Alinda
Platinum Member
- Jun 26, 2008
- 1,695
- 2,149
[/QUOTE]Gamba la Nyoka
Nasubiri majibu..
Hivi haya maswali haukuyaona au ndo tuseme umeshindwa kuyajibu?
Husiwe na wasi wasi mie nipo sijakimbia mjadala na hakuna hoja za kunikimbiza hapa na hiyo si kawaida yangu.
Baada ya hii mipasho turudi kwenye hoja ya msingi tupe maana ya haya maneno:
"Dar inaongoza kwa kuchangia pato la Taifa
-16.9% Dar
-9.2% Mwanza kabla haijagawanya
-7.3%. Mbeya
-6%. Shinyanga
-5.3% Iringa
Hata hivyo Shinyanga ni moja ya mikoa yenye Umaskini wa kutupwa licha ya kuwa namba 4 katika kuchangia pato la Taifa, mikoa yenye Maendeleo Zaidi ni Arusha,Kilimanjaro na Dar es salaam.Hata hivyo Kilimanjaro ni ya 9 katika kuchangia Pato la Taifa na Arusha ni ya 7 kuchangia Pato la Taifa.
Swala la kusema ni Facebook au Hotuba hiyo si hoja, hoja ni kuwa haya maneno kayaandika Zitto, sasa kama kayaandika Facebook, au Jf au kaandika katika karatasi na kwenda kuyasoma Tabora au Shinyanga hilo halibadilishi ukweli kuwa kitendo cha kunyofoa mikoa minne na kupandikiza chuki baina ya watu wa mikoa hiyo ni kitendo ambacho akivumiliki na cha kukemewa na mimi na wewe..
Tunapokwambia usome na uelewe huu mjadala unahusu nini si kwamba tunakwepa hoja, la asha bali ni kutaka kukuonyesha kuwa kinachojadiliwa hapa si hotuba ya Zitto ya Mwanza au si ya Tabora (ingawaje na yenyewe hipo hapa na inamtia hatiani boss wenu) kinachojadiliwa ni "Andiko la Zitto"
Na tunachotaka kusikia kutoka upande wenu au Zitto mwenyewe, si mipasho wala vijembe ni hoja, ni hoja ya kupingana nasi kuhusu hayo maneno. Sisi au Nguvuri3 katumia hayo maneno ya Zitto kajenga hoja zake, na kufikia hitimisho kuwa hayo maneno yalikuwa ni ya kichonganishi. Hivyo basi ni wajibu wenu upande wenu kujenga hoja kumpiga Nguvuri3 si kuhamisha magoli.
Nikisoma ulichoandika sioni ni wapi unapinga hoja za Nguvur3 au Alinda, ninachoona ni mambo ya hotuba za Tabora sasa sijui hotuba ya Tabora inahusikaje hapa.
Hivyo basi leta maana ya hayo maneno hapo juu.
Sasa mmefikia kikomo chenu cha kupindisha mantiki ya hoja. mmebaki kuleta mipasho badala ya hoja za msingi.
Na safari hii hatuwaachi, mpaka muelewe, Vioja vyenu sasa vinafikia tamati. Uongo umepanda lifti na kufika mapema, Ukweli umekuja polepole sass unafyagiafyagia. Msiombe po, tulieni dawa iwaingie!
Namkumbusha Ndugu yangu Nguruv, Iko wapi hotuba isiyo ya kifacebook unayotumia kujengea case yako dhidi ya Zitto?
Hivi kwa akili zako tu za kawaida ulizojaliwa na Mwenyezi Mungu unaona hayo majibu yako yanaendana na maswali yangu? Yaani unataka kusema umeshindwa kujibu hayo maswali? Yaani umeshindwa kufafanua nini maana ya hiyo paragraf? Kweli?