Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

REPEAL & REPLACE IMESHINDWA
REPEAL ONLY IMESHINDWA
SKINNY THE O'CARE IMESHINDWA

Katika watu wasio na raha kwa leo duniani ni Rais Trump. Azma ya kufuta legacy ya Obama imeshindwa akiwatupia lawana Congress, binafsi hana ushiriki au uelewa

O'care inajulikana hivyo kwa leadership, akiipigia debe na kuielezea kwa kuielewa

Maseneta na house Reps wanaeleza Trump kutokuwa na ufaham, isipokuwa uelewa wa jambo moja 'O'care is disaster, I will give you something better, believe me, believe me'.

The fact ni kuwa sera za Trump ni kushambulia sera za Obama si kuwa na mbadala
Hata sera anazoponda bado anazitekeleza kwa bidii kisiri siri kama suala la Iran n.k.

Ilianza ku repeal and replace akieleza atafuta mchana mmoja.
Hakuelewa ni sera inayohitaji mjadala na haifutwi kwa Exec Order.

Akaaminisha wengi hadi hapa Jamvini wakisema atafuta kwa kalamu!
Katika vipaji vya Trump ni uwezo wa kuwafanya watu mazezeta na wakausimamia

Akaahidi ku repeal, yaani futilia mbali. Hilo limegonga Mwamba chini ya Republicans
Republicans wakamwambia something is better than nothing, wakaandaa Skinny
Nayo imepigwa chini. Trump hana kauli tena dhidi ya O'care, he has failed to deliver

Ame tweet acha O'Care explode. Kwa maana hata watu wakifa hajali.
Hili limezua mjadala kuhusu sensitivity ya Rais wao kwa maiasha ya wananchi.

Na halitokei natural, lina mkono wa Trump kwa kuzuia pesa za ku support O'Care na kutisha makampuni ya insurance yaendelee kujitoa .

Anachofanya sasa hivi ni Sabotage ya ObamaCare
Ukweli , haja deliver licha ya Magava, seneti, house na WH.
kwamba ata repeal and replace O'Care katika siku 100 ni ''myth''

Mieizi 6 hajashinda mswada wowote mkubwa ukiachilia uteuzi wa Jaji wa Mahakama kuu.

Obamacare ilisukwa kwamba kuifumua tu kwa matusi au kejeli haikuwa jambo rahisi, believe me!

Tusemezane
 
KURA ILIYOMALIZA SAFARI YA KUONDOA OBAMACARE

John McCain alirejea katika viunga vya DC wiki mbili baada ya kubainika ana kansa ya Ubongo
Kurejea kwa John kuliwezesha hoja ya 'motion to proceed' yaani mchakato kuendelea kupata kura 51

Kura ya mwisho ilipigwa na VP mwenye uwezo wa kuamua 'tie break' inapotokea kuna ufungano

McCain alitoa hotuba yenye hisia akiwataka Seneti warejee katika taratibu za kujadili miswada
Hii ni pamoja na kuwafikia wenzao wa Dems 'across the isle', kujadili kwa uwazi

McCain alisisitiza miswada inayojadiliwa 'vyumbani kwa siri' haikidhi haja ya seneti na Marekani

Katika kura ya kuamua kuendelea na ''skinny care'' yaani unyofoaji wa vifungu kutoka O'care, McCain alipiga pigo la mwisho kwa kura ya kukataa 'Ney' akisisitiza mchakato ufuate taratibu, uwazi na weledi

Kutokana na afya yake McCain hategemewi kurudi katika seneti kipindi kijacho.
Wengi wanadhani kura yake ilikuwa na maana ''hana cha kupoteza''

McCain ana historia ya kufanya kazi pamoja na Dems, aliwahi kumpinga Bush Jr katika suala zima la interrogation kwa njia za torture. Yeye na wenzake waliandika mswada wao binafasi

Ni mtu anayependa kusimamia masuala ya kitaifa hata pale yanapokinzana na itikadi za kisiasa
Mfano, McCain anaunga mkono mkataba wa Paris, vikwazo dhidi ya Russia na uchunguzi wa Russia

Nyuma ya pazia kuna hoja nyingine. Rais Trump alitamba anakwenda Washington kuibadilisha 'drain the swamp' na majuzi akaongeza drain the pool, sewerage or cesspit akimaanisha majitaka ya DC

Trump alisema anakwenda kukabiliana na 'the establishment' kwa njia tofauti.
McCain ni mmoja wa 'the establishment' ambaye pia amewahi kutusiwa na Trump kama ''captured hero''

Trump alisema hapendi captured hero, akimsema McCain kama mfungwa wa vita siku za nyuma

Well, the establishment wa DC wamemuonyesha nini heshima yao, huku McCain akipiga pigo la mwisho, pigo lililomaliza safari ya repeal and replace hadi wakati huu.

Kura ya McCain ingekuwa Yeah, VP angeingia kwa tie break, ilikuwa Ney kutoka kwa veteran na the establishment McCain. Lilikuwa pigo zito lenye uzani wa juu

Ni konde ambalo maumivu yatabaki na Trump kwa muda mrefu, akijibiwa kwa vitendo

Tusemezane
 
Well, the establishment wa DC wamemuonyesha nini heshima yao, huku McCain akipiga pigo la mwisho, pigo lililomaliza safari ya repeal and replace hadi wakati huu.
Mwalimu, hivi kwenye katiba ya US hakuna kipengele kinachomruhusu Rais wa Marekani kuvunja seneti na congress na kuitisha uchaguzi upya? Kama kitakuwepo, ningemshauri aitishe uchaguzi upya ili akate mzizi wa fitina.

Na leo Russia kaanza kujibu mapigo, na kasema hizi ni za rasha rasha bado vuli na masika. EU hasa Germany na France wamesema watajibu mapigo kwa manyanyaso wanayofanyiwa na US. US inataka kuvuruga biashara ya nishati kati ya Russia na EU kupitia mradi mkubwa wa Bomba la gesi linaloikwepwa Ukraine.
 
Mwalimu, hivi kwenye katiba ya US hakuna kipengele kinachomruhusu Rais wa Marekani kuvunja seneti na congress na kuitisha uchaguzi upya? Kama kitakuwepo, ningemshauri aitishe uchaguzi upya ili akate mzizi wa fitina.
[B]TUJITEGEMEE[/B], hebu soma hapa kuhusu Marekani...samahani sikupata muda wa kuitafsiri.

The founding fathers created three branches of government: the executive (President), legislative (Congress) and judicial (Supreme Court). These three all together have what is called "the balance of powers," that is, each one is just as powerful as the others. President cannot fire Congress, Congress cannot fire Supreme Court, etc. This system was created to stop a tyrant from taking over all authority and creating a dictatorship.

The Legislative branch writes bills and votes them into law, the President can veto them if he doesn't like them, although this power is rarely used. Congress can override a Presidential veto with a 2/3 majority, which is hard but can be done. The Supreme Court can overturn unconstitutional laws. If the Supreme Court makes a bad ruling, Congress can write a bill and vote it into law that fixes the problem. Arguments are supposed to be resolved by compromise. All branches are supposed to respect the will of the people as expressed by popular vote, unless there's a constitutional violation involved. Then the constitutional rights of the individual outweighs the popular vote (ideally).

Could the President declare martial law and overturn the entire system? Maybe, but who's going to go along with him? Though it is true that some would but the military also does have a right to disobey an unlawful order. Remember Congress pays the military, not the President. That's how Congress stops the President from doing foolish things - by refusing to pay for it. There is also impeachment.

This whole system is based on the idea that everybody is acting in good faith to do what's best for the country.

TUJITEGEMEE, ni wananchi pekee wanaweza ku-dissolve House kila baada ya miaka miwili na ku-dissolve Senate kila baada ya miaka sita kupitia chaguzi zilizowekwa Kikatiba.
 
"TUJITEGEMEE, post: 22536329, member: 31026"]Mwalimu, hivi kwenye katiba ya US hakuna kipengele kinachomruhusu Rais wa Marekani kuvunja seneti na congress na kuitisha uchaguzi upya?
Mkuu Mag3 kalieleza hili hapo juu kwa undani
Kama kitakuwepo, ningemshauri aitishe uchaguzi upya ili akate mzizi wa fitina.
Hakuna tatizo ndani ya Congress.

Kumbuka Magavana wengi ni Republicans, House inaongozwa na Reps, Senate- Reps na WH-Reps
Kuvutana kati ya Congress na WH, kati ya dept moja na nyingine ni katika checks and balance za US

Marais wote wamepitia changamoto hizo, hakuna jipya kabisa.
Kinachojitokeza kipya ni hali ya sasa. Rais

Trump aligombea kama 'independent' ingawa alibeba bango la Republicans.
Kiitikadi Trump hana tradition au values za Republicans

Nitakupa mifano, Reps ni pro-life hata progressive ukisoma mitazamo yao siyo laini.
Trump alikampeni akibadili misimamo kutokana na audience aliyokutana nayo

Reps wanasimamia ulinzi kama core value yao.
Trump alikampeni kwa mtazamo wa kujitoa katika ulinzi
Unakumbuka kauli ya 'kulinda shores', alivyodhihaki NATO na mengi tu

Reps wanasimamia masuala ya familia kama ndoa
Trump alikampeni akiahidi LBGT ulinzi, ingawa sasa anawageuka

Reps ni watu wa free market, Trump hayupo katika free market akiwachanganya kuhusu Obamacare
Aliahidi kulinda vitu kama medcaid, subsidy na tax kinyume na value za conservative na zake za sasa

Ingawa kuna Republicans ambao si lazima wawe conservative, sehemu kubwa ya Reps inatengenezwa na values zilizomo katika conservationism

Kampeni ya Trump ilikuwa ya political instinct, kwamba, anasoma mawazo ya watu na kuweka msimamo katika mawazo hayo akiyalinda bila kujali kama anakinzana na values nyingine

Ndiyo maana hukukuwepo na 'manifesto' ya Trump kuhusu masuala mbali mbali

Kwasasa ni mtawala, anakutana na watu wenye values zao Dems na Reps.

Akiwa hana uzoefu wa utawala wa taasisi za umma, Trump ameshindwa kuyaleta makundi mbali kwa common goal. Trump anadhani kuendesha regulated institutions ni sawa na Trump Organization

Hapo ndipo tatizo lililopo, ukitazama kura za maoni, amebaki na core team yake tuliyoisema wakati wa kampeni ambayo ni kati ya 30-40%. Angalia ushindi wake katika primaries

Kwanini alishinda ikiwa ni 30% tu? Kuna independents waliomuunga mkono ambao kwasasa wanapukutika. Pamoja na hayo popular vote inaweza kukueleza zaidi

Labda nikuulize, leadership ya Trump katika repeal and replace Obamacare ilikuwa wapi?

Kuita maseneta na kuwatisha kwa kutuma timu za matangazo katika majimbo!
Kuwaita katika chakula na kuwasumanga ili wamuogope!

Yanayotokea katika Congress ni ya kawaida, kisicho cha kawaida ni mambo yanayotokea WH
 
Na leo Russia kaanza kujibu mapigo, na kasema hizi ni za rasha rasha bado vuli na masika. EU hasa Germany na France wamesema watajibu mapigo kwa manyanyaso wanayofanyiwa na US. US inataka kuvuruga biashara ya nishati kati ya Russia na EU kupitia mradi mkubwa wa Bomba la gesi linaloikwepwa Ukraine.
Ni nani ali entertain haya? Jibu ni Trump

Obama alipowatimua Russia alikuwa na back up ya Congress baada ya kuwaeleza ni kwa nini anachukua hatu hizo.

Wakati huo Trump alikuwa pres elect, aka tweet na kumwambia Putin, ' I knew you will not respond, you're smart' akimsumanga Rais wa nchi yake kama Mjinga

Jana Congress imekubaliana kukaza vikwazo vya baadhi ya nchi ikiwemo Russia

Mswada unasema ulegezaji vikwazo lazima urudi na kupitiwa na Senate na House
Na kwamba hakuna Exec Order inayoweza kufuta hilo kama ilivyotokea kwa Paris

Kuna uvutano kati ya WH na vyombo vingine, WH ikitaka 'Russia' ilegezewe vikwazo ikiwemo kurudishwa majengo yao ya Ujasusi.

Hivyo, unachosoma leo ni hasira za Russia si kwa WH bali kwa Senate/house

Swali linalosumbua umma ni , kwanini Trump anakuwa soft sana kwa Russia!
 
Breaking News: Obamacare has prevailed...the vote was 51-49!

The Senate has rejected a measure to repeal parts of former President Barack Obama’s health law, dealing a serious blow to President Donald Trump and the GOP agenda.

Unable to pass even a so-called “skinny repeal,” it was unclear if Senate Republicans could advance any health bill.

GOP has failed to deliver! Trump's promise to repeal Affordable Care Act has fallen flat on its face!

Cc: [B]El Jefe[/B]

Trump akikutana na kikwazo katika kutekeleza sera zake una-note ila akifaulu huandiki!!.

Obamacare repeal and replace is far from over, bado ipo live, Republicans wamekosa kura moja tu. So it's not 'failed to deliver' but 'failed attempt to deliver'. There are still more attempts coming.

Sasa hivi Sen. McCain anamiminiwa kila aina ya sifa na Dems, ila naamini ameamua kufanya hivyo ili kuwapoza Dems waliompa pole zao za dhati kutokana na taarifa ya kuugua kwake. Mda si mrefu Sen. McCain atagundua kwamba bipartisan kwenye ACA repeal & replace sio leo wala kesho na utashangaa atakavyopiga kura ya ndio ya partisan bill next time itakapoletwa.

Nadhani unaona hata House wanapeleka mbele recess. Very soon Senate Republicans watapitisha O'care repeal and replace bill. Hayo mengine ni changamoto tu.
 
Trump akikutana na kikwazo katika kutekeleza sera zake una-note ila akifaulu huandiki!!.

Obamacare repeal and replace is far from over, bado ipo live, Republicans wamekosa kura moja tu. So it's not 'failed to deliver' but 'failed attempt to deliver'. There are still more attempts coming.

Sasa hivi Sen. Mcain anamiminiwa kila aina ya sifa na Dems, ila naamini ameamua kufanya hivyo ili kuwapoza Dems waliompa pole zao za dhati kutokana na taarifa ya kuugua kwake. Mda si mrefu Sen. Mcain atagundua kwamba bipartisan kwenye ACA repeal & replace sio leo wala kesho na utashangaa atakavyopiga kura ya ndio ya partisan bill next time.

Nadhani unaona hata House wanapeleka mbele recess. Very soon Senate Republicans watapitisha o'care repeal and replace bill. Hayo mengine ni changamoto tu.
Sawa, hebu kwanza tupe hiyo healthcare plan aliyoahidi Trump kwenye kampeni...kumbuka wengine tulisema hana, wewe ukasema ipo inasubiri tu aapishwe. Je GOP walikuwa na plan au hawakuwa nayo? Ukweli ni kwamba wana House, wana Senate, wana Executive na wanaongoza kwa Magavana...Mungu awape nini?
 
Sawa, hebu kwanza tupe hiyo healthcare plan aliyoahidi Trump kwenye kampeni...kumbuka wengine tulisema hana, wewe ukasema ipo inasubiri tu aapishwe. Je GOP walikuwa na plan au hawakuwa nayo? Ukweli ni kwamba wana House, wana Senate, wana Executive na wanaongoza kwa Magavana...Mungu awape nini?

Mag3 unakumbuka healthcare plan ya mwanzo kabisa ya Dr. Price? Unadhani kwanini Trump alimteua kuwa Secretary wa HHS?

Hiyo plan ime-undergo adjustments na amendments kadha wa kadha kadri debates za healthcare zinavyoendelea. Mwisho wa siku GOP leadership wana-compile provisions ili ku-accomodate concerns za watu wao na kupeleka bill itakayopata kura za kutosha. Ukisema GOP hawana plan yao ile ACA repeal bill ya 2015 ilikuwa ya nani? Na vipi Cruz Amendment ilikuwepo mwanzo?

Hivi McCain angepiga kura ya ndio na Pence aka-break tie kwenye healthcare bill iliyowasilishwa ungeandika kuhusu Reps kuwa na Executive na majority House, Senate & magavana?


By the way, nadhani umesikia kuhusu maombi ya kuteuliwa kwa special counsel wa pili atakaeshughulika na madhambi na maovu 14 ya serikali ya Obama, Hillary Clinton, Loretta Lynch na James Comey. I hope akishateuliwa utafuatilia progress yake pia.
 
Mag3 unakumbuka healthcare plan ya mwanzo kabisa ya Dr. Price? Unadhani kwanini Trump alimteua kuwa Secretary wa HHS?

Hiyo plan ime-undergo adjustments na amendments kadha wa kadha kadri debates za healthcare zinavyoendelea. Mwisho wa siku GOP leadership wana-compile provisions ili ku-accomodate concerns za watu wao na kupeleka bill itakayopata kura za kutosha. Ukisema GOP hawana plan yao ile ACA repeal bill ya 2015 ilikuwa ya nani? Na vipi Cruz Amendment ilikuwepo mwanzo?

Hivi McCain angepiga kura ya ndio na Pence aka-break tie kwenye healthcare bill iliyowasilishwa ungeandika kuhusu Reps kuwa na Executive na majority House, Senate & magavana?


By the way, nadhani umesikia kuhusu maombi ya kuteuliwa kwa special counsel wa pili atakaeshughulika na madhambi na maovu 14 ya serikali ya Obama, Hillary Clinton, Loretta Lynch na James Comey. I hope akishateuliwa utafuatilia progress yake pia.
Breaking News: Reince Priebus replaced: Donald Trump names General John Kelly as new White House chief of staff.

The ongoing Shakespearean drama that is Donald Trump’s White House has taken another twist, after the President announced he was replacing his chief of staff Reince Priebus.

President Donald Trump announced Friday he was appointing Homeland Security head John Kelly to be White House chief of staff, ending the tumultuous six-month tenure of Reince Priebus.

Reince Priebus parted ways with White House on airport tarmac...

Reince Priebus parted ways with White House staff on the tarmac outside of Air Force One Friday following the announcement he would no longer serve as President Trump's chief of staff.

Priebus was returning with Trump and other White House staff from an event in Long Island, New York. Upon their return to Andrews Air Force Base, Trump made the announcement Priebus was out of the top White House position.

In a rain-soaked Washington, D.C., Priebus had initially gotten into a van with White House Policy Adviser Stephen Miller and White House Social Media Director Dan Scavino on the tarmac, Reince Priebus parted ways with White House staff on the tarmac outside of Air Force One Friday following the announcement he would no longer serve as President Trump's chief of staff.

Sintofahamu WH yaendelea...
 
Anything meaningful about Russia yet?
Nothing new so far

Kushner alikuwa kwenye house comm, alisahau email aliyotumiwa na Don ilikuwa inahusu nini

Paul Manafort alikataa kufika mbele ya kamati, akawa subpoenaed akaingia deal ikaondolewa

Huenda muda ukifika atakwenda kwenye kamati

Don Jr bado hajapata tarehe ya kufika mbele ya kamati, alikataa ku testify hadharani

Mueller inasemwa alikuwa anaangalia mambo ya financial , hatutajua kwa sasa

Hakuna jipya kwa upande wa Russia

Kwa upande wa WH kuna mengi mapya

Kubwa zaidi ni kifo cha repeal and replace Obamacare, repeal alone na Skinny Obamacare
Haikuwezekana day one, 100, sasa ni nusu mwaka. Tunasubiri nini kitatokea

Kuhusu media
Ile habari ya CNN uliyosema ni fake, Trump amethibitisha alipewa dossier akiwa pres elect kama ilivyoripotiwa. Anasema kilichomuudhi ni leak siyo fake news

Habari ya Fake news za Russia nayo imepata ufumbuzi.

