Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

Ahsante, kwa taarifa ya wasomaji naomba mupuuze hiyo o hotuba ya Ritz. Ni uongo tu hakuna ukweli

1. Kwanza hakusikiliza Redio free Afrika(ushihidi upo)
2. Amesoma kipande cha hotuba hiyo May 13 hapa Duru(ushahidi upo)
3. Amebadili maneno ya hotuba iliyoletwa na mkereketwa mwenzake kwasababu ina maneno machungu(ushahidi upo)
4. Hakusoma hotuba kutoka JF, uzi upo hauna hotuba wala Riza hakuchangia (ushahidi upo)
5. Alikiri kutojua Zitto kasema nini hapa duru May 13 2015, wiki tatu baada ya su[reme leader kumwaga sumu

Kama mnafuatilia mjadala huu, kuanzia mwanzo watu wamempuuza Rutz kila alipoandika.
Tunaomba watu warejee kwenye mambo ya maana

Lengo la kutaka kuondoa watu katika mjadala kwa hoja zisizo na msingi limeanza muda mrefu
Ku entertain hoja kama hizi ni kuvuruga mjadala. Tunaomba watu waachane na ubabbaishaji unaondelea

Tunaomba mjadala uendelee

ACT MPINI WA KUMALIZA UPINZANI
Nguruvi3.

JF ni jukwaa huru sasa unapowambia watu wanipuuze kisa nimeleta hotuba ya Zitto huo ni udhaifu wa fikra.

Ungefanya la maana ili watu wanipuuze ungekuja na hotuba ya kweli ya Zitto ungeeleweka zaidi sasa unakuja na maneno matupu mkuu.

Nimekusoma unasema umeanza kumjadili Zitto toka tarehe 5 huo ni uongo kumbukumbu zipo taziweka wanaukumbi waone au ulikuwa unajadili facebook.

Wewe endelea kunipuuza mimi sina tatizo na kupuuzwa, mimi nimejikita zaidi kuwafahamisha wanaofuatilia huu mnakasha siyo kukufurahisa wewe na imani siyo wote watakao nipuuza ni wafuasi wako tu.
 
Last edited by a moderator:
Bibie nina kumbukumbu nzuri tu za mjadala huu kwa sababu ilifikia tukajiuliza sababu ya Zitto kusema Shinyanga inachangia kuliko Kilimanjaro na Arusha kapata wapi takwimu. Mchambuzi akaja na za TRA kiasi hata mimi nikasema kama ndivyo itabidi tumuulize Zitto mwenyewe. Hata mimi sikuelewa lengo lake ilikuwa nini unakumbuka?

Mjadala ukaendelea, na ndipo Adharusi akaja kusema Zitto kazitoa HDR repoti ya mwaka 2014, ikawa ubishimwingine ambao umechukua sura hii, nami nikasema kama ndivyo hakuna ubaya maana kiongozi yeyote wa siasa lazima awe na vigezo kama hivi. JokaKuu akapinga akisema sawa unaweza tumia vigezo, lakini Zitto kuzitaja Kilimanjaro na Arusha alikuwa na sababu zake za kibaguzi. Au nakosea?..

Nilipochukua muda kuwasoma wote Ritz na Adharusi, nikaona maelezo yao yanafanana kabisa isipokuwa Adharusi kachukua sehemu zinazohusiana na mjadala kuelezea wapi Zitto katoa takwimu hizo. Ikawa kosa jingine kwa Zitto kutumia takwimu za HDR sio zake na ndio nikauliza kwani Mchambuzi alipotumia za TRA ilikuwa kosa? mbona mimi sikuona kosa. Na kama mnaziona takwimu hizo sio sawa basi wa kulaumiwa ni HDR sio Zitto, maana watakuwa wao ndio wamedanganya.

