Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, mengi yanaendelea baadhi hawataki kuyasikia! ndiyo habari ya DCHa ha ha Mkuu, je umesikia tetesi za kujipa pardon? Yeye na familia yake na washikaji wake! Follow the money inatisha.
Ndugu yetu El Jefe, akikubaliana na Donald Trump, amedai kwamba kinachoendelea ni political witch hunt na kuapa kwamba haya yote yanayoendelea ni usanii tu na kupoteza muda...yetu macho!Mkuu kuna mengi yanaendelea ambayo baadhi hawataki kuyasikia lakini ndiyo yanazungumzwa DC...
Kwa kuanzia tu nakupa alternative facts za Donald Trump katika miezi mitatu tu toka aapishwe January 20, 2017. Ingawa umetaka tatu tu mimi nakupa 56. Uongo wake kwa kipindi chote ambao ni maradufu utahitaji labda kitabu kizima...
Hadi sasa Don Jr na Manafort hawajathibitisha kufika mbele ya senate judiciary committeeNdugu yetu El Jefe, akikubaliana na Donald Trump, amedai kwamba kinachoendelea ni political witch hunt na kuapa kwamba haya yote yanayoendelea ni usanii tu na kupoteza muda...yetu macho!
Ndugu yetu El Jefe, akikubaliana na Donald Trump, amedai kwamba kinachoendelea ni political witch hunt na kuapa kwamba haya yote yanayoendelea ni usanii tu na kupoteza muda...yetu macho!
Nina imani na walimu wangu, nadhani watalirejea swali na kukujibu kama ilivyotakiwa.Hujajibu swali uliloulizwa bali umejitungia swali na kisha ukalijibu, yaani umeenda OP. Lingekuwa swali la Marks 5 ulitakiwa upate 0.
....
Kuna habari nadhani itawaudhi zaidi MSM. Russia na US zinapanga namna ya kushirikiana kwenye masuala ya cybre security.
Hii habari ni ya muda sasa.Kuna habari nadhani itawaudhi zaidi MSM. Russia na US zinapanga namna ya kushirikiana kwenye masuala ya cybre security.Russia in talks with US to create cybersecurity working group – Putin envoy
...
Rais Trump alilazimika ku tweet na kufuta kauli hiyo siku moja baada ya kurejea kutoka G-20 (almost 3 weeks now). Hii si habari mpya, angalia source zako na ujiridhishe kwanza
Russia watasema kila kitu, ukweli ni kuwa hiyo ni DOA (dead on arrival).Mkuu, hii habari imerudiwa jana na Russian envoy! Ni kweli ilitoka mwanzoni baadaye Trump akageuka. Lakini Russia wameendelea kudhibitisha kuwa mpango huo upo na utafanywa. Kama una muda fungua hiyo link niliyoweka ujisomee.
Russia wanajua jinsi jambo kama hili lisivyowezekana na kwa sasa wameanza kuvujisha habari ambazo kwa akili zao wanaamini zinaweza kuwavuruga Wamarekani. Trump ni mateka wao na wanajua namna ya kumchezesha ngoma yao lakini wanasahau jinsi Wamarekani wanavyokuwa wamoja katika mambo yanayogusa usalama wa nchi yao.Mkuu, hii habari imerudiwa jana na Russian envoy! Ni kweli ilitoka mwanzoni baadaye Trump akageuka. Lakini Russia wameendelea kudhibitisha kuwa mpango huo upo na utafanywa. Kama una muda fungua hiyo link niliyoweka ujisomee.
Wamarekani wameliona."Mag3, post: 22412884, member: 10873"]Trump ni mateka wao na wanajua namna ya kumchezesha ngoma yao lakini wanasahau jinsi Wamarekani wanavyokuwa wamoja katika mambo yanayogusa usalama wa nchi yao.
Wamarekani watasemana vibaya na kila aina ya maneno na kashfa, lakini mtu wa nje ukigusa US hakuna cha uvyama wala itikadi, wanasimama kidete dhidi yakeKwenye mambo ya msingi yanayogusa maslahi ya taifa hawana ushabiki wa kijinga kama tunaoushuhudia hapa kwetu. Hiyo ya cyber security working group eti ya pamoja sahau...ni ndoto ya Warusi isiyowezekana hata kidogo. Bila shaka uliwaona Wamarekani walivyoungana kulaani huo mapango bila kujali itikadi zao wakiufananisha na uhaini.