Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
- Thread starter
- #661
Zile takwimu za supreme alizotumia Shinyanga na Mwanza ulizoahidi kuzileta zipo wapi mkuu. Huko kwingine hatujafika.Wanao mkosoa Zitto wanadai wanafanya hivyo sababu Zitto hataki kuiondoa CCM, sasa watu lazima wahoji mbona wanatouti kubwa na Zitto, mbona yeye ndio kaweza kushawishi kambi zote upinzani na kuishugulikia serikali ya CCM,Mbowe na genge lake wanaupinzani wa kuongea majukwaani(maneno matupu),Zitto kapeleka miswada binafsi bungeni,na baadhi ikakubalika
Kama huna takwimu, muombe radhi mkuu Mag3 na jamvi kwa usumbufu uliosababisha
Last edited by a moderator: