Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

Nimeisikia redioni na kuisoma JF
Tuendelee hapa chini Je,hiyouliyosoma na kuisikiliza inafanana na hii hapa chini?

Tuendelee mzigo huu hapa chini upakuwe mwenyewe kisha fananaisha.

Zitto.

Tanga ni ya 8 katika kuchangia Pato la Taifa. Pia ni mkoa wa 8 kwa kiwango cha maendeleo ya watu wake.Mikoa yenye Maendeleo zaidi ni Arusha, Kilimanjaro na Dar es Salaam. Hata hivyo Kilimanjaro ni ya 9 katika kuchangia Pato la Taifa na Arusha ni ya 7.Mikoa iliyo nyuma zaidi kimaendeleo nchini ni Kigoma, Singida, Dodoma, Kagera na Tabora. Hata hivyo Tabora ni mkoa wa 10 kwa kuchangia katika Pato la Taifa na Kagera ni mkoa wa 11 katika GDP.Mikoa yenye mchango mdogo zaidi kwenye Pato la Taifa ni Pwani (1.85%), Lindi (1.89%) na Singida (1.92%). Hata hivyo Lindi inashika nafasi ya 9 kwa Maendeleo, juu ya Shinyanga inayochangia 6% katika GDP.Dar inaongoza kwa kuchangia Pato la Taifa ambapo mchango wake kwenye pato la Taifa ni 16.9%. Inafuatiwa na Mwanza [kabla haijagawanywa] 9.2%, Mbeya 7.3%, Shinyanga 6% na Iringa 5.3%. Hata hivyo Shinyanga ni mmoja wa mikoa yenye umasikini wa kutupwa licha ya kuwa namba 4 katika kuchangia Pato la Taifa.Ndio maana ni lazima kubomoa mfumo wa sasa wa uchumi. Huwezi kuwa na mkoa unashika namba 5 kuchangia Pato la Taifa lakini unashika namba 16 kati ya mikoa 21 kwa maendeleo ya watu. Shinyanga ina migodi 2 ya dhahabu na migodi 2 ya Almasi. Shinyanga ina Ng'ombe na Pamba.Shinyanga tarehe 17 Aprili, tujadiliane jinsi ya kufanya mapinduzi ya kiuchumi mkoani mwenu.

Kazi kwako mkuu hotuba niliosikia na kuisoma ni hii kwenye viwanja vya Furahisha Mwanza ilikuwa live Radio Free Africa.
 
Last edited by a moderator:
Wewe ndio utuambie mzee wa "msome Zitto kiduchu".
Mchambuzi.

Hii hapa chini ndiyo hotuba ya Zitto ni mwimba kwenu mnaipita mbali maana imefinyanga hoja zenu na kuwatupia usoni mwenu.
Msome kiduchu.

Zitto.

Tanga ni ya 8 katika kuchangia Pato la Taifa. Pia ni mkoa wa 8 kwa kiwango cha maendeleo ya watu wake.Mikoa yenye Maendeleo zaidi ni Arusha, Kilimanjaro na Dar es Salaam. Hata hivyo Kilimanjaro ni ya 9 katika kuchangia Pato la Taifa na Arusha ni ya 7.Mikoa iliyo nyuma zaidi kimaendeleo nchini ni Kigoma, Singida, Dodoma, Kagera na Tabora. Hata hivyo Tabora ni mkoa wa 10 kwa kuchangia katika Pato la Taifa na Kagera ni mkoa wa 11 katika GDP.Mikoa yenye mchango mdogo zaidi kwenye Pato la Taifa ni Pwani (1.85%), Lindi (1.89%) na Singida (1.92%). Hata hivyo Lindi inashika nafasi ya 9 kwa Maendeleo, juu ya Shinyanga inayochangia 6% katika GDP.Dar inaongoza kwa kuchangia Pato la Taifa ambapo mchango wake kwenye pato la Taifa ni 16.9%. Inafuatiwa na Mwanza [kabla haijagawanywa] 9.2%, Mbeya 7.3%, Shinyanga 6% na Iringa 5.3%. Hata hivyo Shinyanga ni mmoja wa mikoa yenye umasikini wa kutupwa licha ya kuwa namba 4 katika kuchangia Pato la Taifa.Ndio maana ni lazima kubomoa mfumo wa sasa wa uchumi. Huwezi kuwa na mkoa unashika namba 5 kuchangia Pato la Taifa lakini unashika namba 16 kati ya mikoa 21 kwa maendeleo ya watu. Shinyanga ina migodi 2 ya dhahabu na migodi 2 ya Almasi. Shinyanga ina Ng'ombe na Pamba.Shinyanga tarehe 17 Aprili, tujadiliane jinsi ya kufanya mapinduzi ya kiuchumi mkoani mwenu.

