Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

Wanao mkosoa Zitto wanadai wanafanya hivyo sababu Zitto hataki kuiondoa CCM, sasa watu lazima wahoji mbona wanatouti kubwa na Zitto, mbona yeye ndio kaweza kushawishi kambi zote upinzani na kuishugulikia serikali ya CCM,Mbowe na genge lake wanaupinzani wa kuongea majukwaani(maneno matupu),Zitto kapeleka miswada binafsi bungeni,na baadhi ikakubalika
Zile takwimu za supreme alizotumia Shinyanga na Mwanza ulizoahidi kuzileta zipo wapi mkuu. Huko kwingine hatujafika.

Kama huna takwimu, muombe radhi mkuu Mag3 na jamvi kwa usumbufu uliosababisha
 
Last edited by a moderator:
Nguvu kubwa mno inatumika kumlinda na kumtetea SUPREME LEADER lakini bila facts za kutetea hoja zake ambazo amekuwa akizitoa. Mara nyingi silaha inayotumika kama utetezi ni "Mbona kina Mbowe nao wanafanya hivi ama vile...kwa nini aandamwe Supreme pekee?"
Watatezi wa supreme hawatetei hoja zake, wanatafuta mahali pa kulingnisha huyu na yule n.k.

Ndio maana mtu kama Mkandara ambaye ni nguli wa jamvi kwa muda, na amekiri kuwa wakwanza jamvini anakuja kupotosha alichopaswa kukijua.

Msome hapo juu, kaunga unga hadithi na kufikiia hitimisho 'Slaa kapanda ngazi na kumwacha Zitto''
Hoja hiyo ni utetezi wa hii ya supreme, aliyetokea nowhere, akaundiwa nafasi na katiba ikabadilishwa kwa ajili yake

Nafasi ya katibu mkuu alikuwa nayo Aman Kaborou na wengine, haikuundwa wala haikutengenezwa kwa ajili ya mtu

Supreme ni nafasi adhimu kwa ajili ya mtu. Hili wanaelewa, wanakataa kwasababu ni wale wa kundi la kwanza

Unakumbuka huko nyuma nimetaja makundi 3. Kundi la kwanza likimiuona supreme kashika naniii kutoka uani, litasema kabeba mbole ya samadi. Na litasimama kidete kuueleza ulimwengu kuhusu samadi hiyo mpya

Hili kundi lina waumini kweli kweli, wapo tayari kusema jua linatoka mgharibi na kuzama mashiriki kama kufanya hivyo kutaisitiri sura ya supreme. Ni kundi lililojitoa kweli kweli, ki hali na mali na hata kifahamu.
 
Mimi sipotoshi ila nimewaomba takwimu za maoni ya wanachama wa CCM kati ya Dr.Slaa na Qorro 1995 jimbo la Karatu.
 
Zile takwimu za supreme alizotumia Shinyanga na Mwanza ulizoahidi kuzileta zipo wapi mkuu. Huko kwingine hatujafika.

Kama huna takwimu, muombe radhi mkuu Mag3 na jamvi kwa usumbufu uliosababisha

Natumia simu mda huu siwezi shindwa kumjibu,nitaweka majibu katika swali lake,nipo Lindi Laptop nimeacha Dar,majibu yataenda sambamba na kumkoti Mage3 maswali ya kawaida sana
 
Last edited by a moderator:
Watatezi wa supreme hawatetei hoja zake, wanatafuta mahali pa kulingnisha huyu na yule n.k.

Ndio maana mtu kama Mkandara ambaye ni nguli wa jamvi kwa muda, na amekiri kuwa wakwanza jamvini anakuja kupotosha alichopaswa kukijua.

Msome hapo juu, kaunga unga hadithi na kufikiia hitimisho 'Slaa kapanda ngazi na kumwacha Zitto''
Hoja hiyo ni utetezi wa hii ya supreme, aliyetokea nowhere, akaundiwa nafasi na katiba ikabadilishwa kwa ajili yake

Nafasi ya katibu mkuu alikuwa nayo Aman Kaborou na wengine, haikuundwa wala haikutengenezwa kwa ajili ya mtu

Supreme ni nafasi adhimu kwa ajili ya mtu. Hili wanaelewa, wanakataa kwasababu ni wale wa kundi la kwanza

Unakumbuka huko nyuma nimetaja makundi 3. Kundi la kwanza likimiuona supreme kashika naniii kutoka uani, litasema kabeba mbole ya samadi. Na litasimama kidete kuueleza ulimwengu kuhusu samadi hiyo mpya

Hili kundi lina waumini kweli kweli, wapo tayari kusema jua linatoka mgharibi na kuzama mashiriki kama kufanya hivyo kutaisitiri sura ya supreme. Ni kundi lililojitoa kweli kweli, ki hali na mali na hata kifahamu.

