Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
- Thread starter
- #541
Apewe nafasi ya kutufahamisha,huenda kuna tusilolijua wengine"Mag3, post: 25654229, member: 10873"]Nadhani kwanza hujui utaratibu unaofuatwa hadi FISA inatolewa.
Hata house intel member wamekiri kutojua nini kipo nyuma ya MemoPili hata huyo Nunes mwenyewe aliyetoa hiyo MEMO hadi sasa hajui kilichomo ndani ya hiyo FISA iliyotolewa.
Labda atueleze Carter Page alianza kufuatiliwa lini na kwasababu ganiTatu FISA ya kwanza ilitolewa miezi mitatu kabla ya hiyo unayoiita fake dossier.
Fake dossier inakuwaje Fake ikiwa Papdopolous amekiri kudanganya FBI?FBI walikuwa na habari kabla ya dossier, kilichofanyika ni kuoanisha tu habari za Australia na dossierNne wanaotuhumiwa kwenye MEMO wote ni wateuliwa wa Trump.
Nunes ali sneak WH kueleza Obama na surveillance, DOJ wametafuta hakuona tena chini ya Trump na wateuliwa.Wire tap imetoka wapi? Huyu ndugu hakumbuki 'fake voters' ikaundwa kamati chini ya Pence ambayo Trump ameivunja kwasababu hakuna ushahidi wowote.Tano Trump hakuwa wire-tapped kama unavyodai na MEMO haisemi hivyo.
Hili ni neno fake limewakumbuka watu bila kujua maana yake iliyokusudiwa.
Habari za Russia ziliitwa fake, hakukuwa na kitu kima hicho
Ikabainika kilikuwepo, ikasemwa fake news hakukuwa na contact, ikabainika mkutano wa June
Ikasemwa fake news mkutano ulikuwa wa adoption, well, Junior kasema 'I Love it'
Trump amefanikiwa kufanya watu mazuzu akirudia jambo moja 1000x na wanaamini
Haya mambo yakiaangaliwa kwa jicho la copy and paste kutoka RT au Hannity yanasumbua sana.Mwisho, nakuomba uvute subira, usikurupuke
Yanahitaji kuyaelewa na weledi wa kuyapambanua.