Mkuu uchaguzi ni wako unaweza kuchagua mikoa miwili Arusha na Kilimanjaro ujenge hoja zenu, Lakini hotuba imeenda mbali zaidi.
 
Ngoma inogile!
 
Ritz , swali ninalokuuliza usikimbie kwasababu unajuakwanini nauliza. Nauliza tena, je hotuba uliyosoma JF na kuisikia redioni ni kama hii
Nisome kwa umakini Nguruvi3 magie3 Mchambuzi

Naeleza kilichosemwa na Zitto na source ya Takwimu alizozizotoa

Source ya Takwimu alizotoa Zitto zinatoka Tanzania Human Development Report 2014(THDR 2014).

Nanukuu maelezo ya Zitto

"Dar inaongoza kwa kuchangia pato la Taifa
-16.9% Dar
-9.2% Mwanza kabla haijagawanya
-7.3%. Mbeya
-6%. Shinyanga
-5.3% Iringa

Hata hivyo Shinyanga ni moja ya mikoa yenye Umaskini wa kutupwa licha ya kuwa namba 4 katika kuchangia pato la Taifa,pia akasema Mikoa yenye Maendeleo Zaidi ni Arusha,Kilimanjaro na Dar es salaam.

Hata hivyo Kilimanjaro ni ya 9 katika kuchangia Pato la Taifa na Arusha ni ya 7 kuchangia Pato la Taifa.

" Zitto akasisitiza ndio mana ni lazima kubomoa mfumo wa sasa wa uchumi,huwezi kuwa na mkoa unashika nafasi ya 4 kuchangia Pato la Taifa lakini unashika namna 16 kati ya mikoa 21 kwa maendeleo ya watu,Shinyanga ina migodi 2 ya dhahabu na migodi 2 ya Almasi,ina Ng'ombe na Pamba.

Tunavita moja tu,kufanya Mapinduzi ya mfumowetu was uchumi kutoka mfumo wa kinyonyaji na kifisadi na kujenga uchumi shirikishi.

Zitto aligusia Takwimu za watu wenye elimu ya sekondari simiyu ni 3.7%, na Dar ni 29% inaongoza nchi mzima(THDR2014)
 
..jamani hicho alichoposti Ritz inaelekea siyo hotuba ya Zitto aliyoitoa Shinyanga.

..ukisoma hapo chini Zitto anasema: " Shinyanga tarehe 17 Aprili, tujadiliane jinsi ya kufanya mapinduzi ya kiuchumi mkoani mwenu. "

..kwa mtizamo wangu hayo ni maandishi ya Zitto kabla hajakwenda, au wakati akielekea, Shinyanga.

cc Nguruvi3, Kobello, Zakumi, Adharusi, Mkandara, Alinda
 
Mkuu ndio maana namkokota taratbu ili ukweli ujulikane.Nakuhakikishia hatoki yeye na wenzake

Tumkubushe tena swali linalohitaji majibu mawili , NDIYO au HAPANA

Ritz , hotuba ya Zitto iliyoweka hapa jamvini, ni sawa na ile ya Adharusi ?

Huhitaji kutoa maelezo, unachotakiwa ni kusema ‘ndiyo au hapana'

Maelezo tutatoa sisi wenye ushahidi wako mwenyewe kwa namna yoyote utakavyojibu

Wanajamvi tuvumiliane kidogo, wanataka kutuondoa katika mada.

