Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Wanafanana bana saa nyingine tuache undambwi ndambwi japo mie sio team wa mtu yyt.Ohoooooo!!!![]()
-Ndumilakuwili-
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanafanana bana saa nyingine tuache undambwi ndambwi japo mie sio team wa mtu yyt.Ohoooooo!!!![]()
-Ndumilakuwili-
Labda mwizi kaibiwa..
[emoji2][emoji2][emoji2]Hatuaminiki aisee
Si hadi awe na mbegu...tangu lini mwanaume mmbea akawa baba?Kwa kweli....people wanapenda sana kufuatilia wenzao, aweke picha za watoto wake na ya kwake tuone na yeye tumchambue.....[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi naona wanafanana sanaMbona kwa haraka haraka naona kama hao watoto wanafanana pua na macho? au nivue mawani yangu ya balimi!?
Hata midomo.Mbona kwa haraka haraka naona kama hao watoto wanafanana pua na macho? au nivue mawani yangu ya balimi!?
Dhahabu na makinikia ni vitu viwili tofautiOhoooooo!!!![]()
-Ndumilakuwili-
Sijaelewa una maanisha anaomba kuzibuliwa maji taka?[emoji41] [emoji41] [emoji41] sijaelewa kwamba Zari anaomba atifuliwe kifusi au?[emoji41] [emoji41]