Sasa ukweli tumeupata na nadhani itakuwa vizuri jamani mnyonge mnyongeni laini haki yake mpeni! Msibadilishe maneno na kumzulia mtu uongo ili tu kuhakikisha ACT haipati kukubaliwa Kilimanjaro na Arusha. Maelezo ya Adharusi umeyaona ni kwamba amechukua baadhi ya sehemu lakini mfululizo wa Hotuba kamili kautoa vizuri tu Ritz maana ukimsoma Adharusi utaona hoja hazifuatani sawa akitumia neno pia akasema ambalo ni ongezeo la mwandishi wa makala hiyo ktk kumbukumbu zake, not exactly Zitto alivyosema, ni kiswahili rahisi kabisa.

unachokisema Mkandara ni sahihi baada ya Mchambuzi na Nguruvi3 kupiga kelele kuwa tumekimbia mjadala au tunachungulia tu,na kusema tumekimbia Maswali ya Mage3 kila siku nikiingia katika Uzi utasikia jibu maswali ya Mage3 nikawaambia nipo mkoani,laptop sina, natumia simu Mchambuzi akaja kuniletea mizaa,nikaona niwajibu hivyo hivyo kwa kutumia simu maana walitaka na chanzo cha takwimu za Zitto nikawapa bado hawataki.
Mkandara nilichojifunza katika ishu ya Takwimu tusitegemeee Nguruvi3 Mchambuzi magie3 wataleta data zitakazo kuwa upande wa Zitto,na Takwimu zozote zitakazo kuwa kinyume na mtazamo wao Hawatazikubali Habadani
 
Waberoya anawajua vizuri sana huyu Mchambuzi na Mwenzie kuwa wana Chuki kali mno dhidi ya Zitto!. Zitto afanye jema gani, hawa watu wawili watafukunyua, watafukunyua mpaka waone hata sehemu Zitto aliposahau kuweka kituo kwenye Sentensi., Then wataamplify hiyo kitu as if ni issue, kumbe siyo issue kabisa.
Hawa watu na Saed Kubenea ni type moja, wao wapo kama Walinzi wa Kusubiri Zitto apande mbegu wao wakapande magugu.

Hawana hoja za msingi, hoja zao ni uwongo, Mtima Nyongo, na sijui wananufaika na nini kwa hizi Character Assasination dhidi ya ZZK.
 
Ulisema utarudi kujibu maswali, ndiko huku. Takwimu umeleta mwenyewe, tumekuuliza umekimbia, uzi umesogea unaingia kati. Wewe nenda kafikirie majibu, halafu urudi hapa. Siyo mahali pa kutupa takwimu tumeze tu ikiwa wewe mwenyewe huwezi kuandika hata mstari mmoja wa kutetea.

Rejea bandiko langu ujibu hoja kwanzam huku kwingine tuachie. Hangaika na maswali uliyosema utarudi kujibu
 
Nimeisikiliza Kauli ya Zitto na Kuisoma Kauli yake, Amepresent Facts, Amesema Ukweli kuhusu ugawanyaji mbovu wa Keki ya Taifa kwa Serikali kutopeleka vipau mbele katika Mikoa inayochangia zaidi pato la Taifa, hili haliwezi kuwa kosa La Zitto kuzungumza kilichokuwa cha kweli. Ni Planing Mbovu tu ya Serikali.

Nyinyi naona mmeamua kumuattack Zitto Personally kwa kutake out of context anachokizungumza, Lakini siwashangai sana kwa sababu humu katika JF mmejipambanua kuwa Mna chuki kali kwelikweli dhidi ya Zitto. Na haya mnayoyafanya ni mwendelezo ule ule ambao hauna tija.
Mkuu Gamba la Nyoka.

Kwa hii kauli yako lazima Supreme Leader wa ili jukwaa atatoa amri kwa vijana wake wakupuuze siyo kweli wewe muongo haujamsikiliza Zitto lakini nashukuru kumbe tupo wengi tunasimamia ukweli.
 
Last edited by a moderator:
Waberoya anawajua vizuri sana huyu Mchambuzi na Mwenzie kuwa wana Chuki kali mno dhidi ya Zitto!. Zitto afanye jema gani, hawa watu wawili watafukunyua, watafukunyua mpaka waone hata sehemu Zitto aliposahau kuweka kituo kwenye Sentensi., Then wataamplify hiyo kitu as if ni issue, kumbe siyo issue kabisa.
Hawa watu na Saed Kubenea ni type moja, wao wapo kama Walinzi wa Kusubiri Zitto apande mbegu wao wakapande magugu.

Hawana hoja za msingi, hoja zao ni uwongo, Mtima Nyongo, na sijui wananufaika na nini kwa hizi Character Assasination dhidi ya ZZK.
Sisi hatumezi tu. Soma uzi huu https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...wanyo-rasilimali-za-taifa-6.html#post12518131

Je, hao wote wana chuki na supreme leader.

Sisi tuna chuki na jinsi anavyotaka kuligawa taifa kwa misingi ya uhutu na utusi

Kilimanjaro haina uhusiano wa aina yoyote na matatizo ya Kigoma.

