Duuh! Inonga Baka aanza dhidi ya Burkina Faso

Kuna vitu Okw boban sunzu unavifanya kama mtu ambaye anaanza kushabikia mpira leo.

Kwahiyo Inonga kuanza first team katika team ya Congo ndio story.?
Hili jambo huwa linanisikitisha sana kwa Mtu niliyeamini anaweza kuchambua soka na kujitofautisha na mashabiki uchwara. Ngoja niendelee kuwaheshimu Scars na Jose maana kidogo wanajua ushabiki ni nini!
 
Mashabiki wa Makolo wote ni insane.Wamekalia msumari wanajifariji na sifa za kijinga.
 
Imefikia wakati wanakosa cha kushangilia wanatafuta chochote kile cha kushangilia hata vya upuuzi Kuchaguliwa kwa Barba ni shangwe
Kupostiwa na CAF ni shangwe, Inonga nae kuitwa timu ya taifa na kuanza nako imekuwa ni shangwe kwao
Watakwambia Barabara anakata Sana mauno akiwa na Mwamedi.Nimekaa paleee,,[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]
 
Inonga huyu huyu aliyekuwa anageuzwa kama pishi la mchele na mshambuliaji mchovu Obrey Chirwa msimu uliopita kwenye mechi waliyocheza na Namungo!! Au ni Inonga mwingine?
Maliza kichefuchefu chako chote lakini ukweli utabaki kuwa Inonga ni beki bora.
 
Hapa ulishalipa?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
View attachment 2366424
 
Hili jambo huwa linanisikitisha sana kwa Mtu niliyeamini anaweza kuchambua soka na kujitofautisha na mashabiki uchwara. Ngoja niendelee kuwaheshimu Scars na Jose maana kidogo wanajua ushabiki ni nini!
Kwangu Scars ni shabiki bora kuwahi kutokea kwa Makolo humu jamvini, kwasababu huwa anatumia reality kuliko hisia katika ku judge vitu.

Katika suala la 'ushabiki maandazi' ana 10% tu..
 
Hizi ni mechi za kirafiki, wachezaji wengi walioko Ulaya hawazitilii maanani ndio maana wengine wanaocheza huku Afrika wanapata fursa ya kuitwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…