Kwahiyo Zitto asingekua kiongozi ACT Nguruvi3 ungeacha kuandika,Mbona huu Uzi ni wa ACT sio Zitto
 
Last edited by a moderator:
Mkuu naomba takwimu za kura za maoni za CCM 1995 jimbo la Karatu, maana najua uchaguzi wa ndani ya chama sii kama uchaguzi wa Taifa. Hivyo tunaposema alishinda inabidi tuwe na vithibitisho hivyo.

Hawawezi kuleta,wakileta nistue
 
Mimi sipotoshi ila nimewaomba takwimu za maoni ya wanachama wa CCM kati ya Dr.Slaa na Qorro 1995 jimbo la Karatu.

Kura za maoni ndani Ya CCM 1995 jimbo la karatu zilihusisha wagombea wawili. Patrick Qorro dhidi Ya Wilbrod Slaa. Slaa Akashinda, lakini mshindi wa pili ndio akateuliwa na CCM. Kwahiyo swali lako halina mantiki yoyote kwani aliyesimamishwa Alikuwa ni aliyeshindwa.

Bahati ushindani sasa ukahamia kwenye uchaguzi mkuu October 1995 huku wagombea wakiwa ni wale wale - Slaa dhidi ya Qorro. Huu ulikuwa ni uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi na ccm Ilijipanga sana kuchakachua majimbo ili Chama kionekane bado kinakubalika dhidi ya upinzani. Pamoja na uchakachuaji mkubwa, 1995 matokeo yakawa hivi:

•Slaa Chadema 20,015
•Qorro CCM 16,780.

Tofauti Ya Kura 3,235.

Hawa hawa wakakutana tena 2000, ili kupimana Nani anakubalika zaidi na kama 1995 ilikuwa ni ushindi wa bahati. Matokeo 2000 yakawa hivi:

•Slaa 29,300
•Qorro 23,940.

Tofauti Ya Kura 5,360, ongezeko la Kura 2,125.

Hadi Hapo, kwa akili ndogo tu Hata mtoto wa darasa la nne anaona kwa urahisi kabisa kwamba kipimo cha kukubalika ni Kura za wananchi, sio Wana CCM, na haikutokea mara moja bali mara MBILI.

Haya, Tunasubiri Majibu na takwimu zenu ambazo zinahusisha hoja Ya msingi iliyopo mezani.
 
asante npo hapa nagyonza ilmu.
 
Kwahiyo Zitto asingekua kiongozi ACT Nguruvi3 ungeacha kuandika,Mbona huu Uzi ni wa ACT sio Zitto

Zitto ni ACT Wazalendo na ACT Wazalendo ni zitto. Katiba Ya Chama hiki inaweka wazi juu Ya Mungu Mtu Zitto ndani Ya ACT Wazalendo. Tulishajadili hilo. Bila Ya "Zitto", hakuna "ACT Wazalendo", na wenye Chama chao cha ACT Tanzania watakuwa wametendewa haki kwa kurudishiwa Chama chao walichounda kwa nia Ya kupambana na utawala wa CCM Kabla Zitto, Kitila na Mwigamba hawajakiiba, huku wakilindwa kwa uporaji huo kwani dhumuni ni kutumiwa na CCM kama Mpini wa Kuua upinzani nchini.
 
Last edited by a moderator:
Wanao mkosoa Zitto wanadai wanafanya hivyo sababu Zitto hataki kuiondoa CCM, sasa watu lazima wahoji mbona wanatouti kubwa na Zitto, mbona yeye ndio kaweza kushawishi kambi zote upinzani na kuishugulikia serikali ya CCM,Mbowe na genge lake wanaupinzani wa kuongea majukwaani(maneno matupu),Zitto kapeleka miswada binafsi bungeni,na baadhi ikakubalika

