Duuh hata Kilimanjaro watoto wazuri wapo

kuna watoto wazuri saana dar watasubirii miaka 100 shikamoooo moshiiii sitamani kurudi tena daslaam
Mwanaume wa Dar ktk ubora wako..

Hao huwawezi... wamezoea kula "pingi" za uhakika kwa wanaume zao wa mikoani.
 

Mbna km unafny promo ya mkoa
 
Mkuu kuandika kote huku umeweka nukta moja tu?....hata mkato hakuna?

Dah! umetisha sana,.....endelea kuwaza ngono tu.
 
Umefuata kazi au watoto wazuri,Kuwa makini mkuu watoto wazuri wapo tu na kila siku wanazaliwa..... fuata kilichokuleta hapa Moshi.
 
Ndio wale madomo zege na sidhani kama umempata wewe piga nyeto KLM maji ya kutosha bafuni ukimaliza usisahau kusafisha bafu zetu
 
Ngoja kwanz nikutrack nijue upo pande zipi..
 
Nakuunga mkono mkuu, mi nawaonaga nikitoka kanisani, ni shida
 
hapo bado hujaenda ethiopia na elitrea....oa kabsa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…