Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Stress za maisha zinawasumbua,watu wamejificha kwenye ID fake ila maisha halisi yamewatandika balaa wanaona kumtukana zari ndio nafuu yao.
Wanaume wazima wanamwonea wivu dai kisa kafanikiwa sana wakat hana hata elimu ya secondary,wadada wanawanamchukia zari kudaka wanaume wenye hela zao wakati wao wanaishia kutongozwa na kuchezewa na wanaume wenye hela za mawazo

Basi kuna watu wakiona hivi Wanaumia roho hatari, akija hapa anamaliza hasira zake kwa kuandika Nonsense.......
Mara watoto wa Diamond sio wake, ni upuuzi tu wa Waswahili Masikini, MTU aliyefanikiwa hawezi kupoteza muda wake kujadiri Upuuzi....