Trump
Faida aliyo nayo ni kuwa anaenda katika mjadala akiwa 'underdog'
kwamba hana uzoefu wa masuala mengi ya kiserikali na kiuchumi licha ya kuwa mfanya biashara.
Hivyo umma utampa benefit f doubt kwavile hajawa insider wa Washington.
Makosa yake hayataangaliwa sana kama point atakazo score.
Inahitaji pointi chache tu, kwa watu kufanya majumuisho yeye ni bora. Hili litamsaidia
Tunaona maandilizi yake ni ya muda mfupi, kwa maana ni underdog na watu hawatarajii makubwa
Hasara aliyo nayo ni jazba. Akiwa katika mjadala na mwanamke wa kwanza katika nafasi hiyo, Trump aangalie lugha.
Lolote hata la kawaida litahusishwa na gender na kuondoa sehemu ya kuungwa mkono
Lakini pia ana utata 'controversy' kuhusiana na mambo ya jinsia.
Ameshakuwa katika mtafaruku na akina mama mara nyingi n.k.
Tatizo jingine ni utata wa kauli dhidi ya makundi ya watu wa rangi anayojaribu kuyafikia
Kauli atakazotoa zinatakiwa zisiwe na utata kwani mdahalo utahitimisha misimamo yake
Kubwa kwa Trump ni 'specifics' za hoja za ulinzi na usalama, uchumi na jamii
Karika primaries hakuna aliyelewa nini hasa plan za Trump kuhusu msuala kadhaa
Trump alitumia nafasi hiyo, kuwakashfu, kejeli na kuwadharau wenzake.
Mdahalo wa kesho ni tofauti kabisa, lazima atarajie kuwa na specifics.
Akiongelea ulinzi na usalama anapaswa kusema atafanya nini tofauti na siku za nyuma.
Akiongelea uchumi anatakiwa awe na takwimu za kumsaidia.
Mambo ya jamii na wajawazito, childcare n.k. zitahitai details
Eneo la specifics ndilo alilo vulnerable kama atabanwa na moderators
Advantage nyingine ya Trump ni kuwa amebadilisha na kuongopa au kupotosha sana.
Kwavile hakutakuwa na fact checks, atakachoongea kitapokelewa kama ukweli.
Clinton kampeni ina hofu na suala hilo sana, kwani watazamaji mamilioni wanaweza kuchukua kauli za Trump kama ukweli. Kwa mfano, Trump anasema alipinga vita ya Iraq, ukweli ni kuwa aliunga mkono
Rejea nyuzi ya
Mag3 [HASHTAG]#281[/HASHTAG] kuona flip flop, na hilo ni advantage kwake kwani wengi hawana muda wa 'fact check' na disadvantage kwa Clinton kwasababu hakuna atakayejua nini position ya Trump katika masuala mbali mbali.
Inaendelea.....