Hoja kwamba wao wameendelea kwasababu wanachangia kidogo wanapata sana ni kufilisika kisiasa.

Mkandara anasema hivi '' Zitto kasema, Kilimanjaro inachangia kidogo inapata stahiki, Shinyanga inachangia sana haipati stahiki' Hata hivyo K'njaro na Arusha ni 7 na 9 katika maendeleo na Shinyanga ni 16.

Mawazo kama haya ya supreme laeder na Mkandara ni hatari sana.

Kwamba mikoa isijiletee maendeleo ikimsubiri supreme leader aje na mgao wa pato la taifa kulingana na uchangiaji.

Hawa ndio wenye chuki hasa. siyo sisi. Tunataka supreme afanye siasa siyo kutugawa kwa Uhutu na Utusi. Hayo alipaswa kuyajua, ametoka Kigoma!

Jibu hoja, kuna uhusiano upi kati ya maendeleo ya mikoa ya kaskazini na uchangiaji wa pato na mgao wa pato

Hapo ndipo unatakiwa ujikite siyo hoja dhaifu cha chuki ambazo huna ushahidi nazo

Takwimu za Mchambuzi, Mkandara na Zitto sipo hapo, tusaidie kutuelewesha mahusiano ya kanda ya kaskazini na matatizo ya mikoa mingine
 
Hawana hoja za msingi, hoja zao ni uwongo, Mtima Nyongo, na sijui wananufaika na nini kwa hizi Character Assasination dhidi ya ZZK.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...wanyo-rasilimali-za-taifa-6.html#post12518131

Ni hivi hoja za kusakama mikoa ya kaskazini hazikuanza leo. Nenda hansard za Bunge, supreme yupo akishambulia mikoa hiyo, tukampa benefit of doubt kama ulimi kuteleza. Alipoanza kuhusbiri kwenye twits kuhusu chuki na mikutanoni, hatuwezi kunyamaza

Tunajua lengo lao ni kuua upinzani, hilo wanaweza kulifanya, lakini si kuua taifa.
 
Kwani Kilimanjaro na Arusha ni mikoa Untouchable kiasi kwamba haitakiwi kutumiwa kama mifano katika ujenzi wa hoja?
Jibu ni hapana. Tatizo ni pale ana single out mikoa hiyo ambayo ukiangalia kimaendeleo ni ya 7 na 9. Vipi 1-6 mbona haiongelei.

Pili, ni pale anapotumia vigezo dhaifu kujenga hoja. Huwezi kulinganisha Kilimanjaro na Shinyanga kwa eneo na rasilimali.
Anapotuhumu mikoa hiyo bila kuangalia vigezo vingine ni uchochezi

Kama ungalisoma kuanzia mwanzo, tumeeleza nini maendeleo na nini vichocheo vyake

Hakuna sababu za aina yoyote kulaani mikoa inayojiendeleza eti kwa matatizo ya mikoa mingine

Thibitisha kuwa wananchi wa kanda ya kaskazini wanachukua pato zaidi, wanapanga hujuma dhidi ya wenzao

Soma hapa chini uone Watanzania wanavyomlaani, na ndilo hasa lililotulazimu kuangalia kwa hoja na mantiki
tukijua kuwa supreme ameliekeleza taifa kubaya

Kauli ya Zitto ni hii hapa, hebu Tuelezee, katika kauli hii kasingle out vipi Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro?

