Wana duru za siasa
Kuanzia kesho tutakuwa na uzi maalumu unaohusu mgogoro wa Wapinzani tukiangalia CDM kwa undani zaidi.
Tutaanzisha nyuzi maalum kwa jina la Duru: Mgogoro wa Upinzani.
Tutaangalia kwa undani mambo ya kisiasa hasa waraka uliosambazwa ambao umetoka kwa viongozi wa Chadema.
Tutachambua mstari mmoja hadi mwingine kubaini ukweli na uongo.
Tutabainisha makundi tuliyoyataja
Tutaangalia kama uongozi umetenda haki kwa wtuhumu na watuhumiwa
Tutayaangalia makosa yaliyofanyika katika kuchukua hatua
Tutabaibisha ukweli kwa ushahidi wa waraka huo na mwenendo wa matukio
Tutaangalia kama kweli CCM ina mkono au mchawi ni CDM yenyewe
Tumeshaupitia waraka huo kwa undani na kilichobaki ni kuuweka baada ya marekebisho kidogo.
Kama kawaida yetu hataonewa mtu au kuhurumiwa.
Ninachoweza kusema ni kuwa yale yaliyojadiliwa hapa tangu
Ritz alipoleta hoja yote yameonekana kwa uwazi na uhakika.
Tutachambua kuanzia majina bandia yalityotumika, wahusika na mitazamo yao.
T
utaangalia mustakabali wa siasa za upinzani kwa kuichambua model ya Mchambuzi sehemu ya mwisho ya bandiko lake.
Napenda niwahakikishie kuwa mada itakuwa moto na tutawaalika wote.
cc
Ben Saanane hammy D
Nyakarungu sixgate
Nicholas Mungi Arusha one Ritz Mchambuzi AshaDii Ngongo zumbemkuu @ EMT
Mag3 Zinedine AshaDii gfsonwin Bongolander Mkandara Mimi baba Zinedine