Ni muhimu tukawaonyesha ulaghai, si wa supreme leader bali wafuasi wakepia
 
Narudia tena mimi nimeweka hotuba ya Zitto aliyoitoa Mwanza viwanja vya furahisha ambao ilikuwa live na Radio Free Africa ambao ni hii hapa chini.

Zitto

Tanga ni ya 8 katika kuchangia Pato la Taifa. Pia ni mkoa wa 8 kwa kiwango cha maendeleo ya watu wake.Mikoa yenye Maendeleo zaidi ni Arusha, Kilimanjaro na Dar es Salaam. Hata hivyo Kilimanjaro ni ya 9 katika kuchangia Pato la Taifa na Arusha ni ya 7.Mikoa iliyo nyuma zaidi kimaendeleo nchini ni Kigoma, Singida, Dodoma, Kagera na Tabora. Hata hivyo Tabora ni mkoa wa 10 kwa kuchangia katika Pato la Taifa na Kagera ni mkoa wa 11 katika GDP.Mikoa yenye mchango mdogo zaidi kwenye Pato la Taifa ni Pwani (1.85%), Lindi (1.89%) na Singida (1.92%). Hata hivyo Lindi inashika nafasi ya 9 kwa Maendeleo, juu ya Shinyanga inayochangia 6% katika GDP.Dar inaongoza kwa kuchangia Pato la Taifa ambapo mchango wake kwenye pato la Taifa ni 16.9%. Inafuatiwa na Mwanza [kabla haijagawanywa] 9.2%, Mbeya 7.3%, Shinyanga 6% na Iringa 5.3%. Hata hivyo Shinyanga ni mmoja wa mikoa yenye umasikini wa kutupwa licha ya kuwa namba 4 katika kuchangia Pato la Taifa.Ndio maana ni lazima kubomoa mfumo wa sasa wa uchumi. Huwezi kuwa na mkoa unashika namba 5 kuchangia Pato la Taifa lakini unashika namba 16 kati ya mikoa 21 kwa maendeleo ya watu. Shinyanga ina migodi 2 ya dhahabu na migodi 2 ya Almasi. Shinyanga ina Ng'ombe na Pamba.Shinyanga tarehe 17 Aprili, tujadiliane jinsi ya kufanya mapinduzi ya kiuchumi mkoani mwenu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ndio maana namkokota taratbu ili ukweli ujulikane.Nakuhakikishia hatoki yeye na wenzake

Tumkubushe tena swali linalohitaji majibu mawili , NDIYO au HAPANA

Ritz , hotuba ya Zitto iliyoweka hapa jamvini, ni sawa na ile ya Adharusi ?

Huhitaji kutoa maelezo, unachotakiwa ni kusema ‘ndiyo au hapana’

Maelezo tutatoa sisi wenye ushahidi wako mwenyewe kwa namna yoyote utakavyojibu

Wanajamvi tuvumiliane kidogo, wanataka kutuondoa katika mada.

Ni muhimu tukawaonyesha ulaghai, si wa supreme leader bali wafuasi wakepia
Naona Pro - Chadema karibia wote mnaweweseka ovyo tu hii hotuba ya Zitto mnaikana umebakia kwenye DNA.

Nguruvi3 JokaKuu Mchambuzi nyie mnaijadili hotuba ipi ya Zitto?

Kwa faida ya Wanaukumbi tuwekeeni basi hizo hotuba za Shinyanga na Mwanza mimi nimeweka yangu nikawapa na source RFA bado hamtaki.

Halafu Nguruvi3 mimi sipo hapa kukufurahisa wewe mimi nawafahamisha Wanaukumbi wanaofuatilia huu mnkasha wao ndiyo watakao amua siyo wewe unajigeuza Supreme Leader wa JF hapana.

Halafu nimecheka sana majigambo yako unawafahamisha pro-Chadema wenzako kuwa unanihakikishia sitoki mimi na wenzangu.

Teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mkuu mimi nimeshamsoma kiduchu, huwezi pia kuweka na audio walau nimsikilize pia kiduchu kile alichosema huko Mwanza?
Mkuu kulikoni tena mara ya kwanza kuweka hiyo hotuba wewe ndiyo ulikuwa wa kwanza kuniambia nisilete maneno ya Facebook imekuaje tena.

Mnakasha bado mbichi sana tuendelee kukokotana tu tutafika mwisho wa siku tutaweka yote unayaotaka.

Hii hotuba ilikuwa live Radio Free Africa wala siyo jambo la kuficha.
 
Naona wanajamvi unachezeshwa mduara.. Alicholete Adharusi ndicho Zitto aliandika katika wall yake ya Facebook tarehe 5.4. Baada ya kuandika hivyo kulizuka mjadala mkali si Facebook tu bali hata hapa JF.

Baada ya mjadala mkali tena bila Zitto yeye mwenye kujitokeza kutetea alichoandika, halifanya marekebisho ya kile alichokuwa ameandika awali na kuja na alichoandika Ritz, au kile kinachooneka katika fb yake kwa sasa. Na ndo chanzo cha hotuba tarehe 19.4

Hivyo basi kilichokuwa kinajadiliwa SI HOTUBA YA ZITTO YA TAREHE 19 MWANZA bali ni maandishi yake ya tarehe 5.4 katika Facebook yake ambao ndio yalileta mjadala humu tarehe 5.4. katika jukwaa la siasa. (Maana kwa akili za kawaida haiwezekani kitu kisemwe tarehe 19.4 na mjadala uanze tarehe 5.4)Ila kwa bahati mbaya au kwa makusudi ya moderator maandishi hayo yamebadilishwa na kusomeka kivingine si kama pale hawali. Adharusi kaleta kitu sahihi na kama kilivyoandikwa na Zitto tarehe 5.4 na Ritz kaleta hotuba ya tarehe 19.4 baada ya kuwa ameishabadilika maudhui.

Sasa je hii inatwambia nini?

Hii inatwambia kuwa haikuwa bahati mbaya Zitto kuja na uchonganishi wake kama alivyosema hapo awali nguvuri3 maana kama angekuwa ameandika kwa bahati mbaya au kwa kutokuwa na uelewa basi tungemuona Facebook akitetea kwa hoja ni kwanini alinganishe Shinyanga na KIL/Arusha au kwanini atumie kigezo cha uchangiaji wa pato la taifa na maendeleo ya mkoa husika.
Lakini kiyume chake hakujadili chochote, hakutetea msimamo wa yeye kunyofoa hiyo mikoa, kibaya zaidi hakuomba hata SAMAHANI KWA WATU ALIOWAKWAZA KWA ANDISHI LAKE. bali alichokifanya ni kufanya marekebisho ya andishi lake kimya kimya na kuwaacha wafuasi wake solemba. Na kudhihirisha ili ukienda katika fb yake watu wametoa michango ambayo haina husiano na "andishi lilopo"

Ninampa onyo: Baba yetu wa taifa na viongozi wengine walifanya kazi kubwa sana ya kuunganisha ili taifa, lenye zaidi ya makabila 120 lakni bado sisi ni wamoja, tuna upendo, kila mtanzania ana thamani sawa na wingine. Leo hii yeye anaweza kutamba mbele ya wezanke kwa utanzania wake, tunaishi kwa amani, hatuna wasi wasi wa kuibuka kwa vita vya ukabila, tunapanga mipango yetu ya baadaye bila kuwaze kesho tutakimbilia wapi na nk. hii yote msingi wake mkuu ni umoja tulio nao. Hivyo basi hatutaraji mwanasiasa yeyote, kwa sababu yeyote kuleta siasa zake za ubaguzi. Kama anataka kujaribu siasa za ubaguzi avuke mpaka aende Burundi/Rwanda akafanye hizo siasa zake ya ubanguzi huko lakini kamwe Tanzania hazina nafasi.

Leo unamsimanga mchaga wakati kunakula, unavaa, unatibiwa tena India, unaendesha ya kifahari, unalipia mtoto wako shule, unatunza famili yako,kwa kodi za huyu huyu unayemsimanga.Swali kwako Zitto ni faida gani upatayo?

