Alinda
Platinum Member
- Jun 26, 2008
- 1,695
- 2,149
Alinda,
Unatuambia kuwa Zitto alibadilisha baada ya kuona anaandamwa na watu. Je wewe ulichotuwekea ni kile alichoandika kabla hajabadilisha au ulichukua baadhwi ya Para na kuacha baadhwi?
Kwa andiko la ZZK aliloliweka kapwela hapa barazani ni SAFI kabisa halina mushkeri wala tatizo lolote kwa mtu yoyote mahiri na mchumi anayefatilia na kujua uchumi wa Tanzania. Lakin sivyo ulivyoliweka wewe lilikuwa ma mashakir na mushker kibaaao kiasi cha kupunguza weledi wa ZZK katika mambo ya uchumi ambao ndio taaluma yake.
Kama ulichukua baadhwi ya para na kuacha nyingine katika maandiko ya ZZK hilo ni kosa kubwa sana na inakupasa
uombe jukwa radhwi na kumuomba ZZK radhwi kwa kumlisha na kumzulia maneno. Lakin kama aliliweka kama ulivyoripoti wewe basi tuwekee kama alivyofanya kapwela ili tuone ukweli na urongo upo wapi?
Barubaru kama nia ilikuwa ni kujua kama hilo andishi nililiona/lilisoma kule facebook hilo nimejibu.
Kama nia yako ni kuzunguka zunga nani kasema lini na wapi, nasikitika kukuwambia kuwa huo muda sina. pole sana kwa hilo.. Nilikujibu kwa kuungwana tu maana nilikifiri unataka kujua ukweli.. Sasa kama unaukubali au unaukataa hilo siwezi kukulazimisha na siko hapa kumlazimisha mtu akubaliane na mimi..
Pole sana.
Na kama bandiko aliloliweka hapa Kapwela kwako wewe ni safi tena sana. hiyo imaanishi hata kwetu sisi ni safi tena sana
Je ni kweli maendeleo ya mikoa husika yanatazamwa kwa kuangalia uchangiaji katika pato la taifa? (bandiko Kapwela ndo kigezo alichotumia kwa hili swali)..
Na kama sivvyo hebu fafanua hii sentensi alikuwa anamaanisha nini hapa.
Mikoa yenye Maendeleo zaidi ni Arusha, Kilimanjaro na Dar es Salaam. Hata hivyo Kilimanjaro ni ya 9 katika kuchangia Pato la Taifa na Arusha ni ya 7"