Duuh! Inonga Baka aanza dhidi ya Burkina Faso

Matokeo pia tuambiane
Screenshot_2022-09-23-22-57-27-726_com.sofascore.results.jpg
 
View attachment 2365948

Beki wa Simba Sc Inonga Baka ameanza kwenye cha Congo kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Burkina Faso. Hii imenistua kidogo,maana kosi la Congo limeesheheni nyota
Hongera Inonga!

Samahani lakini, nilishatoa ufafanuzu kuhusu tofauti ya Congo na DRC. Hizi ni nchi mbili tofauti.

Inonga anacheza timu ya taifa ya Democratic Republic of Congo (DRC) na siyo nchi ya Congo
 
Meshack Elia fundi wa mpira kongo wana mafundi sana.
 
Hongera Inonga!

Samahani lakini, nilishatoa ufafanuzu kuhusu tofauti ya Congo na DRC. Hizi ni nchi mbili tofauti.

Inonga anacheza timu ya taifa ya Democratic Republic of Congo (DRC) na siyo nchi ya Congo
Asante mkuu
 
pia kuna mtaa Congo
 
Kuna vitu Okw boban sunzu unavifanya kama mtu ambaye anaanza kushabikia mpira leo.

Kwahiyo Inonga kuanza first team katika team ya Congo ndio story.?
 
Kwangu mimi ni stori,inaweza isiwe kwako na kwa wengine. Hakuna wa kunipangia stori
 
Back
Top Bottom