Ndugu punguza mahaba kwani mwenyekutaka Vita Isimame nani ni ombi la nani tuanzie epo kinachofaamika ni upande wa Israel ndio unataka HALF TIME kupitia Tramp !!!!
sio Hamas kwaiyo kuipangia tena Hamas vile nyinyi mnataka haaaaaaa sio kweli..
kama vipi Vita viendelee kama noma naiwe noma !!
kuna kitu Israel imepungukiwa na pande ya Houthi kule wamepata taarifa nyeti!!!
shida ipo hapa Israel imepambana kulekebisha bandari ya HAIFA ambayo ilipitia kipigo kibaya kutoka Iran !!
sasa mafundi wa israel walikuwa ni kama wapo seem nzuri kulejesha uduma !! Houthi wakapiga upya palepale kwenye Mshono !!
sasa Israel inataka kutumia bandari ya kusini ya EILAT !!
picha lipo apo kwasasa.
Houthi inajua kwenye izo Meli kuna mizigo mizito ndiomana inadhizamisha kabisa. !! Hii Vita ishakuwa ngumu wa Israel muda ndio mwalimu,,