Mashaka dhidi ya ACT yalianza kabla hata Zitto hajajiunga rasmi na chama hiki (ukifuatilia uzi huu umeanza lini) ambapo wanajamvi humu wamekuwa wakihoji mwenendo wake unaoonekana kuwa ni kupambana na vyama vingine vya upinzani na sio CCM. Kuingia kwa Zitto kwenye chama hiki na kufanyika kwa mabadiliko yaliyomuweka yeye kama SUPREME LEADER imethibitisha mashaka yaliyokuwapo tangu awali. Kwa bahati mbaya watetezi wa Zitto na ACT kwa ujumla wameshindwa either kukanusha maneno aliyonukuliwa mheshimiwa Supreme Leader kwamba labda amenukuliwa vibaya au hajawahi kutamka maneno hayo... AU kutetea hoja zake hizo ambazo kwa namna moja ama nyingine zinaonekana kuwa ni hatari kwa mustakabali wa umoja na mshikamano wa nchi. Utetezi pekee unaoletwa humu ni kugeuza mada upande wa pili kuwa "Mbona kina Fulani nao wanasema hili na lile" Na wewe pia umeingia mtego huo huo hivi sasa kwa kuhamisha mada kuwa nani amechangia kutoa hoja binafsi bungeni dhidi ya wanasiasa maneno matupu majukwaani! Labda ungevuta kumbukumbu kidogo kucheki hoja za wizi wa EPA zilianzishwa na kina nani...
 
Kwahiyo Zitto asingekua kiongozi ACT Nguruvi3 ungeacha kuandika,Mbona huu Uzi ni wa ACT sio Zitto
Mkuu ushapewa jibu.

Tunaomba takwimu alizotumia supreme leader kujenga hoja ya wananchi wa Shinyanga/Mwanza kuporwa na wananchi wa K'njaro/Arusha. Tunataka takwimu tu ili tuweze kujiridhisha na msingi wa hoja.

CCM waliaminisha umma kuhusu mambo ya namna hii, wakapuuzwa. Sasa inajirudia tena kwa kutumia njia nyingine, lazima tujiulize kuna ujweli kiasi gani?

Tuletee data maana mlipoomba nyinyi wenzetu mlipewa
 
Kura za maoni ndani Ya CCM 1995 jimbo la karatu zilihusisha wagombea wawili. Patrick Qorro dhidi Ya Wilbrod Slaa. Slaa Akashinda, lakini mshindi wa pili ndio akateuliwa na CCM. Kwahiyo swali lako halina mantiki yoyote kwani aliyesimamishwa Alikuwa ni aliyeshindwa.

Bahati ushindani sasa ukahamia kwenye uchaguzi mkuu October 1995 huku wagombea wakiwa ni wale wale - Slaa dhidi ya Qorro. Huu ulikuwa ni uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi na ccm Ilijipanga sana kuchakachua majimbo ili Chama kionekane bado kinakubalika dhidi ya upinzani. Pamoja na uchakachuaji mkubwa, 1995 matokeo yakawa hivi:

•Slaa Chadema 20,015
•Qorro CCM 16,780.

Tofauti Ya Kura 3,235.

Hawa hawa wakakutana tena 2000, ili kupimana Nani anakubalika zaidi na kama 1995 ilikuwa ni ushindi wa bahati. Matokeo 2000 yakawa hivi:

•Slaa 29,300
•Qorro 23,940.

Tofauti Ya Kura 5,360, ongezeko la Kura 2,125.

Hadi Hapo, kwa akili ndogo tu Hata mtoto wa darasa la nne anaona kwa urahisi kabisa kwamba kipimo cha kukubalika ni Kura za wananchi, sio Wana CCM, na haikutokea mara moja bali mara MBILI.

Haya, Tunasubiri Majibu na takwimu zenu ambazo zinahusisha hoja Ya msingi iliyopo mezani.
Mkuu wewe unaandika nini na mimi nimeuliza nini. Matokeo uloyatoa ni ya Dr.Slaa akigombea ubunge wa Karatu kwa tiketi ya Chadema ndio alipata kura hizo dhidi ya Qorro akigombea kwa tiketi ya CCM. Hazihusiani na swali langu kutokana na madai yenu ya awali.

Mimi nauliza mnionyeshe maoni ya wana CCM yanayoonyesha Dr.Slaa alimshinda Qorro ndani ya CCM kabla hajahamia Chadema na uchaguzi wa mwaka 1995, ati CCM wakamfanyia zengwe wakaliondoa jina lake, wakamchagua Qorro na wanachama wa CCM wakamwambia ahamie chama chochote watampa kura zao. Hizo kura za maoni za ushindi wa Dr.Slaa ndani ya CCM ndizo nazitaka hapa. Kuwezesha wanachama wa CCM baadaye wakampigia Dr.Slaa dhidi ya chama chao akiwa Chadema.
 
Mashaka dhidi ya ACT yalianza kabla hata Zitto hajajiunga rasmi na chama hiki (ukifuatilia uzi huu umeanza lini) ambapo wanajamvi humu wamekuwa wakihoji mwenendo wake unaoonekana kuwa ni kupambana na vyama vingine vya upinzani na sio CCM. Kuingia kwa Zitto kwenye chama hiki na kufanyika kwa mabadiliko yaliyomuweka yeye kama SUPREME LEADER imethibitisha mashaka yaliyokuwapo tangu awali. Kwa bahati mbaya watetezi wa Zitto na ACT kwa ujumla wameshindwa either kukanusha maneno aliyonukuliwa mheshimiwa Supreme Leader kwamba labda amenukuliwa vibaya au hajawahi kutamka maneno hayo... AU kutetea hoja zake hizo ambazo kwa namna moja ama nyingine zinaonekana kuwa ni hatari kwa mustakabali wa umoja na mshikamano wa nchi. Utetezi pekee unaoletwa humu ni kugeuza mada upande wa pili kuwa "Mbona kina Fulani nao wanasema hili na lile" Na wewe pia umeingia mtego huo huo hivi sasa kwa kuhamisha mada kuwa nani amechangia kutoa hoja binafsi bungeni dhidi ya wanasiasa maneno matupu majukwaani! Labda ungevuta kumbukumbu kidogo kucheki hoja za wizi wa EPA zilianzishwa na kina nani...
Mkuu mashaka yote yamethibitika kuwa kweli. Wanatuita watabiri na wasomi wa elimu ya nyota!

Hoja za kupelela miswada zikiwekwa hapa zitashangaza. Hoja kubwa ni escrow ambayo si ya SL. Tulionya katika uzi wa duru matukio kuwa hatima ya escrow na jinsi walivyo i-handle ilikuwa kisiasa zaidi ya kisayansi.

Tulikataa maridhiano na wahalifu, tukasema ipo njia moja tu, nayo ni bunge kuchukua hatua dhidi ya wale walioko ndani ya uwezo wa bunge akiwemo PM. Supreme walipuuzia hoja , matokeo tunayaona leo wahusika wanavyosafishwa.
Hiyo ni kionjo tu tusitoke kwenye mada kama wanavyotaka

Hoja ya msingi ni kuali za ACT na supreme za kuligawa taifa.

Wamesema tumemlisha maneno supreme, tukauliza kwani alisema nini? Wakakimbia jamvini kwa muda kurusa zisonge mbele

Wakasema takwimu zinaonyesha maneno ya supreme yalikuwa sahihi. Mchambuzi akatuletea takwimu.

Wakasema hizo zimepitwa na wakati, tukauliza leteni za wakati huu alizotumia supreme.

Kama kawaida wakachepuka kwa muda. Sasa wanarudi bila takwimu, bila kauli sahihi za supreme na wanataka tujadili miswada aliyopeleka bungeni

Hapana! tupeni kauli za supreme na takwimu.

Kinyume chake kaeni kimya ili mtupe nafasi za kulitetea taifa, kutetea umoja wetu na utanzania wetu.
 
Mkuu mashaka yote yamethibitika kuwa kweli. Wanatuita watabiri na wasomi wa elimu ya nyota!

Hoja za kupelela miswada zikiwekwa hapa zitashangaza. Hoja kubwa ni escrow ambayo si ya SL. Tulionya katika uzi wa duru matukio kuwa hatima ya escrow nma jinsi walivyo i-handle ilikuwakisiasa zaidi ya kisyansi. Tulikataa maridhiano na wahalifu, tukasema ipo njia moja tu, nayo ni bunge kuchukua hatua dhidi ya wale walioko ndani ya uwezo wa bunge akiwemo PM. Supreme walipuuzia hoja na pengine kuikwepa kunusuru serikali yao, matokeo tunayaona leo jinsi wahusika wanavyosafishwa. Hiyo ni kionjo tu tusitoke kwenye mada kama wanavyotaka

Hoja ya msingi na kuali za ACT na supreme za kuligawa taifa. Wamesema tumemlisha maneno supree, tukauliza kwani alisema nini? Wakakimbia jamvini kwa muda kurusa zisonge mbele

Wakasema takwimu zinaonyesha maneno ya supreme yalikuwa sahihi. Mchambuzi akatuletea takwimu.
Wakasema hizo zimepitwa na wakati, tukauliza leteni za wakati huu alizotumia supreme. Kama kawaida wakachepuka kwa muda. Sasa wanarudi bila takwimu, bila kauli sahihi za supreme na wanataka tujadili miswada aliyopeleka bungeni

Hapana! tupeni kauli za supreme na takwimu. Kinyume chake kaeni kimya ili mtupe nafasi za kulitetea taifa, kutetea umoja wetu na utanzania wetu.
Mkuu kuna uwezekano hamutuelewi ama mnafanya makusudi kupotosha kama kawaida yenu maana swali jingine mnajibu tofauti..Swali langu bado halijajibiwa na nimelirudia tena #672 kutokana na madai yenu wenyewe. Mnageuzaje swali kama hili mshindwe mengineyo yalotangulia..
 
Mkuu wewe unaandika nini na mimi nimeuliza nini. Matokeo uloyatoa ni ya Dr.Slaa akigombea ubunge wa Karatu kwa tiketi ya Chadema ndio alipata kura hizo dhidi ya Qorro akigombea kwa tiketi ya CCM. Hazihusiani na swali langu kutokana na madai yenu ya awali.

Mimi nauliza mnionyeshe maoni ya wana CCM yanayoonyesha Dr.Slaa alimshinda Qorro ndani ya CCM kabla hajahamia Chadema na uchaguzi wa mwaka 1995, ati CCM wakamfanyia zengwe wakaliondoa jina lake, wakamchagua Qorro na wanachama wa CCM wakamwambia ahamie chama chochote watampa kura zao. Hizo kura za maoni za ushindi wa Dr.Slaa ndani ya CCM ndizo nazitaka hapa. Kuwezesha wanachama wa CCM baadaye wakampigia Dr.Slaa dhidi ya chama chao akiwa Chadema.
Mkuu wapi hujaelewa? Mbona mchambuzi kaweka mambo hadharani?
Ni kitu gani hasa unachotaka maana naona wengine hatuelewi

Hivi mtu akishinda na wa pili akachukuliwa, hapo unaelewa nini mkuu?
 
soma maelezo yangu ya #672 ninazo takwimu hizo kama uchaguzi wa Taifa kwa ubunge wa Karatu, kwa hiyo hamuwezi kudanganya..
 
Kura za maoni ndani Ya CCM 1995 jimbo la karatu zilihusisha wagombea wawili. Patrick Qorro dhidi Ya Wilbrod Slaa. Slaa Akashinda, lakini mshindi wa pili ndio akateuliwa na CCM. Kwahiyo swali lako halina mantiki yoyote kwani aliyesimamishwa Alikuwa ni aliyeshindwa.

Bahati ushindani sasa ukahamia kwenye uchaguzi mkuu October 1995 huku wagombea wakiwa ni wale wale - Slaa dhidi ya Qorro. Huu ulikuwa ni uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi na ccm Ilijipanga sana kuchakachua majimbo ili Chama kionekane bado kinakubalika dhidi ya upinzani. Pamoja na uchakachuaji mkubwa, 1995 matokeo yakawa hivi:

•Slaa Chadema 20,015
•Qorro CCM 16,780.

Tofauti Ya Kura 3,235.

Hawa hawa wakakutana tena 2000, ili kupimana Nani anakubalika zaidi na kama 1995 ilikuwa ni ushindi wa bahati. Matokeo 2000 yakawa hivi:

•Slaa 29,300
•Qorro 23,940.

Tofauti Ya Kura 5,360, ongezeko la Kura 2,125.

Hadi Hapo, kwa akili ndogo tu Hata mtoto wa darasa la nne anaona kwa urahisi kabisa kwamba kipimo cha kukubalika ni Kura za wananchi, sio Wana CCM, na haikutokea mara moja bali mara MBILI.

Haya, Tunasubiri Majibu na takwimu zenu ambazo zinahusisha hoja Ya msingi iliyopo mezani.

Mkuu kuna uwezekano hamutuelewi ama mnafanya makusudi kupotosha kama kawaida yenu maana swali jingine mnajibu tofauti..Swali langu bado halijajibiwa na nimelirudia tena #672 kutokana na madai yenu wenyewe. Mnageuzaje swali kama hili mshindwe mengineyo yalotangulia..
Mkuu unakataa kuwa Qorro hakushindwa?
 
Mkuu unakataa kuwa Qorro hakushindwa?
Duh ama kweli kazi tunayo. Nyie na hasa JokaKuu alipinga hoja yangu kwamba Dr.Slaa aliondoka CCM kwa kutoelewana na uongozi (baada ya jina lake kukatwa) na kuhamia Chadema. Yeye anasema Dr.Slaa alimshinda Qorro na wewe ukaongezea kusema Alishinda kura za maoni ila CCM wakamfanyia mizengewe akaaambiwa na wanachama ahamie chama chochote watampa kura zao.

Ndipo nikaulizia takwimu za maoni ya wana CCM jimbo la Karatu yaloonyesha Dr.Slaa alimshinda Qorro! ugumu wa swali hili nini?
 
Mkuu maswali mengine ni mujaribu sana, sidhani kama matokeo rasmi baada ya uchakachuzi yatakuwa sawa na hitaji lako, bilashaka umeuliza hayo matokeo kwa maksudi fulani
 
Back
Top Bottom