Hakuna shaka kampeni ilikuwa na contact. Kinachochunguzwa ni je kulikuwa na collusion?

Media zilikuwa sahihi maana ziliibua hata email za watu ingawa zinaambiwa ni fake news

Otherwise ni mazongezonge yasiyo ya kawaida lakini ndiyo ''modern presidency''
 
Nothing new so far

Kushner alikuwa kwenye house comm, alisahau email aliyotumiwa na Don ilikuwa inahusu nini

Paul Manafort alikataa kufika mbele ya kamati, akawa subpoenaed akaingia deal ikaondolewa

Huenda muda ukifika atakwenda kwenye kamati

Don Jr bado hajapata tarehe ya kufika mbele ya kamati, alikataa ku testify hadharani

Mueller inasemwa alikuwa anaangalia mambo ya financial , hatutajua kwa sasa

Hakuna jipya kwa upande wa Russia

Kwa upande wa WH kuna mengi mapya

Kubwa zaidi ni kifo cha repeal and replace Obamacare, repeal alone na Skinny Obamacare
Haikuwezekana day one, 100, sasa ni nusu mwaka. Tunasubiri nini kitatokea

Kuhusu media
Ile habari ya CNN uliyosema ni fake, Trump amethibitisha alipewa dossier akiwa pres elect kama ilivyoripotiwa. Anasema kilichomuudhi ni leak siyo fake news

Habari ya Fake news za Russia nayo imepata ufumbuzi.

Hakuna shaka kampeni ilikuwa na contact. Kinachochunguzwa ni je kulikuwa na collusion?

Media zilikuwa sahihi maana ziliibua hata email za watu ingawa zinaambiwa ni fake news

Otherwise ni mazongezonge yasiyo ya kawaida lakini ndiyo ''modern presidency''
Russia Russia Russia!

So far hamna kitu.

It's a wild goose chase!!
 
Russia Russia Russia!

So far hamna kitu.

It's a wild goose chase!!
So far hakuna kitu lakini kuna yanayoendelea

Trump alikataa kampeni haina contact, kwasasa Meneja Manafort, Jared, Don ambao ni watu wa karibu wamethibitika kuwa na contact. Je, kulikuwa na collusion, hilo ndilo swali

Pili, Trump 'anataka' kumfukuza Mueller akitaka financial deal zake zisiguswe. Kulikoni?

Anyway pengine ni political witch hunt tu!
 
"Mag3, post: 22539441, member: 10873"]Sawa, hebu kwanza tupe hiyo healthcare plan aliyoahidi Trump kwenye kampeni...kumbuka wengine tulisema hana, wewe ukasema ipo inasubiri tu aapishwe.
Mkuu hapa hutapewa jibu hata kwa dawa. Unauliza manifesto isiyokuwepo!

Ukipitia wagombea Dems na Reps walikuwa na manifesto kuhusu healthcare.

Haina maana hizo ndizo final, bali ni dira ya nini wanafikiri kutekeleza wakipewa mandate.
Manifesto hazitengenezwi na mgombea bali mgombea ana 'own' ikisha tengeneza.

Trump hakuwa nayo unaambiwa tu manifesto ya ''Ted Cruz'' ndiyo ya Trump

Trump alikuwa bingwa wa kuongelea O'care, hakueleza plan yake inahusu nini.

Ni kwa msingi huo sasa hivi anabadili misimamo. Katika uchaguzi alisema hataondoa medicaid, sasa hivi anataka kusaini mswada wowote ule utakaomfikia

Hatagusa pre existing condition, sasa hivi ana pen kusaini chochote, orodha ni ndefu
Ni fair kabisa kusema hakuwa na plan, anayesema alikuwa nayo atuonyeshe ilikuwa wapi. Plan ya mtu mfukoni haiwezi kuwa manifesto, tunataka yake
Je GOP walikuwa na plan au hawakuwa nayo? Ukweli ni kwamba wana House, wana Senate, wana Executive na wanaongoza kwa Magavana...Mungu awape nini?
Hawakuwa na plan yoyote, waliyokuwa nayo ni repeal and replace bila chochote

Baada ya kuanza house na senate, kazi ya kwanza ya Paul Ryan ilikuwa kuandika healthcare plan kwa kutumia wataalam. Matokeo, CBO score ikaonyesha tatizo

Wakaja na plan B wakikwepa CBO score, mwisho ikapata na hakukuwa na changes
Walichokifanya House ni kupeleka mswada Senate kuepuka balaa.

Kumbuka kuna house reps wengi walitaka kugomea ikawa sukuma twende

Ilifika seneti ikiwa Dead on arrival. Ikaandikwa upya kwa mategemeo itarudi house na kufanyiwa reconciliation, ikakwama. Kilichofuata ni ku repeal only, nako kukakwama

Ikatafutwa mbinu, mswada ukaandikwa bila watu kuambiwa, wakaambiwa wapige kura ya motion to proceed. Wakapata kwa break tie ya VP. Hii ilikuwa motion to proceed tu

Ikatengenezwa Skinny O'Care ambayo tunajua imeshindwa.
Skinny ilikuwa mtego, seneti wapitishe Ryan afanye reconciliations na Trump asaini.

Lengo la kwanza la skinny ni kuweka hai repeal and replace ili wakienda recess wawe na kauli kwa base. Pili, moderate GOP walisema ni vema kuandika bill kwa ku cross the isle

Kwavile Dems hawakubali repeal lakini wanakubali kufanyia kazi ACA (O'Care) njia rahisi ni kuwafikia wakiwa na Skinny ili kuwe na house conference.

Hilo litaleta makundi mbali mbali yenye mawazo tofauti.
Kuna akina Ben Sanders, Graham, Cruz na kamati za house na senate

Ndiyo maana ilisemwa hiyo ni skinny haihitaji kusainiwa kwasababu si act kamili

GOP baadhi wakagundua kuna njama za kutaka kufanya uhuni wa kusaini wakagomea na hasa hilo ndilo lilitibua nyongo ya McCain

Nimeyarudia makusudi kabisa ieleweke,Trump hakuwa na plan, GOP hawakuwa na plan.

Je, wanaweza ku repeal and replace, jibu ni ndiyo hata wakitaka leo.

Wana majority house na senate. Tatizo la kufanya hayo litakuwa na gharama kubwa.
Magavana wanataka O'Care ifanyiwe kazi kwani kwao imepunguza mzigo

Wananchi wameona unafuu wa OCare hasa waliokumbana na dhahma, hawataki ya GOP

Kuna pressure kwa GOP kutoka kwa magavana na wananchi na hilo linakwenda hadi house/senate kwasababu kuna midterm election kila mmoja ataubeba mzigo wake

Na wakifuta bado haitakuwa siku ya kwanza na kalamu kama walivyoamini wenzetu wengine masikini! haitakuwa siku 100 na wala nusu mwaka.
 
Breaking News: Reince Priebus replaced: Donald Trump names General John Kelly as new White House chief of staff.

The ongoing Shakespearean drama that is Donald Trump’s White House has taken another twist, after the President announced he was replacing his chief of staff Reince Priebus.

President Donald Trump announced Friday he was appointing Homeland Security head John Kelly to be White House chief of staff, ending the tumultuous six-month tenure of Reince Priebus.

Reince Priebus parted ways with White House on airport tarmac...

Reince Priebus parted ways with White House staff on the tarmac outside of Air Force One Friday following the announcement he would no longer serve as President Trump's chief of staff.

Priebus was returning with Trump and other White House staff from an event in Long Island, New York. Upon their return to Andrews Air Force Base, Trump made the announcement Priebus was out of the top White House position.

In a rain-soaked Washington, D.C., Priebus had initially gotten into a van with White House Policy Adviser Stephen Miller and White House Social Media Director Dan Scavino on the tarmac, Reince Priebus parted ways with White House staff on the tarmac outside of Air Force One Friday following the announcement he would no longer serve as President Trump's chief of staff.

Sintofahamu WH yaendelea...
Here is the full list of things the Second Special Counsel would be instructed to investigate:

1. Then-Attorney General Loretta Lynch directing Mr. Comey to mislead the American people on the nature of the Clinton investigation;

2. The shadow cast over the system of justice concerning Secretary Clinton and her involvement in mishandling classified information;

3. FBI and DOJ’s investigative decisions related to former Secretary Clinton’s email investigation, including the propriety and consequence of immunity deals given to potential Clinton co-conspirators Cheryl Mills, Heather Samuelson, John Bentel and possibly others;

4. The apparent failure of DOJ to empanel a grand jury to investigate allegations of mishandling of classified information by Hillary Clinton and her associates;

5. The Department of State and its employees’ involvement in determining which communications of Secretary Clinton’s and her associates to turn over for public scrutiny;

6. WikiLeaks disclosures concerning the Clinton Foundation and its potentially unlawful international dealings;

7. Connections between the Clinton campaign, or the Clinton Foundation, and foreign entities, including those from Russia and Ukraine;

8. Mr. Comey’s knowledge of the purchase of Uranium One by the company Rosatom, whether the approval of the sale was connected to any donations made to the Clinton Foundation, and what role Secretary Clinton played in the approval of that sale that had national security ramifications;

9. Disclosures arising from unlawful access to the Democratic National Committee’s (DNC) computer systems, including inappropriate collusion between the DNC and the Clinton campaign to undermine Senator Bernie Sanders’ presidential campaign;

10. Post-election accusations by the President that he was wiretapped by the previous Administration, and whether Mr. Comey and Ms. Lynch had any knowledge of efforts made by any federal agency to unlawfully monitor communications of then-candidate Trump or his associates;

11. Selected leaks of classified information related to the unmasking of U.S. person identities incidentally collected upon by the intelligence community, including an assessment of whether anyone in the Obama Administration, including Mr. Comey, Ms. Lynch, Ms. Susan Rice, Ms. Samantha Power, or others, had any knowledge about the “unmasking” of individuals on then candidate-Trump’s campaign team, transition team, or both;

12. Admitted leaks by Mr. Comey to Columbia University law professor, Daniel Richman, regarding conversations between Mr. Comey and President Trump, how the leaked information was purposefully released to lead to the appointment of a special counsel, and whether any classified information was included in the now infamous “Comey memos”;

13. Mr. Comey’s and the FBI’s apparent reliance on “Fusion GPS” in its investigation of the Trump campaign, including the company’s creation of a “dossier” of information about Mr. Trump, that dossier’s commission and dissemination in the months before and after the 2016 election, whether the FBI paid anyone connected to the dossier, and the intelligence sources of Fusion GPS or any person or company working for Fusion GPS and its affiliates; and

14. Any and all potential leaks originated by Mr. Comey and provide to author Michael Schmidt dating back to 1993.

Kila mtu anahitaji kujua ukweli hata kama Hillary alishindwa uchaguzi, hamna kufunika vitu, hamna double standards. Nadhani umeona namba 7. Dems waache kuweweseka, we need the truth. This one is not political witchhunt.
 
Republicans wana multiple health plans, wanachokifanya na huwa kinachofanyika katika negotiations ni kuja na kitu kimoja kwa ku-compromise. Tena kitendo cha GOP kuwa na many healthcare plans ndicho kinacho-prolong negotiations.

Sasa kama mtu anataka kuona Health Plan A au B inapitishwa kama ilivyo kisa imeletwa na Tom Price au Ted Cruz, then what's the point of having negotiations? Kwamba zisipopita kama zilivyo maana yake Trump au Republicans hawakuwa na health plan!!

Healthcare plan ya Trump ndiyo ambayo Dr. Price (Sec HHS) aliwasilisha House mwanzoni kabisa. Kinachofanyika ni kwamba ili bill ipate kura za kutosha inabidi i-address concerns za watu. Ndicho ambacho kimekuwa kikifanyika.

Sasa Trump atang'ang'aniaje Plan yake na Tom Price wakati wenzake wanataka kuona adjustments au amendments kadha wa kadha ili waipitishe? Trump anachokifanya ni ku-own Republican healthcare bill ambayo watakubaliana na amekuwa (yeye na team yake) sehemu ya mjadala huo toka mwanzo.

Sidhani kama mtu anategemea Trump awe ame-dtaft health bill yake binafsi!! Kwani hata Obama hakufanya hivyo na pengine tofauti na Healthcare bill za Republicans, Democrats wengi hawakujua kilichokuwa ndani ya ObamaCare, waliipigia kura tu.

Healthcare bills za Republicans so far ni partisan, na kwa sababu wanatumia 'budget reconcilliation' hawawezi kukwepa CBO score. Again CBO score sio absolute bali ni indicative. Projections za CBO mwaka 2010 za O'care ziko mbali sana na reality ya mwaka 2017.

Kura ya 'motion to proceed' haikuwa some procedural vote, it was some step. Just because Republicans wamekosa kura moja ya McCain kwenye 'skinny care' doesn't mean kulikuwa na mtego wa kuwadanganya Senators!!

Paul Ryan alikubaliana na conditions za baadhi ya wenzake, kwahiyo kudhani kwamba angewazunguka ni kutofikiria mbali. Senators 49 wa Republicans walionyesha committment, wawili wa kike ni wasumbufu na McCain anadhani Dems watatoa ushirikiano. Soon atagundua they won't.

Bado Republicans watakuja na repeal and replace bills za Healthcare, kwahiyo jitihada zao bado ziko hai na zitaendelea.
 
Republicans taratibu nao wanaanza kumuhofia Trump kwamba wakimfuata kichwa kichwa sera zake anaweza kuwagharimu mid-term elections mwakani.
Mkuu hili limekuwa hoja kubwa kwa Republicans
Ni chanzo cha kufeli kwa kuondoa Obamacare at least kwa sasa

Mfano, katika kuandika sera ya kuondoa Obamacare Spika alichagua jopo
Katika jopo hilo hakukuwepo mwanamke hata mmoja.

Wanawake wanaopiga kura dhidi ya sera ya GOP kwa sehemu fulani wanawakilisha hisia

Jitihada za miaka ya karibuni za Republicans ni kufanya wanawake wawe sehemu ya 'electoral collge yao'. Inaeleweka wanawake hupigia kura Dems, sera za kuwatenga hazisaidi Republican

Pili, Jana alikwa Rhode Island akiongea na Polisi, Trump alishadia kuwa 'rough' watuhumiwa wa uhalifu. Polisi wametoa kauli dhidi ya Rais wakisema wana miongozo yao ya kazi

Kauli hiyo ni rahisi lakini kwa mtazamo ambao upo wa kutaka reform katika Justice dept, kuna hisia mbaya kutoka kwa jamii ya watu wa rangi wakiwemo weusi, Walatino n.k.

Kwa muda mrefu Republicans ni ''wahanga'' wa kura za watu wa Rangi. Hili halisaidii GOP

Tatu, akiwa katika Jamboree alichomeka siasa za uchaguzi akiwashambulia Hillary na Obama
Scouts ni mkusanyiko wa vijana wanaofunzwa uzalendo na utii wa nchi yao

Tangu mwaka 1937 hotuba za viongozi wanazotoa katika Jamboree huhifadhiwa
Ukizosoma nyingi zinaeleza uzalendo kwa vijana baadhi hawajafikia umri wa kupiga kura

Hotuba ya Rais Trump imeelezwa kuwa mbovu kwa miaka 80 iliyopita
Hotuba imepingwa na uongozi wa Scout ambao Jamboree ni mkusanyiko wa itikadi tofauti chini ya mwamvuli wa uzalendo

Vijana waliohudhuria wengine wana mapenzi na Dems na hilo limewaudhi
Republicans wana tatizo la wapiga kura vijana, hotuba haikusaidia

Nne,
Obamacare: Ni jana tena Trump amelaumu wenzake wa Republicans kwamba aliwaambia waache Obamacare ife ili kuwepo na haja ya Dems ku fix au kuandika kitu kipya

Ni huyu Rais Trump aliyeahidi kuifuta Obamacare siku ya kwanza, kisha akabadili na kuwa 100
Ni yeye alimshauri Spika Ryan ifanyike haraka iwezekanavyo
Ni Trump aliyepita akipiga debe kila ''ushindi'' kama ule wa house ulipopatikana

Tayari ameshaanza kuwakana wenzake na kujitoa katika felia ya Obamacare leo hii

Tano,kura za maoni zinaonyesha akiporomoka kwa umaarufu kwa wakati tulio nao.
Kuna house reps na senators ambao ni maarufu katika maeneo yao

Kwa mwenendo wa kauli zake, sera zisizo na mwelekeo halisi, Republicans wengi wanaanza kujitenga naye wakijua tofauti ya kuwa naye au kujitenga ni ndogo kama ipo
 
UTARATIBU WA KUANDIKA SERA NA ''KUZIUZA'' US

Katika uzi huu na mwingine wa uchaguzi hatua za vyama tulieleza taratibu zake
Kwa US vyama vina utaratibu wa kumwacha Rais agombee kipindi cha pili bila kupingwa

Hata hivyo hutokea miaka 8 vyama vyote vikawa na wagombea wapya wanaoshindanishwa

Ni nadra baada ya miaka 4 kuwa na Dems na Rep katika primaries kwa pamoja.
Hilo linaweza kutokea katika mazingira ambayo Rais kuondoka kabla ya muda huo

Tulieleza, waombea huwa na sera zao na huzishindanisha wakati wa uchaguzi ndani ya vyama
Ni tofauti na Tanzania vyama huwa na sera zao na wagombea huzibeba tu ktk uchaguzi

Kwa US mgombea anayeshinda inaeleza kukubalika kwa sera zake miongoni mwa wanachama na wapiga kura katika uchaguzi husika

Tunakumbuka mgombea Dr Ben Carson alikuwa na sera maarufu ya tax reform mwanzoni
Mgombea Ted Cruz alikuwa na sera yake ya healthcare, wengine za immigration reform n.k.

Kwa upande wa Dems, Hillary alikuwa na healthcare plan akitaka maboresho ya Obamacare, lakini pia akiegemea sana katika kuboresha huduma za jamii kama mafao ya uzeeni n.k.

Ben Sanders alikuwa na healthcare plan ya ''single payer'' ikienda mbali zaidi na Obamacare

Wote wawili Hillary na Sanders walitaka kima cha chini kiongozwe katika viwango tofauti
Hillary alitaka iwe 12 Dollars na Sanders iwe 16(?) katika kiwango kinachofanana na hicho

Convention
Wakati wa mkutano mkuu Dems au Reps, kuna kitu kinaitwa 'platform'
Kwamba, sera za liyeshinda zinapata baraka za chama katika uchaguzi ili kwa pamoja mgombea aungwe mkono na kuondoa sintofahamu miongoni mwao

Na ili chama kipate platform mgombea hushirikisha sera maarufu za wawenzake.
Kwa mfano, Hillary alikubaliana na sera za Sander, viwango vya chini vya mshahara n.k.

Ndivyo Trump alivyochukua baadhi ya sera za wapinzani na kuzishirikisha ili kuwe na platform ingawa haikuwa wazi sana kama ilivyokuwa kwa Dems na suala la Obamacare ni mfano. Platform ya GOP ilikubali repeal and replace Obamacare n.k.

Kuna wakati Maseneta au Reps wana hoja zao binafsi ambazo si za vyama au platform
Ted Cruz, L.Graham, Ben Sanders na wengineo wana sera zao binafsi za healthcare

Na wala huwezi kuona sera iliyoandikwa kama ya GOP au Dems, isipokuwa kuna Platform iliyokubalika katika convention ambayo mgombea anaibeba katika uchaguzi

Lengo la Platform ni reconciliations ya sera tofauti ndani ya chama ili kuleta umoja wa kuzitetea na kuziuza kwa mgombea Urais, house au senators kuepuka mgawanyiko.

Ni mpangilio 'complicated' kidogo kwa siasa zilizokamaa za US, tumejaribu kufafanua kwa kadri kuondoa upotoshaji au kutoelewa kuhusu sera kwa baadhi yetu

Tusemezane
 
Back
Top Bottom