Tunauliza tena, je – Ni mambo gani ambayo Naibu Katibu Mkuu wa chama cha upinzani (Chadema) Zitto, chama ambacho kinahaha kukiondoa chama tawala madarakani, anaweza kwenda kujadili na mwenyekiti wa chama tawala (CCM) na vyombo vya habari visijue, uongozi wa chadema usijue?

Kwa vile alishasema kwamba mikutano yake ililenga kujadili masuala ya kitaifa/maslahi ya kitaifa, sasa ni wakati wa Zitto kuambia umma anaozungukia kuwalaghai kupitia chama cha kilaghai cha ACT, ni mambo gani alikuwa anaenda kujadili na Mwenyekiti wa Chama Tawala (CCM), na kwa vile alishasema ni maslahi ya taifa, taifa ni hao wananchi wanaokusanyika kwenye mikutano ya chama cha kilaghai cha ACT, sasa awaeleze hao wananchi wa taifa husika mikutano yake na Mwenyekiti wa CCM Taifa imeleta faida gani kwa wananchi au inapanga kuleta faida gani kwa wananchi (kumbuka – maslahi na masuala ya kitaifa ndio kauli yake mwenye zitto).

Angalau basi Zitto angesema nimeenda kunywa chai na mwenyekiti wa CCM, hapo angeeeleweka, lakini sio kuhadaa umma kwamba ameenda kujadili na mwenyekiti wa chama tawala masuala na maslahi ya taifa. Mwenyekiti huyu wa taifa (CCM), utawala wake unapingwa na Chadema, halafu Naibu Katibu Mkuu wa Chama kikuu cha upinzani nchini - Chadema Taifa (Zitto) anakwenda kujadili na mwenyekiti wa chama tawala masuala na maslahi ya taifa. Sio chadema, sio waandishi wa habari, sio umma unaopewa mrejesho juu ya ‘masuala ya kitaifa' yaliyojadiliwa.

Hivi kweli wenyeviti, makatibu wakuu na manaibu katibu wakuu wa vyama vikuu vya upinzani vya CUF, Chadema, NCCR Mageuzi (mmoja mmoja) wanaweza kweli kwenda kukutana na mwenyekiti wa chama tawala ambacho wanapigana usiku na mchana kukitoa madarakani, na wakajadili masuala ya kitaifa, lakini wanachama wa vyama husika, vyombo vya habari, na umma kwa ujumla, wote wakapotezewa juu ya kilichojiri?

Hii inatoa tafsiri moja tu, nayo ni kwamba Zitto alianza usaliti siku nyingi sana. Basi.

cc Waberoya, Mkandara
Mchambuzi.

Mbona hata viongozi wa Chadema karibia wote walikuwa wanakwenda Ikulu kunywa chai na Mwenyekiti wa CCM Kikwete huku wakiwadanganya wafuasi wao kuwa walienda Ikulu kujadili masuala ya kitaifa, cha kushangza mpaka leo hawajawambia wafuasi wao waliongea nini na kiongozi wa CCM.

Hii safari ya kwanza Mbowe na wenzake wakijiachia Ikulu.

CDM5.jpg

Hii safari ya pili Mbowe na wenzake wakijiachia Ikulu safari ya pili angalia kwa makini Mwenyekiti wa CCM anavyowaangalia kwa dharau.

SLAA4.jpg

Hapa Zitto hayupo.

CDM6.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom