Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
TUJITEGEMEE, sijui unataka kusema nini lakini Noth Carolina ni jimbo linaloongozwa na Republicans tangu Gavana, Msaidizi wake, Maseneta wawili, Baraza lake la Wawakilshi lenye wajumbe 13 n.k. Mambo yote yanayohusishwa na uchaguzi yako mikononi mwao na sheria wanazitunga wao na wote wamemuunga mkono mgombea wao Donald Trump...sasa kama kuna tetesi za rigging watajiju.electronic glitch easy way of 'rigging '. na ni kwa several states....kumbuka! ngoja baadaye tuchore ramani ya majimbo yaliyoathirika na hili!