TUJITEGEMEE, sijui unataka kusema nini lakini Noth Carolina ni jimbo linaloongozwa na Republicans tangu Gavana, Msaidizi wake, Maseneta wawili, Baraza lake la Wawakilshi lenye wajumbe 13 n.k. Mambo yote yanayohusishwa na uchaguzi yako mikononi mwao na sheria wanazitunga wao na wote wamemuunga mkono mgombea wao Donald Trump...sasa kama kuna tetesi za rigging watajiju.electronic glitch easy way of 'rigging '. na ni kwa several states....kumbuka! ngoja baadaye tuchore ramani ya majimbo yaliyoathirika na hili!
Tujitegemee voters suppression inayotokea North Carolina ni GOP wanaotaka voters wakate tamaaTUJITEGEMEE, sijui unataka kusema nini lakini Noth Carolina ni jimbo linaloongozwa na Republicans tangu Gavana, Msaidizi wake, Maseneta wawili, Baraza lake la Wawakilshi lenye wajumbe 13 n.k. Mambo yote yanayohusishwa na uchaguzi yako mikononi mwao na sheria wanazitunga wao na wote wamemuunga mkono mgombea wao Donald Trump...sasa kama kuna tetesi za rigging watajiju.
Mkuu Nguruvi3 ningeomba na HCL majimbo anayoshinda uwe unaandika kama ni Blue states,kama unavyoandika red states,majimbo anayoshinda Trump.Tutaanza kupata namba za Key state katika dakika 12 zijazo