OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #41
Wajinga tu, hili jukwaa kupost ni bure. Sipangiwi na mtu, sivunji sheria wala kudhalilisha mtuKuna watu wanapenda uposti wanachopenda wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajinga tu, hili jukwaa kupost ni bure. Sipangiwi na mtu, sivunji sheria wala kudhalilisha mtuKuna watu wanapenda uposti wanachopenda wao
Hili jambo huwa linanisikitisha sana kwa Mtu niliyeamini anaweza kuchambua soka na kujitofautisha na mashabiki uchwara. Ngoja niendelee kuwaheshimu Scars na Jose maana kidogo wanajua ushabiki ni nini!Kuna vitu Okw boban sunzu unavifanya kama mtu ambaye anaanza kushabikia mpira leo.
Kwahiyo Inonga kuanza first team katika team ya Congo ndio story.?
Mashabiki wa Makolo wote ni insane.Wamekalia msumari wanajifariji na sifa za kijinga.Inonga mbovu tu nilidhani kaitwa kucheza Afcon au Weldi kapu kumbe mechi ya kirafiki tu mayowe dunia nzima wamepata mwangwi wake wakati jamaa wanapumzisha vifaa tu! Inonga bado wa ndondo cup tu mchangani!
Promo kibao makelele mengi mnajifariji kwa kupokwa makombe yote na wananchi mara oooh Barabara kawa Rais wa FIFA mara Inonga beki wa dunia kushinda Maguire sasa Jangwani tunawaambia Kisinda msiempenda kaja shida iko pale pale!!au imeongezeka mtakoma!
Zile goli mbili za Mayele Lupaso huyo Inonga Varane wenu akiwa uchochoro na tobo la Aziz Ki kwa Tshabalala na shuti mita 60 la Feisal CCM Kirumba bado sijaona malipizi yake!
Hayo Makario yote ni ma idiot.Yote ni mambumbumbu.Wape matokeo mbumbumbu wenzako kuwa timu iliyoongozwa na Aziz K imeichapa timu ya inonga huku inonga ndo akichomesha ilo goli
Watakwambia Barabara anakata Sana mauno akiwa na Mwamedi.Nimekaa paleee,,[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]Imefikia wakati wanakosa cha kushangilia wanatafuta chochote kile cha kushangilia hata vya upuuzi Kuchaguliwa kwa Barba ni shangwe
Kupostiwa na CAF ni shangwe, Inonga nae kuitwa timu ya taifa na kuanza nako imekuwa ni shangwe kwao
Wanamkojolea back 2 back.Ndo hao wanakupiga watakavyo
Maliza kichefuchefu chako chote lakini ukweli utabaki kuwa Inonga ni beki bora.Inonga huyu huyu aliyekuwa anageuzwa kama pishi la mchele na mshambuliaji mchovu Obrey Chirwa msimu uliopita kwenye mechi waliyocheza na Namungo!! Au ni Inonga mwingine?
Nyie wafuasi wa Yanga ni mataahira kabisa,sawa nyani wa pori la Utopolo?Hii nayo ni habari wafuasi wa simba ni wajinga Sana
Hapa ulishalipa?Inonga mbovu tu nilidhani kaitwa kucheza Afcon au Weldi kapu kumbe mechi ya kirafiki tu mayowe dunia nzima wamepata mwangwi wake wakati jamaa wanapumzisha vifaa tu! Inonga bado wa ndondo cup tu mchangani!
Promo kibao makelele mengi mnajifariji kwa kupokwa makombe yote na wananchi mara oooh Barabara kawa Rais wa FIFA mara Inonga beki wa dunia kushinda Maguire sasa Jangwani tunawaambia Kisinda msiempenda kaja shida iko pale pale!!au imeongezeka mtakoma!
Zile goli mbili za Mayele Lupaso huyo Inonga Varane wenu akiwa uchochoro na tobo la Aziz Ki kwa Tshabalala na shuti mita 60 la Feisal CCM Kirumba bado sijaona malipizi yake!
wapi?
Kwangu Scars ni shabiki bora kuwahi kutokea kwa Makolo humu jamvini, kwasababu huwa anatumia reality kuliko hisia katika ku judge vitu.Hili jambo huwa linanisikitisha sana kwa Mtu niliyeamini anaweza kuchambua soka na kujitofautisha na mashabiki uchwara. Ngoja niendelee kuwaheshimu Scars na Jose maana kidogo wanajua ushabiki ni nini!
Nimeuliza tu lakini! Maana nilidhani kuna Inonga mwingine, nje ya huyu wa kwenye ligi yetu ya NBC.Maliza kichefuchefu chako chote lakini ukweli utabaki kuwa Inonga ni beki bora.
Aziza alikuwemo?View attachment 2365948
Beki wa Simba Sc Inonga Baka ameanza kwenye cha Congo kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Burkina Faso. Hii imenistua kidogo,maana kosi la Congo limeesheheni nyota