Duuh Kwa Hali Hii Diamond Hakufanya Kosa Kuwa Na Mtoto Nje

Stress za maisha zinawasumbua,watu wamejificha kwenye ID fake ila maisha halisi yamewatandika balaa wanaona kumtukana zari ndio nafuu yao.
Wanaume wazima wanamwonea wivu dai kisa kafanikiwa sana wakat hana hata elimu ya secondary,wadada wanawanamchukia zari kudaka wanaume wenye hela zao wakati wao wanaishia kutongozwa na kuchezewa na wanaume wenye hela za mawazo
Basi kuna watu wakiona hivi Wanaumia roho hatari, akija hapa anamaliza hasira zake kwa kuandika Nonsense.......

Mara watoto wa Diamond sio wake, ni upuuzi tu wa Waswahili Masikini, MTU aliyefanikiwa hawezi kupoteza muda wake kujadiri Upuuzi....
 
Well said Mkuu
Masikini tu na watu Waliokata tamaa za Maisha ndo humsema Vibaya Diamond...
Hivi mtu aliyefanikiwa anapata wapi mda huo...
 
Hawa watoto wote hawakufanana na diamond kabisa, japo hiyo sio sababu ya kuamini kuwa sio watoto wake.
 
Hawa watoto wote hawakufanana na diamond kabisa, japo hiyo sio sababu ya kuamini kuwa sio watoto wake.
Hao watoto wote wanafanana na Diamond.
Sema wameiba na kwa mama kidodo.
Angalia hako ka dume kalivyofanana mdomo na Diamond.
Mdomo mpana wa kuimba.
Subirini kidogo watakapo kua wakubwa kidogo mtakuja kuona ukweli huo.
Wote ni damu ya Diamond.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chibu karanga hapa hapana aisee,unafiki ni ugonjwa mbaya sana!
binafsi nahisi haya ni mahusiano ya kibiashara na ndio maana akiulizwa kuhusu ndoa nageuka kitenesi,anadundadunda balaa,hajibu kitu kikaeleweka...hii ni michezo ya mjini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…