Hizi siasa zako za kitoto tafadhali ziache hazitakusaidia wewe, hazitamsaidia mwanao, na hata hazitawasaidia wajukuu zako. Sisi watanzania tumelelewa kwa kuheshimiana, kusaidiana,hatubaguani kwa makabila yetu au kwa dini zetu, wala rangi yake, leo hii watu wenye asili ya mataifa mbali mbali wanaishi Tanzania kwa amani bila kubaguliwa au kutengwe, (tena wewe ni shaidi mzuri kwa hili).
Ni nini kosa la wana Kilimanjaro na Arusha hadi upande hizi fitina zisiso na maana yeyote? Je ni ungomvi wako na Lema? je ni ugomvi wako na Mbowe? je ni ugomvi wako na mchaga yeyote?

Kumbuka kukosana na binadamu mwenzako si jabu la ajabu lakini husitumie chuki zako katika kuleta mtikisiko katika taifa hili.Tuache tufe wa magonjwa, tufe wa uzee, tufe kwa ajali lakini tusife kwa kuuana sisi wenyewe kwa wenyewe.
 
Mkuu ndio maana namkokota taratbu ili ukweli ujulikane.Nakuhakikishia hatoki yeye na wenzake

Tumkubushe tena swali linalohitaji majibu mawili , NDIYO au HAPANA

Ritz , hotuba ya Zitto iliyoweka hapa jamvini, ni sawa na ile ya Adharusi ?

Huhitaji kutoa maelezo, unachotakiwa ni kusema ‘ndiyo au hapana'

Maelezo tutatoa sisi wenye ushahidi wako mwenyewe kwa namna yoyote utakavyojibu

Wanajamvi tuvumiliane kidogo, wanataka kutuondoa katika mada.

Ni muhimu tukawaonyesha ulaghai, si wa supreme leader bali wafuasi wakepia

Kwa mwendo huu umtafika page ya 100 bila kupata jibu.. Maana kwa tutwist mjadala mwenzio hana mpinzani, na hii inatusumbua sisi wasomaji maana unakutana mambo yale yale mtu amequote li page kama mara 20 na hakuna kitu muhimu alichoandika. Kwa kutupunguzia hii karaha basi naomba umuache maana hakuna cha muhimu atachokwambia..
 
Mchambuzi.

Hii hapa chini ndiyo hotuba ya Zitto ni mwimba kwenu mnaipita mbali maana imefinyanga hoja zenu na kuwatupia usoni mwenu.
Msome kiduchu.

Zitto.

Tanga ni ya 8 katika kuchangia Pato la Taifa. Pia ni mkoa wa 8 kwa kiwango cha maendeleo ya watu wake.Mikoa yenye Maendeleo zaidi ni Arusha, Kilimanjaro na Dar es Salaam. Hata hivyo Kilimanjaro ni ya 9 katika kuchangia Pato la Taifa na Arusha ni ya 7.Mikoa iliyo nyuma zaidi kimaendeleo nchini ni Kigoma, Singida, Dodoma, Kagera na Tabora. Hata hivyo Tabora ni mkoa wa 10 kwa kuchangia katika Pato la Taifa na Kagera ni mkoa wa 11 katika GDP.Mikoa yenye mchango mdogo zaidi kwenye Pato la Taifa ni Pwani (1.85%), Lindi (1.89%) na Singida (1.92%). Hata hivyo Lindi inashika nafasi ya 9 kwa Maendeleo, juu ya Shinyanga inayochangia 6% katika GDP.Dar inaongoza kwa kuchangia Pato la Taifa ambapo mchango wake kwenye pato la Taifa ni 16.9%. Inafuatiwa na Mwanza [kabla haijagawanywa] 9.2%, Mbeya 7.3%, Shinyanga 6% na Iringa 5.3%. Hata hivyo Shinyanga ni mmoja wa mikoa yenye umasikini wa kutupwa licha ya kuwa namba 4 katika kuchangia Pato la Taifa.Ndio maana ni lazima kubomoa mfumo wa sasa wa uchumi. Huwezi kuwa na mkoa unashika namba 5 kuchangia Pato la Taifa lakini unashika namba 16 kati ya mikoa 21 kwa maendeleo ya watu. Shinyanga ina migodi 2 ya dhahabu na migodi 2 ya Almasi. Shinyanga ina Ng'ombe na Pamba.Shinyanga tarehe 17 Aprili, tujadiliane jinsi ya kufanya mapinduzi ya kiuchumi mkoani mwenu.

