"Nyani Ngabu, post: 19264228, member: 188"]CNN jana ime float fake news tena sensationally.Na leo kimewatokea puani.
Je, bado unasimama na kauli hii baada ya VP biden kuthibitisha kuwa ni kweli katika dossier kulikuwa na 2 pg synopsis.
Leo hawairushi tena hiyo habari. Jiulize kwa nini?
Wanairusha kwa kiburi sana maana DNI na VP Uncle Joe wamethibitisha kuwa walichosema kilikuwepo kama walivyoripoti
Habari haina mashiko tena kwa sababu ni uzushi tu.
Habari ya CNN ilikuwa kuhusu habari iliyoongezwa kama synopsis katika dossier ya kwanza.
Ni mwendelezo ule ule wa fake news kama zile habari za Trump kuwasema vibaya Waafrika ambazo almanusra unikabe koo nilipoku challenge kuhusu ukweli wake.....hahahaaa unakumbuka?
Well, ninajiuliza hata kama news ni fake, Trump anapaswa kulalamika?
Trump ni disingenuous genius,anaeza teka akili za watu na kumwamini hata kama atawaambia Jua hutoka kusini na kuzama magharibi
Kwanini ni genius
Baada ya habari kuvuma alijaribu tweets. Haikufanikiwa
Katika kuhakikisha anachanganya umma, alikusanya habari mbili tofauti kuwa moja
Habari ya Buzzfeed na CNN.
Buzzfeed ilikuwa published siku nyingi Washington. Si habari mpya
Habari ya CNN ilikanusha uhusiano na ile ya Buzz na kwamba hawata publish habari, wala hawatambui uhalali wa habari ya Buzzfeed
''Disingenuous''
Trump akaamua kufanya 'spin' akijua kuunganisha habari hizo kuwa moja na kuonekana ya Buzzfeed kuta discredit CNN. Leo ukweli umetoka kuwa kuna synopsi katika dossier
CNN walichosema hawana uhakika ilikuwa presented verbally,ukweli, dossier ilikuwa na synopsis.
DNI amethibitisha habari inayohusu usalama wa Taifa lazima Rais/Rais mteule wataarifiwe. Sasa ni habari gani! hapo ndipo classified info inapoingia
Nilimuuliza sana Nyani Ngabu kuhusu haya na mara zote hakujibu.
Niliuliza, je habari ya CNN na Buzzfeed zilikuwa pamoja?
Je, hakukuwa na nyongeza katika taarifa aliyopewa Obama na Trump?
News fake za CNN ni zipi?
Kama ni fake, zipi Trump anazosema zime leak kutoka IC?
Kwanini leak ya IC iwe mzigo kwa CNN ambao hawaku publish lolote
Nikamilizia kwa kusema tuvute subira.
Subira hiyo imeenda mbali kwani James Comey wa FBI alipohojiwa na kamati ya Bunge alisema hataweza kuthibitisha au kukataa sual linalochunguzwa au lisilochunguzwa na FBI.
Hapo akawa amenasa katika mtego, kwamba kama ni hivyo ilikuwaje akatoa habari za emails za Clinton mwishoni mwa uchaguzi? Uchunguzi umeanza
Uchunguzi utafuatiliwa kwa ukaribu kutokana na habari zilizofikishwa kwa Obama na Trump
Wingu la Russia litabaki kuisumbua serikali ya Trump kwa muda mrefu
Media zinatafuta ni akina nani walihusika kama ilikuwa hacking ya Russia na Trump camp