"Tanga ni ya 8 katika kuchangia Pato la Taifa. Pia ni mkoa wa 8 kwa kiwango cha maendeleo ya watu wake.Mikoa yenye Maendeleo zaidi ni Arusha, Kilimanjaro na Dar es Salaam. Hata hivyo Kilimanjaro ni ya 9 katika kuchangia Pato la Taifa na Arusha ni ya 7.Mikoa iliyo nyuma zaidi kimaendeleo nchini ni Kigoma, Singida, Dodoma, Kagera na Tabora. Hata hivyo Tabora ni mkoa wa 10 kwa kuchangia katika Pato la Taifa na Kagera ni mkoa wa 11 katika GDP.Mikoa yenye mchango mdogo zaidi kwenye Pato la Taifa ni Pwani (1.85%), Lindi (1.89%) na Singida (1.92%). Hata hivyo Lindi inashika nafasi ya 9 kwa Maendeleo, juu ya Shinyanga inayochangia 6% katika GDP.Dar inaongoza kwa kuchangia Pato la Taifa ambapo mchango wake kwenye pato la Taifa ni 16.9%. Inafuatiwa na Mwanza [kabla haijagawanywa] 9.2%, Mbeya 7.3%, Shinyanga 6% na Iringa 5.3%. Hata hivyo Shinyanga ni mmoja wa mikoa yenye umasikini wa kutupwa licha ya kuwa namba 4 katika kuchangia Pato la Taifa.Ndio maana ni lazima kubomoa mfumo wa sasa wa uchumi. Huwezi kuwa na mkoa unashika namba 5 kuchangia Pato la Taifa lakini unashika namba 16 kati ya mikoa 21 kwa maendeleo ya watu. Shinyanga ina migodi 2 ya dhahabu na migodi 2 ya Almasi. Shinyanga ina Ng'ombe na Pamba.Shinyanga tarehe 17 Aprili, tujadiliane jinsi ya kufanya mapinduzi ya kiuchumi mkoani mwenu".

Vipi Lindi Hamuioni?, Mbona mnasemea Kilimanjaro na Arusha tu, au ZZK Kapiga Ikulu nini ?
 
..kila mkoa na kila jamii hapa Tanzania ni untouchable unapoleta hoja za kufitinisha, kuchonganisha, na kuwagawa wa-Tanzania.

cc TRUVADA, Nguruvi3
Haswaa ndiyo maana tukasema, unaweza kuzungumzia mikoa kama taifa na siyo mikoa kadhaa dhidi ya kadhaa

Huwezi ku single out mikoa miwili, ukaisokomezea lawama na kuinyanynyasa bila ushahidi kama alivyofanya SL

Tumeuliza, iweje mifano ya supreme leader ijikite kwa mikoa miwili ambayo haipo katika top 6 za maendeleo?

Leo akienda Lindi atawaambia nini? Akienda Singida atawaambia nini?

Siasa za ukanda ndizo alizolaani, leo anasimama katika kilinge akihubiri. Huu ni ulaghai uliotamalaki na lazima tuamke sasa

Hatuwezi kulaani CCM kwa kuchochea habari za udini na Ukanda, ikiwa walioshika mpini tunawaacha, hapana! siasa za kijana zimepita kiwango. Akemewe kwa nguvu zote
 
Kauli ya Zitto ni hii hapa, hebu Tuelezee, katika kauli hii kasingle out vipi Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro?

"Tanga ni ya 8 katika kuchangia Pato la Taifa. Pia ni mkoa wa 8 kwa kiwango cha maendeleo ya watu wake.Mikoa yenye Maendeleo zaidi ni Arusha, Kilimanjaro na Dar es Salaam. Hata hivyo Kilimanjaro ni ya 9 katika kuchangia Pato la Taifa na Arusha ni ya 7.Mikoa iliyo nyuma zaidi kimaendeleo nchini ni Kigoma, Singida, Dodoma, Kagera na Tabora. Hata hivyo Tabora ni mkoa wa 10 kwa kuchangia katika Pato la Taifa na Kagera ni mkoa wa 11 katika GDP.Mikoa yenye mchango mdogo zaidi kwenye Pato la Taifa ni Pwani (1.85%), Lindi (1.89%) na Singida (1.92%). Hata hivyo Lindi inashika nafasi ya 9 kwa Maendeleo, juu ya Shinyanga inayochangia 6% katika GDP.Dar inaongoza kwa kuchangia Pato la Taifa ambapo mchango wake kwenye pato la Taifa ni 16.9%. Inafuatiwa na Mwanza [kabla haijagawanywa] 9.2%, Mbeya 7.3%, Shinyanga 6% na Iringa 5.3%. Hata hivyo Shinyanga ni mmoja wa mikoa yenye umasikini wa kutupwa licha ya kuwa namba 4 katika kuchangia Pato la Taifa.Ndio maana ni lazima kubomoa mfumo wa sasa wa uchumi. Huwezi kuwa na mkoa unashika namba 5 kuchangia Pato la Taifa lakini unashika namba 16 kati ya mikoa 21 kwa maendeleo ya watu. Shinyanga ina migodi 2 ya dhahabu na migodi 2 ya Almasi. Shinyanga ina Ng'ombe na Pamba.Shinyanga tarehe 17 Aprili, tujadiliane jinsi ya kufanya mapinduzi ya kiuchumi mkoani mwenu".

Vipi Lindi Hamuioni?, Mbona mnasemea Kilimanjaro na Arusha tu, au ZZK Kapiga Ikulu nini ?
Mkuu hiyo siyo kauli ya Zitto. Period! kama unataka nenda kasome nyuma nimemuuliza ile ya Adharusi vipi?

Pili, hiyo si kauli pekee tunayojadili. Tumeanza kuanzia April 5 alipoandika katika twits n.k.

Jibu hojazako na si kujadili mambo yaliyotengenezwa.
 
halafu soma hii
Nisome kwa umakini Nguruvi3 magie3 Mchambuzi

Naeleza kilichosemwa na Zitto na source ya Takwimu alizozizotoa

Source ya Takwimu alizotoa Zitto zinatoka Tanzania Human Development Report 2014(THDR 2014).

Nanukuu maelezo ya Zitto

"Dar inaongoza kwa kuchangia pato la Taifa
-16.9% Dar
-9.2% Mwanza kabla haijagawanya
-7.3%. Mbeya
-6%. Shinyanga
-5.3% Iringa

Hata hivyo Shinyanga ni moja ya mikoa yenye Umaskini wa kutupwa licha ya kuwa namba 4 katika kuchangia pato la Taifa,pia akasema Mikoa yenye Maendeleo Zaidi ni Arusha,Kilimanjaro na Dar es salaam.

Hata hivyo Kilimanjaro ni ya 9 katika kuchangia Pato la Taifa na Arusha ni ya 7 kuchangia Pato la Taifa.

" Zitto akasisitiza ndio mana ni lazima kubomoa mfumo wa sasa wa uchumi,huwezi kuwa na mkoa unashika nafasi ya 4 kuchangia Pato la Taifa lakini unashika namna 16 kati ya mikoa 21 kwa maendeleo ya watu,Shinyanga ina migodi 2 ya dhahabu na migodi 2 ya Almasi,ina Ng'ombe na Pamba.

Tunavita moja tu,kufanya Mapinduzi ya mfumowetu was uchumi kutoka mfumo wa kinyonyaji na kifisadi na kujenga uchumi shirikishi.

Zitto aligusia Takwimu za watu wenye elimu ya sekondari simiyu ni 3.7%, na Dar ni 29% inaongoza nchi mzima(THDR2014)
Kitu kizuri tunawatandika na hoja zenu wenyewe

Huyo unayedhani amekupa kauli ya Zitto, alikuwa hana ufahamu hadi tarehe 13. Soma hapa chini
MkuuMkandara.

BahatinzurinduguyetuhapaukumbiniMkuuAdharusikutuliteaushahidiwatakwimualipozipataZittolakiniMchambuzihatakianaitaulaghaingojatumsubiriNguruvi3maanakapigasanakeleleakiombahizotakwimu.
Huyo anayeleta kauli hizo aliunga mkono kwa dhati kauli ya Adharusi kama alivbyomnukuu Zitto

Yaani wiki 3 alikuwa hana ufahamu, leo anakuja n akusema alisikiliza hotuba free Afrika radio

Unajua msidakie vitu msivyojua, spinning tumezipuuza sana kwa bahati mbaya wapo walioingia katika mtego, ona unavyoadhirika

Huna background ya mjadala kuanzia tarehe 5 jhadi hapa tulipo. Umekuja na hoja, zote huna majibu, sasa unadandia vitu vinakuacha ukiwa na tahayari.

Halfu namnukuu Mkandara kuhusu kauli ya Zitto ili kukongezea hoja

''Zitto alisema, Kilimanjaro inachangia kidogo inapata stahiki, Shinyanganga inachangia sana haipati stahiki''

Huyu ni mtetezi wa supreme leader, na amemnukuu Zitto, sasa tuambie hiyo kauli unasemaje! Ni kweli au uongo?

Sasa angali nukuu tatu tofauti zingine zikinyofolewa ukweli

Hoja hii tumeizika

Mkuu mbona hujibu hoja?
Kuna uhusiano gani wa pato, uchangiaji na maendeleo kwa kuhusisha mikoa ya kanda ya kaskazini kama anavyohubiri Zitto

Kama hukubaliani na swali hilo, tueleze, wapi unasimama, kwa Mkandara, Adharusi au hiyo tuliyoipuuza au tuletee mpya

Data umeomba ukapewa, hukutia mguu. Tena zao na zetu
Hoja umeleta ukijibiwa unakimbia

Hatutakubali supreme leader aligawe taifa hili hata kidogo.

Kanda ya kaskazini haina tatizo na kand zingine.
 
Alinda , huyu anataka kutuondoa katika mada, naomba apuuzwe

Tunajadili kauli za Zitto kuanzia tarehe 5 hadi Sihinyanga. Yeye anasema tunajadili kauli ya Mwanza

Nakuhakikishia Ritz hakujua kinachoendelea hadi tarehe 13 maya alipokiri mwenyewe kuwa hajui

Kusiema alisoma hotoba, alisikiliza au alijadili ni ubabaishaji tu.

Naomba apuuzwe jamani, tuna mengi ya maana ya kujadili. Alipuuzwea sana huko nyuma na sasa apuuzwe tu
Nguruvi3.

Ukiwa muongo lazima uwe na kumbukumbu unasema umeanza kujadali kauli ya Zitto toka terehe 5 mtu mzima kusema uongo ili kutimiza malengo siyo vizuri.

Hapa chini mchango wako wa kwanza kwenye hotuba ya Zitto tarehe 19 April 2015.

Nguruvi3.
ACT inakuja kutimiza malengo yaliyoshindikana walikotoka(Mag3).

Focus ya wananchi ni kuunga mkono upinzani ili kuondoa donda ndugu la miaka 50 linalowatafuta.

Jana Zitto anawaambia wananchi wa Shinyanga,mikoa ya Kilimanjaro na Arusha inachangia pato dogo lakini ipo katika kumi la kwanza la maeneo yaliyopiga hatua

Hakutumia busara kwasabau hoja yake haiungwi mkono na historia, jitihada na jiografia kwa uchache wa kusema.

Alitoa hoja ilikuwaaminisha wananchi wa Shinyanga kuwa yeye ni mtu wa eneo lao na hivyo wakatae watu wa ‘maeneo’ tajwa.

Lengo lilikuwa kuwazuia wananchi kuunga mkono upinzani kwa kutumbukiza hoja chafu, dhaifu na kipuuzi ya kuwagawa

Hoja aliyotumia ni ile ya CCM wanayotumia kuhusu vyama vyakikanda na kikabila.

Hapa Zitto akiwa ‘mpinzani’ kabeba mpini wa shoka la CCM kuondoa focus ya wananchi kuhusu CCM na kubomoa upinzani. Umeelewa.

Page ya 13...leo hii unawadanganya Wanaukumbi kuwa umeanza kujadili maneno ya Zitto toka tarehe 5 April 2015.

Ukiweka bandiko lako lalote la kujadili kauli ya Zitto kabla ya tarehe 19 achilia mbali tarehe 6 najitoa JF.

Teh teh teh teh.
 
Last edited by a moderator:
Wanaukumbi.

Nguruvi3 kaja na madai mapya kaingizwa chaka na Alinda.

Anadai kaanza kujadili kauli ya Zitto kuanzia tarehe 5 April 2015.

Pitie huu uzi nyuma mjionee wenyewe lini alianza kujadili kauli ya Zitto.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hiyo siyo kauli ya Zitto. Period! kama unataka nenda kasome nyuma nimemuuliza ile ya Adharusi vipi?

Pili, hiyo si kauli pekee tunayojadili. Tumeanza kuanzia April 5 alipoandika katika twits n.k.

Jibu hojazako na si kujadili mambo yaliyotengenezwa.

niliitoa Facebook baada ya nyinyi kutaka source ya Takwimu zake
 
kwanza nashukuru kwa kuwa kuna watanzania sasa wameanza kuelewa na wanajibizana na wanasiasa kwa hoja. Kwa hili la Kushambuliza serikali kusahau baadhi ya Sehemu, nadhani ni njia rahisi kwa Zitto kujipatia Kura, ingawa it's a slippery slope that needs to be navigated with carefulness.