Mkuu uchaguzi ni wako unaweza kuchagua mikoa miwili Arusha na Kilimanjaro ujenge hoja zenu, Lakini hotuba imeenda mbali zaidi.

Kipi hasa ni mwiba kwetu, alichosoma Kwenye THDR Au alichosema Kuhusu THDR?
 
Last edited by a moderator:
Kipi hasa ni mwiba kwetu, alichosoma Kwenye THDR Au alichosema Kuhusu THDR?
Mwiba kwenu kafinyanga uzushi wenu mliozuwa kuwa Zitto kasema matatizo ya Shinyanga yamesababishwa na Kilimanjaro na Arusha.

Sasa hivi mmebakia kufanya DNA kwenye hotuba za Zitto. Ya Shinyanga, Mwanza, Facebook, Twitter. Jamiiforums.
 
Last edited by a moderator:
Mwiba kwenu kafinyanga uzushi wenu mliozuwa kuwa Zitto kasema matatizo ya Shinyanga yamesababishwa na Kilimanjaro na Arusha.

Sasa hivi mmebakia kufanya DNA kwenye hotuba za Zitto. Ya Shinyanga, Mwanza, Facebook, Twitter. Jamiiforums.

Kwahiyo, kwa mujibu wa zitto, kwanini wananchi wa shinyanga ni maskini ikilinganishwa na wananchi wa mikoa ya kaskazini?
 
Narudia tena mimi nimeweka hotuba ya Zittoaliyoitoa Mwanza viwanja vya furahisha ambao ilikuwa live na Radio Free Africa ambao ni hii hapa chini.
.....
Kwanza nawashukuru wote mpaka hapa ambao mnachangia katika uzi huu, na wale wote ambao wanaudhuria hapa kama wasomaji wakiwa na nia ya kutaka kujua ukweli juu ya "Chama cha ACT-kuwa Mpini wa CCM kuumaliza upinzani".

Lakini nina sikitika na kuwalaumu kwa baadhi ya wachangiaji wa uzi ama kwa makusudi kuja na mabandiko ya kuhamisha mawazo ya wachangiaji na wasomaji wa uzi huu juu ya hoja iliyoko mezani. Wanajijua.

Kuna suala la Supreme Leader(SL) kutoa kauli ya kuwagawa watanzania. Mkandara, Mchambuzi, Nguruvi3 na wengine wamelijadili kwa kina. Ritz na Adharusi wamejitahidi pia kumtetea SL kuwa kauli yake haina madhara kwa kutumia namna mbalimbali za kiuandishi huku wakileta rejea zinazopishana kiasi cha kutilia shaka utetezi wao kwa SL.

Pengine tungerejea kwenye orignal source ya kauli ya SL. Yaani tupate ama audio ama video ya hotuba zote za SL pamoja na za wasaidizi wake walipokuwa ziarani na chama chao cha ACT na kuziweka hapa kwa mjadala mpana na rahisi (maana referencez itakuwa karibu) wa ACT kuwa mpini wa CCM na pia mpini wa kuligawa taifa katika misingi ya kibaguzi. Aliwahi kufanya hivyo Nguruvi3 kwenye mjadala wa Wazanzibar na haki ya kuwa taifa huru ! .

Kwa kuwa tumebahatika kumpata mtafutaji wa hotuba za Zitto (Ritz) atusaidie katika hili kwa kutuwekea hotuba hizo kwa kirefu.

Katika kuchakura chakura kutafuta hotuba za SL. Nimepata kipande hiki cha hotuba ya SL

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom