Okay, John Brenman might have to go after January 20th but how about Trump's cabinet picks whose stand on issues has differed from their master? To name a few; Secretary of Sate Rex Tillerson, Attorney General Jeff Sessions, Secretary of Defence Gen. James Mattis (Ret) and many others. What happens to them after those 4 days? Will they go too unless they toe Trump's line?
Mkuu naomba msaada kidogo hapa katika kuelewa.Siku zote Marekani hataki wataAlamu wa hesabu na wale wabunifu wa bobezi watengeneze timu moja! Kuruhusu kitu hicho ni suicidal mission kwa US. Trump anatumia same technique kuvunja uti wa mgongo wa Sino -Russia! Muda huu wa Putin, uti wa mgongo huo hautaguswa.
Ukweli kama nilivyowahi kuandika kwenye post za nyuma,Trump ataingusha US pole pole kuliko HRC ambavyo angeiangusha US kwa haraka sana na kusababisha mtikisiko duniani.
Kwa kifupi, kwa mbali namuona kama Trump ana vitabia kama alivyokuwanavyo Boris Yeltsen wakati inaanguka USSR!
Mkuu tusaidie na hili, hawa wawili wanaiangushaje US kwa hali mbili ulizosema?Ukweli kama nilivyowahi kuandika kwenye post za nyuma,Trump ataingusha US pole pole kuliko HRC ambavyo angeiangusha US kwa haraka sana na kusababisha mtikisiko duniani
Trump hana miaka 74.TRUMP RAIS WA 45 WA MAREKANI
Akiwa na umri wa miaka 74 , mzee zaidi kuwa Rais ameapishwa leo kama Rais wa 45 wa US
Sherehe ya kuapishwa iliambatana na kuondoka kwa Rais Obama kuashiria zama mpya za Trump
Tukio la kubadilisha madaraka lilikuwa na sura mbili, furaha na huzuni kwa kila upande
Kila hatua ilifanyika kwa kuzingatia utamaduni wa Marekani wa miaka nenda rudi
Kubwa ni kubadilishana madaraka kwa njia ya amani na utulivu kwa wahusika kwa kufuata sheria
Pamoja na uwepo wa kupingwa kwa Trump na makundi, kwa US hiyo ni sehemu ya demokrasia
Katika uchaguzi uliokuwa na mazonge zonge ya kila aina, bado sheria zilifuatwa bila shurti
Hata kama kuna aliyechukizwa na lolote, sheria ilikuwa mwongozo katika demkorasia iliyokomaa
Mara nyingi tumeeleza, demokrasia ya US hailinganishwi na vinchi vinavyoendelea.
Katika nchi hizo, Rais huondoka kwa nguvu za kijeshi au chaguzi kufutwa n.k. ubabaishaji tu
Kwa US hata mahasimu wa kisiasa, huweka tofauti zao pembeni na kuliweka Taifa mbele
Tuangalie sura mbili za tukio, Obama na Trump sehemu inayofuata
Thank youTrump hana miaka 74.
Ana miaka 70.
Check your sources.....