Kabla sijaanza hoja yangu kuhusu hilo, napenda niwakumbushe wengi wetu humu ndani kuwa Matatizo ya mikoa kama Shinyanga na Mtwara ni matokeo ya sera ya Centralization ambayo Muasisi wake Nyerere alikiri alifanya makosa makubwa sana kwenye hilo. Kuna video clips kuonesha Nyerere akikiri makosa hayo. Hivyo yeyote anayetetea sera ya mapato yote ya serikali kwenda serikali kuu, ajue kuwa mwasisi wa sera hiyo alishakiri kukosea. Hivyo kulitetea hili ni kazi pevu. CCM wenyewe imewashinda ndio maana miradi mingi ya maendeleo sasa hivi inaelekezwa kwenye Local governments, ndio sababu kuu ya baadhi kodi kulipwa wilayani na sio serikali kuu. Lakini bahati mbaya hatua zilizochukuliwa na serikali hazijawa na matokeo mazuri, kwa sababu hasa kwa mikoa kama Shinyanga, corporate taxes na kodi nyengine za msingi za makampuni ya madini zinalipwa HQ yao ilipo, kwa Tanzania kodi hizi zinaenda Dar.

kwa wale wanaotoa huduma kwenye miradi hii mikuwa wanafahamu kuwa malipo yote hufanyika makao makuu. wengine hadi vyakula wananunua Dar. Hili ni kosa kubwa sana. Extractive industries are notorious in not having tickling down effects. ndio maana leo hii hata wazungu wakiuziana mashirika yao huko ulaya tunakomaa watulipe capital gain,why?tickling down effect.

Kama kuna anayepinga local regions kupata faida za kuwepo kwa haya mashirika, basi aiambie serikali yetu isilazimishe capital gain taxes pindi mashirika yanapouzwa. BG inauzwa kwa Shell, makao makuu ufaransa, lakini tayari wanasiasa wetu wanapigia mahesabu capital gain taxes na kodi nyengine.., Hivyo basi, ilitakiwa BG ikiuzwa, baadhi ya vijisenti vinavyobakia kama kodi, vifike kwenye local governments za maeneo husika.

Hili ni jambo jepesi mno kulitetea na halina msuhkeri wowote.

Tukija kwenye kuchanganya mgawanyo wa rasilimali za taifa na umoja wa kitaifa, hivi kwa nini hiyo miko iliyobaki nyuma miaka nenda rudi hawajawa na kinyongo kwa mikoa iliyoko mbele?kwa nini wanaendelea kuwaita wenzao watanzania na wanashirikiana nao kila siku kwenye shughuli za kujenga taifa? Wananchi wa Shinyanga Dhahabu zao zimetumika miaka nenda rudi kununulia mashangingi na kununulia madawa kwa hospitali zote Tanzania,mbona hakuna aliyewahurumia miaka yote hiyo?

tuwe wakweli, tuwe wawazi.hili sio jambo la kuendelea kulitetea...,resources inabidi zigawanywe vizuri, na central government is not efficient in redistribution of resources.Leo hii halmashauri zikipeleka fedha serikali kuu, fedha hizo kurudi kwenye miradi ya maendeleo huwa ni mbinde?kwa nini?kwa kuwa Serikali kuu kumejaa walafi wasio wawaza wananchi wa miko mbali mbali, lakini sidhani kama kuna diwani wa kata atakayekataa mradi wa maeendeleo usiende kumfaidisha mtaani kwake anakoishi,kama angekuwa na "mandate" ya fedha hizo.

Serikali nyingi duniani, zinapunguza centralization ya mapato. Mfano mzuri ni China. walikomesha huu utaratibu mwaka 1978.., baada ya hapo ujamaa wao ulikuwa kwa kasi.

Leo hii majimbo kama Guangzhou, Tianjin, n.k yamekuwa kwa kasi ya ajabu kweli kweli, na wananchi wa majimbo mengine wameenda kwenye majibo hayo kupata ajira. Kwa China Mkuu wa jimbo yuko responsible kwa matumizi ya mapato yaliyokuwa "earmarked" kwa jimbo husika. Hivyo Tanzania tunaweza ku-earmark aina flani za mapato kubaki mikoani, hata kama ni asilimia "significant".

Serikali kuu asilimia kubwa ya mapato yanatumika kwenye shughuli za uendeshaji, kama semina, mishahara na posho, huu ni ubadhirifu. ikitolewa shilingi 100 serikali kuu hadi ifike wilayani imebaki 20-30. hapo hadi ifike kwenye mradi imebaki 5-10. Ndio maana miradi haiishi, na ikiisha ni kwa kiwango kibovu.

