Duu!! Div. Four hawatasoma ualimu.

IDEGENDA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
4,505
Reaction score
5,343
Majanga..
Serikali imesema kuanzia mwaka huu wanafunzi wa kidato cha nne wanaopata daraja la nne hawataruhusiwa kusomea ualimu. Watakao ruhusiwa ni wale wa daraja la kwanza hadi la tatu.
Source: ITV.

Mimi kwa upande wangu nlisoma QT, na mtihani wa form four mwaka 2013 nilipata D 2, C 1 na E 4, hiyo ni division four points 40,
Chuo gani naweza kusoma wadau msaada tafadhali.
 
Labda sasa fani ya Ualimu itapata heshima....Ila si dhani kama itatekelezeka..
 
umeshatoka zamani tu mwaka huu
NI kwamba Vyuo vya Ualimu watapokea madaraja (waliofaulu kwa Div) kuanzia Div -1 hadi 3 yapoint 34 Lakii hao wenye kuanzia 32,33, na 34 wakiwa Chuoni ni lazima wafanye Mtihani wa Kidato cha IV kwa masomo aliyofeli na akifeli tena hataingia mwaka wa pili wa Kozi hiyo ya Ualimu
 
Wacha nisubiri tamko la serikali,maana mi hata sinaga ndugu wa necta wa kunipasha habari kama nyie mnavyopewa na ndugu zenu wa brn.
 

point 34 ni IV mdau
 
point 34 ni IV mdau
nifafanulie Mkuu
mbona hata 35,36, 37 NI iv?
lakini huo Waraka bado umesisitiza mwisho wa kuwapokea wanaotaka Cheti Daraja la III ni 34 lakini akiwa Chuoni ni shurti afanye Mtihani kwa kupata angalau Credit kwa baadhi ya masomo anayochukua ambayo alifeli IV
 
Hii wamerahisisha kwa wale wataopata daraja la nne na sifuli kidato cha sita kwenda kusoma stashahada ya ualimu miaka mitatu kwa kutumia vyeti vyao vya kidato cha nne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…