Wajerumani unaowapa credit, nchini kwao kwenyewe kuna majimbo, tena wao kwenye serikali yao mfumo ulivyo majimbo yana hadi waziri mkuu, na asilimia kubwa sana ya mapato inabaki majimboni. Serikali za majimbo ya ujerumani zinachangia kwa asilimia kubwa sana maendeleo ya majimbo husika, na wamefanya hata harmonization ya services, kiasi kwamba mfano ukiwa jimbo la Brandenburg basi unapata huduma kwa urahisi bila kuzingatia mji uliopo ndani ya Brandenburg. kwa kugawanya majukumu ya serikali kuu, serikali kuu inabaki na mzigo wa kuhangaika na policy na oversight.
Hapa kuna chuki Gamba la Nyoka? Kuna tofauti gani na tunachojadili hapa?

Alichoongea Kimweri si ukweli?
 
Last edited by a moderator:
KAULI YA ZITTO JF

Kiongozi mkuu wa ACT ametoa kauli ya kutaka suluhu ya kisiasa na watu wawe wamoja kukabiliana na CCM

Ni katika wiki hizi, Zitto ametoa kauli au kunukuliwa katikamambo tofauti

Kwanza, alinukuliwa akisema yeye ni mwanzilishi wa ACT. Zittohajakanusha.

Na pili amenukuliwa akisema ACT imevuna wanachama wa CDM,kauli isiyokanushwa

Katibu mkuu wa ACT naye amenukuliwa akiwaandama CUF kamawapinzani wao

Siku za nyuma tumeeleza azma ya ACT ilikuwa kudumuza upinzani.

Tulisema, haki ya kujiunga au kuanzishachama cha siasa ni ya kila mtu na hakuna tatizo la ACT kuanzishwa

Tulisema, tatizo la nchi hii halijawahi kuwa wapinzani,tatizo ni miaka 50 ya kuvia na kudumaa kwa jamii kinaendeleo iwe kisiasa,kiuchumi au kijamii

Makosa ya nyuma yalikuwa wapinzani kupingana na kutoa mwanya kwa jinamiza CCM kuendelea kupumua

Tumesema, ACT wakianzisha vita na wapinzani, hawatafanikiwabali ni kuendeleza udumavu, uwe wa upinzani au wao wenyewe. Kwa hali ya ACTilivyo, kitendo cha kuwashambulia wapinzani kinawarudi

'Wafuasi waaminifu'wanakwazwa na jitihada za ACT dhidi ya wapinzai.
Hilo Zitto ameliona na ndio moja ya sabab za kutafuta’ muafaka’

Kwa upande wa pili, kauli ya Zitto inaashiria kuhama kwa wafuasi wake siku za karibuni.
Hofu inayoikumba ACT ni kuwa, hama hama itahusishwa na hujuma na hilo litawatenga na jamii.

Zitto angeanza kuwakemea wafuasi wake, ingeeleweka.

Kitendocha wafuasi wake hata katibu mkuu kuendeleza vita na CUF na CDM hakionyeshi udhati wa kauli ya Zitto

Mtakumbuka tuliwahi kusema, yapo makundi 3 yenye mtazamo tofauti kuhusu Zitto

1 wanaoamini kwasababu wanaamini tu

2. Wasioamini kwasababu hawamwani tena

3 Wenye mashaka, wasiojua kama ni kweli au si kweli

Makundi hayo yapo wazi kadri tuavyokwenda mbele. Wapo wanaoamini kauli ya Zitto ni ya dhati.

Wapo wasioamini kwasababu hawa mwamini kabisa.

Na lipo kundi lenye mashaka, haijui kama litoe benefit of doubt au lifanye nini

Hili la tatu linamtesa sana Zitto. Ndipo hoja yetu inapokuwa na maana, unapokosa public trust unakuwa umepoteza sehemu kubwa sana ya uaminifu katika jamii

Tusemezane

Nguruvi3.

Natafuta michango yako ya tarehe 5 April ambayo unasema mlikuwa mnajadili Zitto na kauli yake nimepata huu mchango wako wa tarehe 6 April 2015. Tufahamishe zile twits mlikuwa mnazijadili wapi mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Natafuta michango yako ya tarehe 5 April ambayo unasema mlikuwa mnajadili SL na kauli yake nimepata huu mchango wako wa tarehe 6 April 2015. Tufahamishe zile twits mlikuwa mnazijadili wapi mkuu.

Nadhani sasa unataka kunishawishi kwa nguvu nipuuze mabandiko yako...! Hoja kuu hapa ni Chama cha ACT-Mpini wa CCM kumaliza upinzani. Sub-hoja ni Kauli ya SL kuligawa taifa kwa kuwachonganisha watanzania aliyoitoa kanda ya Ziwa.
 
Back
Top Bottom